ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ada zake zipo vp
Asante captain Mwakibuja kwa kazi kubwa na nzuri unayofanya ili kuhakikisha vijana wanajiunga na kazi hii nzuri ya ubaharia, hongera sana
Good
Kama una c moja ya form 4 hauwez kujiunga
Jee hizo basic ufike kidatu changapi au darasa langapi ndio ujiunge
Sifa za ubaharia
Nahitaji kujiunga na kozi za ubaharia nianzie wapi
Je? Kozi za biashara zinatolewa
Naomba contact na chuo DMI....
Je kwa wale walioishia kidato cha nne na kutak kusomea kuendesha meli inakuaje
Wasiliana na chuo DMI
Wasiliana na DMI kwa tovuti - www.osim.dmi.ac.tz, karibu sana