KATIBU WA CHAMA CHA MABAHARIA "BILA SIFA HIZI UBAHARIA HAUKUFAI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2019
  • Neno Baharia limeanza kutumika muda mrefu sana lakini siku za hivi karibuni limeonekana kushika kasi na kutumiwa sana mitaani na mitandaoni huku kila mmoja akilitumia kwa style yake iwe kwenye mazungumzo ya kawaida au ya utani, wengine wameenda mbali zaidi na kuanza kutafsiri maana ya Mtu anayestahili kuitwa Baharia kwa vile ambavyo wanaona inafaa na wapo ambao katika kuitengeneza maana halisi ya Baharia wanatumia hata kauli zinazofikirisha.
    Lakini unaweza kujiuliza ni nini hasa maana ya Baharia na zipi sifa za yule anayefaa kuitwa Baharia!?.
    Kupitia AyoTv na 'millardayo.com' tunae Katibu Mkuu wa Chama cha Mabaharia Tanzania Captain Josiah Mwakibuja ambaye licha ya kuwa Katibu wa Chama yeye pia Mjumbe wa Kamati ya kusaidia Matatizo ya Mabaharia Afrika yenye makao yake makuu London Uingereza na pia ni Katibu wa Bodi ya kutoa misaada kwa Mabaharia kama vile ya kiroho, wakati wa misiba n.k, na amekubali kujibu maswali yote yanayohusu Ubaharia.

ความคิดเห็น • 51

  • @issamartinho3490
    @issamartinho3490 4 ปีที่แล้ว +14

    Kama umegundua kuwa jamaa anaipenda kazi yake gonga like hapa

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว +16

    Hugo ni nahodha sio Bsharia. Maana kwenye bodies yetu ya mabaharia atumjui huyo.kama na wewe ni baharia gonga like hapa.

    • @Baharia92
      @Baharia92 4 ปีที่แล้ว

      Hapana uyo ni bahalia sio nahodha ni afisa mkuu wa meli

  • @mascompany4035
    @mascompany4035 4 ปีที่แล้ว +21

    Mabaharia hatumjui huyu wala hatuelew anachosema.. kma unakubaliana na mim gonga like apa

    • @oswardndilahomba2903
      @oswardndilahomba2903 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwani darasan ulikuwaga unashika namba ngapi? Mbona anaeleweka vizuri sanaaa tuuuu.

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 4 ปีที่แล้ว +1

      maru salim hahaha

    • @sultamwimbe2904
      @sultamwimbe2904 4 ปีที่แล้ว

      Inaonyesha hujui hata maana ya neno Baharia.

    • @jumbeink3173
      @jumbeink3173 4 ปีที่แล้ว

      Bro unavyo vyeti walau vya STC international mandatory course kama huna kaaa kimya

    • @lodrickkisanga8681
      @lodrickkisanga8681 2 ปีที่แล้ว

      @@jumbeink3173 wewe ni chenga

  • @rogersmasofa6549
    @rogersmasofa6549 4 ปีที่แล้ว +13

    huyu nae ameona tunafaidi gonga like kama na wewe baharia

  • @starplacetv459
    @starplacetv459 4 ปีที่แล้ว +12

    Baharia wa kwanza unayefata like hapa tujuane

  • @mohdkassim6903
    @mohdkassim6903 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo watu wanashindwa kuelewa kati ya baharia wa baharia wa baharini na baharia wa nchi kavu Kama ww Ni baharia wa nchi kavu naomba nione uwepo wako 👍

  • @foncetecelectricalandelect34
    @foncetecelectricalandelect34 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama kawa baharia, kumbe ndioaana kitale anatembea vile? Anabalance mawimbi 😂😂😂

  • @meddylukola405
    @meddylukola405 4 ปีที่แล้ว +4

    Baharia ni mfanyakazi wa melini aliepitia mafunzo ya kazi hio iwe ni unahodha au fundi au mpishi wa melini cha msingi awe na cheti cha ubaharia

    • @alexchungu9505
      @alexchungu9505 4 ปีที่แล้ว

      angolile mwakilasa umeongea point

  • @benardmartine244
    @benardmartine244 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyo sio baharia Bahari Havai jezi

  • @dickmalove5544
    @dickmalove5544 4 ปีที่แล้ว +4

    we kwanza kucoment

  • @revocatusedward5739
    @revocatusedward5739 4 ปีที่แล้ว +4

    Twilemba, mbona huyu baharia inaonesha huwa anaoga mara tatu kwa ck

  • @gracemenace5457
    @gracemenace5457 ปีที่แล้ว

    Hongera captain Josiah

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว +3

    Mabaharia wore mcomment hapaaaaa

  • @lutegemaganga9278
    @lutegemaganga9278 ปีที่แล้ว

    Nampataje

  • @jimmymhina1264
    @jimmymhina1264 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo sio ni Muongo hatumjui katibu ni George Daffa Mdoe

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna Baharia bila STCW amended 2010 kuna tofauti ya Baharia na Stow away or Stoloway

  • @mswahilijr3131
    @mswahilijr3131 4 ปีที่แล้ว +2

    First to comment

  • @aisha.a.j2707
    @aisha.a.j2707 4 ปีที่แล้ว

    Hapo Nimeelewa maana walikuwa wananichangnya sana

  • @Baharia92
    @Baharia92 4 ปีที่แล้ว

    Chief jonsia chief oficcer

  • @michaeleustach8742
    @michaeleustach8742 4 ปีที่แล้ว +1

    Tukutane kwenye kikao jioni

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji unaongea sana,unaintro ndefu sana namaanisha

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa7353 4 ปีที่แล้ว

    Mabaharia wa kike tunacommentia wap🤗🤗🤗

  • @rizikothman169
    @rizikothman169 9 หลายเดือนก่อน

    mm nipo kidato cha 6 nimasoma masomo ya art ninaweza kua baharia?

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว

    Mwisho mtatuleta maana ya MWALIMU Sasa ....hamna issue ya kufanya.

  • @allytulie9020
    @allytulie9020 4 ปีที่แล้ว +1

    huyo nahoza sio baharia

  • @meddylukola405
    @meddylukola405 4 ปีที่แล้ว

    Tafsri ya mtaani baharia ni mjanja kuliko wote

  • @sultantany6091
    @sultantany6091 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahah

  • @josephshao475
    @josephshao475 4 ปีที่แล้ว

    No gain

  • @jimmymhina1264
    @jimmymhina1264 4 ปีที่แล้ว

    Ayo hapo mmetapeliwa nahuyo jamaa

  • @emmaonalloh5515
    @emmaonalloh5515 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe kuna wanawake ,mmm itabidii nikasome

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 4 ปีที่แล้ว

    Sasa tumelewa kama Baharia'nimtu'wa aina gani

  • @mechanicaldesignbrain
    @mechanicaldesignbrain 4 ปีที่แล้ว

    híi ni part1? au no conclusion😐

  • @mpoleclassic160
    @mpoleclassic160 4 ปีที่แล้ว

    Baharia

  • @adinanjuma5725
    @adinanjuma5725 4 ปีที่แล้ว

    Hawezi kuwa baharia huyo, baharia havai uniform

    • @jumbeink3173
      @jumbeink3173 4 ปีที่แล้ว

      Uyo captain mzee ujui mabaharia

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +2

    BAHARIA ndo nn WTF😬

  • @medardkihekaabel2601
    @medardkihekaabel2601 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo Katibu hatumtambui sisi mabaharia.......Anachokielezea hakiendani na Chama chetu...