BAHARIA WA KIKE AELEZA MAZITO WANAYOKUTANA NAYO KATIKA MELI, AFUKUZWA KAZI NDANI SIKU NNE TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2020

ความคิดเห็น • 296

  • @vero57
    @vero57 4 ปีที่แล้ว +7

    SAFI SANA DADA, WANAWAKE OYEEE!!! UTAWEZA TUUU KILA MTU ANAWEZAAA

  • @hassanhamiduhassanbarwan1450
    @hassanhamiduhassanbarwan1450 4 ปีที่แล้ว +22

    Hongera sana kwa uvumilivu hatimaye umetimiza ndoto zako, Allah atakujaalia kheir zaidi na atakunyanyua zaidi.

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 4 ปีที่แล้ว +6

    Tatizo unaongea sana na tempa iko juu. It's as if unamuonya adui yako kwa utakachomfanya coz umefika juu. Be Humble, nothing lasts forever.

  • @humbleeleso4157
    @humbleeleso4157 4 ปีที่แล้ว +12

    She is a brave strong woman and inspiring keep up girl!

  • @yusuphmohammad1385
    @yusuphmohammad1385 4 ปีที่แล้ว +32

    Ambao hawajaelewa kama mm wapo

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona anaongea anaeleweka vzuri tu jmn !!!! Mm nimemuelewa na hayo yapo na kimsingi sio haki kabsa ..... Hongera Sana Dada mungu akujaalie inshallah

  • @doreendinamica3473
    @doreendinamica3473 4 ปีที่แล้ว +7

    Woowe hongera sana dada....nimependa anavorefer vizuri kwenye sheria na profession yake....all the Best dear in your brilliant initiative.....

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kwa maelezo. Allah akuongoze ufanikiwe. Sasa jihusishe na Ujumbe wake aliyetuumba. Kuna baraka tele. Wewe ni shujaa na una subira kweli. Ongezea imaan na ibadah na tabia njema utafikia daraja ya Juu in sha Allah, hadi uwafanye kina dada wawe na Meli zao wenyewe. Bi khadija alikuwa mfanyibiashara wa kimataifa.

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op 4 ปีที่แล้ว +6

    Mabaharia wa kiume wana nyege nyingi kwa sababu ya kukaa muda mrefu Baharini na kula samaki kwa wingi, nafikiri hautaki kuolewa kwa sababu ya kutoa sadaka kuma na ushibe mboro vizuri, ni kama mfano wa kumueka mfungwa mmoja wa kike kwenye jela ya wanaume, NINI ITATOKEA?

  • @jeninunu9177
    @jeninunu9177 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana binti, Mungu akubariki.Nakutakia heri na mafanikio mema. umefungua mlango wanawake duniani kukufuaka

  • @omarnjoroge3977
    @omarnjoroge3977 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera,mfano mzuri wa kuigwa.Endeleahivyo,usikate tamaa.Mungu akubariki.

  • @salimsalim8421
    @salimsalim8421 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah, hongera mwenyezi mungu atakuwe zesha tuu, kila anae tafuta lazima mitihani, usife moyo wala usijali watu wanao kuangusha mwenyezi mungu yuko tuu

  • @am12ghh37
    @am12ghh37 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabarakallah mungu akubarikiye na job yakoo

  • @marylutengano1555
    @marylutengano1555 4 ปีที่แล้ว +1

    Hata Mimi ni baharia mstaafu ila sikusomea ubaharia kabisa kwakweli Ile kazi ni hatari Sana si ya kitoto

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 4 ปีที่แล้ว +10

    Yaani unaweza ukasoma kwa bidii lkn kwenye kupata kaz ndo shida unaweza ukazalilika mpaka mtu ujute. Pole sana dada kwa ulopitia

    • @jumaaman6260
      @jumaaman6260 4 ปีที่แล้ว

      Uzembe tu. Kazi zipo Sana.

    • @irenemkoka7369
      @irenemkoka7369 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jumaaman6260 kazi zipo wapi juma mabaharia wanawake wengi kazi hakuna leteni meli

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 4 ปีที่แล้ว

    Wow Congrats good gal, you did wonders in the male masculinity industry

  • @mahijamasukuzi9246
    @mahijamasukuzi9246 4 ปีที่แล้ว +23

    Kwaiyo aolewe kazi asifanye,wanaume wenyewe hawa wamanyanyaso

  • @dionsangoa1428
    @dionsangoa1428 4 ปีที่แล้ว +37

    anaesoma coment kama mimi aje huku 😂😂😂😂😂😂

    • @kassimjumamohammed4580
      @kassimjumamohammed4580 4 ปีที่แล้ว +1

      Mm hp mwnzako😂😂😂

    • @dionsangoa1428
      @dionsangoa1428 4 ปีที่แล้ว

      Kassim Juma Mohammed @ase unakunywa bia aina gani waambie wakupe mbili huku tunaendelea kusoma coment🤣🤣🤣

    • @ali2lovely73
      @ali2lovely73 4 ปีที่แล้ว

      Dada unatuchanganya ongea lungha moja ay ay nyingi hazieleweki ongea kiswahili tukufahamu english is not ur language talk to ur local language so we can understand u sister

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera dd kwa ukakamavu wa maisha wala usiwali mahasidi.ALLAH yuko nawe🤲🤲🤲🇰🇪

  • @mariangowi8019
    @mariangowi8019 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana sana, hii NGO itasaidia sana na pesa utapata huku ndani hata kama ni kidogo utapasua tu. Sijui nikupateje nami nikuunge mkono

  • @twalibusaidi5281
    @twalibusaidi5281 4 ปีที่แล้ว +7

    hongera dada mpaka kieleweke.

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 4 ปีที่แล้ว +5

    Strong woman ..💪🙌

  • @jumakhamis7855
    @jumakhamis7855 2 ปีที่แล้ว

    Thank you so much my dear Captain.

  • @azzaalmaamry5817
    @azzaalmaamry5817 4 ปีที่แล้ว

    Allah akujaalie kheri habibty na kazi yako ila ukipata rizik uolewe tu

  • @soudmarhoun1350
    @soudmarhoun1350 4 ปีที่แล้ว

    MB zangu hazitoshi kuskiliza maelezo yake nataka nimuoe tuzae watoto wazuri kama yeye MashaAllah 😘

  • @michaelbaruku1700
    @michaelbaruku1700 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu hamtupi mja wake, songa mbele, Mungu azidi kukutunzs.

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 2 ปีที่แล้ว

    Nakufaham sana,pole sana,no one perfect

  • @jumahory3069
    @jumahory3069 4 ปีที่แล้ว +9

    umeva vizuri mno mashallah nimevutiwamno nahiyo ijabu tofauti waschana wengine yy

    • @allykutenga2862
      @allykutenga2862 4 ปีที่แล้ว +2

      Juma Hory;wacha hiyo hijab yy mwenyewe hata angevaa gunia ni hatr tupu.

    • @agiasaidi5294
      @agiasaidi5294 4 ปีที่แล้ว

      MashaAllah

    • @iam_pacofx
      @iam_pacofx 4 ปีที่แล้ว

      Ukienda Arabuni utatamani wangap ndugu yangu😃😃

  • @hajivuai3454
    @hajivuai3454 4 ปีที่แล้ว +1

    safi Officer ndo mambo ya kzi kazi zetu zinachangamoto nyingi hata madam Regina analijua hilo ,ila pambana kama vipi badilisha fild wende Angani huko naona kunamata zaidi .DMI hapo ni ubabaishaji tu na kupenda hela

  • @kimzirbawazir6680
    @kimzirbawazir6680 4 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH MAAK KEEP GOING THE FUTURE IS BRIGHT

  • @abdullazizomar4073
    @abdullazizomar4073 2 ปีที่แล้ว

    Dah uyu Dada ameniinspire sana vipi ,nawez kumpta kuongea nae mm Niko kwenye hyo crrier

  • @mohamedal-habsi.8778
    @mohamedal-habsi.8778 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana..
    Na pia Hongera sana

  • @Rashidmhedhery
    @Rashidmhedhery 4 ปีที่แล้ว +5

    Haeleweki anazungumza nini! Ni upuuzi mtupu, anachanganya maneno, ovyooooooooooo!

  • @edgermtitu3029
    @edgermtitu3029 4 ปีที่แล้ว +1

    Mhh hongera kwakuthubutu

  • @lizp6826
    @lizp6826 4 ปีที่แล้ว +15

    Sasa Milardi mbona hii habari iko ovyo, hamna maelezo huyo ni nani na anafanya nini! habari gani haina maelezo!, uki upload video ..andikeni chini maelezo brielfy!

    • @jennytugara9470
      @jennytugara9470 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante Kaka Mimi mwenyewe niko njia panda

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana Dada kwa ujasiri

  • @vairasiv4228
    @vairasiv4228 4 ปีที่แล้ว +1

    mashallah.....naftis

  • @Roobkii_Gaalkacyo
    @Roobkii_Gaalkacyo 3 ปีที่แล้ว

    Congratulations my sisters keep up

  • @christinatemba2000
    @christinatemba2000 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana uko vizuri

  • @saumumussa3208
    @saumumussa3208 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh hongera kwa kupambana

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu binti amenifurahisha sana kwa ushujaa wake

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @akidasalim3859
    @akidasalim3859 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole na Hongera

  • @mjombamjomba1887
    @mjombamjomba1887 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah ila Mungu tu waisome number

  • @mohammedally977
    @mohammedally977 4 ปีที่แล้ว

    Allah akuongoze kazi zengine c zakike

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa kujielimisha ila kumbuka ndowa ni muhimu kwa kila mtu anaefikia umri uofisa wako usiwe ni kikwazo cha kuto kuolewa ndowa ni muhimu na ukimpata wa kukuowa usisite na matokeo utayaona. Fikiria na utafakari wewe ni mfano wa wanawake wengine .

  • @jamesthomas390jj
    @jamesthomas390jj 4 ปีที่แล้ว +4

    We Millard umeanza kuchoka. Sasa huyu kwani ni nani? Ghafla tu baharia aeleza mazito hata hatujui ni wa wapi

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว +5

    Good jobs my sister message from USA nimefika marekani sababu ya stowaway

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    Dada pambana Sasa tunaye Rais Mama. Msiogope.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว +9

    Dada kawasemee kwa baba lao

  • @khadijafakih4518
    @khadijafakih4518 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaombe kazi azam marine

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว +11

    Superwomen 💪💪💪💪

  • @kasimugullum5862
    @kasimugullum5862 4 ปีที่แล้ว +1

    Sawa lkn sasa muda umefika furaha zaidi katika maishayako itakamilishwa na ndoa usikatae tena kuolewa,pia usibabaike sana mie nipotayari kukustiri.

  • @jumadena9150
    @jumadena9150 4 ปีที่แล้ว

    Congratulations sister

  • @hasnohas1514
    @hasnohas1514 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dada

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 4 ปีที่แล้ว +2

    Haki yako itatoka chozi la alodhulumiwa haraka Allah analipokea haraka mungu atakulipa. Utakuja Kukumbuka. Wakati haki yako italipwa

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 4 ปีที่แล้ว +2

    Alafu watu wanajihita mabaharia wa ngono. Acheni utani bwana. Heshimuni majina ya watu

  • @mohammedseif2991
    @mohammedseif2991 4 ปีที่แล้ว

    Bora tu uolewe na uendelee na kazi yako

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 4 ปีที่แล้ว +15

    Anayo yaongelea ata sielewi, ngoja niwaachie wenyew

    • @richardkashinje1782
      @richardkashinje1782 4 ปีที่แล้ว

      Safi dada

    • @stanslausmwasumbi4236
      @stanslausmwasumbi4236 4 ปีที่แล้ว +1

      Ukiona ivo ujue anacho kiongea si cha level yako we jikatae tu

    • @hisanmwakijungu10
      @hisanmwakijungu10 4 ปีที่แล้ว

      @@stanslausmwasumbi4236 tofauti yako na zuchu ni sauti tu

    • @stanslausmwasumbi4236
      @stanslausmwasumbi4236 4 ปีที่แล้ว

      Jina linaendana na tabia yako kumbe unatoa hisani ya kijungu kajipambanulie mbele

    • @mariamshabban2650
      @mariamshabban2650 4 ปีที่แล้ว +3

      @@AliAli-rx6wu ww mbona matusi yote akaolewe utamuowa ww jifunze kueshimu wanawake matuc co dili

  • @saalimmohammed3256
    @saalimmohammed3256 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante ndg yng kwa misimamo yako 👏, af waambie kwamba hizi rangi za dhahabu hazimshobokei m2,wanashoboka wao wenyewe.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +15

    et
    kuolewa wakat nına first class
    kwanza umeambiwa wanaolewa wana 20 class
    hii n upungufu wa IQ na ushamba wa malsha tu
    jua kuwa kuna wanawake wako majuu na wameolewa wako n wanaume zao
    na wanaendelea na kaz zao za pilotting ktk makampun makubwa exile ( nje za nchi) huku!
    Halaf kiingereza kenyewe n papatu papatu
    ongeen kıswahılı humu kuna walimu wa lugha!

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 4 ปีที่แล้ว +1

      Tulia wewe kuoelewa nini kwani

    • @dianaferdinand7546
      @dianaferdinand7546 4 ปีที่แล้ว

      Tuliza wewe kuolewa mafi ya kuku. Olewa wewe

    • @saimonmanyerezi7169
      @saimonmanyerezi7169 4 ปีที่แล้ว

      Unaugomvi naye kwani ,kaulizwa na mwandishi wa Habari,ulitaka akae kimya?.Daah ubinadamu bhana shiidah kweli kweli.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @makamefaki3689
    @makamefaki3689 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii trauma sijui magelematic sijui nini disorder anaugua kila mtu au wanaugua matajiri tu na wanaojua kingereza tu!

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 4 ปีที่แล้ว +4

    Africa bado hawaitambui vizuri ubaharia kwa Wanawake nakushauri apply kazi Canada, na huku El Salvador wapo wengi na wanathaminika*

  • @henryreubenruhangaza8912
    @henryreubenruhangaza8912 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @rahmssalum3163
    @rahmssalum3163 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @godlovemasamakibatandu2092
    @godlovemasamakibatandu2092 4 ปีที่แล้ว +1

    Huwezi mnyanyua boss kwenye kiti,unaona boss naomba kama ikikupendeza unipishe nifanye kazi,huyu dada ni mtata sana hta kwa maelezo yake

    • @mukrimkhamis678
      @mukrimkhamis678 4 ปีที่แล้ว +1

      ikiwa bos ni mstaarabu hakuna kinachoharibika

  • @abelmagile8276
    @abelmagile8276 4 ปีที่แล้ว +3

    Njoo nikuoe mm mwenye natafuta mke wa kuoa jasiri kama ww, it's very beautiful girl!!!!!!

    • @alihaji7201
      @alihaji7201 4 ปีที่แล้ว

      Mjubaaaa huyo humuwezi katuuuu

  • @bakaridastani2673
    @bakaridastani2673 4 ปีที่แล้ว

    Hongera.vipi kama atatokea kaitamani kazi yako.vp utamsaidiaje?

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 4 ปีที่แล้ว +6

    Bahari ishamdatisha anaongea maneno ya kihuni tu

  • @AliOmar-bx2oz
    @AliOmar-bx2oz 4 ปีที่แล้ว +9

    Kiwango chako dada yangu ni kikubwa, huku nchi za wazungu watu wengi wana mindset kama zako kwamba nikitaka kitu fulani cha maendeleo lazima nikipate.
    Sasa unapata comments nzuri lakini nyingi za kijinga. Wengi wao hata baiskeli hawajui kuendesha sembuse kuendesha meli kubwa.

  • @ibrahimmssa2453
    @ibrahimmssa2453 4 ปีที่แล้ว +4

    tatizo unaongea halafu haueleweki,maliza masomo ukipata kazi uolewe,Dada kama nimwisilam kweli umefikia umri basi uolewe Dada.

    • @lion_land_safaris
      @lion_land_safaris 4 ปีที่แล้ว

      Sema mimi sijaelewa sio dada hueleweki na pia jifunze kuwa na "Dhana Njema" kama Muislamu kweli.

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว

      Kaolewe wewe fala.

    • @ussiali1100
      @ussiali1100 4 ปีที่แล้ว

      Uislamu haukuja kumgandamiza mwanamke umekuja kumuokoa na yy ameokolewa wacha afanye alitakalo wajinga nyie

  • @seifmohamed836
    @seifmohamed836 3 ปีที่แล้ว

    nigekuwa natumia M.B nigeodowa zaman sema natumia wi-fi ndio mana nimemaliza tu

  • @Itarusii
    @Itarusii 4 ปีที่แล้ว +5

    Pole. Dunia changamoto. Ila ongea lugha moja!

    • @kyaro5945
      @kyaro5945 4 ปีที่แล้ว

      She is bright gal. mimi lecturer i heard her she is great gal. acheni us.enge

    • @khadijacharles2433
      @khadijacharles2433 4 ปีที่แล้ว +1

      Inakuuma kwani

  • @masharubundevu3765
    @masharubundevu3765 4 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo umemkatalia Bosi ndo sbb kubwa hp, kwa sbb mabosi ilo wakuajiri lzm wskutake kingono huo ndo ukweli

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 ปีที่แล้ว +3

    ...SALUTE’ MA SEA FELLAS TUPO PAMOJA...!
    DEEP SEA si MCHEZO’ Sio wanajiita mabaharia’ wakati hata BOZEN DEKI hawaijui...!

  • @alihaji7201
    @alihaji7201 4 ปีที่แล้ว +4

    At sijui anaongelea Nini aaaf annaonekaa mjubaaa balaaaaaaaa uolewe hukooooo

    • @alihaji7201
      @alihaji7201 4 ปีที่แล้ว

      @@ussiali1100 Sina choyo kw maana mm Niko na kazi hiyo hiyo port rashidia Dubai as ktk tag

    • @mligosandrah7851
      @mligosandrah7851 4 ปีที่แล้ว

      @@alihaji7201 Posta yenyewe hakujui ukimtajia Rashidia ndio utamvuruga hata hajui n train n redline au greeline.Nimecheka hata mm sijamulewa kabisa anazungumzia nn

    • @alihaji7201
      @alihaji7201 4 ปีที่แล้ว

      @@mligosandrah7851 mtihan kw kwl

  • @masharubundevu3765
    @masharubundevu3765 4 ปีที่แล้ว

    Hawana sbb wanakitaka kingono tu hao msimamo huohuo usikibali kufunuliwa, Mungu ndo atowae

  • @dulasaid2581
    @dulasaid2581 4 ปีที่แล้ว +5

    Dada unaporoja sana hufahamiki nanda ukaolewe

    • @africa7479
      @africa7479 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata akiolewa taachika baada ya wiki, we unamuonaje anaonekana jeuri

    • @ashrafhashimu7261
      @ashrafhashimu7261 4 ปีที่แล้ว

      Anasema kuolewa wakati amepoteza miaka minne masomoni ni Bullshit😂😂😂
      Daah hajui kama kuolewa ni bahati

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 4 ปีที่แล้ว

    Una sura nzuri lakini maelezo yako hayaendani namweonekano wako

  • @hashemmlindwa2485
    @hashemmlindwa2485 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe acha kuchafua, vitu unatoka kwenye maada, unasema hakuna wa class one tz, nyie mabaharia mnao pitia meli za zanzibar, hebu tembea kidogo, muone

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo nawewe ni mrembo sana ulimkatalia boss mzigo😂😂

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 4 ปีที่แล้ว +1

    Wangapi hatujaelewa jamani

  • @Kidotii
    @Kidotii 4 ปีที่แล้ว +1

    Go, go, girl wewe ni malkia wa nguvu!

  • @fatmaabdallah8743
    @fatmaabdallah8743 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa mtazamo wangu huyu dada hayuko sawa anahitaji cancelling wamsaidie ana vitu kichwani vinamsumbua wawe karibu yake sana

    • @AliOmar-bx2oz
      @AliOmar-bx2oz 4 ปีที่แล้ว +6

      Wivu unakusumbua jiangalie unaupungufu wa brain wewe Fatma Abdalah. Huyu baharia ni surviver. Ubaharia ni mgumu unafanya mwanamke anakuwa strong kama mwanamme, ndio maana unamwona yuko tofauti.

    • @fatmaabdallah8743
      @fatmaabdallah8743 4 ปีที่แล้ว

      @@AliOmar-bx2oz ndo kwa maana umeniona nimenyamaza nimekuachia wewe dada mwingine umsupport dada mwenzio. Hapa hatuko kwenye masuala ya kusupotiana na mimi sijampinga ila namsaidia zaidi kwa kuwa watu wenye stress huwa wanaishia pabaya ndo maana nawaelekeza ndugu zao wamtafutie msaada zaidi kwanza wamfute manyanyaso aloyapatq ayasahau ndo maana ya cancelling! Sasa nani kilaza kati yetu manake hata maana ya cancelling hujui

    • @abdulrahmanmkanga4952
      @abdulrahmanmkanga4952 4 ปีที่แล้ว

      @@dilshadmurtaza6871 Naomba nikushaur k2 My sster, Ni vyema ukatafta m2 wa kukustir kwanza,, kaz haizuii m2 kutokuolewa, hifadh uislam wako kisha endelea na mamb mengne, unapo tafta maisha, angalia pande zote mbili, akhera na dunian, cz kuna Maisha baada ya Dunia, nakutakia heri ndg yng.. tafta stara mana umri wako na shakhswiya yako ni ya kuolewa ,msichana mzur, mrembo, Una vutia Kwa kila akutazamae, una taswira ya kiislam, uschukie kuolewa Kwa ajili ya kaz tafta unae ona mnaweza kuendana ktk malengo yako na Allah atakufanyia wepec inshaallah, madam2 hautoki ktk mipaka ya kumtii mola wako.. +971..

    • @fatmaabdallah8743
      @fatmaabdallah8743 4 ปีที่แล้ว

      @@dilshadmurtaza6871 nakushauri kitu km utanisikiliza sawa hukunisikiliza pia ni hiyari yako hiyo lugha unayoenda nayo nawe bado ni kijana mdogo bado una future mbele sio nzuri naomba urekebishe kidogo mwanangu utafika mbali zaidi ya unavyotarajia. Lugha nzuri na ya unyenyekevu kwa wakubwa na wadogo ni silaha tosha kabisa. Nakuita mwanangu kwa sababu mi mtu mzima na mwanangu wa kwanza ana miaka 36 na wa mwisho ana miaka 29 sasa sijui wewe una mingapi. Huo ni ushauri wangu tu. Kumwita mtu kilaza sijui unamaanisha nini? Sababu watu wamesoma kuliko wewe na wanaheshimu watu

    • @sajulanda7677
      @sajulanda7677 4 ปีที่แล้ว +3

      @@dilshadmurtaza6871 Hongera xana.Mambo unayoongelea ni kwel na sio kwa wanawake pekee.Nilijoin DMI 2015 and I was taking marine Engineering na nilipata shida sana, mizunguko mingi wanasumbua sana mara hii mara lile..Mpaka nlivunjika moyo en then I changed the course due to those misleadingness.Iam also from Rocky city.May Allah guide you in that way of trying to help other seawoman.

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 ปีที่แล้ว +5

    Eti unatakiwa uolewe (bulshit)sijuhi watu wanafikir kuolewa ni nini. Pole sana my dear ndo changamoto za kazi.

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว

      Alexandrina Domaino ku
      kuolewa kwa mwanamke n lazma na kuoa kwa mwanaume n lazma na
      principle inasema hiv :ww kama hujaolewa / kuoa bac bado hujatulia
      kuoa /kuolewa hakumzui mtu kutokufanya maendeleo yake icpokuwa ufinyu wa uelewaa na kutotembea ndio mnaona kama ndoa n kikwazo cha mawndeleo
      ndoa n chachu ya maendeleoo kamahhujui

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว

      Wanafikiria backwards so stupid.

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 ปีที่แล้ว

    Samahan lkn dada ww ni baaria sawa jee uliwai kuzamia au na ilikuaje ila mm sjui mambo ya ubaalia

  • @Worldunite
    @Worldunite 4 ปีที่แล้ว

    Wewe huna haja ya kuelezea qualifications zako, cha msingi wewe use sauti kwa watu wote wanaopitia majanga kama uliyopotia wewe, sbb km ukirefer qualification zako,wako ambao hawsna, jee na hao wataongea nini??. Ila pole sana kwa hayo majanga, wewe mtangulize mungu na upambane

  • @hamadkapindya709
    @hamadkapindya709 4 ปีที่แล้ว

    Ongea ueleweke viingereza vingi chagua kiswahili au kimombo
    Unaboa

  • @fatumaally3266
    @fatumaally3266 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakweli amepanic

  • @yusoboy_tz
    @yusoboy_tz 4 ปีที่แล้ว

    New port new wife 😂😂😂

  • @mufid707
    @mufid707 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 ปีที่แล้ว +1

    Maelezo hayafahamiki.
    Ila najua kapsta changamoto katika maisha katika kutafuta maisha.
    Ujue uislam wako Allah atakusaidia.
    Ameen.

  • @zuberimshinda5995
    @zuberimshinda5995 4 ปีที่แล้ว

    ayohujatumia taaluma yako vizuri ungemuongoza ili ajielezee vizuri

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 ปีที่แล้ว

    A naongea huyyuu

  • @Amneamne-qi2du
    @Amneamne-qi2du 4 ปีที่แล้ว

    Super Woman

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 4 ปีที่แล้ว

    Vizuri

  • @kassimali7322
    @kassimali7322 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana sister

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 3 ปีที่แล้ว

    Sasa ndiyo unatupigisha story au aujui tunatumia mb kimombo mingi na unajua uko tz wasukuma watakuelewa kweli

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 4 ปีที่แล้ว

    Dada shufaa haifai kumwambia mwenzio hivyo leo yeye kesho wewe mwenzio anapofikwa na jambo baya lolote usiwe mbele kuchangia kujibu kitu kibaya muuombee duwa afanikiewe sio ku comment maneno sio mazuri

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 4 ปีที่แล้ว +1

    Walikuwa sahihi kusema akaolewe, ila kwa ujuaji huu huyo mume nae ajipange kweli kweli😎