MBUNGE BWEGE: "Mnaua, Mnateka tu, Mlitaka Kuninunua nikakataa"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • MBUNGE BWEGE: "Mnaua, Mnateka tu, Mlitaka Kuninunua nikakataa"
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 342

  • @zakayomasingoti9238
    @zakayomasingoti9238 6 หลายเดือนก่อน +9

    Anayetizama ii 2024 km mimi gonga like twende sawa.

  • @emanuelmrema3970
    @emanuelmrema3970 4 ปีที่แล้ว +164

    Anaemsikiliza huku akisoma koment agonge like hapa please😂😂

  • @sospetermathias4253
    @sospetermathias4253 5 ปีที่แล้ว +185

    Kama unamukubali bwege gonga like hapa

  • @flavian-augustino.pangah
    @flavian-augustino.pangah 5 ปีที่แล้ว +87

    Nakupenda sana mbunge bwege Mungu akujaalie maisha marefu

  • @samsonmotatiro2120
    @samsonmotatiro2120 3 ปีที่แล้ว +4

    Mheshimiwa wangu huyu Ila me niko 🇰🇪 but napenda ajenda zake sana big up mheshimiwa

  • @seifnjelela9363
    @seifnjelela9363 5 ปีที่แล้ว +32

    Muheshimiwa bwege waambie wasikie sisi 2poo nyuma yakoo

  • @kitwanaswalehe8369
    @kitwanaswalehe8369 5 ปีที่แล้ว +45

    AFRICA ukizungumza ukweli unaitwa MCHOCHEZI.
    Kikulacho kinguoni mwako.

  • @suzanampanda9767
    @suzanampanda9767 5 ปีที่แล้ว +58

    😂😂😂😂😂 Bwege umemkomesha spika lakini nilifwatwa japo kakuziba mdomo kwa kutumia Cheo.

  • @francolazaro8646
    @francolazaro8646 5 ปีที่แล้ว +55

    Bwege woyeeeeeee 🤘🏿🇹🇿

  • @geofreybernard7313
    @geofreybernard7313 5 ปีที่แล้ว +115

    Ujumbe Umefika Bwege Wewe Kiboko

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 5 ปีที่แล้ว +31

    Tunae kusikiliza tunaakili zetu tunafaham kwnn spika anachukia wala usijar walitaka kukununua

  • @stiveerasto1683
    @stiveerasto1683 5 ปีที่แล้ว +30

    Wangepatikana wabunge wengine 11 kama bwege. Bunge lingenoga sana.

  • @friedrichmboya4198
    @friedrichmboya4198 5 ปีที่แล้ว +23

    Bwege....semaaaa.....!!!!!
    Semaaaa....usiogope...
    Semaaaa....

  • @leonardkiprotich3217
    @leonardkiprotich3217 3 ปีที่แล้ว +5

    Unaye skia ukisoma comment na wee ni mkenya supporters za hustler urushe like hapa

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mbunge ndo mwakilishi halisi wa wananchi wengne ni wawakilishi wa vyama

  • @issambamba6955
    @issambamba6955 5 ปีที่แล้ว +56

    Bwege oyeeeeeeeeee🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋

  • @getrudecharles6212
    @getrudecharles6212 3 ปีที่แล้ว

    Waliona mbunge bwege anampenda kukaa nyuma bunguni gongeni like tano hapa

  • @exupertarimo6646
    @exupertarimo6646 3 ปีที่แล้ว +1

    Bunge la magu lakera kwa kulicheki kwa online na sio kwa Tv live kama zaman. Like kama nawe lakukera

  • @frednyoro3659
    @frednyoro3659 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakenya ,,,we olskia wapi??
    Gongeni like mkipita

  • @ibraimohere6405
    @ibraimohere6405 5 ปีที่แล้ว +16

    "lkn alifatwa"
    Ila ndugai kwa kuvunga unahatari Sana......
    "Itakupa tabu sana"(ndugai unamanisha NN???)(atatekwa au kupigwa risasi nn Mana msivyotaka kuambiwaga ukweli Basi aibu aibu aibu..........

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว +1

      Dawa yao iko jikoni soon watainywa kwa uchungu mkali sanaa

  • @clementgeorge2483
    @clementgeorge2483 5 ปีที่แล้ว +32

    Bwege kweli wewe ni noma

  • @barikielmboya8058
    @barikielmboya8058 5 ปีที่แล้ว +42

    Sema ukweli mze baba hawakuelewii Tuu

  • @abrahammangendimcharo3027
    @abrahammangendimcharo3027 5 ปีที่แล้ว +47

    Hivi kweli hii haki! Kodi tunalipishwa penda usipende,hata familia zetu zinakosa chakula kisha FEDHA HIZO KUNUNULIA WABUNGE KWELIIII??.
    AHSANTE MH BUNGALA MUNGU AKUPE MAISHA. UBUNGE NI HAKI YAKO. Watakao kunyima kura hao ni mabwege!!!

    • @khadijamillanzi5273
      @khadijamillanzi5273 4 ปีที่แล้ว

      Ulikuwepo hao hawana sera ndo wanasema wananunuliwa kwa luwasa wao walimnunua achen usenge

    • @amanismithk
      @amanismithk 3 ปีที่แล้ว

      Hili lichama litakufa siku moja si mbali kwa jina la Yesu !!

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 5 ปีที่แล้ว +52

    Bwege anasema vema sana

  • @kassimdiscover7730
    @kassimdiscover7730 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaaa noma balaaaaa mbavu zangu na saluti kwako Bwege

  • @erad-tv5001
    @erad-tv5001 5 ปีที่แล้ว +16

    Walinifuataaaaa Ahaaaaaaaa yaani jamaa anachekesha balaa

  • @raji3432
    @raji3432 5 ปีที่แล้ว +13

    Kumbe wananunua wabunge!

    • @aludomakori4230
      @aludomakori4230 3 ปีที่แล้ว

      Kila vita Kuna mbinu zake,hakununuliwa lkn Leo wako wapi??

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 5 ปีที่แล้ว +70

    Ukweli mchungu spika vumiliya ujuwe mengi ya ukweli

  • @devybernardlaizer7713
    @devybernardlaizer7713 5 ปีที่แล้ว +37

    Mbona ndugai unaogopaaas

  • @hassanmasuke5078
    @hassanmasuke5078 5 ปีที่แล้ว +7

    Thanks for the detailed message Bwege.. 🤔

  • @mwishehemwelekwa6837
    @mwishehemwelekwa6837 3 ปีที่แล้ว

    Mh. BWEGE ,bunge na mimi tumekumiss sanaaa

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 ปีที่แล้ว +26

    Mh. Bwege wachane hao wa ndio mzee na serikali yao

  • @redmondmulilo4852
    @redmondmulilo4852 5 ปีที่แล้ว +91

    Ndugayi vipi naww ulikuweko kwenye kutaka kumununua nini mbona unamktaza kwakumtisha usimtishe tulia sindano ingie upate dawa

  • @ayububandamo7698
    @ayububandamo7698 5 ปีที่แล้ว +4

    mungu atulinde kwani halimbaya mtaaani

  • @kassimushadow1468
    @kassimushadow1468 5 หลายเดือนก่อน

    Nipo hapa 2024

  • @ramadhanihassani256
    @ramadhanihassani256 5 ปีที่แล้ว +6

    mzee Huyuuu anachekesha saana

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 3 ปีที่แล้ว

    Bora ungekubali kununuliwa Leo uko wapi?

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 2 ปีที่แล้ว +1

    Nampendaga bwege mm

  • @samsondecoman983
    @samsondecoman983 5 ปีที่แล้ว +78

    kajitahidi kumziba mdomo lakini tume muelewa, huyu ata mbele zamungu, kauli yake ita wajiaa.

  • @daudiwiston5485
    @daudiwiston5485 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa asikose kura mana anamchango mkubwa sana kwenye bunge

  • @simonkasongi1460
    @simonkasongi1460 5 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana mzee mwenzangu

  • @officialchox3580
    @officialchox3580 5 ปีที่แล้ว +7

    Bwege yupo sahihi

  • @cosmasdaud3463
    @cosmasdaud3463 5 ปีที่แล้ว +2

    Big up bwege, hii spika mbovu inakoromakoroma kwa 📻 ngoja niing'oe kwa 📻 station

  • @mazikufabian2301
    @mazikufabian2301 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante bwege ni mjanja sana sio mnafiki

  • @ngabolipurkeilaizer7002
    @ngabolipurkeilaizer7002 3 ปีที่แล้ว

    Hisotoria imebaki mwenye hataki! Ajinyonge maaan ukwelj utabaki milele

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela4913 5 ปีที่แล้ว +5

    Spika ji2lize ujuwe vingi.....ww acha kudumaza inchi alaaa!!!

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 5 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣🤣🤣Dah natamani Angekua mbunge wa Jimbo langu

  • @mikelazaro4479
    @mikelazaro4479 5 ปีที่แล้ว +49

    Ukweli unauma bwana wewe...!!!

  • @ramadhanpasco9236
    @ramadhanpasco9236 4 ปีที่แล้ว +2

    huyoo xiyooo mjingaa xi ukwel,,, kaxema alifatwa mxiwatixhee Yamanawtokeeeaaaa

  • @humphrehnkya9370
    @humphrehnkya9370 3 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa Bwege hatari ana majibu ya kweli

  • @tomandjerrytv4327
    @tomandjerrytv4327 5 ปีที่แล้ว +5

    Jina lenyewe bwege

  • @phillipmsamire937
    @phillipmsamire937 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda watanzania wanavyoongea kiswahili fluently

  • @hamisichuma3270
    @hamisichuma3270 5 ปีที่แล้ว +2

    tatizo liko kwenye katiba ya Tanzania spika wabunge ilisitaiki achaguliwe na wabunge hekima na heshima kwa wabunge ingeonekana

  • @swaggerizedninjagoseprocom8523
    @swaggerizedninjagoseprocom8523 4 ปีที่แล้ว +3

    I love you

  • @chikumatangwa8314
    @chikumatangwa8314 5 ปีที่แล้ว +41

    na kweli wanauwa na wanateka ila kuna wajinga wapumbavu nchi hii bado wanawashangilia watu hao

  • @kiptoomorgan1746
    @kiptoomorgan1746 3 ปีที่แล้ว +1

    We had our own, his name was juma Boy juma, he was soo comical just as he is!

  • @alexaman9799
    @alexaman9799 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee noma xana anachekesha

  • @polkhalifah_
    @polkhalifah_ 3 ปีที่แล้ว

    Tunahitaji bwege Hapa kenya.....anatetea wanyonge kweli,

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 5 ปีที่แล้ว +52

    Mh Spika jikaze sio kwa ubaya,,ukweli uwekwe mezani

  • @salminiyussuf989
    @salminiyussuf989 5 ปีที่แล้ว +66

    Spika MTU anapoongea mwache aongee. Sio kumtishamtisha.
    Point' ni moja tu. Ukweli unabaki palepale kuwa kafuatwa. Ungemuacha afunguke.
    Ila Watanzania weny e akili tushajiongeza anamaanisha nini.

  • @mahmoudukusso4488
    @mahmoudukusso4488 5 ปีที่แล้ว +3

    sindano ndogo inayoshona makoti
    Bwegeeee

  • @RioIpo
    @RioIpo 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante Wajina wangu

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 4 ปีที่แล้ว +1

    Tuendelee mzee mwenzangu,hahahahaaaaaa!

  • @hardcoreunite4887
    @hardcoreunite4887 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwambaliiii...! Kidogooo😁😁😁😁

  • @salminiyussuf989
    @salminiyussuf989 5 ปีที่แล้ว +51

    Uyu spika nae huenda akawa kibaraka nn?!!!
    Kwan nn anakimbilia kufunika kombe?
    "LAKINI NILIFUATWA"!!!

  • @ramadhanihassani256
    @ramadhanihassani256 5 ปีที่แล้ว +1

    mzee bundala sio bwege nijina tu

  • @clementgeorge2483
    @clementgeorge2483 5 ปีที่แล้ว +54

    Unakwazwa na nini speaker tulia unywe dawa

    • @bettymassanja881
      @bettymassanja881 5 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo SPIKA MBOVU MBOVU, MBONA INAZUIA UKWELI USIWEKWE WAZI????. KWANZA WALA HATUITAKI KABISAAA, IMESHAOZA NA ITUPWE NA KUCHOMWA MOTO KABISAAA.

    • @fariduabdul3703
      @fariduabdul3703 3 ปีที่แล้ว

      Kwanini bwege angarao usipewe nafasi ata moja bungeni iri bunge rise na furaa kwani urikua na faraja

  • @lindatemu3465
    @lindatemu3465 5 ปีที่แล้ว +5

    Ukiingia kwenye 18 zangu utapata tabu sana
    Jikaze spika sio kwa ubaya

  • @maklinakasomo6311
    @maklinakasomo6311 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu si bwege tena namtafutia jina

  • @kisoukejothame210
    @kisoukejothame210 3 ปีที่แล้ว

    Daaaah huyu Mr Bwege,Sopowa!!!

  • @happyfiverickaldo4662
    @happyfiverickaldo4662 5 ปีที่แล้ว +6

    Ukweli unaumaa

  • @annaallex3996
    @annaallex3996 5 ปีที่แล้ว +5

    Sema baba

  • @gurishamkenga592
    @gurishamkenga592 3 ปีที่แล้ว

    Inshallah lakini nilifatwa
    duh et ukiingia kwenye 18 zangu who ar u by de way pambafuuu

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 5 ปีที่แล้ว +13

    Utekelezaji hakuna mipango kabao inapangwa

  • @deusgabri
    @deusgabri 5 ปีที่แล้ว +30

    Hivi maoni ya mbunge mpaka yawe kwenye mpango ....duu ndo spika Wa bunge huyo...yaani hakuna kitu hapo

  • @asherykambona9168
    @asherykambona9168 5 ปีที่แล้ว +1

    Hili bunge la kutishana tutafika kweli jmn

  • @dafamanula-qi5zl
    @dafamanula-qi5zl ปีที่แล้ว

    Namkubali bwege

  • @ayshahusseinmohamed5984
    @ayshahusseinmohamed5984 5 ปีที่แล้ว +16

    jamani wabunge mko wapi? mbona patupu ?

  • @selemankilawa1589
    @selemankilawa1589 5 ปีที่แล้ว +2

    walinifuataaa! Tz yangu: mm napita tu humu

  • @mikajohn1229
    @mikajohn1229 5 ปีที่แล้ว +7

    Wanaoshindwa kumwelewa bwege nawashangaa. Ameanza kumnukulu Baba Taifa. Hiyo mipango yote, kama hakuna uongozi bora, siasa safi, watu, na ardhi hakuna mipango hapo. Kwa hiyo akaanza kuelezea yanayotokea, na aliyoyaona, na kumpata yeye.

  • @saidramadhan5961
    @saidramadhan5961 4 ปีที่แล้ว

    Hili ndiyo bunge wanalo litaka mikwala mingi

  • @kallamujunior9395
    @kallamujunior9395 5 ปีที่แล้ว +3

    Unaweza kuona kama bwege kweli kumbe........

  • @abdullkassim9337
    @abdullkassim9337 5 ปีที่แล้ว

    mhahahahh siasa ya tanzania inachekesha sana wallahi...yani adi kwenye chombo cha serikali kuna uchama..mbunge akiongea ata kama jambo ni la msingi ila kwa kua kasema chadema bax halikubaliwi,na raisi ata akifanya jambo zuri bax kwa kua ni CCM bax hapongezwi,tuungane basiii kujenga taifa moja.hatuwez tukafika kwa aina hiyi..mungu ibarik AFRICA mungu tubariki TANZANIA

  • @richardlambert6644
    @richardlambert6644 5 ปีที่แล้ว

    Mungu anayaona haya yote jmn hatalipa tu

  • @consolatamaarufu58
    @consolatamaarufu58 5 ปีที่แล้ว +8

    waambie hao

  • @geofreymollel6973
    @geofreymollel6973 3 ปีที่แล้ว

    Kweli bungara ww ni shidaa unafaa sanaaa

  • @kirifuwiliam1061
    @kirifuwiliam1061 4 ปีที่แล้ว

    Mungu aku rinde

  • @lightcalvin2123
    @lightcalvin2123 5 ปีที่แล้ว +4

    mbn anamtisha

  • @nancynaaa6954
    @nancynaaa6954 5 ปีที่แล้ว +7

    Ahahahaaaaaaaa,waambie hao

  • @aokinsindi6948
    @aokinsindi6948 3 ปีที่แล้ว

    Na wanateka na kuua kweli kweli hawatanii chukua hadhari mapema,,

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 3 ปีที่แล้ว

    Tena haangalii mbele akisema yuko sure

  • @onesmosimon2355
    @onesmosimon2355 4 ปีที่แล้ว +2

    Duh! Mbona onaongea mambo nyeti sana alafu anapotoshwa kizungu duh! Tanzania yetu bola liende tu

  • @baltazarierro1575
    @baltazarierro1575 3 ปีที่แล้ว

    Tunataka wabunge Kama hawa

  • @mjumbetv6420
    @mjumbetv6420 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana namkubali bwege

  • @abuuothman612
    @abuuothman612 3 ปีที่แล้ว

    Tutakumis Sana mbabaaa dur

  • @kakabaraka1058
    @kakabaraka1058 3 ปีที่แล้ว

    naangalia trh 30 oct. 😢

  • @johnanyango9204
    @johnanyango9204 3 ปีที่แล้ว

    Wewe oolisikia wapi? Ooolisikia wapi? Mheshimiwa

  • @davidchungu1806
    @davidchungu1806 5 ปีที่แล้ว +7

    MIPANGO INAPANGWA MIIINGI ILA INAYOTEKELEZWA NI KUNUNUA WABUNGE NA MADIWANI HAHAHAHAAAA SERIKALI YA VIWANDA!!! SASA VIWANDAGANI VYAKUCHAKATA NYAMA ZA WABUNGE NA MADIWANI MNAOWANUNUA?!! HAHAHAAAA NIMECHEKASANA DUH

  • @jerasiuskaloza5062
    @jerasiuskaloza5062 3 ปีที่แล้ว

    Hyo ndoo bwege

  • @felixmwangomo9919
    @felixmwangomo9919 5 ปีที่แล้ว +7

    Tabu noma
    Tabu