MWENYEKITI APOTEA KIGOMA, ZITTO AKINUKISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 เม.ย. 2018
  • ZITTO KABWE - "Kama Mmemuua Mtuambie, Hatushindwi Vita"
    Mbunge wa jimbo la Kigoma, Zitto Kabwe, amesimama bungeni na kuchangia hoja yake juu ya mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Rais, Utumishi na utawala bora, inayoongozwa na waziri, George Mkuchika.
    lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii,
    subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 84

  • @adrianokagoma1976
    @adrianokagoma1976 4 ปีที่แล้ว +2

    sana broo 2nataka maendeleo ya mkoa wa kigoma

  • @methodneka2791
    @methodneka2791 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyuuu ndiye mwamiiiii wetuuuu wa kigoma wa sasa .......tuwakilishee vyema 2020 huna mpinzaniiii 100%

  • @getaromagaiwa7918
    @getaromagaiwa7918 5 ปีที่แล้ว +3

    Zitto nakukubali sana """wape shule hao wabunge wanaoshinda kwa mtutu wa BUNDUKI!!!!!!

  • @musayosia7655
    @musayosia7655 6 ปีที่แล้ว +4

    Dah umeongea kwa uchungu sana hadi nahisi uchungu mwenyewe!!!
    Hongera kwa kuwawakilisha vyema wananchi wako!!!

  • @eliphaziamon8794
    @eliphaziamon8794 6 ปีที่แล้ว +8

    Raisi wa kigoma oyeeeeeeeeeee

  • @charlesmataba6931
    @charlesmataba6931 5 ปีที่แล้ว +4

    ZITTO ZUBER KABWE,,,,,HAKIKA ALLAH NDIYE NGUVU YAKOO!

  • @shabanikibana4279
    @shabanikibana4279 6 ปีที่แล้ว +4

    Duu wewe ni kweli kiongoz wawatanzania Unawatetea mpaka viongozi wa ccm alafu ccm wenzake wamekaa kimyaa wanaogopa hongera zitto mungu akulinde na maadui

  • @daudimmachaba2650
    @daudimmachaba2650 6 ปีที่แล้ว +2

    Your leadership is highly appreciated by me, God bless u

  • @sillyvesterwilliam2535
    @sillyvesterwilliam2535 5 ปีที่แล้ว +1

    Very bright politician real appliciate

  • @danielmwakanyerenge9859
    @danielmwakanyerenge9859 6 ปีที่แล้ว +3

    daah! Big up brother

  • @alexsmalekani3874
    @alexsmalekani3874 3 ปีที่แล้ว

    Talented people 💙

  • @eliphaziamon8794
    @eliphaziamon8794 6 ปีที่แล้ว +4

    Zito minaona uwe mbunge wakigoma milele yan cijui nitakuwa kma wew lini unapoint bro za busara

  • @trgphonegeorge3832
    @trgphonegeorge3832 6 ปีที่แล้ว +4

    Hawa tusipokuwa ngangali kwa hali hii, tutatekwa hata mji mzima aisee!!

  • @busyladyfashion582
    @busyladyfashion582 5 ปีที่แล้ว +1

    Broo ni mkwŕi mpaka shida

  • @mimiliism
    @mimiliism 6 ปีที่แล้ว +2

    Yaan siku hizi Tanzania kama Tuko marekani watu wanauawa kama ndege

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 6 ปีที่แล้ว +2

    Ee mungu

  • @neemakobiro1799
    @neemakobiro1799 6 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @allahuakbarmuhammadrasulul9835
    @allahuakbarmuhammadrasulul9835 6 ปีที่แล้ว +2

    Nchi hii cjui inaelekea wp , Nchi imekuwa ya watu fulan na kuwalinda fulan hii nchi vip

  • @magembemwanamalundi6386
    @magembemwanamalundi6386 6 ปีที่แล้ว +2

    Facttttttttt

  • @dinahbalige5494
    @dinahbalige5494 6 ปีที่แล้ว +3

    Tusaidie baba

  • @tanzirujumaa1780
    @tanzirujumaa1780 6 ปีที่แล้ว +1

    zito una akiri sana sio kama hao watekaji

  • @hassansamata3666
    @hassansamata3666 6 ปีที่แล้ว +1

    UKO vizuri unaongea pwenti

  • @godfreymihumo7766
    @godfreymihumo7766 6 ปีที่แล้ว

    Big up mh. zitto

  • @geraldkbona5595
    @geraldkbona5595 6 ปีที่แล้ว +2

    fact

  • @jasonjastinmatandala3037
    @jasonjastinmatandala3037 6 ปีที่แล้ว +2

    hakika sio jambo jema serikali iliangalie hili

  • @dottogjacksno5342
    @dottogjacksno5342 4 ปีที่แล้ว

    Pamojasana

  • @osternmeru6240
    @osternmeru6240 6 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana MH .Zitto

  • @jimjam3242
    @jimjam3242 6 ปีที่แล้ว +1

    Yasikitisha kuna watu wala watu

  • @tembelejafari4132
    @tembelejafari4132 4 ปีที่แล้ว

    Zitto yuko wapi kwasasa

  • @charleskaflela5747
    @charleskaflela5747 6 ปีที่แล้ว +2

    Pole mnaotoa matusi make midomo hi huru ndugu hongereni

  • @charleskaflela5747
    @charleskaflela5747 6 ปีที่แล้ว +1

    Hiv mnalipwa kutukana msowajua!! Nini maana ya uhuru wa maoni mnaoupigania!!

    • @novakauki5560
      @novakauki5560 3 ปีที่แล้ว

      Jirani yangu jaman hana shida baba wawatu

  • @pantaleokulaya5308
    @pantaleokulaya5308 6 ปีที่แล้ว +1

    hamshindwi vita kifupi ?

  • @ramamtoy2196
    @ramamtoy2196 6 ปีที่แล้ว

    Ina Lilah

  • @emmanueldpaul9501
    @emmanueldpaul9501 6 ปีที่แล้ว +4

    Miongoni mwa wabunge wanaonivutia kuwa mbunge

    • @adamuhamisi8106
      @adamuhamisi8106 6 ปีที่แล้ว

      EMMANUEL DAUD duh we nawe uwe mbungee

    • @emmanueldpaul9501
      @emmanueldpaul9501 6 ปีที่แล้ว

      Mpumbavu huamini moyoni mwake kuwa hakuna mungu,Bali werevu huona na kuamini kuwa kuna mungu,kwa imani ulimwengu uliumbwa

  • @charlesmataba6931
    @charlesmataba6931 6 ปีที่แล้ว +1

    Mkuuuu una hoja baraaa

  • @lodriquelazaro5925
    @lodriquelazaro5925 5 ปีที่แล้ว

    wapige nondo baba

  • @nurdinsaleh1653
    @nurdinsaleh1653 6 ปีที่แล้ว +2

    tunakukubali kaka zitto

  • @emanuelbaliyanga2655
    @emanuelbaliyanga2655 6 ปีที่แล้ว

    Pamana kiume kijana..

  • @luhalanyati9353
    @luhalanyati9353 6 ปีที่แล้ว +1

    wambie wasikie ww ndo Rais wa kigoma kabsa

  • @mashakambugi6730
    @mashakambugi6730 6 ปีที่แล้ว +1

    Duu !!! Mwenyekiti kapotea??

  • @gadielsumary9073
    @gadielsumary9073 6 ปีที่แล้ว

    du!is this real!

  • @janethjackson5370
    @janethjackson5370 6 ปีที่แล้ว

    Liamsheni dude

  • @charleskaflela5747
    @charleskaflela5747 6 ปีที่แล้ว +1

    Kama hatua zishachukuliwa shida nn... 😀😀😀 siasa hizo

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima 6 ปีที่แล้ว

      Charles Kaflela, nguruwe pori ww, ngoja baba yko au mama yko apotee, shetan mweusi ww

    • @carboxyllicacid8356
      @carboxyllicacid8356 6 ปีที่แล้ว

      ww,nawe fala unachoongea hakina fact

    • @ashamwandu3781
      @ashamwandu3781 5 ปีที่แล้ว

      hatari

  • @kramsjunior4447
    @kramsjunior4447 4 ปีที่แล้ว

    Mbombo ng'afu

  • @ezraiamosiamosiezrai1321
    @ezraiamosiamosiezrai1321 6 ปีที่แล้ว

    saf san zitto

  • @awadhthabit8832
    @awadhthabit8832 6 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe awapotei wa upinzani tu hata wa ccm wanapotea ujifunze sasa zitto

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 6 ปีที่แล้ว

      Awadh Thabit kwani alipotea hata wa ccm ndio upinzani ukae kimnya

    • @awadhthabit8832
      @awadhthabit8832 6 ปีที่แล้ว

      Wanayo haki ya kusema ndio masnacwazir mkuu alimjibu mboye kwamba haya matukio hayapo kwa upinzan tu yapo nchi nzima mboye akagoma akasema wao ndio wanatekwa na kupiga tu hataki kusikia mambo mwngine ndio maana nimemwambia zitto kwamba kumbe wote wanatekwa

  • @frankmpinga3295
    @frankmpinga3295 6 ปีที่แล้ว

    2020
    Tafuta kazi nyingine ya kufanya

    • @augustinesinduhije5049
      @augustinesinduhije5049 6 ปีที่แล้ว +1

      Frank Mpinga wew ndo utamtoa? Acha ujinga wew sisi ndo tunachagua

    • @frankmpinga3295
      @frankmpinga3295 6 ปีที่แล้ว

      augustine sinduhije
      Matusi hayatakusaidia
      Najua huaamini na utajiuliza sana
      Omba uzima 2020
      Utajidharau kupoteza kura yako.
      Lakini jifunze kutumia lugha nzuri si matusi kwani hujui unae mtukana ni nani.
      Angalizo.
      Kwani mtandao wako huwezi kukuficha ulipo

    • @alinanusweedward3761
      @alinanusweedward3761 5 ปีที่แล้ว +1

      Acha kutisha who are you Mjinga kabisa ndio nyie mnateka watu fanya unachoweza kunifanya mimi hapa

    • @adinaniadam7314
      @adinaniadam7314 3 ปีที่แล้ว +1

      Naona brth umeinua mwilll akili umeacha kitandani pole

  • @masungakulwa6711
    @masungakulwa6711 6 ปีที่แล้ว +2

    eti kigoma kwanza. usilete ukanda bana. halafu ulisaidie jeshi la polisi na walio kuambia ameuwawa.

    • @claverynyanda7409
      @claverynyanda7409 6 ปีที่แล้ว +1

      Masunga Kulwa umetumwa.

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima 6 ปีที่แล้ว +2

      Masunga Kulwa, nguruwe mweusi ww

    • @mozejcs9160
      @mozejcs9160 6 ปีที่แล้ว

      Masunga Kulwa we mbwa kweli! Nyny tunawambie kila siku mmeajiliwa kukoment na kufende hata hata vitu vya kipuuz! Hv huyo angekuwa ndg yako hw u could feel mpuuz ww! Toa njaaa yako hapa mpumbavu ww

    • @janethjackson5370
      @janethjackson5370 6 ปีที่แล้ว

      Masunga Kulwa jinga la ukweli

    • @carboxyllicacid8356
      @carboxyllicacid8356 6 ปีที่แล้ว

      ww, nawe mjinga tu na ww hujui nn kamaanisha,,hv umeishia darasa la saba nn

  • @consolatamaarufu58
    @consolatamaarufu58 6 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏👏👏👏