Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
- Mwanga wa akili (intelligence) Sehemu ya sita (6),Kumbuka katika maisha ya mwanadamu ukiwa unashida ya kupumzisha mwili ni chanzo cha kuleta matatizo katika mwili wa Binadamu kama vile stress uchovu na kinga ya mwili wako.Kuendelea kufuatilia muendelezo wa mafundisho haya usikose jumapili ya wiki ijayo katika kipindi chako pendwa cha chomoza kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku clouds tv.
#ChomozaUpdate #Chomozamwangawaakili #Hatunajambodogo
Yaani Dr Ellie hauchoshi MashaAllah tabarakaAllah
Dr Ellie hongera shukran kwa elimu unayo tupa, nawakubali mno
Nimemuelewa kanifungua William mbasha Mimi nime barikiwa
Good
Sam na Jimmy tunaomba mtusaidie kitu kimoja. Sauti ni mdogo Sana kwenye hizi click kama Kuna uwezekano sauti ziwe zinaongwezwa kidogo.
YEAH KWELI SANA
Dr eli amebibea
Doctor Ellie you're blessed, we are getting your bless through this. May Allah fill your heart with joy of love to cherish always..
Dear God, i am so blessed to SUBSCRIBE this channel, i love you very much.
ur someone i like, GOD bless you Dr Elie
Ubarikiwe sana tena sana 💕💕💕🙏🏿🙏🏿
Brothers mnafanya vyema , lakini brother Jimmy tafuta namna nzuri ya kudicted muda , unamkeraga sana doctor sema hajakwambia tu.
Amen
Hey! Thank you for teaching us, but it's better to allow download button of videos on your TH-cam channel
Oooh Asante jmn
Genius
nashukuru kwa kipindi kizuri ,kinachotupa elimu kutuhusu sisi wenyewe.Naomba Dr.Elie aweke elimu kwenye audiobook na atuandike vitabu .Mungu aendelee kuwabariki wote...
Hongereni kwa huduma nzuri na jitihada zenu katika kuelimisha..ahadi yenu ya kutuletea kitabu cha Dr. Elie imefikia wapi?
Niajabu sana na mpenda sana uyo baba
Amen 🙏🏿 🙏🏿
Doctors yani nakosa usemi ubarikiwe sana
Amen🙏🙏💙💜👌
team chomoza...tuzidi kubarikiwa daima.
Huyu jamaa ni noma sana
Amina
Bjr Docteurs Elie en tous cas je vous suis bien aparture de U S A tues très interessant bravo 👏🏿👏🏿 napenda sana kindi chako uko très intelligent yani very smart
Je vous en prie, chère Nathalie.
Merci.
NAWAPENDA JAMANI
Safi sana mkirekodi.Dr Akiwa hayupo muweke Kirk kipindi chake.
Mda hautoshe kabisa.
God bless you too. 🙏🙏
#DrTumaini, nawafuatilia sana toka hapa india
Mbarikiwe sana watu wa MUNGU,
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👌👌
BE BLESSED DR. Elie
Tuko pamoja tuna fuatilia mafundisho yenu team chomoza💪
Huwa nakuelewa sana
Asante DR.Elie
shukrani Dr
Nakukubali Sana mzee... 👍👍Kutok usa apa.... Swali langu ni kwamba kwanini watu ss watu weusi tunashindwa ku invert vitu.....????
Karibu, ndugu!
Tunashindwa ku invent kwa sababu tuna tend to vent most of the time.
Doctor kuna ile kuamka kwenda kukojoa,je ni kuamka au kushtuka?
We we ndiye mentor wangu Kwenye maisha,napenda kukupogeza kwa hekima yako,Swali langu ni ,Wakati penea glandi inazalisha hiyo tezi melatonin na serotonin, .Kuna taarifa ambazo zinasema melatonin na nazaliwa usiku SAA kuanzia 7:00 usiku na SAA kumi 1100 asubuhi je hili lina ukweli?? Je nikweli melatonin ndiyo antenna ya kunasa mawimbi ya dunia ,unaweza kupata unachokitaka kama ukiihamrisha hii melatonin kukuletea unachokitaka? Msaada plza Nina uhakika mnayo majibu sahii..
Onesmo Jeremia
HAHAHAHAHAH WENGI NIKAMA WEHU HAKYANANI