JINSI YA KUTUNZA MOTO WAKO WA NDANI ||PASTOR GEORGE MUKABWA ||08/06/2023
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
- Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
JESUS RESTORATION CENTER
Tangu Nianze kukufatilia najiona ktk viwango vingine! Mungu akubariki sana! Wewe ni mwl
Mungu akubariki Mtumishi tangu nimeanza kufuata najengwa sana. Ubarikiwe
Mungu nisaidie ujasiri wangu urud
Mchungaji 👌👌👌 true,if you are weak with inside then automatically you are wick out side,whenever i have a nigt mere,huwa naingiwaa na uoga wa kutisha,till i fill the presence of the person i was dreaming of,but instead i tell myself this fear will not help me it is already late night,i cant run frm it,then a kind of courage come and tell me your worries will not assist you out of this,get to prayers,then affter prayers and find myself free frm captivety in Jesus Name.prayer is the key 🗝️🗝️🗝️🗝️🗝️🗝️🗝️.
Asante sana mchungaji kwa ajili ya somo hili kwa hakika nimejifunza mengi kuhusu moto wa ndani kwa kweli sitazimisha moto wangu naomba Roho wa Mungu anisaidie kutunza moto wangu in Jesus name Amen
Asante Bwana Yesu Kwa kutufundisha na kutuelimisha zaidi jinsi ya kusimama na kuutunza moto wangu wa ndani barikiwa sana Mtumishi
Very powerfull man of God.
Pastor wewe ni hazina kwenye ufalme kila atakae kusikiliza hatabaki kama alivyo. 🙏
kabisa maana kitendo cha kumsikiluza tyuuu unapata uponyaji na imaninkuwa imara na mabadiliko makubwa,,,,huyu ni wapekeeee mungu ametuletea
Mungu akubariki Pasta. Ningeomba Mtu mwenye no ya simu ya Pasta Gergi anitumia. Amenitoa mahali na kuniweka kiwango kingine.
MUNGU akubariki pastor
Mungu akubariki baba
Aki umefanyika baraka maishani mwangu
Nabarikiwa na mafundisho yako pst nakumbuka ulivyonifundisha shule ya Bible Arusha mungu akutunze zaidi na zaidi
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu mafundisho yako yananijenga sana mungu azidi kukutunza zaidi nazaidi
Namshukuru Mungu kwa ajili ya Some hili limenitoa kutoka sehemu moja hadi nyingine
Mungu akubariki baba, nakufatilia sana, napenda sana walimu wanao fundisha, uyo mtumishi ni azina kubwa
Washilika wake wanachombo kiteule, kishike vizuri.
Mungu akuinuezaidi mtumishi.yani anafundisha huyu baba.ubarikiwe sana
Ubarikiwe sanaa
Wewe mtumishi nakufwatiliasana mtandaoni nimekuelewa mungu akubariki sana mungukawekakitukikubwasana amina
AMEN MUNGU asifiwe .asante mtumishi wa MUNGU Kwa neno hili lakutupa nguvu kiroho .
Amina sana mchungaji
Thanks pst
Pastor umenibarki na umefanyika baraka kwa mafundisho yako
Amen barikiwa sana Mtumishi napenda sana mafundisho yako,apendaye mafundisho hupenda maarifa🙏🏿🙏🏿
Nimebarikiwa sana na somo hili mtumishi wa mungu.ubarikiwe sana pastor
Hallelujah
Apostle umenibariki sana! Wewe ni Mwalimu🙏
Amen Amen
Very powerful teachings! Mungu akuinue zaidi Pastor,nakufuatilia sana sana masomo yako.Namsikia Mungu mno
MUNGU akubariki Sana mtumish wa Mungu hakika nimebarikiwa na neno naendelea kujifunza na mafundisho yako
Naugua sana kwenye kipemgele cha kupoa nahisi ni Mimi unaye nizungumzia kwakweli naomba Kwa jina la yesu unapomaliza mahubiri nipone kabisa na MUNGU akubariki uwe na utumishi mwema
Amen
Mungu akupe tamanio la Moto wako,Kwa Jina Ka Yesu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Akupe tamanio la Moyo wako 🇰🇪 in Jesus Name 🙏🙏
Ameeeeen clory to God
Amina
Nabarikiwa sana na mafundisho yako kila siku
Ahasante Wungu Baba nimepokea Moto wa ndani kwa Jina la Yesu
Mungu kubariki mtumishi wa Mungu Mungu atusaidiye
Nikipitia TH-cam yako pastor hua napona kabsa kiroho nmejua mengi sana since nianze kukuwatch pastor blessed alot....watching from kenya
Very true pastor
Nimebarikiwa sana sana n masomo yakoe Munguy wa mbinguni akubariki sana
Hakika hii ndio Injili halisi ya kweli na Ambayo kanisa linatakiwa kuisikia na kuifuata
Ameeeee
😮 Asante sana mtumishi wa mungu,kwa hakika umenifungua macho,masikio waaaah ,no wonder we are stuck our business don't go because of thz things we are never taught like me my business 😢
Mungu wambinguni na akupesiku nyingi zakuishi iliuendelee kumtumikia yeye amina
Father truely you are annoin ted to teach and make People to change
Amen 🙏
I contacted my heart by the word of life in Jesus name 🇿🇦
Am from Kenya and I am really, really, really blessed by your messages...hakuna message inayonipita
Aminaaa mtumishi wa mungu barikiwa sana nime jifunza kitu Asante babangu wakiroho
Mungu akutunze.sana mtumishi ,,,huwa nakuelewa sana baba
There is a wonderful move of the power of God in your teachings pastor
Ameen 🙏 asanteee sana mtumishi kwa neno hili hakika nimejifuza mengi na nimebarikiwa hakika asante kwa online mahubiri hakika tumesonga viwango Vingine God bless you man of GOD
Uko Sahihi mnooo
Somo zuri sana nimepat vitu vingi sana ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Nakupenda zaidi. Yesu ni Bwana.
Asante.Yesu kwa hili.somo.
Shukran sana mtumishi Kwa kuyafunua mambo haya ya kiroho
Barikiwa sana mutumishi wa mungu mafundisho mazuri 🙏🙏
For along tyme nimetafuta hii mafuzo Ur bless 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ubarikiweee saana nmejifunza vingii
Asante baba unahuwisha moyo wangu
Amen pastor, nakufwata from DRC/ Goma
Pastor uko sawa kabisa by bshop massawe
ameni
Mungu akujalie kwa mafundisha mazuli
Nakusikiliza kwa makini,hayo unayofundisha hakika roho wa Mungu yu juu Yako.
Amen mungu akubariki sana nimebarikiwa sana
Amen pastor.
Nimejifunza kweli neno la Mungu na limenibadikishaa
Wonderful teacher of the word,I love your teachings watching from kenya
Mungu atusaidie barikiwa 🙏 baba
Haki mchungaji neno lina nijaza ubarikiwe sana. Baba
Balikiwa baba nainuka maisha yangu ya kiloho kupitia mafundisho yako
Nimefurahi Sana nimejifunza kitu❤
Oooh yes amen hallelujah Asante yesu Kwa haya mafundisho❤❤❤ pastor barikiwa sana
Amen.Thank you Pastor
Amen nabarikiwa sana na mafundisho yako pastor
Asante psator umnitoa mahali
Amen baba kama mm nimejizingira na mafund8sho yako naona umeamsha kitu ndani yangu kilichokufa Mungu akubariki sana
Kwakweli nikweli Mungu¹
Kwakweli sijui niseme Nini zaidi ya asante
Yaani haya mafundisho ni adim sana barikiwa baba
Learning alot from your vedios
Amina, nabarikiwa Sana!
Asante sana kunisaidiya kwa neno la uzima
Asante Kwa ufufio eh Yesu
Be blessed man of God
Amen baba kweli nimebarikiwa na mafudishi yako naomba namba ya cm kam mtu anaye
Have been letsening to you man of God for the whole month, this june every morning when in the bathroom. Am taught, equipped n I thank God. May God give you more
,
Thanks Jesus
Good word thank you
❤
🙏🙏🙏👏
Amen baba unanibarik sana
MUNGU akutunze sana unaeleweka.
Nashukuru Mtumishi wa Mungu nimepata kitu kikubwa sana
Ubarikiwe paste
Amina mtumishi wa mungu
More than teaching
Amen mtumishi nabarikiwa sana
pastor umeniokoa katika kifungo chakutumia wakati vibaya kwa tiktok,ubarikiwe Sana saa hii mda haunitoshi
Hi maumbili inanibariki sana mngu akungese mikamingi usaidie nawengine wako wengi wako jini
Amina mtumishi
Amen mtumishi ❤
Mubalikiwe sana mchunganji
Asante Sana mtumwa WA mungu
Ameni na Asante kwa neno