Bwana yesu asifiwe nakuomba uniombee pastor mmbaga mm ninapitia wakati mgumu sana nilijichanga ya na mambo ya Dunia nikameza vidonge sasa vinanipa shida Sina aman kabsa niombee mungu aniepusha na hatari yoyote Niko dodoma
Kuhusu swali la mama Naomba ufafanuzi kuhusu andiko hili mchungaji Warumi 14 14 Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi.
Barikiwa sana baba. Hata mimi kabisa nimwimbaji mkubwa sana na mwenye kupiga ngoma. Ila kwa leo si imbi na sipigi ngoma. Ila juzi nimeenda kanisani kwa yangu ya kwanza kwenda kwenye iyo kabisa. Nimekaa mahubiri yakapita mazuri sana. Wakati olifika waimbaji waimbe, nimesimama nafadi yangu na kulomba ile ngoma. Nimesikiya furaha sana ndani yangu na kumwambia Mungu nomba baba karama yangu nitumikiye tena.
🙏🙏🙏🙏pastor nilianza kufatuatilia mafundisho yako lkn kwa kweli mafundisho yanajenga basi naomba kuoka tena maana baada ya hili fundisho juu pia mimi nilikua kwa category ya hii fungu badala ya somo zima
Amen Barikiwa sana David Mmbaga
Amina ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa somo zuri 🙏🙏
Amina ..........ila pastor naomba uniombee napitia changamoto ngumu katika imani na maisha
Pr wewe ni mchungaji muhimu sana katika maisha yangu, mengi nimejifunza kwako, mungu akupe maisha mema katika utumishi wako.
Ubarikiwe sana mutumishi wa mungu uwa unanijengasana kiimani
Nakupendaga baba nikikusikia natabasamu sana
Ubarikiwe sana pastor , tunajifunza Kila siku, Mungu aendele kukubariki na kukupa afya njema .
I have grown so much
Bwana awe pamoja nawe siku zote mchungaji na akutumie kama Chombo ili tupate kmujua saidi kpitia wewe jina la Bwana ribarikiwe saaaana.🙏🙏
ubarikiwe muchungaji Niko congo
Asante sana pastor tumebarikiwa na kila wakati Mungu na akuneemeshe zaidi. Amen Lord Amen
Mungu akubariki Sana.
Amen 🙏 pastor mungu akuzidishee hakima na kibalii hicho cha mafundisho mazuri ubarikiwe
Bwana yesu asifiwe nakuomba uniombee pastor mmbaga mm ninapitia wakati mgumu sana nilijichanga ya na mambo ya Dunia nikameza vidonge sasa vinanipa shida Sina aman kabsa niombee mungu aniepusha na hatari yoyote Niko dodoma
Na Mungu aweze kukuponya siku hii takatifu
Pole saaana. Mungu akutendee muujiza
@@MahubiriPrMmbaga Mungu akubariki mchungaji umetoa ujumbe mzito sana umenigusa sana binafsi
Mungu baba mwenye uwezo, uliyemuokoa Paulo sikikia kilio cha mwanao, umfungue mfanye huru in the mighty name of Jesus
Amen, mubarikiwe Sana! napenda somo hili ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
"Roho Mtakatifu atajazwa kulingana na unavyofanyia mazoezi imani".
Kuhusu swali la mama
Naomba ufafanuzi kuhusu andiko hili mchungaji
Warumi 14
14 Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi.
Mungu anisaidie nimtolee kwa kazi yake in Jesus name 🙏. Asante kwa neno naomba nijue talanta yangu mungu niitumikie
MIMI PIA
Barikiwa sana baba. Hata mimi kabisa nimwimbaji mkubwa sana na mwenye kupiga ngoma. Ila kwa leo si imbi na sipigi ngoma. Ila juzi nimeenda kanisani kwa yangu ya kwanza kwenda kwenye iyo kabisa. Nimekaa mahubiri yakapita mazuri sana. Wakati olifika waimbaji waimbe, nimesimama nafadi yangu na kulomba ile ngoma. Nimesikiya furaha sana ndani yangu na kumwambia Mungu nomba baba karama yangu nitumikiye tena.
Ubarikiwe Kwa neno Kwa hakika unatueleza ukweli nabarikiwa sana jinsi unavyo tufunza somo
Barikiwa mtumishi wa Mungu.
Asante kwa mafundisho mazuri ya kutusaidia katika safari hii
Thanks pastor for powerful sermon
How can I know my talent, iam confused
Ee mwenyezi Mungu, tusaidie kuyapokea mafundisho yako kupitia Mtumishi wako, nasi tupate kuinuliwa kiimani, ili nasi tukatumike sawasawa na Mapenzi yako.
Barikiwa pr
Barikiwa sana kwa mafundisho yenye baraka
Amina 🇨🇩
Asante mchungaji kwa somo, sasa mutu angaliya aje kama ana talanta? Na kuna tofauti gani kwa karama na talanta ??
🙏🙏🙏🙏pastor nilianza kufatuatilia mafundisho yako lkn kwa kweli mafundisho yanajenga basi naomba kuoka tena maana baada ya hili fundisho juu pia mimi nilikua kwa category ya hii fungu badala ya somo zima
😂😂😂😂😂 KUKU MWENYE KIDERI 😂😂😂😂😂
Aminaa
Very powerful message for all people
Happy Sabbath.
Ameeeen
Amen
Ameeeen 🙏
Amena 🇨🇩
Amen 🙏🏼 🙏🏼
Hapo kwenye vyakula,,, vipi kuhusu yesu aliposema kimwingiacho mtu si najis Bali kimtokacho??
Natamani sana kukutana na huyu pastor David Mbaga nina mambo ya kushare nae
Au mtu wake wa karibu ili nimpe ujumbee huu kabla sijaondoka duniani
Kunamtu anataka kushare anawe
Amena 🇨🇩 🧎
Very good preachings. Thanks so much pastor mmbaga. I'm requesting for your number please. Thank you.
🙏
Naitaji majina pia ili kutumana sadaka.
Amina 🇨🇩
Amina 🇨🇩
Amina 🇨🇩
Amina 🇨🇩
Amina 🇨🇩