@Amina Said 🤣🤣🤣 hii ni shida kwa kwel mana uku ni mwanaume wake wa kwanza ndo aliezaa nae kule ni single wanalea tuu mtoto. Aya wacha waendelee kutuzungusha tuu
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 hata mimi ndio maana nikashangaa nikamuuliza kumbe aliumwa nini maana hata maximum alipohojiwa alijibu huo ugonjwa ndio sababu iliyomoelekea kukatwa miguu na hata kwenye global alijibu hivyo nilipomuuliza aliumwa nini sijajibiwa kwenye chenel alizihojiwa alitaja huo ugonjwa ndio sababu iliyomoelekea kukatwa miguu
Jaman anajibu maswali kiustaarabu ni mrembo nakupenda dada jacline big Up Super woman 💪
MaashaaAllah dada mungu akupe umri mrefu INSHA'ALLAH,, mungu kakupa ujasiri kwa kweli,,,, love you ❤️❤️❤️❤️❤️
Kuna wanawake wanajiuza na wanao miguu,mikono, macho, mungu akulinde sana
Hakika wewe ni jasiri saaana dada yangu mungu akufanyie wepesi kwenye kazi zako ❤️❤️❤️✅🔥
huyu dada mzuri mashallah Allah msimamie katika maisha yake umpe wepesi wa kufanikiwa na usalama katika maisha yake
Amiin
Amiiiin
Aamin yarrabi
Aminaa
Uishi miaka 1000
Ulemavu huwa uko kwenye akili ya mtu wala si viungo vyake, hii inathibitishwa na jinsi huyu binti ananvyopambana
mungu Amlinde na ampe nguvu
Yani nyaso nimzuri Sanaa✔️pia unaimani yaviwango vyajuu✔️
istoshe Unasauti zuri✔️mcheshi✔️Yani uko Fri 💃💃💃 Nimekupenda TU bulee❣️Mungu Aenderee kukupigania ktk Maisha yako yaupambanaji🙏
Jmn uishi kipenzi kwa Mungu kila kitu kinawezekan
Mwanangu Jacline . Hongera kwa ujasiri wako. Nimekupenda sana, na mungu wa mbinguni azidi kukulinda na kukutunza.
Mungu akubariki Ynaso
Mungu nimwema kwetu,aliona unaliweza jaribu,ulemavu simwisho wamaisha pia we nimzuriii sana dada
Jmn nyaso mcngida mwenzangu Ilov u ❣️ kipenz changu Mungu u pamoja naww 🙏
Daah mungu mjalie kwa kilakitu dada huyu
Amiin
Amina inshaallah kher
Hongera ktk maisha unatakiwa kujikubali mwenyewe kwas hakuna mwenye uwezo wawakuweka sawa ni mungu tu
Very beautiful with brain God bless you dada
Waooo nyaso nampenda anajiamn anajikubali San mungu kupe ujasiri
Ameen
Allah akurabiki mikono yko inshallah utayashinda yotee mungu nimwema cku zotee
Huyu dada kwanza nimependa mungu amjalie hata kidogo nitampa
Nyaso usiseme kwa uhakika kwamba hamuezi achana mungu ajaalie iwe hivo ila usiwe na uhakika sana maana mungu ndie mpangaji
Daah ad machoz yanitoka ya furaha kwa ujasir wako mungu azid kukuinua ndgu yng
waa llaah nimekupenda
Mungu akusaidie❤
May god bless you my sster
Nimependa xana mdada Jack MUNGU akubariki mtu wa Ar mwenzangu
Hongera.sana.dada
Mungu akubariki dear
Nakupenda Sana dada nyansotz
Daah mashallah mashallah mashallah
Mungu akutie nguvu kwakwel
Dada mzuri kuliko yule "mrembo wa ajabu" mwenye duka😁
Pole mwaya
Tunaomba yule dada anoumwa na tumbo msanii sns plsMy brother ukamuhoji
Pole sana na ongera kwa ushujaa wako
Mungu akutie nguvu mamy
Mungu wetu ni mwema
Mungu akusaindie kipenzi awe na wewe wakati wote kipenzi
M/Mungu akufungulie milango ya rizki zaidi na zaidi
Amen
Pole xn dada yngu
Mashallah dada anajutuma sana
Wewe nisupa woomani💪🥰🥰
Mungu akutunze
Big up sister
Daahh pole DADA Angu Mungu Akupe Nguvu
Mungu aendelee kukupambania akupe furaha na afya
Hii nitaifuatilia kesho vzr
We kaka we pind yuko mzm kwan kafaaa kha
🤣🤣🤣🤣🤣
Jina la kinyatur ilo nyaso😘😘
Weka namba weka account namba tumchange huyu dada tafadhali
Dah ya MUNGU mengi pole da sister Mungu atasimama
Mimi nataka uniunge na hill group
Hujafa hujaumbika, ila dada mungu ni mwema amekupa uwezo na ujasili
❤️
Kazur
sanaa so beautiful mashallah
Mbona muongo sasa. Maximum Tv anasema yuko single uku yuko kwenye relation. Aya wasanii wabongo ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
@Amina Said 🤣🤣🤣 hii ni shida kwa kwel mana uku ni mwanaume wake wa kwanza ndo aliezaa nae kule ni single wanalea tuu mtoto. Aya wacha waendelee kutuzungusha tuu
@@kitchenwithmanca2261 . ndiyo ivyo mwaya
😘😘
To be continued
Naomba kujuwa matibabu yahilitatizo yanapatikanawapi
Naomba uniunge nimekupenda 29:04
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
jamani mbona unaripoti uongo ety alikua na ugonjwa unaitwa gangrene🙌😂😂
Kumbe aliumwa nini maana hata maximum alipohojiwa alijibu huo ugonjwa ndio sababu iliyomoelekea kukatwa miguu
🙄🙄🙄 🙄🙄
Hivi nyinyi watu wengine mnakuwaga na matatizo ya akili au ni nn...yaani unaujua ugonjwa wa mtu kuliko mgonjwa mwenyewe anavyojijua!!!
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 hata mimi ndio maana nikashangaa nikamuuliza kumbe aliumwa nini maana hata maximum alipohojiwa alijibu huo ugonjwa ndio sababu iliyomoelekea kukatwa miguu na hata kwenye global alijibu hivyo nilipomuuliza aliumwa nini sijajibiwa kwenye chenel alizihojiwa alitaja huo ugonjwa ndio sababu iliyomoelekea kukatwa miguu
🤨😩😩😏😏
Alfu huyu ni mpare
mzuri huyu dada mashallah soo cute
Sikashasema yeye ni mchaga au me sijaskia vizuri.
@@dhinatsimbano8854 wanacomment bila kusikiliza
Amesema yeye ni mchaga ,tangu lini Shirima akawa mpare?
Amesema baba ni mchaga na mama ni mnyaturu.
Disability is not an ability
Disability is not inability
@@realitycheck9463 🤣🤣🤣siyo makosa yake kizungu kilikuja na meli
Apo unataka kuuliza wananyanduana vp ila unawaza et
😂😂😂😂
Emmanuel mchomvu,,"umewaza nn mwezetuu
Mm natamani kuona PC zake za ujauzito
@@azizaisack2572 mfate DM
@@halimahalima1488 mh
waa llaah nimekupenda