AMUUA MTOTO AKITOKA SHULE AMDANGANYIA MATUNDA, ATENGA KICHWA NA MWILI, WANANCHI WAANDAMANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 247

  • @janethtimothy8780
    @janethtimothy8780 8 หลายเดือนก่อน +1

    kiukweli nimeumia Sana Mungu awape Faraja ya kweli kwa wanafamilia, na Mungu atahukumu kwa haki na muaji atajulikana, poleni Sana Wana kijiji

  • @ashwaqhasni
    @ashwaqhasni 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mama kaongea point sana muhuaji akamatwi lakin mwiz wa miwa angeshakamatwa

  • @nadraalsaid1862
    @nadraalsaid1862 8 หลายเดือนก่อน +5

    mwenyezi mungu ato mwacha salama yoyote aliye usika hapo allah ampe khaul thabit

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 8 หลายเดือนก่อน +14

    DAAH"" INAUMA.SAANAA. BORA ADUI SHETANI KULKO ADUI KIUMBE.. LAANA HZO ZA MUNGU.DAAAH"""!!😢

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 8 หลายเดือนก่อน +8

    Mama kaongea point muhimu sana

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 8 หลายเดือนก่อน +14

    Huyu mama ameongea vizuri hapo ingekuw ni mtu kaiba vitu kwebye hilo shamba angeshaa

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 8 หลายเดือนก่อน +5

    Dah nimelia kwa kweli mtt hana hatia mbona hivo 😢😢😢

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 8 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana jmn.

  • @zawadisalehecosmas2753
    @zawadisalehecosmas2753 8 หลายเดือนก่อน +12

    Innallillah wainnaillah rajiun, polen familia na wanakijiji wote

  • @saumuseleman-r1d
    @saumuseleman-r1d 14 วันที่ผ่านมา

    Inauma sana M/mungu tulindie watt wetu yaraab

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 8 หลายเดือนก่อน +10

    Serekali ikishindwa kusaidia wananchi na wananchi wakaamua kuungana na kutumia nguvu zao wenyewe amani hupotea.soo ni vizuri jicho la serekali lielekezwe hapo.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 8 หลายเดือนก่อน +17

    Adui namba moja ni CCM na sera zake failed zinazowafanya watanzania wawe mafukara na kunyanyaswa nchini mwao huo msitu wananchi wangelima ili kapewa mwekezaji feki analima mbaazi kidogo tu na eneo lote limebaki msitu

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s หลายเดือนก่อน

      Kweli maan ni usenge2,ata mtuhumiwa akikamatwa utasikia mara anapelekwa mahakaman

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 12 วันที่ผ่านมา

      We nae unaleta uvyama kwenye uhai wa watu

  • @SatwantHoogan-yu6oh
    @SatwantHoogan-yu6oh 8 หลายเดือนก่อน +9

    Dah!😢mungu wangu weh..😭inasikitisha Sanaaa!

  • @ttss7716
    @ttss7716 8 หลายเดือนก่อน +8

    Subhanallah watu wame kuwa wanyama 😢

  • @RahilLyakurwa
    @RahilLyakurwa 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu tunusuru

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 8 หลายเดือนก่อน +6

    Innalillah wainnailaihi rajiuun Allahu Akbar wapi tunaenda huku binadamu jaman mbona haya mambo yamezidi sana Subhannallah 😢

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 8 หลายเดือนก่อน +13

    Emu katakata iyo miwa yote ndoserekari itawasikiriza kirio chenu

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 8 หลายเดือนก่อน +6

    Ushirikina tuu😢

  • @AbdMohamedi
    @AbdMohamedi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la hili eneo la magugu nikubwa halafu unaambiwa ni Kijiji

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 8 หลายเดือนก่อน +4

    Muekezaji Ndio Anatoa sadaka kwa shamba lake Aojiwe mukezaji wa shamba ☝️

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 11 วันที่ผ่านมา

    Polen ndugu yangu nchi haina amani na usalama ila wengine wanaendelea kuwa tanzania kuna amani kweli basi Mungu yupo.

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 8 หลายเดือนก่อน +4

    Tia moto msitu uwoo wananchi shirikianeni ufywekeni wote huku akiandamana. 😢😢😢 Asiwaletee ujinga kuangamiza watoto

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 8 หลายเดือนก่อน +12

    WAZAZI JAMAANI TUWAONYE WATOTO WETU WASIWE WANAKUBALI CHOCHOTE KUTOKA KWA WATU WASIOWAJUWA. TUWA ONYE WATOTO WETU JAMANI NA MUNGU ATUSAIDIE.

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar 8 หลายเดือนก่อน +3

      Tumuombe tu MUNGU Ndugu yangu' mwingine anafanya ivyo unamjua kabisa

    • @ShaymaaMlanza
      @ShaymaaMlanza 4 หลายเดือนก่อน

      C kupokea city tu hata angekataa angemchukuwa

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 8 หลายเดือนก่อน +5

    Inalilahi waina ilaihi raajiun. Atafutwe huyo nguruwe pori haraka sana shenzy

  • @Mohammedyasia
    @Mohammedyasia 26 วันที่ผ่านมา

    Allah mlaaani huyu mtu aliemuuwa mtoto mlaan duniani mpk akhera laaaaaana imshukie na akamatwe

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 8 หลายเดือนก่อน +4

    Poleni sana,kama haendelezi shamba itabidi igawanywe kwa wananchi.
    Halafu watoto waende na kurudishwa na gari la shule

    • @joycekaguo8476
      @joycekaguo8476 8 หลายเดือนก่อน +1

      Gar la shule utaleta au unaongea tuu

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@joycekaguo8476 Yawezekana
      wewe ni mmoja wa anayeunga mkono mauaji hayo.
      Kama hamuwezi kuwa na gari la shule kwa nini muwatume watoto shule wakauawe?.
      Acheni ujambazi

    • @joycekaguo8476
      @joycekaguo8476 8 หลายเดือนก่อน

      We peleka acha maneno mengi..umekua mjuaj kuliko viongoz wako

  • @reginamussa260
    @reginamussa260 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hivi Dunia inaelekea wapi 😭😭😭😭😭Eeee!!!!! Mungu tuokoe na majanga haya

  • @JacquelineKinyonge
    @JacquelineKinyonge 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaani inauma sanaa😭😭, wananchi mshirikiane mkate hiyo miwa msimsubir muwekezaji

  • @alibinali_
    @alibinali_ 8 หลายเดือนก่อน +14

    Hili jambo sila kupuuziwa 😢😢😢

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s หลายเดือนก่อน

      Litapuuzwa2,kwa serikali hii,kwan yako wapi ya yule binti alie bakwa na wale jamaa wa5!

  • @mshambaused3840
    @mshambaused3840 8 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma sana. Ndio maana maafa mengi sana na milipuko ya ma radhi na joto kali mno jamani. Binadamu Wa karne hizi wamekua simba 😢😢 ooh mungu tunusuru tuwaombee sana watoto wetu kila wanaotoka kuelekea shule au matembezi

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 8 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma Sanaa. Uchunguzi ufanyike ILA KUNA HATARI UPUUZI UKAWA UNAFANYWA NA WAPUUZI FULANI lengo shamba lirudi kwa wanakijiji. Hapo anawindwa muwekezaji

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 8 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana wanafamily

  • @AhmedAlly-xe3uw
    @AhmedAlly-xe3uw 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwezimungu amlaan milele dunian mpaka kesho akher

  • @ElizabethabrahamHassan
    @ElizabethabrahamHassan 4 วันที่ผ่านมา

    Uongozi huuu wa awam ya sita nkuombeatu.. 😢Maana tangia uwanze ni mauwaji tu... Hakuna amani wala unafuu.. Ee Mungu ikumbuke nchi ya Tanzania..

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e หลายเดือนก่อน +1

    Ao wauwaji wanarindwa akikamatwa nayye achinjwee hii serekari ya hovyo sana jmn,,,zamani irikuwa arubino sasaiv kila mtu anatolewa huwai alafu serekari imekaha kmya,,,mtto mdgo amekukosea nn angekuwa mwizi wa kuku angeshakamatwa lkn wauwaji wapo tu hii inamahana gani jmn,,naumia me,,,shida ya serekari inajari watu wanjee na sio laiya wao,,uko india waindi kwanza wanaubaguri..na warabu wanaubaguri lkn uyo raisi ndio hanawakumbatia aisee mtuani watu wanauriwa watto kwa wakubwa nchi imetoeka hamani watu wanatoa kafara za kuwa watu mungu hapendi iki kinachoenderea na kwakua kizazi cha sasaiv emani hakuna kabsaa

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 8 หลายเดือนก่อน +3

    Innalilah wainnalilah laijiun subhanna Allah 😭😭😭

  • @beatriceyustomwakabanje5789
    @beatriceyustomwakabanje5789 8 หลายเดือนก่อน +3

    Dah 😭 eeh Mungu wangu Dunia inaenda wap hii nisaidie mm

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 หลายเดือนก่อน +1

    Hii Dunia ni hari kabisa

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f หลายเดือนก่อน

    Daah dada umeongea point kabisa

  • @tanishahassan-nc5qc
    @tanishahassan-nc5qc 8 หลายเดือนก่อน +3

    Dah inauma sana 😢😢😢😢😢😢hadi watoto 😢😢😢

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 8 หลายเดือนก่อน +3

    TANZANIA IMELAANIWA KWA KWELI. SERIKALI HAICHUKULII MAANANI HAYA MAMBO YA UBAKAJI NA ULAWITI.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 8 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani tena wakipelekewa Polisi wanatolewa ati kwa mdhamana kwa namna hiyo hayo matendo hayawezi kukoma kabisa. Mara zingine utadhani Polisi hawana watoto.

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 8 หลายเดือนก่อน

      Jamani mbona ni mtihani 😮😮

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc หลายเดือนก่อน

    Subhunnah allah, innalillah wainan lillah rajoun poleni wazazi na kila aliyeguswa na hili tukio

  • @deborahcharles4916
    @deborahcharles4916 8 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli serikali hatuna mi mwanangu alivamiwa anatoka shule alikuwa na miaka nne kijana aliwaitaawape miwa mmoja alikimbia aliwavua nguo alimparua mgongoni alijaribu kumbaka ila ajafanikiwa kawawekea vidole nilifatilia alijulikana lkn hamna alielifanyia kazi kisa sie tunaitwa wabongo huku unguja wazawa wababebwa inauma saba poleni inauma sana

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu tunusuru na hili. Tuogope hukumu ya nwisho binadamu

  • @Mohammedyasia
    @Mohammedyasia 26 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢Nimeumia San jmn sasa imekuwaje watoto hawa kuuliwa

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kanda ya kaskazin Kuna vijana wa hovyo sana Arusha na manyara😢

  • @HabibaBb-d3s
    @HabibaBb-d3s วันที่ผ่านมา

    😢😢😢ndouyouyo anae fanya matukio ya ajabu

  • @fatumamaro8726
    @fatumamaro8726 8 หลายเดือนก่อน +7

    Vamieni muchome pori lote watu wenye pesa hua wana dharau sana

    • @DICKSONTimoth-xk7rj
      @DICKSONTimoth-xk7rj 8 หลายเดือนก่อน +1

      Naunga mkono hoja

    • @JacquelineKinyonge
      @JacquelineKinyonge 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaaa, yaan hapo wataonngea lkn hawatasikilizwa ni kher waungane wananchi pamoja waufyeke huo msitu au wauchome moto

  • @ShamimHussein-j6f
    @ShamimHussein-j6f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah jaman ni kitu gan hichi polen ndg jaman na marafik

  • @MwanaRamathani
    @MwanaRamathani 8 หลายเดือนก่อน

    Mungutusimamie vizazi vywetu

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ndo walinzi wa amani mkoa na wilaya na mkuu wa polisi wajiuzuru hawafai

  • @AbdMohamedi
    @AbdMohamedi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi Niko eneo la tukio mwanchi wanafanya maombi na watu wamekusanyika Kwa wingi sana

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 8 หลายเดือนก่อน +2

    R.I.P poleni sana wafiwa mbona watu wamekuwa wakatili kiasi hicho 😭

  • @YOHANATAYALI
    @YOHANATAYALI หลายเดือนก่อน

    Polen sana wnafamiliaL

  • @FatmaHassan-g2g
    @FatmaHassan-g2g 9 วันที่ผ่านมา

    Polen sana inauma

  • @Misanyahidaya
    @Misanyahidaya หลายเดือนก่อน

    Sijui hata tunaelekea wapi ee mwenyezi mungu tusaidie

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 8 หลายเดือนก่อน

    Wallahi hapo ingeibiwa miwa hapo Wana nnchi wangepigwa Wangeteswaa lakini kwakuwa kauliwa mtoto WA MTU mweusi ndio serikali inadhara mama Samia wangaalie hicho la huruma hapo kijijini

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 24 วันที่ผ่านมา

    Innalillah wainnailahi rajiun, Hivi serikali ipo kweli? Mbona haya matendo ya mauaji kwa watoto na utekaji yamekua mengi?

  • @Mohammedyasia
    @Mohammedyasia 26 วันที่ผ่านมา

    Manyara kunatisha San yaan imeniuma naona kama mtoto wangu maan nae umri ni huo roho inauma au wachunguze wanawake pengine alisababisha huwenda kuchanganya baba wa mtoto huwenda ni vita hio wafuatilie hilo pia ili aweze kusema ukweli nina mashaka na hilo mtt mdg huyo jmn anaugomvi gan na mtoto huyo jmn roho inauma sana Yaaan mpk nachanganya kiwa imeniuma sn nyoko zake huyo muuaji jmn jmn jmn😭😭😭😭😭😭

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 8 หลายเดือนก่อน +3

    Uongoz,mbovu kunaviingozi wapo kivuri,nitaabu tu alie baki nimungu.

  • @zainab8251
    @zainab8251 8 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana innalillah wainnaillah rajiun

  • @salha6596
    @salha6596 8 หลายเดือนก่อน +2

    Innalilah wa innalilah rajiun

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 26 วันที่ผ่านมา

    Mkiambiwa maandamano mnabaki nyumbani oooh😭😭😭😭😭

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 8 หลายเดือนก่อน

    Subhana Allah yaarabih, innalilah wanna ilah lajighuni 😢

  • @FadhiliJuma-i8r
    @FadhiliJuma-i8r 8 หลายเดือนก่อน

    Daaah!!!aise mbona watu wamekuwa wanyama hivyo jaman 😢😢😢

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Rabbi yaraabb! Tulindie watoto wetu😢

  • @shijanchambihaji8323
    @shijanchambihaji8323 2 หลายเดือนก่อน

    Inaskitisha sana nikana kwaba jeshi la polici nikama linafanya kwa makusudi kila pebe ya tanzania matukio nimegi au wanamgomo

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi Dkt. Samia huwa ana bando? Au si sahihi kwa nafasi yake. Ningekuwa mimi ni Rais, masaa yanatosha kumkamata mharifu. Tofauti na hapo, IGP, RPC, OCD, mtendaji, mwenyekiti wa mtaa hadi balozi wanaweza kutamani ardhi ipasuke waingie ndani.

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 8 หลายเดือนก่อน

    Inna lillahi wainna ilillahi rajuun ukute muuji kapewa masharti na mganga hasbunnallah wannemali wakili

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa sio binadamu Bali ni shetani 😢😢😢😢Duh Kwa kweli hii ni kiboko

  • @zahraaisha6069
    @zahraaisha6069 หลายเดือนก่อน

    mungu tulinde ss waja wako😭

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mee naisi atakuwa mlizi mam baba sikuizi kunakafara

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu alete mafuliko tena huko aise

  • @user-latent
    @user-latent 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo viongoz mmepoa San ,mm nasem ukinifanyia hv mtoto wangu mbn utajiuzulu mweny ita kukosti trillion 500 Aiseeeh ukishidwa, Dunia utaion chungu chezaa ukoo wangu alfu uone dk 0 utaumia vibaya😡

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 8 หลายเดือนก่อน

    Tanzania😢😢😢😢
    Ewe Mwenyezi Mungu tuokoe.

  • @zedymicheal9407
    @zedymicheal9407 8 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndugu zangu nijambo la kusikitisha sana yaani unachinja Mtoto mdogo amekukosea nini??damu ya huyo Mtoto ita mlaani muuwaji huyo

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 8 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢nimeumia km mzaz duh

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 8 หลายเดือนก่อน

      Acha rafiki mtoto anauma sana uwezi kuacha kuumia😭😭

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 23 วันที่ผ่านมา

    Maskini aliye muuwa Mtoto huyo afungwe maishani sorry Serikali iliyoko Madarakani ichukuwe hatua asante

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yani hiyi Tanzania jamani 😢😢

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 8 หลายเดือนก่อน +3

    KWANZA HAO WAHINDI HUKO KWAO INDIA WANAMAPOLI MANGAPI?. MPAKA WANAKUJA TANZANIA KUWEKEZA?.

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 8 หลายเดือนก่อน

      Ukokwao njaatu nashangaa Tz wanawafagilia

  • @Ummukuruthum-m1m
    @Ummukuruthum-m1m 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kateni miwa yote mwekezaji atajitokeza na serikal itafanya kitu pole kwa wazaz wa mtoto

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 13 วันที่ผ่านมา

    Watoto tuwaweke wapi jamani

  • @muyangetv
    @muyangetv 8 หลายเดือนก่อน

    MI nakuwaga najiuliza ivi Tanzania Laiti kungetokea vita Kama ilio tokea Burundi n Rwanda watu wangekua wanachinjana live

  • @AbdMohamedi
    @AbdMohamedi 8 หลายเดือนก่อน

    Nikweli Hilo shamba linawalinzi chakushangaza Jana hatujaona mlinzi hata moja

  • @FaridaHamisi-k6i
    @FaridaHamisi-k6i 8 หลายเดือนก่อน

    Hii imekua kama ya arusha Baba alomchinja mtt wake nakutengenisha viungo.

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 8 หลายเดือนก่อน

    Duh it's painful aisee 😢😢😢 serikali haioni au wanafanya kujizima data 🤔🤔🤔🤔 Hawa wawekezaji wa Tanzania siyaelewagi nasema tanzania tusipoamua tutaendelea kulalamika

  • @hawamafuru6791
    @hawamafuru6791 2 หลายเดือนก่อน

    😢 hivi Tanzania inaenda wp?kilasiku mauwaji ya kinyama Ina sikitisha Sana

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 8 หลายเดือนก่อน

    Mama umeongea kwa hisia sana nimekuelew mama poleni sana😢😢

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dah Mungu baba saidia sisi majnaga haya yanazidi kila siku 😢😢😢

  • @mwalimukhamisi1680
    @mwalimukhamisi1680 หลายเดือนก่อน

    Sasa hivi kuna haja na ulazima wa kufuatilia, kuratibu na kuhakiki mienendo, shughuli na usahihi wa waganga wa Jadi wote. Kwa mauaji ya aina hii na mengi mfano wake ni dhahiri wao wana mikono yao

  • @ZakiaSalum
    @ZakiaSalum หลายเดือนก่อน

    Mtihan huu jaman

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 8 หลายเดือนก่อน +2

    Eheeee kumekucha na bado tutazidi kuuana sana hadi watoto hii ni balaaa

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e หลายเดือนก่อน

    Huu unyama aisee umekisiri ingewekwa sheria ataeuwa nayye auwawe kama nchi za kiarabu

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna baazi ya viungo wamechukuwa

  • @DaheerK
    @DaheerK 2 หลายเดือนก่อน

    Apo kwa rais mh

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 8 หลายเดือนก่อน

    Maeneo hayo tatizo Lao hawamjuwi mungu wanawaza sana ushirika ili upate utajiri uko kuna madini mengi sasa wanakwenda kwa waganga wanawaongopea lete kichwa cha mtto damu yake utapata utajiri

  • @Ashoora2
    @Ashoora2 8 หลายเดือนก่อน

    Subhannallah liadhimi

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 8 หลายเดือนก่อน

    Nani kafanya unyama ivi jamani mtoto mudogo mihaka saba hanaitia .jamani jamani.mimi.sio mu Tanzania Mimi ni mu congomani ila hii niunyama zaidi ya unyama😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @EverywilliamMsafiri
    @EverywilliamMsafiri 5 หลายเดือนก่อน

    Kwanini arusha jaman

  • @JamesSeleman
    @JamesSeleman 8 หลายเดือนก่อน +5

    Apo.akunaga.kuomba.serikar..pigen.msako..nenden.mkauwe.mriz.ad.mwenyeshamba..beben.panga..andamanen..mwarifu.mnae.apoapo

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂nawe kuandika gani huku😂😂😂😂hata kuandika hujui😂😂😂😂