Pongez zakwanza ziende kwanandy kwa kumskiliza nakumuelewa nakumpa nafasi yakuonyesha alichonachoo ni ngumu msichana wandan kusikilizwa hongera sana dada Nandy hujamchukulia MEMO kama mtu back Pil MEMO hongera sana umefanya vizur nayo itakua funzo kwawengine congratulations ❤❤❤❤❤
Dah ila wasafi nawakubali sana me najua hili swala la zuchu kutupiwa makopo ni mchongo kupotezea mambo ya p diddy mana kukikucha kwa jins wa bongo tunavyo penda ukinga hii habari itatrend kuliko habari ya pi diddy😅😅😅 na watu watamsahau pididdy
nilikua nataka nimuache mke wangu ila kwa huu wimbo nitaongeza mke wa pili ili niwahudumie wote kila mmoja abaki na wanae awalee niwahudumie wasipotee kwa kukosa nahitaji
@@pastordr.godsonzacharia8595 pole sana mtumishi kama bado uko chini yake ni wazi matendo yake Kwa Sasa yanatushangaza tuliomwamini kipindi Cha nyuma siongei Bure kwani tunajionea anguko lake.Wote tunatambua kongamano la mitume na manabii wa uongo ni la kishetani hasa linawahusisha manabii wa uongo wanaouza mafuta na maji lakini Gwajima amekuwa akihudhuria mikutano yote ya huko hebu niambie mtumishi inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa upande wa wanaoidhihaki biblia we nambie
🛀 Dogo unakipaji ukipata usimamizi unaweza kuwa miongoni mwa nyota wakubwa wa muziki hapa nchini✊
Poleni san kikund cha zabron singers mungu awatie nguvu katka huduma yenu. Mungu yu pamoja nanyi.
Video's my dear🎉
Daaaah dunia imeiaha dalili za nwish tukazan kushali na kuomba mungu atutie nguvu kam unaamin mungu yupo itikia Ameen🙏
Amen
Pongez zakwanza ziende kwanandy kwa kumskiliza nakumuelewa nakumpa nafasi yakuonyesha alichonachoo ni ngumu msichana wandan kusikilizwa hongera sana dada Nandy hujamchukulia MEMO kama mtu back
Pil MEMO hongera sana umefanya vizur nayo itakua funzo kwawengine congratulations ❤❤❤❤❤
Nampenda sana baba halima maana yeye anatetea wasio na hatia🎉❤
Woow naipenda kazi yak dada ang ❤❤
Vijizii vinahandaliwa kwa kasi confidence ya kutosha hongera zuchu Bby 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
@@jescarwegoshola1754 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@sharifamatitu3383 Usicheke ujue vijizii vipo speed 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂baba levo umekimbia unaenda kuchukua nini 😅😅😅apa kazi tu letemaokoto
Hongela sana❤❤❤❤
Waoooo nandy namkubali xana zuchu apeleke matege Kwa diamond
Hongelaa San ❤❤❤❤❤taus mungu ainuw kipaji chako
❤❤❤❤mtoto.huyu anakipaji
Jaman nimeipenda sana hii song ❤❤simba oyeeee ubaya ubwela..congratulation kijan kwa kuimbaa👏👏👏👏
Aiseeaisee❤❤❤❤💥💥💥💥
Love you zuchu❤❤❤🎉🎉🎉
Mtoto wa zuchu huyu jamani ❤❤❤❤❤sauti Ka ya mamake vle
Mmmy cheupe wa tisha hutaniwi kidgo tuu ushamganda mtu wa watu😂😂😂
Honger ma.m zuch unaji ,
Jamanilahasana
Kuwamubena❤❤
Mtoto ana kipaji Mungu akubariki kipaji chake ❤❤❤
Mery
Yea
Dah ila wasafi nawakubali sana me najua hili swala la zuchu kutupiwa makopo ni mchongo kupotezea mambo ya p diddy mana kukikucha kwa jins wa bongo tunavyo penda ukinga hii habari itatrend kuliko habari ya pi diddy😅😅😅 na watu watamsahau pididdy
Safi san kak.. Umetisha 🎉
بارك الله تعالى فيكم🤲
Hongera kazi nzuri🔥🔥🔥
Zuch no namba namba nyingine❤❤❤
Sana❤🎉❤🥰😍❤️♥️
Whoever made this boy to be the way he's now may thei never lack
whoever made this girl
I love you zuuu❤️❤️❤️
😢oky mwaya ongera zako zote
Daaaaaaah!! Almost kuwini kanikera huyu kaka mtu,,jamani demu tu kaongea,,wanawake tuna nguvu .
Ah hongelen sana by Ibrahim
Jaman mungu mwema maana dogo alitamani kuumza nioyo ya watu d
ah mungu ahimidiwe sikuzot
Hatariiiiii tumuone mama kipesile naye akionyexha ujanja
I, love it ❤❤❤❤❤❤
Hii ni maajabu mneyaa 🙌🙌😂😂
🎉🎉🎉🎉 welcome back
Mwanangu zuchu nakuona mbali Sana baby
😍🤗
Hapa ndo unaona raha ya kuingiaaaa lebour 😂😂😂😂😂zuchu kiboko!
Daah umekuwa kuniliza jamn iv niukweli umeondok jam
Wimbo huu Huwa unanibariki sana
Anajua zake hakohako kastaili hataki zake shida😅😅
Hongera sana 🎉
Mungu atuongeze kufika kusudi lake
Woh laike moma nice
Ndicho mnachokijua kupost ujinga watu wanakufa kwa kukosa mandawa uko hata amuendi kuhoji uko pumbavuuuuu
What a hit!!,
Nataman name uniinulie kipaji.changu
Hongera sana mtoto❤❤❤
❤ from Kigali
Onger sana. jamani uyu mtoto noma sana
Continue with the same spirit
Mungu awarehem,polen sana ,,,nuru na giza haziwezi kaa pamoja
...
Katoto kanaakili sana
Congratilation
Me sijapenda hiki kipande tu ukweli
Hongera sana bby zuuu❤❤
Pole sana❤❤❤😢
Nakukubali san zuchu beb
Nakuamini San zuchu baby
I love you so much baby zuu❤
Mbona kamanda hawashi yakwake 😂😂😂😂😂
Baby girl 💓🇰🇪
🌹
Majizi hayo hapo tayar kama nyoka mwenyew
Hakuna kitu hapo mtoto mmemkalilisha ujinga lite tungekuwa na uchaguzi huru mngejua hamjui
Baby zuchu nipitie pia nifike 100 subs
😅😅😅😅😅😅😅 pambana
nilikua nataka nimuache mke wangu ila kwa huu wimbo nitaongeza mke wa pili ili niwahudumie wote kila mmoja abaki na wanae awalee niwahudumie wasipotee kwa kukosa nahitaji
Wakitoka hapo waende kuuza paka
hi baby zuchu mambo
Umeua dada
Bomba xanaaa😂
We noma
Masyallwah
A girl has confidence and good talent❤❤😊
HARUC UMEPENDEZA MUNGU AWAJAALIE MAISHA MAZURI YA NDOA
nakupenda bure
Mbna zuchu anapenda kunyosha kidole cha kati ndo maana hata akasepeshwa
Top
It's good
Lakini sio Kiswahili hicho kuzaa nikuzaa hata ni kipaya
Ndiyo ni mda saiiyi ila atajutia baadae
Mbeya wana jitambua wamuulize kikwete
Inna lillah wa ina illah rajiuni
❤
Duh yuko poah sana
mmmmh!..
Jmn polien xan
Gwajima umeanguka umeanguka mrudie Mungu wako
Wewe ndio utakuwa umeanguka
Ameanguka kweli kwani uongo
@@pastordr.godsonzacharia8595 pole sana mtumishi kama bado uko chini yake ni wazi matendo yake Kwa Sasa yanatushangaza tuliomwamini kipindi Cha nyuma siongei Bure kwani tunajionea anguko lake.Wote tunatambua kongamano la mitume na manabii wa uongo ni la kishetani hasa linawahusisha manabii wa uongo wanaouza mafuta na maji lakini Gwajima amekuwa akihudhuria mikutano yote ya huko hebu niambie mtumishi inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa upande wa wanaoidhihaki biblia we nambie
Hongera Sana Ivolata anafanya mambo WIMBO hot sana
👍👍👍🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖
Maaajabu
Huyu dogo atafika mbalii
🌹
Yaah
Ndiyo dunia ya sasa ilivyo. Utandawaz umezd.. ivyo ivyo tutafka
👍💔
Daaaah haha katoto mmmm
👌
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Good MC
❤❤❤
🌹
Love u zuchu baby
🌹