Pt2_MARKO ALIYEKUWA MSAIDIZI WA NABII WA MATEMBELE YA 2•Zindiko la yesu la kichawi•Kuzini na waumini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 94

  • @isayanyingi6387
    @isayanyingi6387 ปีที่แล้ว +3

    Amina promover tv Mungu azidi kuwabaliki ktk kazi za mikono yenu ,,,,

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki mtumishi wapo ambao watakubeza ila mm siwezi kukubeza hata mm Mungu alinionyesha sikutaka kuamin nilichokiona Suguye Nina bii wauongo kabisaa na mshukuru Mungu kwakunipa jicho la tatu

  • @helenbahati8038
    @helenbahati8038 ปีที่แล้ว +2

    AMEN AMEN MTUMISHI BARIKIWA SANA

  • @quintavitalis926
    @quintavitalis926 ปีที่แล้ว +4

    Hawa manabiii, wa kuuza vitu hawa Mungu , aturehemu sana bila Roho wa Mungu ndani yetu tutapotea

    • @lidyamwampeta9580
      @lidyamwampeta9580 ปีที่แล้ว +1

      Jamn yaani nimenunua saana hivyo vitu lakin namshukuru mungu kanitoaa huko yaani huko mmmmh sifikirii nishatokaaa na asa hivi sidanganyiki😂😂😂

  • @RebecaMaloda-xx2qm
    @RebecaMaloda-xx2qm 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutunze

  • @ProsistrSimon
    @ProsistrSimon ปีที่แล้ว +1

    🎉be blessed mtumishi

  • @sicholasticamalindogo7127
    @sicholasticamalindogo7127 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusaidie

  • @Akinyisafi8361
    @Akinyisafi8361 ปีที่แล้ว +3

    Wooooow asante kwa ushuhuda mzuri kaka MUNGU AKULINDE na kwa Promover TV group nawapenda

  • @marthaumazi2197
    @marthaumazi2197 ปีที่แล้ว +2

    Ni vizuri kuwa macho kiroho Kila wakati hatutanaswa.

  • @evangelistayubus.msenye7613
    @evangelistayubus.msenye7613 ปีที่แล้ว +1

    Walipomjua Mungu hawakutaka Kumtukuza kwamba ndiye Mungu.
    Bali walipotea ktk Uzushi wao.
    Mungu akaletea nguvu ya upotevu ili wahukumiwe ktk ujinga wako

  • @floramongi1410
    @floramongi1410 ปีที่แล้ว +3

    Tusome sana biblia tuachane na manabii wa uongo nashangaa sana kuona baadhi ya watu humu wana mtetea Huyu nabii

  • @julianawairimu801
    @julianawairimu801 ปีที่แล้ว +3

    Ooh LORD,ve mercy upon us.

  • @angelitapaulo
    @angelitapaulo 14 วันที่ผ่านมา +1

    Inahuzinisha sana ila MUNGU ni mwema na usimuache MUNGU

  • @winnyrocha190
    @winnyrocha190 ปีที่แล้ว

    nimuhimu sana katika nyakati hizi kumtafuta mungu mwenyewe na pia kujazwa na Roho mtakatifu.

    • @jesuspower2390
      @jesuspower2390 ปีที่แล้ว

      Story daima ina pande mbili natamani ningesikiliza upande wa pili

  • @selestinimassawe3601
    @selestinimassawe3601 ปีที่แล้ว +2

    Yesu akutie nguvu

  • @salientherman3206
    @salientherman3206 ปีที่แล้ว +1

    Wezi ni wengi sn sn Cha msingi apo kumuomba mungu atuonyeshe macho ya Rohini nani anafanya kz ya mungu

  • @annambembela6661
    @annambembela6661 ปีที่แล้ว

    Stika ni uongo kabsa haisaidiii mim nilishuhudia kabsa ,mungu aturehem

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 ปีที่แล้ว

    Yesu ndiyo Mungu haio ni umoja ukibatiza kwa jina la baba na mwana na Roho mtk ni sawa.

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +1

    Bishop wangu alisema ukienda mahali ukiona Bibilia haisomwi na pastor hajui hata maandiko run 🏃‍♀️ for ur life

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 ปีที่แล้ว

    Ipo siku MUNGU wetu YEHOVA atawaumbua watapigwa mapigo makuu hawa wanasababisha maisha ya uvuguvugu wokovuni kwa wasiojua neno la Mungu.Ewe Mungu tetea kanisa lako ulimwenguni maana hawa ni hatari sana.

  • @MwambaNovatus-wm5vp
    @MwambaNovatus-wm5vp ปีที่แล้ว +1

    Hapa safi sasa

  • @rebecaleonard8515
    @rebecaleonard8515 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie kutupa macho ya rohoni

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 ปีที่แล้ว +3

    Kuna baadhi ya wakristo wana nidhamu ya uwoga kabisa hawawezi kujitoa ktk shida kwa kupenda kupewa vitu vya bure duuh pole sana kwa majaribu yote

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      Umeona eeh!!! Yaani siamini macho yanguuuu....Ch Om Angalia sanaaa...Nami nampa poleee huyu Kaka....Waliobaki kwa sasa wanafanya nini? Au ndio "Brain Washed" kama wale wa Keny ???

  • @mackfasonmoshi4629
    @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว +2

    Mhhhhh.. "Hawana Yesu...Bastola kwao si shida..." Jamani Vipi tena?? Tunajifunza mengi sasaaa.... Mungu Tusaidie....."Watu wengi waliondoka" .... Na waliobaki wanafanya nini??? God help us....

  • @goldenshadrackmsungu3664
    @goldenshadrackmsungu3664 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbe unzinzi upo kwa manabii na walio ukoka...afu Bado mnasema wakatoliki hawamjui Yesu Wala Roho wa Mungu.
    Nasikishwa sana na hili wenzetu kujikataa tiketi za mbinguni na kuwa hukumu wengine.

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 7 หลายเดือนก่อน

      Wanao abudu masanamu na manabii wa Uongo wote wataingia jehanamu ya Moto.

    • @blandinajoseph1291
      @blandinajoseph1291 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@georgekimasaofficial1629😂anahisi yuk salama😁😁 aokoke wote wasipo okoka moto unawahusu

  • @antoinettendayizeye5884
    @antoinettendayizeye5884 ปีที่แล้ว

    Jamani tumufate YESU KRISTO mwenyewe nakuomba Mungu atupe maco sana sana tuhepuke kuhama Hama makanisa njo kuko mabala uko kwenye Ku Hama mmhh tunasubiri 3

  • @suzandavd5213
    @suzandavd5213 ปีที่แล้ว +1

    Eee Mungu tusaidie

  • @elinemakundi5011
    @elinemakundi5011 ปีที่แล้ว +2

    Ujui kujieleza hata sikuelewi

  • @ChristinaZabron-n7q
    @ChristinaZabron-n7q ปีที่แล้ว +1

    Makanisa ya kinabii kweli kibokoooo

  • @gracephabian1338
    @gracephabian1338 ปีที่แล้ว +1

    Hawa manabii wana mambo mengi jamani sasa naanza kuelewa sijawahi kwenda kanisani kwake wala kumuona zaidi ya kumwona kwenye tv lakini nilishawahi kuota ndoto mbaya sana kumhusu yeye

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

    ASOMAYE NA AFAHAMU
    Tarehe 9th May 2023,Mungu,Mwenyezi katika jina la YESU KRISTO BWANA, aliniambia ;
    "MWANANGU NICHOLAUS SUGUYE ANA MOYO WA KUNIPENDA NDANI YAKE,;NIMEMREHEMU NA NIMEMVUNJIA MAAGANO MABAYA ALIYOKUWANAYO,TANGU SASA ATANITUMIKIA KATIKA ROHO NA KWELI.
    Mungu hashiki hasira yake milele juu ya watu wake,amemtakasa mtumishi wake,msimnene tena ubaya mtumwa wake NICHOLAUS SUGUYE
    .(Mwenye haki huanguka mara saba akasimama tena)
    Maneno haya ni amina na kweli;mwenye masikio ya kusikia na asikie,na mwenye moyo wa kufahamu afahamu maneno haya.

  • @joshuabartonpolelaab4985
    @joshuabartonpolelaab4985 ปีที่แล้ว

    hallelujah

  • @geofreyndambo8635
    @geofreyndambo8635 ปีที่แล้ว

    Amelaaniwa kila amtegemeaye mwanadamu, mbona unalalamika sana,yohana alipotiwa gerezani pia alimtilia mashaka yesu,kwanini hakwenda kumtazama,kama kweli umeitwa na mungu,kwa nini kulalamika,nyingine siyo shuhuda,ni mauchungu ya kimakwazo

  • @JohnKarata-c9c
    @JohnKarata-c9c 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi ubarikiwe! Ninao ushauri ni vyema sana kutoanika madhaifu ya mtu,kwa kuwa wapo wengi waislamu na wengine wengi hawajampokea YESU hauoni kwa hili ni kama unadhalirisha Injili,yaani ni nani ataamini wokovu sasa? Sitaki kutetea chochote kwani sina ninacho kijua,ila point yangu ni kwamba wa nje wanatuona vp? Kuna njia ya kuwasilisha mambo kama haya!! Ili kujenga kanisa....naamini lengo la promover ni shuhuda ili watu wamjue KRISTO ....unae msema inawezakana jana katubu....sasa hawa wanao sikia inaleta picha gani katika mwili wa KRISTO...nadhani hili ni personal sana...sio vyote vya kuleta humu,hata wewe hujui wengine wanakusemaje.

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว +6

    Hakika karama ya kinabii imeingiliwa jamanii MUNGU TUSAIDIE

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

      Mnooo. Agents of darkness are at work

  • @apostlezizi
    @apostlezizi ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli manabii wengi wa uwongo wanapanga miujiza mimi niliwahi kulipwa kufanya kazi hiyo,nitashuhudia siku moja,mimi Nitataja majina kabisa aisee maana hiyo wakati sikua namjua YESU baada ya kuniongoza wao wakawa wananipoteza mpk YESU alivyoniokoa mwenyewe..walevi na wanzinzi na mganga wao nitamtaja

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  ปีที่แล้ว +2

      Sawa karibu sana,tutafte ukiwa tayari

    • @apostlezizi
      @apostlezizi ปีที่แล้ว +1

      @@PromovertvTz nikirudi tu TANZANIA hivi karibuni

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  ปีที่แล้ว

      Sawa

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว +3

      ​@@apostlezizi Ok Apostle Z... Mungu akusaidie uwe mkweli ili ukweli ukawaweke wengi huruuuu....Promoter Tv wakupokee Aisee. Barikiwa mnooo.

    • @apostlezizi
      @apostlezizi ปีที่แล้ว

      @@mackfasonmoshi4629 Amina, barikiwa 🙏

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU nimkuu wakati wote

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว

    👍🤝

  • @godfreymollec8206
    @godfreymollec8206 ปีที่แล้ว +1

    Na mbona umeona vitendo alivokua anakutendea kwanini hukujiindoa mapema?

  • @francohaule8057
    @francohaule8057 ปีที่แล้ว

    Ulivyosema yote ni kweli lakini wachawi sasahivi kwenye makanisa sio manabii tu hata huko fptc wapo wengi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 ปีที่แล้ว +1

    Mmh mengine hayafai hata kuyasikia

  • @ninahmbonea6248
    @ninahmbonea6248 ปีที่แล้ว +1

    Sasa huyo mwanamke alikuwa anapenda why asikatae kama alikuwa na roho wa Mungu kweli?

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว

    Mimi watu wengine nikisikia shuhuda zao nasikia kama naweza wapiga au sasa wewe mtu alikutupa gerezani tena bado umekwamilia hapo tena bado anakutuma tuma unajiendea tu

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Nabii kucha huyo yupo kwenye list ya manabii wa uongo Kama yule wa arusha

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 ปีที่แล้ว +1

    Lazima alishambuliwal hiyo mama

  • @geofreyndambo8635
    @geofreyndambo8635 ปีที่แล้ว

    Kama angekupa pesa za kusapoti kazi yako kule mwanza,je ungeliyasema hayo?si mtetei nabii,ila nakuona pia una roho ya yuda

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 ปีที่แล้ว +8

    Nilikuwa na maombi ya mda mrefu Sana kusubili hili zoezi maana nilijua Mambo mengi mno ya Manabii fake

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว +2

      Wana uchafu mwingi. Wazinzi sana, wanatoa kafara, wanatesa wake zao ndoa zao wake wanalia. Hawamwabudu Mungu wa mbinguni ni mawakala wa kuzimu. Sio wote ila wengi wao matapeli mno agents of darkness. BEWARE!!!!!!

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

      Nakuelewa maana nimeyaona pia. Nimeyajua machafu yao lakini asante YESU alimtumia kama darasa kuniambia nisiamini haraka Hawa manabii

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

      Ni kweli alichosema huyu. Huwa wanalala na wanawake ili kuji charge nguvu zao za Giza. Uzinzi na wanawake mbalimbali ndo njia zao chafu kujijaza nguvu.

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

      Uzinzi ni mojawapo ya agano lao na shetani Lucifer

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

      Kabisa ni kuondoka kimbia bila kuaga. Unaweza kuuawa ukiaga.

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mwana saikolojia ukisikiliza hii kesi inaonekana kuna umuhimu wa kusikiliza upande wa pili, vijana wa Dar wanapenda sana mteremko, sasa unaoa pesa unategemea upewe na mchungaji .. inamaana hana hata ufahamu wa kujiongeza akabeba hata zege.. maisha ya dar unashinda kanisani masaa 24 bila kazi basi ukiona hivyo hujitambui. msimuliaji inaonekana unapenda sana mteremko. jitahidi utafute kazi mwanaume hajilalamishi kwa pesa ya mwanaume mwezie mfukoni..🤨 inasikitisha.

  • @ninahmbonea6248
    @ninahmbonea6248 ปีที่แล้ว +1

    Uwe hai si ni Suguye?

    • @eddyjunior2881
      @eddyjunior2881 ปีที่แล้ว

      Hahahhahah,, usiweke waz thatha😃🏃

    • @jesuspower2390
      @jesuspower2390 ปีที่แล้ว

      huyu hana ofisi banana huyu awe mkweli amtaje tu huyu nabii wake..

    • @rahelstanley
      @rahelstanley ปีที่แล้ว

      @@jesuspower2390 sikiliza part one utaelewa,aliyepo mwenye gereji banana Ni mtendakazi
      Wa suguye aliyemsindikiza police,siyo suguye mwenyewe.Ila ambacho sijamuelewa Ni kusema kuwa Roman hawamjui Mungu,

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 ปีที่แล้ว +1

    18: 41 unasema uliambua kuacha huduma..... mara unajisahau unasema hukuacha ukawa unaendelea.. PROMEOVER Utusaidie hii sory na upande wa pili huyu jamaa ukimuangalia tu usoni anatudangaya kuna mengi yamejificha

  • @dadaz4653
    @dadaz4653 ปีที่แล้ว +2

    Tusha mjua huyo

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 ปีที่แล้ว +1

      Nisaidie na mim nimjuee bhas

    • @I_lift_you_higher
      @I_lift_you_higher ปีที่แล้ว +2

      Suguyee

    • @augenmagabila3081
      @augenmagabila3081 ปีที่แล้ว +1

      @@I_lift_you_higher Duuhhhhhhh!! Ni hatari kwa muonekano ule kweli??

    • @dadaz4653
      @dadaz4653 ปีที่แล้ว

      @@I_lift_you_higher nilikuwa nafuatilia sana zamani hata huyo mgonjwa aliye sema namkumbuka

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      ​@@dadaz4653 Can't believe my eyes....God have mercy on us. These are the last days!!!!

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว +1

    Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe;(SUGUYE)
    Wanajaribu kumpiga nabii wa BWANA ndimi zao,hawataweza;
    Hapo ndipo waliposema,Njoni tufanye mashauri juu ya Yeremia;maana sheria haitampotea kuhani,wala shauri halitampote mwenye hekima,wala neno halitampotea nabii.Njoni,na tumpige kwa ndimi zetu,wala tusiyaangalie maneno yake.(Yeremia 18:18)
    Luka 11:54 Wakamvizia ili wapate neno litokalo kinywani mwake

    • @floramongi1410
      @floramongi1410 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna nabii wa mungu hapo nani hajui kama Suge ni mpigaji?

    • @mahershalalhashbazi2189
      @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

      @@floramongi1410
      Mungu si mwanadamu

    • @floramongi1410
      @floramongi1410 ปีที่แล้ว +3

      @@mahershalalhashbazi2189 sio Kila unachokiota chatoka Kwa Mungu shetani had hujigeuza kama malaika wanuru zile nywele na kucha zilikuwa za Nini? Andiko lipi linasema twende na kucha kanisani?

    • @mahershalalhashbazi2189
      @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

      @@floramongi1410
      Kweli kabisa mtumishi alianguka,ila amesimamishwa tena.
      Nilichoandika sio ndoto(dream) ni maono ya wazi mchana kweupe.
      Soma vema comment yangu

    • @mahershalalhashbazi2189
      @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

      @@floramongi1410
      Frola my dear, kama Mungu angehesabu makosa yako,ungeweza kumkosoa yeyote leo?
      Mungu hashiki hasria yake milele,Mungu ni upendo

  • @raphaelmanfredmwasandende7493
    @raphaelmanfredmwasandende7493 ปีที่แล้ว

    Dogo tafuta pesa acha ujinga ,bado unatunzwa Kama binti.unajiita mtumishi .Fanya kazi usifikilie utakula sadaka za kujengewa kanisa na kulipiwa chumba sebule.
    Mwezio anakula maisha hapa hapa duniani ,wewe unapanyuka na leso ya jero shame on you 😂😂.

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

    Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe;(SUGUYE)
    Wanajaribu kumpiga nabii wa BWANA ndimi zao,hawataweza;
    Hapo ndipo waliposema,Njoni tufanye mashauri juu ya Yeremia;maana sheria haitampotea kuhani,wala shauri halitampote mwenye hekima,wala neno halitampotea nabii.Njoni,na tumpige kwa ndimi zetu,wala tusiyaangalie maneno yake.(Yeremia 18:18)
    Luka 11:54 Wakamvizia ili wapate neno litokalo kinywani mwake