ASAS AKASIRIKA, AWACHANA KWEUPE WANAOKEREKA AKISAIDIA WAMACHINGA IRINGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ค. 2023
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 29

  • @fatmaissa5685
    @fatmaissa5685 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakha allah kheir mbona nami natamani ningekywa huko unisaidia mungu akuepushe na husuda na chuki za wanadamu

  • @chrisemma6914
    @chrisemma6914 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤Saidia baba

  • @zabibuabdala6797
    @zabibuabdala6797 10 หลายเดือนก่อน

    Mtetezi wa wanyonge ubarikiwe sana baba.

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna kazi ya MUNGU isiyo na vita

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt 8 หลายเดือนก่อน

    Wow🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @barakanyoka5482
    @barakanyoka5482 11 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 siasa mchezo m'baya sanaaa

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 11 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂 yani kweeeli nikimsaidia mama filida unakeleeekaaa.....😂😂😂salim

  • @msombanehemia7503
    @msombanehemia7503 11 หลายเดือนก่อน

    Wanataka uwape wao ili wawe wanaabudiwa na makini dahhh ubarikiwe kama unawasaidia kwa ajira ya thawabu

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 11 หลายเดือนก่อน +3

    Siasa na umaskini

    • @abiboseleman1649
      @abiboseleman1649 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂kashajichotea.hapo.anafanya kwajili ya fursa mbeleni ukitaka.kujua viongozi waafrica wengi.wako kimaslah yao tuu

    • @jafarmlawa9627
      @jafarmlawa9627 11 หลายเดือนก่อน +1

      Asa huyu anashida gani?

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 11 หลายเดือนก่อน

      Umemalizaa

  • @TheGoldmanTz
    @TheGoldmanTz 11 หลายเดือนก่อน +1

    kampeni ishaanza

  • @denispaulo1295
    @denispaulo1295 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe unasaidia CCM sio machinga

  • @hamzakamil5001
    @hamzakamil5001 4 หลายเดือนก่อน

    hana lolote anamwaga pesa nje wafanyakaz wao kwenye makampun yao wanalia mishahara midogo amewahi kufukuza wafanyakazi wotekiwandan kisa waliomba kuongezewa mshara ibada njema inaanzia nyumban

    • @hamzakamil5001
      @hamzakamil5001 4 หลายเดือนก่อน

      kawaongeze mishara wafanyakazi wako kama kweli unania ya kusaidia kwa ajili ya mungu

  • @lucksonize
    @lucksonize 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂🤣🤣😂

  • @user-ro4wd1tf8o
    @user-ro4wd1tf8o 11 หลายเดือนก่อน

    Tumia pesa zako vzr usitishe Kwa buduki kisa unapesa

    • @frankmbatta440
      @frankmbatta440 11 หลายเดือนก่อน

      Asas hana shida ya Ubunge Hata kidogo.Angetaka angechukua Miaka Mingi sana iliyopita...in fact yeye ndio huwa anasaport kampeni nyingi za Iringa.Umri na Pesa Alizonazo hawezi kuwa na Haja na Ubunge.

    • @jafarmlawa9627
      @jafarmlawa9627 11 หลายเดือนก่อน

      Bunduki Una Iona wewe Tu pekeako mbata!

  • @abuukamugisha5994
    @abuukamugisha5994 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asas ana jambo lake 2025

    • @nassibuduma7162
      @nassibuduma7162 11 หลายเดือนก่อน

      Hatakama acheni kabisa

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 11 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana yake

    • @barakanyoka5482
      @barakanyoka5482 11 หลายเดือนก่อน

      Hahhahahaha😅😅😅😅 siasa mchezo mchafu sanaa

    • @salumissa2266
      @salumissa2266 11 หลายเดือนก่อน

      Mimi najua hiyo siasa tu unataka ubunge 2025

  • @Worldunite
    @Worldunite 11 หลายเดือนก่อน

    Asas una malengo,labda unatafuta ubunge

  • @user-ro4wd1tf8o
    @user-ro4wd1tf8o 11 หลายเดือนก่อน

    Acha vitisho ww utapata laana

  • @SeluSelu-lc8rp
    @SeluSelu-lc8rp 11 หลายเดือนก่อน

    Allah akuzdishie iman na akulipe jannah