DIDA ATOA KAULI NZITO, AMCHAMBA JUMALOKOLE -" WEWE na KAJALA MNAHARIBU PAULA, JUMA WEWE ni MNAFIKI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Leo Dida nimekupendaaaaa ❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌷🌷🌷🌷💐chukua mau yako
Didaa is a real mother
Tena Mama wa nguvu❤
Leo Dada Dida umeongea Kama mzazi tena kwa uchungu hongera mnoo Samir ana mama hongera kwako nimependa mnooo kwa kumwambia kajala ukweli
Nikwer mama bora ila dida kakosea kumsema kajala leo huyo dida sio kama kajala na Paula ni wageni kwake toka anakuwa ana mjua basi sasa unge mkanya akiwa mbichi kwa sasa mmechelewa .temea mate chini una SAMIA ww ss watu wata anza kufatilia mambo ya samia siku Mange ata kapo lipua ya mwanao usije mfata Rimutusi .unge msema kajala pembeni sio kwenye midia ss hapo kwa kajala mmechelewa sana kwa ushauri kwa Ss Mkunjeni mapema Mtoto wenu Tiffa Dangote.asije kuwa kama Paula.Mwacheni Paula huyo mkubwa mwenzetu.Muwahi Tiffa Dangote
Dida nimekupenda anauza mtoto uyo amna kaz wanajizalilisha uyo dada juma nae anapenda ela kuliko utu
Dida ni bonge la mama yaan Samira ana mama anayejielewa maashallah ❤
Dida apewe ulinzi
Dida leo nimekupenda bureee mpenzi❤
Nampendeeeee😂😂😂kachamba visawasawa eti ngoja dada. Jumalokole😂😂😂😂
Leo kanifurahisha dida
Umehonae mi ndo usiseme
Dida Sema usihogope
Aweee dida Nakupenda dada ❤❤❤🙏🙏maneno yame nyoooka
Dida wewe ni mama bora napenda unavyomlea mwanao anaupendo anaheshima toka mtoto...nampenda sana Samira beauty ❤
Waoooooo!!!!!! Dida ww ni mama Bora nakupenda Sana
Dida umeniwezea mpenz ❤❤
Dida ni mama bora mashallah nimekupenda dada ❤❤❤
Dida✊✊
Congratulations Dida ... Wewe Ni mzazi umeongea Kwa uchunguu wa dhati leoooo
Dida, na idrisa leo nimewapenda bure❤😂
Dida umeongea point dada more love❤❤❤❤
Asante dida ongea kama mama
Didah ww n mama Bora mungu akujalie kila l kheir juma kashapotea uyo kazana mama didah twakupenda sis paulah n mmke wamepotea
Dida for the first time umeongea kama mama big up❤
Dida apewe ulinzi haraka❤❤umeongea kweli dada angu
Dida nakupend bule🥰😍❤waambie ukweli wao👌👌
Asanteeee Didaa Bakora imewachapa kweli kweli Juma limekushukaaaa😏🤪kajala hana mfano mzuri kwa kina single mama 🗣️🗣️🗣️🗣️🙆🏽♀️🎥🎥🎥🎥
Dida ana akili
Dida km Dida .....umesema vyema ❤
Huyu Juma mjinga tuu. Dida I love you sooo much
Juma wa hovyo sana
Hongera dada d'Ida MUNGU akuzidi kuku wezesha mashauri mema kwako acha huyo djuma lokole mjinga huyo mimi ni mkongo ninaishi congo dada dida nataka namba yako hongera tana dada dida
Dida na idrisa mmenifurahisha leo mko sawa kabisa juma lokole hafai
My lovely ccy Dida she's so smart nyie kudaadeki
Dida umeongea point sana 🇰🇪🇰🇪❤️
Kweli dida unasema.
Juma leo umepatikana. Dida umeni furahisha, kwakweli. ❤
Juma mnafiki indeed. U're the best Dida
Dida mama wa hekima❤❤❤❤
Dida wewe nimuzazi Bora👌👌❤
Dada umeongea vizuri san nimekupnda sana.uyo mama ajielew kabisaaa!
Hongeeraaa Dida na IDRISA Allah awasimamie vizaz vyenu
Nimewapenda san dida na idrisa
Dida hongera mom uko sawa kabisa juma mnafkii kasha aibika lkn hakomi kila siku chefuuu😂😂
Yaan huyu juma hamnazo 😢😢😢 alafu huyu paula sahivi ndoanamuona rayvanny ni mfupi jamana
Dida ❤❤❤❤ nakupenda msute na kajala,
Didah wawoooooo bora mwaya
Dida dida dida shikamoo nakupenda.
Juma mjinga ww dida safi sna respect sna❤❤❤
Nimegundua kitu kimoja juma lokole ana ubongo kama wa bata🙂
Dida super woman ❤❤🎉
Juma WEWE MNafk dida respect 🔥🙌🤝🤝❤️❤️🥰
Djuma nimnafki sana kaja ni ibwa ya mama ana malezi mshezi sana mtoto mdogo unamfanya kilamsani atembeye namwanawo afu unamsapoti ibwa ya mwanamke
Kwani Paula ni mtoto ...no please leave Kajala alone time Paula alikuwa under age...Ray alilala korokoroni...
..Sahi amejuwa different between maize and Beans...
Huyo juma na kajala ni mtu na mke mwenzake waoish nyumba moja na kupendana knafk😢😢all in all Dida your so good mother ❤
Silali juu yenyu jameni,nikiwa hapa Nairobi 🇰🇪🇰🇪
Dida umeongea kitu chenyewe kabisa❤❤❤ juma ajielew uyu
Family ya wapumbavu kajala nimama mjinga sana
Dada Dida Asante sana
Huyu mwanadada anafaa zawadi dida umegonga ndipo❤❤❤❤❤
Dida Kweli wewe ni mama Kwa Kweli juma anampotosha mtoto wa mwenzake yaani sijaelewa juma ni pesa au nini mpaka anampotosha hivi. Dida safi wewe ni mama
Asante sna Dida shaibu leo umeongea ukweli kbs na kuongea kma mama mzazi nakupenda bure Mungu akutunzie kizazi cako kiongoke🥰
Asante dida❤
Yaani Leo dida nimependa sana
Nakukubal dida abint ❤❤❤
Dida mama bora congratulation
Jameni apo hua noma sana kwanza juma na dida weuh😂😂😂😂...l lov you guys from kenya❤
Dida umeongea maneno kuntu kama yawati milioni❤ uyo juma ana ajualo uyo afai kuitwa ata baba
Jamanni Paula kajala ravnnyn anamupenda zana tagu kitabo anamupenda Paula kajala ♥️♥️😀😀
Dida ni mama...juma lokole njaa Kali
Love you dada Dida
Dida reo unawongea ukweri sana ❤❤❤❤
Dida umeongea Point saaaaaana Big up sis, uyu Juma mpuuzi tu
Nakupenda dada dida
Mashaallah didaa unasema ukwel mpaka raha❤😊
Dida love u sis. Nipo canada ila nawa fatilia sana ❤❤❤❤❤
Dida ni msema ukwel Dida ni Good mama jmn lkn kajala ni kahaba na ndio mtt karith coz anajiharibia carlea mwenyew yaan mama ana sifa chafu mtt kwann asiwe changudoa mwachen tu mtt afate njia 😢
Juma Lokole ni mnafiki, sasa ndio unapenda Kajala lakini alipokua na Harmonize, alikua mbaya sana tena mjinga. Such a hypocrite.
Bien dit
Umeongea Kama mama dida hongera dada❤❤
VANIBOY Chui anamupenda. Paul VANIBOY anamupenda ♥️♥️♥️🙏
Asante Dida
Didaaaaaaa hongera mama❤
Dida big up
Dada Didah..barikiwa.kajala mjingaaaaaa..kajala anauza Heshima ya mwanae Kwa ujinga...
Dida bz unadtahili 🎉🎉🎉
Dida uko vzr sana hongera Kwa kumpa juma ukwel mtt asikupande kichwani bwana sio malezi bwana habali ndio hyo
Dida love you gog bless
Da pesa mbaya kajala hutalia wakukunyamazisha hakuna. Da muhokowe mtoto kajala raha ngani hunayo masikini da wamuonea sana na njaa yako hutajuta da mtoto mzuri anaishiada kajala nakuomba
Asante dida
Dida nakupenda sana uko mukwelii kabisa
Kajaia kuwa makini sana na Juma, mnaibishwa sana
Dida❤
Kweli dida uyo locale katushoshaaaa
shikamoo Dida
Ila Juma wewe unamuharibu mtt wa watu na Kajala anakuangalia looooh,mwanaume mzima una mambo ya hovyo.Unatia aibu sana aise
Asante Dada Dida, kwel tupu umeyaongea
Da divaa I love you
Dida leo nmekupenda sanaaa ww ni mama kabisaaa
Dida uko sahihi kajala hajitambui kuna Leo kuna kesho dunia tunapita hii
Dida, Dida, Dida, , , , ❤️💖
Safi sana dida
Nampenda sana fahma♥️
Ndio kabisa sana dada
Dida na babu idi mmesema vizuri.
Dida Mungu atakubaliki hayo ndio malezi ya mama kwa mtoto juma unatupigia kelele
Dida uko mzazi kabisa paulla angekuwa basi mtoto wako ungemnyohoshaa kabisa
Kabisa 💯
Jamani shoga uyo anazingua sana dida mchane
Dida keep it up
Did kuywa guarana bill qwangu ❤❤❤❤
♥️♥️♥️dida
DiDa😘😘😘😘
Rayvan handsome sana
DIDA LEO NDIO NIMEKUONA UNAKILI SANA JUMA HUNA AKILI WW HOVO SANA
Yes dida upo sahihi kabisaaa,na juma lokole acha ubwakini mfyuuu