UTACHEKA! VURUGU ZA BABA LEVO AKIMPOKEA OSCAR OSCAR, AMVAA EDO - "USITULETEE UJINGA HAPA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2023
- UTACHEKA! VURUGU ZA BABA LEVO AKIMPOKEA OSCAR OSCAR, AMVAA EDO - "USITULETEE UJINGA HAPA"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Doh! Nimekubali kweli usafini hakuna shughuli ndogo big up
Nomaah
Wasafi babu kubwa
Hao woooote sawa na masanja mmoja
Duuuuh wasafi wapewe maua yaooooooop
Nakumbusha tuu cku ya kukishindwana bus muwagane kwa shagwe kama izoo
E FM ni academy inakuza inauza
Creativity
branding to another level...sio poa
Wengine wamepew ubwabwa bhac kelelee kama zote subili mtolewe nje ya gate🤣🤣🤣
Raha ya ukifurahia kitu ujal chochote hata km badae utapoteza
Kweli Tanzania ukifa kwa pressure umetaka mwenyewe
😂😂😂😂
Ety kuna mwanasheria kama diamond 😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani huyu BwaBwa LEVO ni mswahili zaidi ya waswahili simaanishi lugha lahasha ila nkisema mswahili ni zle tabia za watu wanaoish sehem ambazo ustaarab ni 0
Huyu jamaa na mwenzake mbna wanaiga sana majina ya watu mashuhuri zaid yao kwan hawawezi tafuta majina yao ya a.k.a og?? Mara Dangote× sheikh mansour ×bakhresa ani wanahangaika sana na majna ya watu ilhali hao wenye majina yao hatujawah wala kutarajia wakijiita majina ya hawa wanaoshobokwa na majina yao!!!
Babalevo mropokaji sana nusu aseme mkali kutoka Efm akavunga na kutoka pande zotezote dunian😂😂😂
Ila baba levo Hana akili😅😅😅😅
Mashoga
Baba yako😂
@@ZeraGeofrey Kama unawashwa mtafute baasha ako
Na ww kama unawasha mtafute baba yako
vijana wamejazwa ujinga na umasikini hakuna ata la kukalia apo ni upumbavu mtupu
Tafuta ela 😁
Ww mwenye akili mbona unapoteza bando lako kwakuangalia ujinga unaofanywa na vijana wajinga 😂😂😂
Hahaha 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani ni ujinga mtupu sasa hii ndo nini kama media imechunda imechunda
Unateseka
We kicha kweli eti wasafi imechunda 😂😂hiyo nihabari nyingine
Hii uyu katokea rufiji au sa hapa bongo kuna media inayoiubalika kama wasaf
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 watesekea wapi ndugu yangu
Buku mbili tu unapiga kelele kama chiz
We ndio mjinga zaidi wao wamepewa buku mbili kushangilia we umetumia bukumbili yako ya bando kuangalia na kuwaongezea views 😂😂😂😂. Elimu muhimu sana sasa hapo nani mjinga zaidi kati yako na wao waliokula
Bongo bana kipi chaajabu hapo oscar oscar nae kawa star vitu vingine navyo yvakijinga kweli