"RC NIACHIE HUYU NAMMUDU" - UJENZI WA SHULE WAZUA MTAFARUKU SINGIDA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ค. 2023
- "RC NIACHIE HUYU NAMMUDU" - UJENZI WA SHULE WAZUA MTAFARUKU SINGIDA
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Ferdinad irunde uko poa sana kureport, big up mnyampaa,
Uhusiano wako na Mungu, ndio msingi
imara wa mahusiano yako na watu wengine.
mweshimiwa hapo tumia rungu kama makonda ukiwaambia naombeni hawatakuelewa
Watanzania ni watu wa ajabu sana!
Kwa vitu kama hivi inapaswa uchunguzi wa kina busara hekima na hofu ya MUNGU
Usisiemu ndio shida hapo msichanguee chama hapo
Jamani chonde chonde kwa viongozi wetu wa ngazi za juu chunguzeni haya mambo kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi ivi hadi ujenzi unafikia hivo vitongoji viwili tuu ndo vimefanya kazi peke yao! sio kweli; angalieni kwa makini kuna genge la wahuni kijijini kwetu linalosababisha haya yote
Nyinyi maccm ni majizi tu hata Mimi siwezi kuchanga hiyo fedha
kwann lazima kuchangia shule sio lazima niwajibu wa serekali
Sasa ingekuwa kujitolea kwenye ujenzi wa nyumba za ibada!!!kungefurika watu na chakula kingekuwa kinapikwa saiti!!
Huo u Ccm ndo unao watafuna hamuwezi fanya kazi bila kutaja hilo jina??????????
Majitu ni mezi lakini wananchi tuwe kama mbogo lazima kumshughulukia ipasavyo sasa watu wanachukulia poa miladi ya wananchi haya hauwezi yaona dunia kokote lakini unakuta vitu vya kijinga bado watu hawajitambui sio blabla.
Nyie nchi imeshakwisha yamebaki maneno tu stupid