"NI KWELI NALELEWA NA NANDY, NINA FURAHA KULELEWA NA MWANAMKE NINAYEMPENDA" - BILLNASS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @LoveAron
    @LoveAron 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nenga ni mpambanaji na Ana pesa wabongo acheni dharau Endelea kupambana kijana waache wanao jaji maisha ya watu ❤❤❤🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 😍👌

  • @magrethherin7110
    @magrethherin7110 6 หลายเดือนก่อน +11

    Majibu konki mwachaneni ale maisha yke na nyinyi leleweni kama ni rahisi

  • @VenasiaEmmanuel
    @VenasiaEmmanuel 6 หลายเดือนก่อน +6

    Huyo kaka mpole sana hana makuu

  • @emratekawala5853
    @emratekawala5853 6 หลายเดือนก่อน +3

    My papa billnass ❤❤❤❤

  • @mwashiwamwashi5620
    @mwashiwamwashi5620 6 หลายเดือนก่อน +12

    Ndugu yangu NENGA walimwengu wasikusumbuwi, kwanza hao watangazaji wa wasafi unawazidi hela wote, hakuna hata Moja mweye account yanyekuwa na hela kama ya kwako. Kwaiyo wasikusumbuwi jamani.

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kabsaa wambea saana na hua wanahoji maswali ya kichonganishi saana, kuweka matabaka au makundi baina ya watu inshort wako unproffessional kabisaa sheet!

    • @idatonymassawe
      @idatonymassawe 6 หลายเดือนก่อน +1

      Nimemwelewa sana nenga. Kaishi na mitizamo yao

  • @pharleserasto3114
    @pharleserasto3114 6 หลายเดือนก่อน +2

    Big up nenga washamba hawawez kuelewaaisha yko kaz yao umbea tu

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 6 หลายเดือนก่อน +3

    Komesha jibu zuri sana kawaweza sana

  • @LeilaAbdull-jg6ho
    @LeilaAbdull-jg6ho 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman hapo analelewaje SASA mbona wanalingana bado Kaka yupo Kwenye kuhaso MDA mref

  • @dolphin4791
    @dolphin4791 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nengaaa🔥🔥🔥🙌🙌pambana unajua sanaa

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jibu zuri sana 👏👏

  • @yayaalee7229
    @yayaalee7229 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nenga ❤

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 6 หลายเดือนก่อน +3

    Alichovaa kichwani watu wanajua kazi yake ni nini kweli? au ndo swagger🤣🤣

  • @deepstate001
    @deepstate001 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nenga hana jasho😂 itabidi alelewe tu😂😂 atakulaje kwa jasho😂😂

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 6 หลายเดือนก่อน

    Wakuu aseee🎉🎉

  • @braggadachu1723
    @braggadachu1723 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amejibu kisomi sana hapo kwenye kulelewa angekataa mada ingekuwa kubwa sana

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kupiga kiuno pia nkazi ya jasho 😂❤

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 6 หลายเดือนก่อน +2

    MJibu yakihakili

  • @JP-lx1le
    @JP-lx1le 6 หลายเดือนก่อน

    Jasho hilo bilinasi hana mamae😅😅

  • @SephMkondokaya
    @SephMkondokaya 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mangi kama mangi

  • @ashakijaji5869
    @ashakijaji5869 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe mtu mwenyewe hata halelewi,na magar yote hayo Sasa analelewa vp

  • @naviebeatz
    @naviebeatz 6 หลายเดือนก่อน +1

    hii content mbona ilishapitaga mkuu imagine angekua ndo dada ako alaf una kumbushia makovu kama aya ishushe hii

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 6 หลายเดือนก่อน

    Nenga Mtu Mwenye Busara na Hekima 🫡💯🔥

  • @BerthaAmos
    @BerthaAmos 6 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa hiyo pin unatupa tafsiri gan au umeshaolewa na wachinaaaaa

  • @AminaLugundy
    @AminaLugundy 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani katoboa pua

    • @Sharmy_02
      @Sharmy_02 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio

  • @HamadMwagoani
    @HamadMwagoani 6 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa mama mwanaume analea alelewi jitambue mshamba

    • @debramsanga8379
      @debramsanga8379 6 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa wewe kama umesikia interview toka mwanzo ...ungejuwa billnass anafanya jokes...ama ujasikia vile alianza biashara yake...learn to listen before commenting