MWILI WA SHIRIMA WAAGWA KITOFAUTI ARUSHA, WASAFIRISHWA KUELEKEA ROMBO, ANGALIA MSAFARA WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @aminielimushi8709
    @aminielimushi8709 ปีที่แล้ว

    Kweli Rc Chalamila mbwembwe hizi Kwara Kwara Kwara Kwara sijui ni biti wanaunda au

  • @athanasekiyoja8369
    @athanasekiyoja8369 ปีที่แล้ว

    Happy ndipo utakapojua ya kwamba,pesa na bangi hazina tofauti sana,mbwembwe zote hizo ni kwa ajili ya pesa tu.

  • @rosethomaslugendo-mf8ec
    @rosethomaslugendo-mf8ec ปีที่แล้ว +1

    Kafa na heshima yake

  • @simonitaagesti4765
    @simonitaagesti4765 ปีที่แล้ว +2

    mpelekeni mumpumzishe mwenzenu acheni mbwembwe keshakufa

  • @joramkimario9321
    @joramkimario9321 ปีที่แล้ว

    Bas sawaaa

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว +3

    Hy maisha ya dunia yanatufundisha kuwa ht uwe na Mali za dunia nzima huta enda nazo bilionea wa ndege leo anaondoka na vitu ambavyo pesa yake haifikii ht pesa aliyonunulia ndege ht 1 😢😢polen wafiwa apumzike kwa amani 😢😢😢

    • @rajabhamis3494
      @rajabhamis3494 ปีที่แล้ว +3

      Familia ipo tafuta kwajili ya kesho ya wanao

    • @deonicemollel4205
      @deonicemollel4205 ปีที่แล้ว

      Kwahivyo tusitafute au wewe ukifa uzikwe n zako bas

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว

      @@rajabhamis3494 mie ni muislamu ntazikwa na shuka 3 ( sanda) na pamba tu tafuta tuu kwan nimekukataza?😳😳salamati lkn pumu yako pumulia huko🙌🙌🙌

  • @emanuelmathias202
    @emanuelmathias202 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂comment zinafurahisha Sana ngoja mm nitafute pesa($700) pia tumuombee Mungu ampumzishe Mzee wetu mahali pema peponi 🙏🙏

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 ปีที่แล้ว

    Kumbe Mkuu wa mkoa wa Dar alisema kweli mbwembwe kibao sijui za nini RIP Mzee wa ✈️✈️

  • @priscusgodwin
    @priscusgodwin ปีที่แล้ว +2

    Golf, mchezo wa wazito🙌

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 3 หลายเดือนก่อน

    Lema enyewe anamiliki ndege wachaga oyee

  • @reubenshaban6488
    @reubenshaban6488 ปีที่แล้ว

    Dah mke wangu siku nikifa tadhali na mimi weka mazingira ya hivyo vi golf maana nina uhakika nitaacha account iko vzr

  • @prosperreuben1724
    @prosperreuben1724 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ni heshim kwa mcheza golf mwenzao vp sisi wacheza draft

    • @rajabhamis3494
      @rajabhamis3494 ปีที่แล้ว +1

      Nakumbuka Gymkhana club Arusha mzee kuna siku alikuja kwenye wali maharage tukala pamoja na story nyingi sana mimi namjua mzee toka 1998 nadhani kwa hiyo tupambane mzee n mtu mwema sana alikuwa

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว

      Utazikwa na visoda 😂😂

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 ปีที่แล้ว

      Je na sisi wacheza ile michezo

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 ปีที่แล้ว

      Maoni mengi ni ya hasira😂😂😂tutafute hela tu hayo ys kusema mbwembwe sijui nini heebu tumuachie Mungu atajua cha kutufanya tukifika kwake

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 3 หลายเดือนก่อน

    Hao ndo wachaga wapambanaji tafuteni pesa kama wachaga

  • @edenilyimoedenilyimo-we6dg
    @edenilyimoedenilyimo-we6dg ปีที่แล้ว

    Uyo ameitwa na mungu mengine madoido tu ayo

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว +1

    Hata angezikwa na mali zake zoooote pamoja na ndege zote za precision bado haisaidii kitu.. hapo kitakacho msaidia ni Dua tu..

    • @mosesmaiga7408
      @mosesmaiga7408 ปีที่แล้ว

      Kufa ni maumbile haya wewe ukifa utazikwa nanini usiwaze kimasikini ivyo

  • @elisante6838
    @elisante6838 ปีที่แล้ว +2

    Comment za wabongo walalaoi utawajuwa tu

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 ปีที่แล้ว

    Hata ulete mbwembwe zozote zile kufufuka no

  • @MaaneML
    @MaaneML ปีที่แล้ว

    Comments za wivu utazijua tu.

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 ปีที่แล้ว

      Wivu wa nini Sasa,
      Wamuonee wivu kwa kuwa amekufa?

    • @juliethmoshi2923
      @juliethmoshi2923 ปีที่แล้ว

      Yaniii wanaudhi na comment za kijinga sana

  • @athanasekiyoja8369
    @athanasekiyoja8369 ปีที่แล้ว

    Kifo ndiyo kiboko ya wote baba.