TRAFFIC ALIYEFUKUZWA KAZI AMLILIA RAIS NA IGP "NIPUNGUZIWE ADHABU, WEMA ULINIPONZA, MKE KANIKIMBIA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2.4K

  • @fatmaothman5730
    @fatmaothman5730 ปีที่แล้ว +3

    Dha!pole sna kaka angu,ln Sha Allah mungu atashusha rehma zake.Amiin kufanya kosa sio kosa kosa ni kurudia kosa.

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 ปีที่แล้ว +22

    Anaye amini kama Mimi ninavyo amini huyu Askari kasamehewa na ndoto zake zitatimia wasipomsamehe binadamu Mungu ashamsamehe.like twende sawa

  • @fextomaturo3674
    @fextomaturo3674 10 หลายเดือนก่อน +5

    Daah Yan. Nimejisikia vibaya sanaa pole sanaa mwanangu

  • @felisterlusha8064
    @felisterlusha8064 2 ปีที่แล้ว +7

    Poleee sanaa kwa maisha unayopitia na changamoto uliyopitia Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika maisha yako usichoke kumwomba Mungu kiukweli inauma sanaaa

  • @theprincejr1417
    @theprincejr1417 9 หลายเดือนก่อน +4

    Dahh 🙏utarudi kaz bro...4/2024

  • @winfridagama5832
    @winfridagama5832 2 ปีที่แล้ว +11

    Binadamu wengine wanaroho mbaya Sana,Ahsante Basi kanywe maji ya kunywa,Bora ungeniacha na kiu yake

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 ปีที่แล้ว +11

    Nimejisikia uchungu pole mwanangu ubinadamu kazi tafuta biashara labda mungu amekuepusha usilazimishe mweleze Mungu yy atakuonesha njia

    • @danielmwembe8078
      @danielmwembe8078 2 ปีที่แล้ว

      ni kweli ushauliwako ni mzuli usilazimishe mungu Anamakusudiyake amekuandalia nini mungu hakosei na wala hachelewi

    • @kupelakupelaa2580
      @kupelakupelaa2580 2 ปีที่แล้ว

      ni kweli mungu aliyetuuumba anatujua vizuri sana inawezekana kakuepusha na tatizo kubwa zaidi ya hilo na inawezekana kuna sehemu yako ipo sahihi zaidi siyo lazima ufanye kazi ya polisi tu kikubwa muombe allah akupe mbadala wa kazi ya polisi

    • @FurahaPetro-ly8jc
      @FurahaPetro-ly8jc 4 หลายเดือนก่อน

      Umeongea vyema afanyie kazi ushauli

  • @ezekielmsemwa8194
    @ezekielmsemwa8194 2 ปีที่แล้ว +8

    Pole Sana Kaka. Mwenye enzi Mungu akusikie kilio cha moyo wako. Nimevaa uhalisia naumia sana

    • @JosephineMhando
      @JosephineMhando 2 หลายเดือนก่อน

      Hapo kwa mzazi aliyempambania mwanaye alaf mwisho wa siku inakua hivi,huruma kwakweli

  • @davisnkoba2683
    @davisnkoba2683 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuu pole Sana dogo ,kusema kweli maongezi yanaonesha unaongea unamaanisha ,naamini kama kiongozi ama viongozi watakusikia na kukupunguzia adhabu . Amina utasimamia kweli yako na kuwa mfano kwa wengine . Mungu akutetee .

  • @mohamedkinega6521
    @mohamedkinega6521 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dogo wema umekuponza cha msingi jipambanie maisha yako kwani umri bado mdogo,huyu dereva na mwenzie wala sio waungwana sijui sasa wanajisikiaje walivyosikia umeachishwa kazi.pambana kutafuta kazi hata hiyo kazi ya boda inaweza ikakuweka sehemu nzuri pia na maisha yakakuendea vizuri tu

  • @kwilasacharles1747
    @kwilasacharles1747 2 ปีที่แล้ว +19

    Pole sana bro ni changamoto zitaisha,mtangulize Mungu kwa kila jambo yeye ni muweza wa yote

  • @mayombotz
    @mayombotz 2 ปีที่แล้ว +58

    Kama haijakukuta mitihani huwezi elewa anachozungumzia. Allah akusimamie brother

  • @ashafroholdt7697
    @ashafroholdt7697 2 ปีที่แล้ว +23

    M/mungu atakusaidia mama Samia, IGP na waziri wa mambo ya ndani watakusamehee. Ukisamehewa usije kumwamini tena mtu, pole sana kaka

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 ปีที่แล้ว

      Ttb th-cam.com/video/HLqvhu8vj98/w-d-xo.html

  • @kennethamman9492
    @kennethamman9492 ปีที่แล้ว +1

    Duh pole Sana kijana mwenzetu mungu at a walipa kwa Hilo Kama kweli

  • @fextomaturo3674
    @fextomaturo3674 10 หลายเดือนก่อน

    Daaah pole sanaaa dogo mungu akujalie urudi kwenye kaz yako mungu msaidie tyu hawa wanawake ndo walivyo tyu anakupenda ukiwa nacho

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 2 ปีที่แล้ว +42

    Huyo alierekodi mjinga sana kumuharibia mwenzio maisha umepata faida gani? Inshaallah m.mungu atakusimamia kaka

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 2 ปีที่แล้ว +1

      Kikubwa tumuombee kwa mwenyeezi mungu ampe moyo wa subra kwa uwezo wa Allah atarudi kazini aliyemrekodi mjinga sana wapo wengi wanafanya hivyo halafu wanachukuwa pesa nyingi hao waliojifanya hawana furaha ndio wakwanza kuchukuwa pesa ndefu wamsamehe

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 2 ปีที่แล้ว

      @@رقيهالخصيبي inshaallah mungu atamfanyia wepesi🙏yani hata sikuweza kuangalia mpaka mwisho imeniuma sana kwakweli😢

    • @mustaphawelder7022
      @mustaphawelder7022 10 หลายเดือนก่อน +1

      Sio mjinga Bali ametusaidia kwa wapenda rushwa na bado mkome, huwa raia huwa tukipata majanga na tukiletwa police badala ya kutenda haki, mnataka rushwa tena kwa razima

    • @gilbertkalanda9354
      @gilbertkalanda9354 6 หลายเดือนก่อน

      Sio Shaka wewe polisi

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 5 หลายเดือนก่อน

      Fikiri kabla hujachangia comment yako.​@@ashaally6993

  • @daudmabulamashenene1854
    @daudmabulamashenene1854 2 ปีที่แล้ว +25

    Pole sana mkuu naamini viongozi wamekusikia watakufikilia, ila endelelea kumwomba Mungu hilo litaisha tu! na utarudishwa kazini.

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 ปีที่แล้ว

      Tyi th-cam.com/video/HLqvhu8vj98/w-d-xo.html

    • @mustafaally7718
      @mustafaally7718 2 ปีที่แล้ว +1

      Aliyekupiga picha akikuona Leo sijui Kama atabaki hai Mana amesababisha wadogo zako wamekosa elimu baba yko mgonjwa

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 2 ปีที่แล้ว

      @@mustafaally7718 kwaiyo ajitoe uhai?

    • @mustafaally7718
      @mustafaally7718 2 ปีที่แล้ว +2

      @@sir_ENOCKMACHA amtafute amuombe radhi kwa Mana anamuharibia future kwa Jambo dogo san

    • @hijjafakky1381
      @hijjafakky1381 2 ปีที่แล้ว

      Huyu harud Kazin na akirud bc nabii Issa bin maryam ( YESU) atarud ulimwengun😁😁😁😁

  • @wernermwanjala5680
    @wernermwanjala5680 2 ปีที่แล้ว +21

    Pole sana kaka, Mungu ni mwema. Utavuka salama.
    Mungu akupe nguvu na usije kupata moyo wa kisasi. Kila Jambo Lina kusudi ya kukufikisha mahala.

  • @afragafiseki8745
    @afragafiseki8745 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole xana kijana nakujua vizuri xana niliona umepotea ghafla pole xana Ila Mungu yupo utaludishwa tu wakusamehe tu kwakweli

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 2 ปีที่แล้ว

    Utapata kazi nzuri tu ayo ni majalibu katika maisha mungu nimwema

  • @mwendaibrahim8107
    @mwendaibrahim8107 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ni mwenye huruma sana ,,na amesikia kilio chako ,,atakupa kicheko iv soon in Jesus Name🙏🙏🙏

    • @AlAmeenAbduAllah
      @AlAmeenAbduAllah หลายเดือนก่อน

      Fitina ni mbaya sana kuliko kuuwa ni maandiko ya Mungu wetu. Huyu alochukuwa video na kuisambaza kafaidika kitu Gani. Mimi mwenyewe mara kwa mara nawasaidia askari hasa siku za jua Kali hela ya maji na mwezi wa Ramadhani nawapa baadhi ya askari wa traffic futari ya tende. Wapi nimepunguwa. Elf 5 sio rushwa.
      Askari huyu kapewa elf 5 kama Asante baada ya kujali ugonjwa wa mama wa dereva muhusika.
      Nawaomba wahusika wote wamsamehe kijana wetu huyu ili wazee wake wapate uzima. Ndugu zake warejeshwe shule. Mtoto wake alotoweka na mama yake amjuwe wapi yupo.
      Na mtu alofanya fitina hii Mungu amzinduwe asiendelee na ujinga alofanya.

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 5 หลายเดือนก่อน +9

    Pole Sana Mungu akusimamie utarudi tu kwa uwezo wa Mungu 🙏🙏

  • @nasmahamisi5721
    @nasmahamisi5721 2 ปีที่แล้ว +46

    Ikitokea Allah amekujaalia umerudishwa kazini usirudie kosa ,tunakuombea kwa Allah usamehewe ,pole saana

    • @athumanmuharami2571
      @athumanmuharami2571 2 ปีที่แล้ว +3

      Mungu akufungulie milango yako ya ridhki

    • @husseindumwala3431
      @husseindumwala3431 2 ปีที่แล้ว +2

      inshaaaalah

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 ปีที่แล้ว +1

      Vijan wa leo akili zip mikundun mwao ww miak 20 ushapat kaz af unachezea wat wana 35 hatahawajui lin wataajiliwa mpuuz tu mtoto mdog kaz miak 2 ashaanz tamaa za rushwa inaonekan ndio tabia yake

  • @allyhamadi5064
    @allyhamadi5064 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndugu yangu kama urimwachia kwa uruma alafu yeye kakufanyia ujinga mungu anaona mm nakuombea urudi kazini

  • @andrecorte3681
    @andrecorte3681 ปีที่แล้ว

    Pole sana bwana mdogo.mungu atakusaidia umefanya wema lakini umekuponza umesema ukweli wako.
    Tunaiyomba serikal ikusamehe.

  • @trayoversion
    @trayoversion 2 ปีที่แล้ว +90

    Kazi sio lazima uaskari sisi wengine tulikua huko tukatoka na maisha yanaenda vizuri tu /maisha popote ndugu usikate tamaa

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 ปีที่แล้ว

      Gyh th-cam.com/video/HLqvhu8vj98/w-d-xo.html

    • @erickchitumbi1308
      @erickchitumbi1308 2 ปีที่แล้ว +4

      Itabidi mkutane ili aweze kuamini hilo

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว +10

      " unajua ukishazoea kulipwa mshahara,halafu alikuwa ni askari anaona akija kufanya mbishe zingine itakuwa Nouma!!!!!! Kwahyo afande kutana nae umpe maujanja

    • @erickchitumbi1308
      @erickchitumbi1308 2 ปีที่แล้ว +2

      @@highzacknnko9685 mbaya zaidi inaonekana katokea zile familiya zinazoamini mafanikio yanatokana na kuajiliwa.kumbe unaweza kujiajili kwa muda wa miaka 10 ukapata hela ambayo ungepata kwa miaka 30.ebu msaidie kama ukionana naye.

    • @rehemajuma2202
      @rehemajuma2202 2 ปีที่แล้ว +1

      Changamoto ni mtaji ....yaani wema ulimponza masikini,yaani wamemuhaeibia maisha na kwao yeye sasa ndo ilikuwa akionekana msaada.dah! Inauma sn

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 2 ปีที่แล้ว +18

    Hapa namkumbuka baba JPM aliwahi kusema 5,000 ni yakupigia kiwi na sio rushwa
    Lala salama Mzee wangu MAGUFULI 🙏🙏🙏

  • @yuah9614
    @yuah9614 2 ปีที่แล้ว +21

    Sijawahi kuguswa na habari za mtu kufukuzwa kazi lakini hii imenitoa machozi mungu atajalia kaka utarudi kazini amina

  • @shangalimasafaris3106
    @shangalimasafaris3106 2 ปีที่แล้ว +1

    This guy he look very innocent be strong and God will stand with you you have to know everything happen for reason

  • @paschalmmari111
    @paschalmmari111 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ameruhusu hilo likutokee ili akunyenyekeze, ili akufundishe kumtumaini Yeye. Mtafute YESU kwa bidii akuonyeshe kusudi lake juu ya maisha yako

  • @salehsleyum
    @salehsleyum 5 หลายเดือนก่อน +3

    kitendo alicho fanya huyu alie mrekodi sio uungwana, bila shaka huyu alikuwa amemdhamiria. but mwanaadamu hukosea na ndio kawaid yake. pole broo mungu akufungulie milango mema zaid y rizki

  • @lawrentmwilongo6072
    @lawrentmwilongo6072 2 ปีที่แล้ว +4

    pole sana bro, umeomba msamaha Mungu asaidie urudi kazini.

  • @khadijalambo2138
    @khadijalambo2138 2 ปีที่แล้ว +23

    Nimelia sana tena sana,mungu wa mbiguni namuweka kijana huyu katika mikono yako.Hakuna mkamilifu ispokuwa wewe mungu.Nakuomba wewe mungu ukawaguse viongozi wetu wakubwa wakamsamehe kijana huyu.😭😭😭

    • @zawdyswety5343
      @zawdyswety5343 2 ปีที่แล้ว

      N
      M
      N
      .zb.
      .;
      ,=
      .
      ,
      . N.
      .,b

    • @zawdyswety5343
      @zawdyswety5343 2 ปีที่แล้ว

      Bc
      Z

    • @stevenmabungi3245
      @stevenmabungi3245 2 ปีที่แล้ว

      Amina
      Tunamuombea sana ndugu yetu arudi kazini,si tu kwa kosa naamini kabsa aliyerekodi ni maksudi ilifanywa walimtafuta ili wamharibie maisha kijana huyu
      Mungu wa mbinguni atasimama kijana atarudi kazini🙏🙏

    • @stevenmabungi3245
      @stevenmabungi3245 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina
      Tunamuombea sana ndugu yetu arudi kazini,si tu kwa kosa naamini kabsa aliyerekodi ni maksudi ilifanywa walimtafuta ili wamharibie maisha kijana huyu
      Mungu wa mbinguni atasimama kijana atarudi kazini🙏🙏

    • @amirymusa7563
      @amirymusa7563 2 ปีที่แล้ว +1

      Hawa sio watu wanatutesa barabaran Yan nawachukia Sana Bora hata alivyo fukuzwa madereva sisi tunajua mateso yahao watu Nisha pigwa fine zakubambikiwa nyingi sanaaa Yan bora

  • @redemptorbbombo402
    @redemptorbbombo402 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Kijana umenitoa machozi. Mwenyezi mungu akuwekee wepesi usamehewe.

  • @emmanuelamos2553
    @emmanuelamos2553 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana dogo Ila kazi zipo nyingi Sana siyo upolisi tu acha kulia changa karata zako vzr Mungu atakusaidia usiforce kazi hiyo yawezekana Mungu amekupangia issue nyingine ya maana Zaid ya hiyo

  • @muhigwasiniibagiye6587
    @muhigwasiniibagiye6587 2 ปีที่แล้ว +80

    Pole sana Bwana mdogo. Kiukweli ulikosea kutokana na uungwana wako wa kumsaidia huyo dereva. Mungu Mkubwa huyo aliyechukua video na kuisambaza siku yake pia itafika,unayoyapitia yote yatamsibu,kwani kiendacho kwa duara hurudi kwa duara. Mungu Akubariki na Akufungulie milango mingine uendelee vema na maisha yako. Usimuamini mtu tena, mziki unaopitia mnene.

    • @tatumwakitwange8369
      @tatumwakitwange8369 2 ปีที่แล้ว +4

      Pole sana mungu akusaidie

    • @joanngatulile4687
      @joanngatulile4687 2 ปีที่แล้ว +4

      Yaani binadamu sisi wabaya sana mtu umemueleza shida yako kya unauguliwa afu kweli unamsnitch kwa kusambaza video kweli jamani?😭😭😭Mungu atamlipa huko aliko,pole kakangu ni changamoto haswa mtaani pagumu kweli lakn naimani Wakuu watakuskia na Mungu atafanya njia tena Insha’Allah🙏🙏🙏pole mwaya

    • @eliaikammary7525
      @eliaikammary7525 2 ปีที่แล้ว +2

      Msaidieni,wangapi wanachukua nyingi tuu hawafukuzwi,ni balaa tuu msaidieni jmn,atajirekebisha

    • @tumsifujoachim5877
      @tumsifujoachim5877 2 ปีที่แล้ว +3

      Kama kumsaidia why asingemuacha na kumuonya?

    • @hilmialiomar1983
      @hilmialiomar1983 2 ปีที่แล้ว +5

      Huyo aliyemrikodi cjui kapata faida gani,maana mwenziwe kishamuharibia maisha.kuna watu wanafanya makosa makubwa duniani kuliko yy. Pole afande ila ucje kupokea au kumpa mtu rushwa tena katika maisha yako. Ila muombe Allah (SWT) atakusamehe na atakujalia kazi nyengine.

  • @lovenoor988
    @lovenoor988 2 ปีที่แล้ว +19

    Hii ndio dunia na hao ndio binadamu Umeniliza ndugu😭💔 Mungu akufanyie wepesi wakurudishe kazini 🤲

    • @mwajumabakari3730
      @mwajumabakari3730 2 ปีที่แล้ว

      Hata mm nimejisikia vibaya sana wamsamehe arudishe kazini

    • @husseinyappi9330
      @husseinyappi9330 2 ปีที่แล้ว

      Mpunguze Tamaa na uwonevu

    • @Saidkhel
      @Saidkhel 2 ปีที่แล้ว +2

      @@husseinyappi9330 siyo tamaa bro some time hawa jamaa wanatusaidia sisi lkn watz roho mbaya tumeumbiwa police anakukamata huna lesen fain mahakaman ni laki 2 yeye anakuchaj buku 5 unamuona kakuonea

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Saidkhel yaan mm pia imenisikitisha binaadam hawana wema kwakweli wakikaziwa wanawaona maaskar wanaroho mbaya

    • @remidusmwanandenje-yy5gs
      @remidusmwanandenje-yy5gs 5 หลายเดือนก่อน

      Amina🎎🙏

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +8

    Pole Sana usihuzunike Sana, mungu anakuanda kukupa kazi nyingine nzuri na yenye mafanikio, tatizo lichukuwe liwe fulsa.

    • @glorymbata9195
      @glorymbata9195 2 ปีที่แล้ว

      Huyu mtangazaji hampi muda ajieleze vizuri

  • @WellingMerry
    @WellingMerry 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana ,hao ndo wamefanya ila ipo siku watakukumbuka,wema siku zote huza uwovu,kuna shemeji yangu nae alipata changamoto km hiyo jp mazingira ya kazi ndo tofaut

  • @barakalutego6712
    @barakalutego6712 2 ปีที่แล้ว

    ooooh gosh Ur still young!!! yote Yana pita" take heart 😭😭

  • @husseinmaula5914
    @husseinmaula5914 2 ปีที่แล้ว +79

    Hakuna Cha kujadili hapa huyu jamaaa Sheria za jeshi kama zinaruhusu mawili apunguziwe azabu au arudishwe kazini naamini Kuna waliopewa zamana ya kuongoza watu wanafanya makosa makubwa kuliko afande ally .

    • @salamakombo3257
      @salamakombo3257 2 ปีที่แล้ว +6

      Nimependa comment

    • @telemlasamweli7262
      @telemlasamweli7262 2 ปีที่แล้ว +6

      Huyu kijana asamehewe jamani Mana kwanza anajieleza ukweli kabisa na pia inaonyesha Ni kijana anae jitambua Sana pole Sana mungu akusimamie

    • @annamosha968
      @annamosha968 2 ปีที่แล้ว

      Point bro🙏

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 2 ปีที่แล้ว +7

      Tutawasamehe wangapi? Kila siku tunalalamika rushwa ni Adui hatari sana wanatakiwa watu wapate fundisho. Kuna watu wanakufa mahospitalini kwa sababu ya Rushwa kuna watu wanakosa haki zao kwa sababu ya Rushwa

    • @yasinomary2147
      @yasinomary2147 2 ปีที่แล้ว +5

      Asante kaka Hussein kwa maono mazuri,coment yako ni nzuri sana.ukweli huyu bwa mdogo yawezekana naye ana makosa yake kama mwanadamu lakin afande igp najua anasoma comments hizi,pia Mama yetu kiongozi wetu!mkuu wa nchi.Rais wetu tunayempenda Mheshimiwa Rais Samiah Hassan Suluhu-tunamuomba amsamehe kijana huyu, maana sasa ameshajifunza kutokana na makosa,pia Mama atakumbuka kipindi cha Rais magufuli waliwahi kuwasamehe wale polisi waliochukua rushwa mil900 kule Geita wakasindikiza madini.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @himidijenga535
    @himidijenga535 2 ปีที่แล้ว +9

    Pole Sana ila naamini Mama yetu Samia ni mtu mwema inshallah ataiyona hii taarfa na atakusamehe utarudi kwenye kazi.

  • @agneskabalika800
    @agneskabalika800 2 ปีที่แล้ว +15

    Baba yetu mzee Sirro na mama yetu mpendwa mama Samia mtoto akijisaidia kiganjani hatukati mkono
    .kijana anajuta amejifunza tunaomba asamehewe Mungu awabariki

    • @emanuelhagai8484
      @emanuelhagai8484 ปีที่แล้ว

      Duh! Huruma imekupoza

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 5 หลายเดือนก่อน

      Hawa tragic kweli wakuwaonea huruma kweli Hawa kenge miungu watu wa barabarani!

  • @MichaelWilliamsNyirenda
    @MichaelWilliamsNyirenda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka nakuombea Mungu wakupe mlango wa 2 wamafanikio pole sana bro

  • @stelanyika9314
    @stelanyika9314 2 ปีที่แล้ว

    Pole sanaaaaa kaka fanya kaz nyingine mungu atakusaidia tu usikate tamaaa mpaka mwisho

  • @hajraissa775
    @hajraissa775 2 ปีที่แล้ว +32

    Jaman asamehewe Tu wengi wanachukua rushwa wampe adhabu nyingine

    • @annamosha968
      @annamosha968 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli wengi kama sio wote wanachukua rushwa jamani mtoto wa watu elfu Tano tu mumfukuze kazi jamani!!!

    • @suleimankhamis8298
      @suleimankhamis8298 2 ปีที่แล้ว +1

      wanaochukuwa rushwa hasa hawaguswi ni bora asamehewe tu

    • @rosendile8235
      @rosendile8235 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli rushwa wanachukuwa wengi sana ni hivi amekamatwa live 🙆🏾‍♀️

    • @nasrafadhili8941
      @nasrafadhili8941 2 ปีที่แล้ว +1

      Wamuonee huruma huyu kijana wengi wanakula maela ya watu wananukia rushwa kuanzia familia zao mpk wenyew

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 2 ปีที่แล้ว +32

    Mama yetu kipenzi Cha wengi Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,Samia suluhu Hassan wewe ni mama mwenye huruma namuombea msamaha huyu askari kweli kakosa umesamehe wengi sana hata huyu kija waweza kusamehe,Afande IGP msamehe huyu kijana ni kweli amekiri kosa msamehe afande.

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo Tanzania mumezidi rusha

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 2 ปีที่แล้ว

      Wanatakiwa kufanya kazi kihari .Alafu mimi nashanga sana Tz police au askali ndio dhamani ya rahia na rahia hawatakiwe kuwaogopa police wala Askari wanatakiwa kua marafiki .lakini cha kushangaza huwa naona hata mtu akishikwa wanambana hata hawampe rahia nafasi ya kujieleza which is not right
      Just don't like Tz police

    • @annamosha968
      @annamosha968 2 ปีที่แล้ว +2

      Sana tu asamehewe mbona kakiri kosa???? 5000 JAMANIIIII KUFUKUZWA KAZI? NOOO

    • @rehemaluciansanga5009
      @rehemaluciansanga5009 2 ปีที่แล้ว

      @@annamosha968 pole sana Igp msamehe sana jamani

    • @saidihussein6718
      @saidihussein6718 2 ปีที่แล้ว +2

      Kipenz chako ww

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 2 ปีที่แล้ว +12

    Mbona wakubwa wanaiba mapesa mengi tu. Serikali nzima waizi, lakini pia wanaleta wawekezajimpaka wanatakakuiba nchi nzima ya Tanzania.

  • @dismaspascal6198
    @dismaspascal6198 15 วันที่ผ่านมา

    Pole sana kaka..hakika mungu atafungua njia

  • @getrudalufega9770
    @getrudalufega9770 2 ปีที่แล้ว

    Brother pole Sana ubinadamu Ni kazi Sana

  • @magdalenaobeth9605
    @magdalenaobeth9605 2 ปีที่แล้ว +35

    Rais wetu Ana moyo wa huruma Sana atakurudisha kazini Ila huyo mwanamke wako usimrudie Tena pia naamini hutapokea rushwa Tena

    • @modestaseverine4082
      @modestaseverine4082 2 ปีที่แล้ว

      pole mdogo wangu mwanamke anae kupenda utamjua apo tu ktk changamoto na mungu atakusaidia utalud ktk ajira usijar kbs

    • @westonymwasanduki1423
      @westonymwasanduki1423 2 ปีที่แล้ว +2

      Atubu dhambi kwanza sio kusema alikuwa asamsadia wakati alichukua rushwa,kusaidia gani unachukua rushwa!?

    • @Saidkhel
      @Saidkhel 2 ปีที่แล้ว

      @@westonymwasanduki1423 waijua rushwa bro

  • @davidjohn115
    @davidjohn115 2 ปีที่แล้ว +6

    Uyu n mwanangu kabisa Tena n mwanangu sn aiseee jaman mungu akupganie najua magum unayo yapitia m2angu Ally skana nimetoa choz baada ya kujua chanzo mungu n mwema 🙏🙏🙏

  • @glorynguma3593
    @glorynguma3593 2 ปีที่แล้ว +9

    Dah nimeumia sanaa God plzz help this young boy he is broken 😭😭

  • @habibamussa8062
    @habibamussa8062 2 ปีที่แล้ว

    pole sana mwenyez mungu atakujaalia utarud kwenye kaz yako jaman

  • @emmanueldeogratius3969
    @emmanueldeogratius3969 2 ปีที่แล้ว

    Pole broo, Mungu atakusaidia

  • @allysinge7096
    @allysinge7096 2 ปีที่แล้ว +30

    HAWAKUMFANYIA FAIR, KAMA KWR ICHO KITENDO ALICHOFANYA ADHABU YAKE NI KUFUKUZWA KAZI, BASI ASKARI WOTE INABIDI WAACHISHWE KAZI, MAANA HAKUNA TRAFFIC AMBAE HACHUKUI RUSHWA TANZANIA

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      kweli kabisa

    • @annamosha968
      @annamosha968 2 ปีที่แล้ว

      YEEEEEEEES 💪💪💪💪

    • @ashanoti5383
      @ashanoti5383 2 ปีที่แล้ว

      Yan hapo umenena eti!!!! Yan tunakutana na matatizo yakuombwa rushwa mpaka unataman kumloga Askari!! Ijekuwa hiyo ya maji duh!!!

    • @rosendile8235
      @rosendile8235 2 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kama rushwa ni ugonjwa mkubwa nchini hata siyo Police tu hata Idara zingine za Serikali 😏😏

    • @monicamwanjisi693
      @monicamwanjisi693 2 ปีที่แล้ว

      Wengine wasubiri arobaini yao

  • @judithmichael7656
    @judithmichael7656 2 ปีที่แล้ว +7

    Duuh pole sana kaka Mungu mwema atafanya njia endelea kuomba Mungu atakukumbuka tu

  • @robbynyamriba251
    @robbynyamriba251 2 ปีที่แล้ว +30

    Wema ni akiba...ulifanya wema bro ipo cku Mungu atakulipa kwa wema ulioufanya.huyo aliyerekodi hiyo clip ajihakikishie kuwa yeye hajawahi kukosea...kinyume na hapo Mungu atashughulika nae

    • @greysonmheni5176
      @greysonmheni5176 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe kupokea rushwa ni wema ee,🤣🤣🤣

    • @greysonmheni5176
      @greysonmheni5176 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe kupokea rushwa ni wema ee,🤣🤣🤣

    • @robbynyamriba251
      @robbynyamriba251 2 ปีที่แล้ว +9

      @@greysonmheni5176 mpaka umri huo umeshapokea na kutoa rushwa ngapi?msijisahaulishe sana mkajiona nyie ndio mna haki sana,sio kila pesa anayopokea mtu ni rushwa,tukianza kurekodi haya matukio hakuna mfanyakazi wa seriakali atakaebaki salama,ni kiasi cha kumsamehe tu na maisha mengine yaendelee,watu wanapewa rushwa wanafanya matukio makubwa ya kutisha sembuse huyu aliyepewa efu 5?

    • @robbynyamriba251
      @robbynyamriba251 2 ปีที่แล้ว +3

      @@greysonmheni5176 hata chizi anachekesha ikiwa hatokei kwenye familia yako....na msiba ni mwepesi ukiwa kwa jirani yako...yakikufika ndo utajua kwanini walisema mjini shule

    • @mariamjuma4136
      @mariamjuma4136 2 ปีที่แล้ว +2

      @@greysonmheni5176 ni wema ndio kamtendea lkn ao wenye gari ni washezi
      Laki 9 kwa elf 5 ni sawa na Ahsate tu
      Ingekuwa imefika ata laki moja iyo tuiita rushwa
      Elf 5 basi watu wote tungekuwa atuna kazi

  • @miriamgaydon8643
    @miriamgaydon8643 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kaka Mungu ni mwema atakubariki🙏🙏🙏🙏

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtoto Wang utashida kwa uwezo wake mungu naamini huruma yako itakurudisha kazin zidi kumuomba mungu

  • @yusuphissa9613
    @yusuphissa9613 2 ปีที่แล้ว +22

    Kwanza alifanya tukio la kumrecod sio muungwana kikubwa sisi wamiliki wa vyombo vya moto baadhi yetu sio wastaarabu ,Allah atalipa tu kwa hicho walicho kufanyia ikiwa pia wewe ni mkweli

    • @yahayamaulana1561
      @yahayamaulana1561 2 ปีที่แล้ว

      Ulicho comment in utumbo kumbenawewe unasadiki wizi bwegeww

    • @emmymodu2706
      @emmymodu2706 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa, wamiliki wa hilo gari sio wastaarabu kabisa, waende wakamuombee jamani ila hao watu wLiompnza askari Mungu anawaona tu

    • @emmymodu2706
      @emmymodu2706 2 ปีที่แล้ว

      @@yahayamaulana1561 hivi wewe kuwa na huruma, kumpa mtu sha 5000.utafikiri umempa millioni, huyu nikija mie na huruma jamani, kutoa fedha kwa askari miti cha kawaida mno, elfu tano tu.

    • @asumaathuman6094
      @asumaathuman6094 2 ปีที่แล้ว

      Nmm namuombea alie mlikodi apatwe nambaya zaidi yke

    • @nasraabasi6521
      @nasraabasi6521 2 ปีที่แล้ว

      Yaan alichomfanyia kiukweli si ungwana wangapi wanapokea rushwa tena kiasi kikubwa yaan inauma sana

  • @seinabelimi2296
    @seinabelimi2296 2 ปีที่แล้ว +6

    unamsaidia mtu alf anakuliza😭😭😭 nimeumia sana kwa kweli dunia watu wabaya sanaa😭😭

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +13

    So sad! but the world is full of opportunities, try your best, Our Lord is always good shall never let you down,,,,,,,,,!!!

    • @dulahstar5875
      @dulahstar5875 2 ปีที่แล้ว

      Mm simuonei uruma wakuda Sana Tena Sana shenzi kabisa

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      @@dulahstar5875 inawezekana ulikuwa unakinzana na Sheria,,,

  • @khamisfunjuice188
    @khamisfunjuice188 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akujalie kila la kheri upate kazi kuliko ya mwanzo

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 9 หลายเดือนก่อน

    Dahh mama samia rais wetu na mzazi wetu tunaomba umsamehe huyu mwanao unrudishe kazini...amina.

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 2 ปีที่แล้ว +7

    Pole sna mtu mzima karibu sana kwenye maisha ya uraiyani mbana uraiyani kuzuri tuu ila usikate tamaa ipo siku utakua mtu mkubwa tu

  • @salcle9702
    @salcle9702 2 ปีที่แล้ว +10

    usilie coz mungu anamakusi yake kukuondoa hapo utafanikiwa kwa njia nyingine.wanawake wapo wengi utapata mwingine don't panic brother

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 2 ปีที่แล้ว +5

    Dah ndo dunia unamsaidia mtu mwisho wa siku akuangamiza, pole sana aise

  • @aminajuma34
    @aminajuma34 2 ปีที่แล้ว

    Daah pole sana kaka nimeingia na huruma Sana mungu yupo pamoja na wewe

  • @micsweet1165
    @micsweet1165 ปีที่แล้ว

    Dah...! Mungu amjaalie arudi kazin

  • @monalisaally4387
    @monalisaally4387 2 ปีที่แล้ว +11

    Wallaah nimelia kaka najua kiatu unacho kivaa maumivu yake Allah akutangulie

    • @aliaden5512
      @aliaden5512 2 ปีที่แล้ว

      Unamlilia jambazi

    • @monalisaally4387
      @monalisaally4387 2 ปีที่แล้ว

      @@aliaden5512 ameshaomba msamaha au ujasikia vizuri?

    • @hopekrish5433
      @hopekrish5433 2 ปีที่แล้ว +1

      Jambazi alimuuwa babaako

  • @iuem5792
    @iuem5792 2 ปีที่แล้ว +29

    Watu hawaelewi nini anamaanisha huyu kijana.Huyu kijana inaonyesha ndoto yake ilikuwa kulitumikia Taifa kwa kazi ya police,,Hivyo nafsi yake imepata jeraha na inalia ndani.Ana wito wa kipolice na anateseka kwakuwa yuko nje ya wito wake.Namtabiria kurudi kazini maana hicho ndicho kitu alichoitiwa.Kufanya makosa kwenye site yako ni jambo la kawaida kwakuwa wewe ni mwanadamu,Aliemrekodi kamhukumu.Hata Rais anafanya makosa ndio maana analindwa kwa sheria yakutokuhukumiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa kazini

    • @thadeomukwe3774
      @thadeomukwe3774 2 ปีที่แล้ว +4

      Mungu akupe amani ya moyo wako bro na akupe unachokitaka

    • @petrooverton6643
      @petrooverton6643 2 ปีที่แล้ว

      unamaanisha na huyu nae alindwe kwa sheria ? siyo sawa wawo wameona ana makosa so sheria imefanya kazi na sheria imetungwa kwasababu yupo alie kosea kama huyu na hata ivo amekuwa mwalimu kwa wengine hajakatwa miguu wala mikono na macho anayo ataishitu kama wengine siyo lazima afanye kazi police wapo wamesomea udakitari saizi ni mafundi mtaana

    • @emmanuelpeter5686
      @emmanuelpeter5686 2 ปีที่แล้ว

      Pole dogo misukosuko kazini hua ipo, ila sasa mbona wao wanachukua pesa ndefu sasa?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 ปีที่แล้ว

      Kutumikia taifa kwarushwa au

    • @missarepafra3973
      @missarepafra3973 ปีที่แล้ว

      @@petrooverton6643 wengine hawajawahi kukiri km huyu alivyofanya. Kisheria sawa lkn kiutu angepewa chance kutokana na kujuta na huku bado akitamani kulitumikia taifa anaweza kuwa mfano na mwalimu mzuri kwa askari wengine hususani vijana wanaoanza maisha.
      Naikumbuka hekima ya hayati Mrema ambae alikuwa anawasamehe majambazi walikubali kusalinisha silaha na kuacha kazi hiyo mbaya. Hajaua, hajaiba, hajadhulumu wala hajaomba rushwa bali mazingira ya takrima yamemuweka matatani.
      Adhabu aliyoipata sidhani km atamani kuipata tena hivyo aweza kuwa "kifaa" kizuri cha kazi hiyo hiyo.

  • @editchakoma1113
    @editchakoma1113 2 ปีที่แล้ว +4

    We are failing to arrest and chase people who are corrupted at high level, please feel sorry for him

  • @wamba_bey
    @wamba_bey 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu atafanya WEPESI inshallah utarudi kama zamani ndugu yangu be strong

  • @iddypandu4285
    @iddypandu4285 ปีที่แล้ว

    Pole sana kijana, laiti ungelikua unaelimu ya personal development na personal finance basi kufukuzwa kwako kazi ungelichukulia kama ni fursa ya kukuonyesha njia nyengine iliyonzri zaidi kimafanikio

  • @chrisekonga9092
    @chrisekonga9092 2 ปีที่แล้ว +8

    Umekosea Mdogo wangu ila utakuwa umejifunza kwa wakati mwingine, Kazini kurudi ni ngumu. Weka Saikolojia yako kufanya Mambo mengine wakati unatafuta fursa nyingine. Mafanikio sio lazima uwe polisi bro, fungua Macho

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +20

    Duh! Pole sana ndugu yetu, ila mkiwa site mna nyodo sana nyie.

  • @sknapoleonshoo3145
    @sknapoleonshoo3145 2 ปีที่แล้ว +12

    Haise watanzania tuache roho mbaya. Kama afande amekuonea huruma badala ya kulipa 30000 ukampa elfu 5000 na akakuachia uende bila kukuandikia kosa kwenye leseni yako , kosa lake liko wap? Ungepigwa faini ungesema maskali wana roho mbaya. Ndio maana Mimi Nina watwanga faini bila kumtizama mtu yoyote usoni . Sasa umepata nini au umefaidika nini baada ya yeye kufukuzwa kazini? Huku fikilia kuwa na yeye anategemewa? Tuache roho mbaya... Huo ni umasikini WA roho.

    • @michaeljohn9070
      @michaeljohn9070 2 ปีที่แล้ว

      Sometimes raia ni wasenge sanaa

    • @michaeljohn9070
      @michaeljohn9070 2 ปีที่แล้ว

      Sometimes raia ni wasenge sanaa

    • @asumaathuman6094
      @asumaathuman6094 2 ปีที่แล้ว

      Wanalohoo mbaya sana

    • @michaeljohn9070
      @michaeljohn9070 2 ปีที่แล้ว

      @@asumaathuman6094 sanaaa,,mtu unasaidiwa halafu una nuharibia mwenzio

    • @deborahjoseph838
      @deborahjoseph838 2 ปีที่แล้ว

      Umeonaeeh ila angekubaliana na hali mbona mimi mume wangu alifukuzwa tukaanza kufunga barafu hadi leo maisha yanaenda

  • @DeograsiaMillanzi
    @DeograsiaMillanzi 3 หลายเดือนก่อน

    Duu pole sana mwanangu imeniuma sana na ameniumiza sana aliyerekodi, jaribu kuomba kwenda ikulu kwa mama Samia hata kwa barua andika barua kwa Waziri husika na IGP mungu atakusadia

  • @evajosephwalitakawalipuwen1737
    @evajosephwalitakawalipuwen1737 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka Mungu ataziba na atakupa hitaji lako

  • @theonestrenatus954
    @theonestrenatus954 2 ปีที่แล้ว +11

    He deserve second chance...

    • @claudia1500
      @claudia1500 2 ปีที่แล้ว

      Yes everybody deserve second chance

    • @annamosha968
      @annamosha968 2 ปีที่แล้ว

      Yes

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa mijizi mikubwa imekumbatiwa huyu kafukuzwa kazi

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 ปีที่แล้ว +7

    Poole Kaka tunajifunza kutokana na makosa, Mungu atakujalia utapata KAZI nyingine,

    • @veronicajohn7270
      @veronicajohn7270 2 ปีที่แล้ว +1

      jamani nyuma yake kuna watu walikua wanamtengemea ,,wakuu mumsameheni mrudishe kazini awezi pokea rushwa ya 5000 wenda nikweli alipewa ya maji

  • @suleimansalym7537
    @suleimansalym7537 2 ปีที่แล้ว +12

    Dahhh!!! Inauma sana lkn inaweza kuwa ni kisasi au chuki kwa pengine alikosana na mkubwa akamfanyia huo umafia.
    Askari wanakera sana sometimes wanatubambikizia makosa kwa makusudi lkn sometimes ndio marafiki zetu maana kiukweli vyombo haviwezi kukosa kosa.
    Pole sana ndugu lkn kubwa pamoja na changamoto zote kubali kazi yoyote ila usijekujiingiza katika matendo maovu.
    Yote ni maisha na kesho yako ni kubwa sana.

    • @peninacharles9757
      @peninacharles9757 2 ปีที่แล้ว

      Haiumi wala nin,

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 2 ปีที่แล้ว

      @@peninacharles9757 Kwa sababu hayakukufika ww haiumi ila ingekufika ww ungeona machungu yake siwez kukulaumu kusema haiumi coz hayakukufika ww

  • @jamalijamali347
    @jamalijamali347 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana bwana mdogo,ushauri wangu nikwamba maisha ni popote ,huwezi kujua Mungu alikuepusha na nn huko mbele,piga moyo konde pambana utatoka ,sahau masuala ya upolisi Kuna maisha mazuri zaidi ya upolisi,Achana na hiyo kazi na mwisho wake sio mzuri,tafuta kazi nyingine fanya utatoboa,Mungu akutangulie ,pia wewe sio wakwanza kufukuzwa polisi

  • @nurumwashinga3662
    @nurumwashinga3662 2 ปีที่แล้ว +2

    Njoo kwangu nikufundishe kuemdesha maroli

  • @evancekessy592
    @evancekessy592 2 ปีที่แล้ว +4

    sometimes nasisi wenye magari tuna wapa changamoto askari..mara ngap watu wanakosea ..adhabu ifikiriwe tena kwa kweli..maana maisha yanachangamoto sanaa,, yaliyomo yamo kwa kila mtu upande wake hata wakubwa hukosea pia

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 2 ปีที่แล้ว +15

    Tatizo kamanda kuna wakati ktk mazungumzo yako utanguliza maisha magumu unataka kurudi kazini..
    Na wakati mwingine unaongea kuhusu uzalendo wako wa dhati wa kulitumikia jeshi la police..
    Binafsi ningekushauri endelea kupambana na maisha ya mtaaa kaka usikate tamaaa,, ramani ya maisha yako ipo mikononi mwa Mungu!! Bado una nafasi ya kufanya makubwa kwani hujafika hata miaka 25,,
    Na naomba kwenye nafsi yako usijute kupoteza kazi kwa sababu unakosa hela bali juta kwa sababu unakosa kusudi la kulitumikia taifa lako!!!
    kumbuka:
    Pesa inatafutwa kwa namna nyingi sana , sio hadi kuajiliwa tu!!

    • @yusocomedy367tanzania9
      @yusocomedy367tanzania9 2 ปีที่แล้ว

      Kweli ndugu yangu point kubwa xan piga anaweza akarudishwa akawa anataka kulipiza vizazi nasisi madereva kikubwa eb tupambane2 funika kombe hilo

    • @naifaabraham468
      @naifaabraham468 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akufanyiye wepesi ilikuwa hiyo kazi riziki yako imeisha ila SS kuwa makini sana na SS binadamu ni wabaya Sana

    • @christiankambuga9338
      @christiankambuga9338 ปีที่แล้ว

      Kuna kazi nyingi2 c mpaka uajiliwe

    • @abdullyjadu7723
      @abdullyjadu7723 8 หลายเดือนก่อน

      Safi sana

  • @veveveve9652
    @veveveve9652 2 ปีที่แล้ว +22

    Jamani tunamuombea msamaha tunaomba jeshi la police limpe nafasi ingine,tena naamini huyu ndio atakuwa mfano mzuri atafanya kazi kwa uweledi tunaomba mumsamehe

  • @ZUHURAKHALFAN-mc8nd
    @ZUHURAKHALFAN-mc8nd ปีที่แล้ว

    Allah atufanyie wepesi Yarab utapata rizk nyengine yenye heri na wewe nia yako nikumsaidia binadamu mwenzako hutokosa fungu Allah atakupa pazuri babangu

  • @TeuagangTv
    @TeuagangTv 5 หลายเดือนก่อน

    aseee pole sna kaka mungu akusimamie ila usichoke kumuomba mungu kama una swali swali sana na kama una sali sali sanaa amina

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 ปีที่แล้ว +5

    Hili ni tatizo la kutokuongezewa msharaha wakati maisha yamepanda saana rushwa haiwezi kwisha hata ck moja.
    Polic/Trafic
    Hospital
    Imagination
    Office za serekali
    Walimu/ Vyuoni.
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .ASAMEHEWE. mtoa rushwa mbona hajakamatwa.
    Usikute kuna kubwa Mungu amekuepushia...tafuta biashara ufanye siyo lazima kuajiria mzee baba.

    • @calvinshirima2654
      @calvinshirima2654 2 ปีที่แล้ว

      Adhabu aliyopowa ni ndogo
      ashkuru mungu mim sikuwa hakimu

  • @lidyajoseph1752
    @lidyajoseph1752 2 ปีที่แล้ว +5

    Mama Samia Suluhu Hasan na mheshimiwa Siro muangalien Hy kijana kwa jicho la tofauti, ni kweli amefanya kosa lkn tafadhali msaidien angalieni amepoteza mke mtoto amenyang'anywa ni maumivu makali sana, wakati mwingine sisi madereva tunachangia kuwapa rushwa hawa watu kwa kutokutii sheria, mama Muangalien mwanao, Siro muangalien kijana wako, asanten sana

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 2 ปีที่แล้ว

      shida watanzania wengi uelewa wenu ni mdogo ndiyo maana watafiti wanasema

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      @@nsajigwamwakalonge5702 Kwani wewe mboswana

    • @eliasmwita3863
      @eliasmwita3863 2 ปีที่แล้ว

      Pole saana na changamoto bwana mdogo, Kweli inaumiza naomba usamehewe na urudi kazini lkn pia ujue namna ya kuishi na watu maana maisha ya mtaani umeyaona, Mungu akufanyie wepesi urudishwe kzn pole saana😭😭😭😭

  • @hidayakisensi2747
    @hidayakisensi2747 2 ปีที่แล้ว +8

    Nimemuonea huruma😣

  • @Shalomstudiotz
    @Shalomstudiotz 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu halali wala hanzinzii nakuhakikishi kwa jina la YESU KAZI UTAPATA wasipokurudisha kazi ya police utapata kazi nyingne nzuri sana tembea na hili neno MUNGU hawaachi wanaomtegemea

  • @realmanessau220
    @realmanessau220 2 ปีที่แล้ว +2

    aisee! pole sana mdogo wngu, daaah! piga moyo konde🙇yaan jaman🤔huyu asamehewe tu ni mungwana✍️

  • @williamsmadulu393
    @williamsmadulu393 2 ปีที่แล้ว +10

    Sisi na polisi huwa tunakosana lakini hiyo haitoshi kutoiona thamani yao kwetu..kiubinadam kabisa alie mrecord huyu jamaa karma itamrudia...afande IGP kijana anastahili nafasi nyingine..sisi wotr niwakosaji kijana arudishwe kazini

    • @urbanmission3072
      @urbanmission3072 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli jamani naomba uyu mtu uy asemehewe na uyo aliyetoa elfu 5 mbona hajakamatwa? Hawa police wanatusaidiaga tuu,kwa mfano mie niliwahi kukamatwa apo njia panda ya kawe na jesh la lugalo, kiukwerii nlikuwa nadaiwa laki 4 na 80, kwa gar langu bivu la wakat ule nikawa naadikiwa kila hasa nikitoka kwenda mikoan lakin nilipokuwa dar askar walinilinda had den likaisha je hamuoni kuwa sisi ndio chanzo? Unajua wakat wananilinda anayeona atafikiria upande mmoja tu lakin mie ninayeijua sir ya makosa yangu ndio nilikuwa nauona umuhimu mkubwa wa askar police,je uyo kamanda mambo sasa haujui jins sisi madereva tunavoomba msaada na police wanatuhurumia tuu?

  • @josephguerino7416
    @josephguerino7416 2 ปีที่แล้ว +7

    Hadi unaona raia wamesimama nyuma ya Askari na vile raia huwa wanachukia Askari inaeleza tosha kuwa watu wamekuwa na moyo wa huruma na wanamhurumia huyu ndugu yangu. Mungu akapate kusikia maombi yetu sisi na ndugu yetu aweze kurudi kazini! Mungu akapate kumsimamia, sote tunakosea. Amen

  • @hellenyyusuph3790
    @hellenyyusuph3790 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimesikitaka sana jamani anayeomba msamaha asemehewa amejifunza kisa chake kimenisikitisha

    • @saimoningasa5754
      @saimoningasa5754 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo polisi wanajionaga miungu watu Ila asamehewe2 tushawazoea

  • @EvelynePaul-x9y
    @EvelynePaul-x9y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutetee urudi kazini jifunze kutomwamini MTU yoyote

  • @tattyanasallym4713
    @tattyanasallym4713 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyeezi Mungu akufanyie wepesi