TULIBADILISHANA PESA ZA MZEE SHIRIMA - MFANYABIASHARA LASWAY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Mfanyabiashara Vicent Lasway amemzungumzia Marehemu Michael Shirima akieleza walikuwa wakibadilishana pesa za kigeni wakati marehemu akifanya biashara ya kununua Kahawa na kusafirisha nje ncji.
    Lasway amesema ili kumuenzi Mzee Shirima jamii haina budi kuendelea kusaidia kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Cornel Ngaleku Children Centre kilichoanzishwa na Marehemu kabla ya kufunguliwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Agosti 2007 wakati akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
    Na @dixonbusagaga

ความคิดเห็น • 8

  • @mirrykirungi5078
    @mirrykirungi5078 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana ndugu zangu wafiwa

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 ปีที่แล้ว +3

    Duh! Kumbe hadi Kibo Palace ni ya warombo! Am proud to be mrombo

  • @BlandinaMassawe
    @BlandinaMassawe ปีที่แล้ว

    WaRombo wanapesa mpaka wanabadilishana wao kwa wa ni kwere mshua

  • @MartinDismas-ou5oy
    @MartinDismas-ou5oy ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว

    Pesa ni utukufu wa hapa duniani... tutafute mapato ya haki na tuyatumie kwa uangalifu..