NABII DEO NJENI ALIYOTABIRI KUHUSU MAKONDA YAANZA KUTOKEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.พ. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @user-ri1on6zl6x
    @user-ri1on6zl6x หลายเดือนก่อน

    Baba tunakuelewa sana watoto wako

  • @HAAM670
    @HAAM670 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa Mungu nabii tupo tunaokuelewa, mambo ya rohoni hueleweka kwa watu wa rohoni.

  • @eliaisack156
    @eliaisack156 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaaaaaa unabii wasikuhizi ni uchizi kabisaaaa

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 5 หลายเดือนก่อน

    Nimesikitika sanaaaaaa sana kweli siku za mwisho.watabili uchwala hawa

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii acha unabii wa kubumba kwanza wewe kweli ni mtanzania au wakuja ,hebu acha kuipotosha jamii kama huwezi kuihubiri kweli ya kristo acha kwenye taifa letu hatuwataki manabii wa uongo

    • @prophetdlnjeni1763
      @prophetdlnjeni1763  5 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/UtcHlabg0Ow/w-d-xo.htmlsi=KbR-p6cuIRT1Qayk

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 5 หลายเดือนก่อน

      mwambie

    • @JacklineChambale
      @JacklineChambale 4 หลายเดือนก่อน

      Usiwe unajibu vibaya vitu usivyovielewa nakama hubarikiwi kaa kimya

  • @martinemaganga5253
    @martinemaganga5253 5 หลายเดือนก่อน +2

    Muwe munapost hizi video kabla ya matukio kutokea siyo kusubiri matukio ndipo mje ma tabiri za uongo

    • @florapeudy3963
      @florapeudy3963 5 หลายเดือนก่อน

      Hufwatilii ndo maana unasema hivyo lakini tuliofatilia kabla hayajatokea hatunashida

  • @MauaHaji-ur4ln
    @MauaHaji-ur4ln 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwa wewe

    • @prophetdlnjeni1763
      @prophetdlnjeni1763  5 หลายเดือนก่อน

      Asante Yesu

    • @JacklineChambale
      @JacklineChambale 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe nimtu unamuita mtu mbwa kweli wewe ndy umemuumba au?

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 5 หลายเดือนก่อน

    Mnabii wajinga wajinga .Huna lolote mhuni tu wewe

    • @JacklineChambale
      @JacklineChambale 4 หลายเดือนก่อน

      Kama hakubariki kaa kimya kaka au wewe nimkamilifu sana

    • @JacklineChambale
      @JacklineChambale 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe pia unaonekana hauko sawa