Muhimu kwa wanafunzi kusaidia wasome kwa makini kuinua nchi yetu. Wapelekwe kumuona akiwepo awape siri ya Mafanikio makubwa kwa kuinua Tanzania. Historia ziwekwe Makumbusho zisomwe na Picha tafadhali. Mungu amlinde jemedari wetu.
Ushauri mzuri @hopegwimile53 ilo linapaswa kufanyiwa kazi na maoni yako tutayapeleka Sehemu husika na hata hivyo hapa viongozi wengi wanaangalia video hii ,hivyo tunatumai ombi lako teyari limeshafika mahali husika😊
Huyu ndo Kiongozi wa juu aliyewahi kushika nafasi nyingi za juu katika Mihimili yote kuliko kiongozi yoyote Tz, 1)Makamu wa 1 wa Rais, 2)Waziri Mkuu 3)Jaji wa Rufani 4) Mwanasheria Mkuu 5) Mbunge, 6) Mwenyekiti Tume nyingi nje na ndani ikiwemo Tume ya Katiba. 7) Mkuu wa chuo SUA 8) Mshauri wa Rais
Kipindi Warioba akiwa waziri mkuu pia alikuwa Makamu wa kwanza wa Rais na sio makamu wa pili wa Rais. Tujitahidi kuweka taarifa sahihi kwa manufaa ya umma
Jaji Joseph Sinde Warioba alikwa Mwanasheria mkuu wa Serikali na wakati huohuo akiwa Waziri wa Sheria pia; Jaji Warioba alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais tangu mwaka 1985 mpaka 1990
Kama Mtanzania kufahamu Wasifu wa viongozi wako ni muhimu Sana ,so Pendelea Sana kufuatilia Makala mbalimbali za Maisha ya viongozi na watu maarufu,Kuna mengi ya kujifunza ndugu😊
Judge warioba is the simple man in Tanzania national as the former prime minister during late julias kambarege Nyerere leadership has the experience in Tanzania gavment Since late julias kambarege Nyerere leadership has been advised ccm gavment for long but gavment official sametime lngnorant whale judge warioba has experience from Tanzania to lntanationol organization considering his duty done by judge warioba on lntanationol community organization question are leasening to judge warioba
Hiyo picha ya Makonda akimzonga zonga Jaji Warioba(wakati akielezea ripoti yaTume ya Warioba/Katiba mpya), anajisikiaje huyo Makonda aionapo hiyo picha?? Pia Jaji Warioba,anajisikiaje?? Aidha, Rais wa nchi (Mwenye imani kubwa kwa Makonda), anajisikiaje??
Makonda alikuwa anamkinga asifanyiwe fujo na vijana wa Upinzani kwa yeye hiyo siku alionekana kuiunga mkono Katiba Pendekezwa hivyo walimsubiri langu la ukumbi wamfanyie fujo,ilikuwa ni Ubungo plaza..😂
Katiba ni yawa Tanzania siyo yake yeye alikuwa Mkt wa kamati iliundwa kukusanya maoni Hivi Nijiulize Jaji Mkuu Anapo Mwapisha Rais inakuwaje hapo tutawita yeye ndie mwenye nchi au
Historia nzuri sana ya Mzee wetu Warioba. Ila we mwandishi huna weledi, unasoma kama kasuku, hujui usomacho: UCHAGUZI eti Uchunguzi!
Damu ya YESU ikufunike mzee wetu pia MUNGU akukumbuke katika ufalume wake huyu zYESU..
Muhimu kwa wanafunzi kusaidia wasome kwa makini kuinua nchi yetu.
Wapelekwe kumuona akiwepo awape siri ya Mafanikio makubwa kwa kuinua Tanzania.
Historia ziwekwe Makumbusho zisomwe na Picha tafadhali.
Mungu amlinde jemedari wetu.
Ushauri mzuri @hopegwimile53 ilo linapaswa kufanyiwa kazi na maoni yako tutayapeleka Sehemu husika na hata hivyo hapa viongozi wengi wanaangalia video hii ,hivyo tunatumai ombi lako teyari limeshafika mahali husika😊
Huyu ni mtu muhinu kwa watanzania ukilinganisha na wengi kati ya watu
Halafu ni muhimu sana watu kama hawa kuekwa katika kumbu kumbu za nchi yetu na historia za vitabu vya kihistoria
Afya njema mzee
Huyu ndo Kiongozi wa juu aliyewahi kushika nafasi nyingi za juu katika Mihimili yote kuliko kiongozi yoyote Tz,
1)Makamu wa 1 wa Rais,
2)Waziri Mkuu
3)Jaji wa Rufani
4) Mwanasheria Mkuu
5) Mbunge,
6) Mwenyekiti Tume nyingi nje na ndani ikiwemo Tume ya Katiba.
7) Mkuu wa chuo SUA
8) Mshauri wa Rais
Shukrani Sana "Tupo pamoja Mkuu , Tuendelee kuelimisha na Kufahamisha watu vitu kama hivi
Huyu Mzee ni mtu mzuri katika Viongozi wa Tanzania hatokezei kama huyu ni Lulu ya wa Tanganyika
Kichwa cha habari "kabla hajafa" kinatatanisha kinaleta maana tofauti
Sasa Unatakiwa kusikiliza mpaka mwisho
Nadhani amemaanisha wadhifu wake kabla hajafa maana tumezoea kusikia wadhifu baada ya mtu kufa
Kwani Mzee amesha fariki jamani
Masahihisho: Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, na siyo Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais.
🤝
Kipindi Warioba akiwa waziri mkuu pia alikuwa Makamu wa kwanza wa Rais na sio makamu wa pili wa Rais. Tujitahidi kuweka taarifa sahihi kwa manufaa ya umma
👍
@@Santzmediamakamu wa kwanza ni kawawa Sio warioba
Jaji Joseph Sinde Warioba alikwa Mwanasheria mkuu wa Serikali na wakati huohuo akiwa Waziri wa Sheria pia; Jaji Warioba alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais tangu mwaka 1985 mpaka 1990
Clear na Ahsante Kwa msaada wako ,Uandishi mzuri pia tumepata faida wengi zaidi 🤝
Kulikuwa hakuna wasomi?
Waanze kumuenze akiwa bado yupo kupitia rasim ya katiba mpya
mtu yupo hai rudi shule ujifunze namna ya kuandaa kichwa cha habari
Mwandishi wa makala anapaswa kurudi Chuo cha uandishi wa Habari, vinginevyo ataendelea kutoa habari zilizo chini ya viwango.
Tuahidi kulifanyia KAZI🙏
@@Santzmedia Asante. Usikatishwe tamaa kwani kikubwa ni kuendelea KUTHUBUTU na KUPITIA MAKOSA NDIO UBORA WA KAZI HUPATIKANA.
huko mwanza alisoma shule ya sekondari Bwiru.form 1 hadi form 4.
Sahihi ☑️☑️
Sahihi ☑️☑️
Uyu jaa alie andika kichwa cha habari sijui yukoje
Kafanyeje Kwani?
amefariki lini?,
!!!!!???????
Hamjui namna ya kuandika hata vichwa vya habari yenu
Tusaidie kuandika " kutokana na Wasifu huo"
Question mark why wasifu?
Kama Mtanzania kufahamu Wasifu wa viongozi wako ni muhimu Sana ,so Pendelea Sana kufuatilia Makala mbalimbali za Maisha ya viongozi na watu maarufu,Kuna mengi ya kujifunza ndugu😊
Tupe habari za mwinyi.
Mwinyi link iyo nenda uitazame th-cam.com/video/eKMG2RGzphc/w-d-xo.htmlsi=SAulx689yqW80qYi
Judge warioba is the simple man in Tanzania national as the former prime minister during late julias kambarege Nyerere leadership has the experience in Tanzania gavment Since late julias kambarege Nyerere leadership has been advised ccm gavment for long but gavment official sametime lngnorant whale judge warioba has experience from Tanzania to lntanationol organization considering his duty done by judge warioba on lntanationol community organization question are leasening to judge warioba
Thank you very much for explaining to us at least a little and we know Judge Warioba
Don't stop following us, we promise you good things are coming
Hiyo picha ya Makonda akimzonga zonga Jaji Warioba(wakati akielezea ripoti yaTume ya Warioba/Katiba mpya), anajisikiaje huyo Makonda aionapo hiyo picha?? Pia Jaji Warioba,anajisikiaje?? Aidha, Rais wa nchi (Mwenye imani kubwa kwa Makonda), anajisikiaje??
Ndio maana ikaitwa Makala ,Ama Wasifu mkuu ,humo vinakusanywa vitu vyote vinavyomuhusu Jaji warioba
Makonda alikuwa anamkinga asifanyiwe fujo na vijana wa Upinzani kwa yeye hiyo siku alionekana kuiunga mkono Katiba Pendekezwa hivyo walimsubiri langu la ukumbi wamfanyie fujo,ilikuwa ni Ubungo plaza..😂
Hivi wewe mwandishi kweli bunda ni kitongoji
Kazaliwa kata ya ikizu wilaya ya bunda kitongoji cha nyamswa uwe unauliza kbla ya kutoa habari
Ahsante kwa maoni yako ndugu 🤝
Siwapendi waandishi wanaopotosha jamii.
Tutakuja kutetea pombe furani
😆😆
Wasifu kwani alikufa si yupo? Tena tunatoka katiba mpya aliyoiandaa mpo?
😔😂😂😂
Hahafa na tunataka rasimu yake kwenye kudai katiba mpya
Sio lazime afe ..Iyo Ni biography yake
Katiba ni yawa Tanzania siyo yake yeye alikuwa Mkt wa kamati iliundwa kukusanya maoni Hivi Nijiulize Jaji Mkuu Anapo Mwapisha Rais inakuwaje hapo tutawita yeye ndie mwenye nchi au
Mh. Hii nchi wamemzika bila heshima babawa watu