Rapcha - Nyu'clear Story Freestyle
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
- Audio produced & mixed by: / blvcq_beatz_igbo6
Written & Performed by: / rapcha_tz
Nyu’clear story begins
Maana nsipo drop nuclear some bitchez won’t understand
But you know how i care my bitchez
Na ndo maana wananipenda na popote hawawezi pretend
Glass moja celebrating friends walio-disperse
Moyo upo very cold now i don’t need ice
Rain on you mpaka after life ka tunaishi twice
Ukihisi kama unaeza kuniface hauja think twice
Na unajua ishu sio like
Ni Ulishindwa kucontrol ulichofuga adi ukagusa ile like
Na kwasabu naeza nusa hater tangu nipo kwenye sperms ulipotoa ngoma nikajua i was right
Kuni diss huna plan we ni big fan, big stan
Niko meza moja with your bros i’m a big man
Big gun AK-99, on your knees man
Dakika 8 kwenye same flow inanikifu man
Kinachofanya wana wanikubali ndo
kinachokufanya we kenge uende hospital, im sick
Una dai uko invisible
Ila ndo umewahi kwenda media kabla ya studio my bishhh
Nimekua fast uko furious
Weight yangu heavy man slow down utapasua misuli hiyo
Mi sio type ya hao wavaa vipuli no
Back to class kwanza kabla hujaenda studio, my bishh
Fanya kutimba class usibane uko
Napiga makwenzi shaz mzazi ka ukijifanya google
Flow ni mbovu mzazi wazi hujui kutambaa na mdundo
Usiskize machizi wakupe uchizi usidate ukajazwa huko
No no no no its better ungebaki huko
Mess tu na last king uzikwe uko ka kituko
Soma number 99 nauliza ngapi huko?
Unani-respect sana ila tu bas ego
Na nakuona fala dissing your church
Mwili wako ni hekalu bro why don’t you fix that first?
Nakuzika and i piss on your grave, but first
Nikisha kupiga mkojo ita pongo wafanye drug test
Nilitoa warning rapper ataenichana anitaje jina
Kwenye ngoma ya dakika 8 jina halijafit vina
Bow your head miss vina
Freestyle zangu zote nzito zaidi ya career yako nzima
Cocking my gun, drop bars rraa ta ta ta ta
Pull di trigga pull di trigga ra ta taa Man down
Straight to the, To the top
To the to to top verse yako yote tra tra tra tra trash pen down
Mchezo umekubali nime-enter
Ukija kipuuzi sipendagi upuuzi nakupa ramani ya unapokwenda
Fata miluzi mbwa mpuuzi utoke mchuzi
Sijaja juzi sina makuzi siwezi loose maana niko standy by
Unajua namna ya kunipata
So ni uongo unavyosema ushanicheck tuongee na hukunipata
Nguvu unayotumia kuilinda pride
Ungeitumia kumfunza dada ako apunguze wana wanaompakata
Fanya u-play hii song
Afu Pray u-suvirve hii Dizasta nkushushie Sodom
Ume step kwenye fire come on
Watu kama we mnafanya MSD wazidishe kutugea condoms
99 wasiomjua huyu trash
Jina lake la kwanza ni pussy ongeza na ass
Airtime yote niliyokupa uki-flop nakutia na makofi kwa ass
I need to relax
Let me just focus on my music
Nna safari ndefu nitachelewa nkibishana na wapuuzi
Cha msingi nshakuleta kwenye market ya new school
Bow down nishukuru kwa kuku-introduce
Don’t fuck with me i warn you Diz
Huwezi handle hii fever i’m the real disease
I’ll make your brain cease and make you freeze, easy
Swallow every track you gon’ release
Three two years nimekuacha maana kichwa nazi
Four five years nakucheki ukini-idolize
Nikijibu tena issa big promo
Ambayo kwa michano unayofanya hutofika hiyo price
Got no time for you muhfucka
Nakimbiza money maah nigga money money
Ain’t got no time for you niggaz
Nakimbiza money maah nigga money ma nigga
6 feet coffin imefungwa mikufu
Hii track inaprove definetly siwezi kuloose
Nakuacha upate interviews, i break the news
Reject the rules made by fools who break the rules
Tight pussy now ime loose, usiniconfuse
Cloud 99 I’m cool i like the view
I’m busy going to the top volume.2
Nakuacha uBreakdown bars coz you know the rules
Join Our Family:
/ rapcha_tz
/ rapcha_tz
/ ucc-6c99tjajg. .
#rapcha #nyu'clearstory #freestyle
Hakika nimeamini mtoto na baba dizasta vina ndio baba wa rapcha tunao jua ukweli nipeni like 👍
Rapcha Ni rapa mnoma sana,Ila kwa Dizasta Vina hapa Umekunya ukweni!!
😅😅😅😅Nimecheka kifala
Hamna kitu hapa aseee Dizasta vinna n mnoma😂😂😂
Safi Kaka ila wanangu ambao Bado tupo upande wa Dizasta gonga like hapa tujuane bhanaa maana tunakwenda kuua mende Kwa bunduki💪💪💪
Mmekuja kufanya nn huku 😁😁😁
Unaleta dis au si better ungebaki huko🤣
Disasta ni fire rapcha km amemaind vitu vidog
@@allyabdallah1147 dizasta kaimba matusi ya chinichini af rapcha katusi live live 🤣🤣
Huu huu Rapcha wenu amebebwa na mdundo/
Haya Sasa subirini Vina amue Mbu Kwa nyundo/
😂😂😂
Binafsi namkubali Rapcha ila DISASTER VINA NI habari nyingine 🔥🔥 amediss mpaka kanisa..
😂😂😂😂😂
kwa sisi wapenzi wa good music tusioshabikia wasanii, best friend itaishi miaka yote kwa maana imebeba maudhui ya jamii nzima, sio hizi nyimbo za Rapcha zenye maudhui ya muda mfupi.
bravo Dizasta
True..
Dogo bado sana Yani nadhani ukwel unajua ila unataka fame dizasta vina ni black maradona
Kwa market ya mziki ulivyo sasa, wanao mwelewa disaster ni wachache sana cz flow ndo inayo angaliwa sana, hata kama unaandika jitaid ucchane kizamani cz new school listening hawatakuw kuwa na time nawe we.
Nahisi wewe na mmi tumeumbwa siku moja na akili moja
Saf sana mwamba unaelewa harakat gd🤙
Mwanangu 99 sema umepanic sana dizasta ni mnoma 💥 japo nawe ni Noma kwa Ngoma hii umetuangusha shytown(au mnataka Kiki washenzi nyie)
Dogo bado unajikuta Mbishi tu kwamba unataka kuonesha uwezo kushinda Dizasta Vina. Haya shauri yako we endelea na ujinga wako.
Ngoja round hii uzikwe kabisa.
Sisi tumekaa paleeeee
Tunaenda kuua rapcha jeneza linakuja na baskel wana singida wanakuja nalo drop like ako apo kama we ni Tim dizasta vina
Wazeee WA DISTA❤️❤️❤️
AM DIZASTA’S FAN NO1
#PANORAMA TAIFA LANGU
Nakukubali rapcha, ila freestyle zako Kawaida sanaaa kiukweli huwez battle na mshikaji
Anamdiss nan
Dizasta vina
My single line is like your entire verse....
Best friend ni kama siyo diss track hivi inanigusa hata mm na jamii yangu inayonizunguka huyu kijana wa 99 anaweza kuflow ila mashairi muachie mwenye Vina vyake Dizasta
Hauwez kuvunja ushikaji kwa tusi la bahati mbaya, kwenue hili swala la rapcha na dizasta me nafia kwa mr dizasta vina🔥
Aaah braza pale hakuna like ya bahati mbaya🤣🤣🤣 n kujitaka kujisafidha ww m nko na raocha
@@emmanuelmmasi7283 🤣🤣🤣 hata kama me bado niko na mr vina
🔥🔥🔥 ukiachana na Mondi na Kiba kumbe hata hip hop inaweza kuchangamsha mji good one
oooh safi ila bado humu kuna kelele tu king of 90's ..Dizasta kwa best friend tu yee ni Mfalme wetu kwa miaka 100000
Fact💪💪💪
Rapcha na kukubali sana unatereza sana ila mkubwa mkubwa tuuu jmn kah dizasta anaandkia😁😂
DIZASTA mmoja ni Sawa na Wakina Rapcha Elfu Nane!!
#BestFriend 🔥🔥🔥
Woooow, like ya Twitter imekupangua sana, wee rapcha Og hakuna mwengine
DIZASTA VINA🔥🔥
MATURITY YAKE IPO JUU SANA
BEST FRIEND
BEST SONG
mwandishi Bora hasifiwi kwa kuandika matusi
Kutoka Kenya nasema tena na tena hakuna siku huyu dogo atakuwa kiwango moja na Dizasta...
Dizasta Ni moto wa kuotea mbali i say....
One love from kenya.
Nipeeni likes za mkenya
Uwezo wako Bado Mdogo sana Kwa dizasta kuwa na adabu
Game on....ila nilichokiona humu ni Kutukana tu na Hasira nyingi zosizi na Msingi..Bado Best Friend ni kitu kingine...naona unazidisha makelele tu...by the way hii inachangamsha game...ila Rapcha kelele nyingi.. sioni content..Dizasta alicho kushinda wew anatoa fact kwa lugha za kishkaji...Bado Best Friend ni The Best.
Rapcha 4 sure unajua ila vina umuache tu anaulimwengu wake 🤯
Masta, ,upokosea n kumtaja dada ake, usiifanye iwe bifu ya family to family.
Rapcha Bado sanaa kwa Dizasta yule mkubwa kwako kwenye Game vunjeni bifu mkae chini mfanye cha maaana
Kutaka amani wakati wa vita utakufa mapema. We wait round 2 ya dizasta
Rapcha mambo mengine accent ushamba disaster ndo chocolate gan
Rapcha katisha sanaa,,,coz uandish hauwez kufanana kwa wasanii wote (uniformity) ko ni assignment kwa Disasta vina kucounter attack ,,,,Ratcha ni modern rapper na Disasta vina kwang me ni best lyrical writer but hana modern flow
Game on! Mpaka Sasa kwa kilichoonekana ieleweke hapa mmoja Ni mkali wa flow na mmoja Ni mkali wa kuandika! So far best friend imeonesha ufundi mwingi wa uandishi na uuandaji wa context Ni wa kipekee Sana! Wewe umetisha kwenye flow! Ziko poa Sana! Lakini linapokuja suala la diss trucks kinachangaliwa au watu wanachosikiliza zaidi Ni mashairi kuliko flow! Watu wanataka kusikia mtu kachanwa kitu gani! Kapewa za uso zipi! Hiki ndio kinacho Mata zaidi katika diss truck yoyote na dizasta Yuko very consious linapokuja la suala la uandishi! Best friend imefunika hii but heshima yako itabaki pale Kama kijana mnoma Sana wa hiki kizazi kipya Cha rap!
Naunga mkono
You know Hip-hop bro 🤝
tatizo huyu mtoto anajazwa sana masifa,,,bado ako na utoto flani hivi
Umemaliza kila kitu. Flow nzur lakin sio diss track hii
Umeongea pwent bro ila DizastA😀😀 ni mala mia ya uyu dgo
Dizasta vina master mind bro umuwezi🐐
Tunaosubilia uchambuzi wa SNS gonga like😅🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣 tupo wengi
Hahah nikiwa Mmoja wao from kenya
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@simulizinasauti
Much
Rapcha anajua san, lakni disaster ndo another story sasa😁
Afu montra kiboko yake p mawenge😅
Hizi verse tuliandika sana tukiwa form3. Man up young boy. Tengeneza content siyo kufokafoka hovyo. Dizasta anakufinya kwenye content tu. Hiphop ya flows ni ya mabinti, wanaume tunataka content best friend.
Tuliandika wewe na nani??? Na mbona mpaka leo hujulikani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huna lolote
Hip hop ni flow...na panch lines mzee wangu....rapcha hatari Sana kwenye flow na midondoko ya hip hop new generation....Dizasta flow zake Bado Sana sema ni mkali wa maudhui
Huna kitu ww
😂😂comment yako haijakaa kama mtu aliyewahi kuandika mistari yeyote mbona
What i like most from yu ŔªPÇĤª Is yu ain't show any fear of that big fish yu party with him no matter ni mnoma kiasi gan that's HIPHOP haiitaj kuogop mtu yan akiyatimba wampakia tu ila kuna kitu kimoj kipo opened khabisah yan kuw dogo iz probably to became a monster in future ila hyo broh( DIZASTA VINA ) ni DUNIA NYINGINE khabisaaaaaah huyu kiumbe yupo mmoj tu na yey ndo toleo la mwisho la viumbe aina hio nimekubar wot mmetish sana mpo 🔥 🥵
Hata baada ya bifu kuiaha Best friend itaendelea kusikilizwa ila hv vinyimbo vngne hawez kumbuka mtu
Still listening
Forget the rest i'ma True rival, mnaimba matusi Sana kwa maana bongo zenu ni too idle, my next bar is a cheat code no, my last bar is the cheat code, every bar is too vital🔥black maradona😎
Hii ndo VITA YA PANZI furaha ya kunguru na kunguru ndo mimi. Hapa ni kusoma nani fundi😂😂💥💥💥💥Oya kama naww kunguru npen likes Zenu.😍😍😍😍
Kabisaaa yaaani
Eti unasafari ndefu umechokoza mwenyewe uvae njuga usikimbie 😂😂 wanangu kama wew nimjusi gonga like tummeze huyu Mende
th-cam.com/video/U5AsYNhf8Og/w-d-xo.html
Sema ngoma kali
Yote mmesema Nyie tusubr mwamba kujbu kule😍
Freestyle y kawaida sanaa umeyakanyaga☺🔥🔥
Janja nafikr ulihitaj more time, kufikiria cha kuandika na kusikiliz ngom uliyoiandaa kuitoa i thought nuclear ingeifunika best friend lakin bado... Nafikr unahtaj shule ya namna ya kufany dis maan hii dis yako mpy bora ya mwanz maan ulitulia zaid tho bado vina yuko onTop
Kuna moto ambao auna future nawenyewe unataka kuwaka anga zako uko sijui umeuna kaka rapcha
Team Dizasta mnaona Dizasta bado hajafunikwa gonga like hapa tujuane😂
Bado mtt uyu anatapatapa tu bar moja ya dizasta ndio vdakika vyake vya nyimbo nzima maaàmae
Yaan ili umpende na umuelewe dizasta nilazima uwe na akili sio kila mtu anamuelewA dizasta Ni kama mathematics tu wenye uwezo wa kufikili ndio wanaipenda na kuielewa ila rapcha nikama kiswahili tu kila mtu anaelewa Hadi chizi
Dizasta ni noma yani🔥🔥🔥 utakufa vibaya ww nakuonea huluma rapcha
Vina will remain dizaster on this....
Kuna urahisi sana katika kupayuka...au kufoka foka
Ile BEST FRIEND ukitoa neno Msenge na Mamae ni nyimbo ambayo inaweza tumika ku-dedicate maselabwote Nazinazi
Dizasta umuwezi mdogo wangu Fanya v2 vingine Kaka 🙄😜 gonga like kwa Dizasta
Kila nikisikiliza naona bado hujaifikia best friend kwa kila ki2
Wasikuongopee wenzio then acha kukurupuka dogo
Rapcha rapcha rapcha,,nimekuita mala 3,,,achana na Iyoo KICHWA DIZASTA,,,moto🔥 mwingine,,,ni mzigo mzito sanaaaaa kwako,,,utajinyeaa dogo
Acheni kujuana Rapcha ni New generation...Harafu Ni motoo..Dizasta mzee harafu akacheze na wa kubwa wenzie Wakina Niki wa pili huko...Rapcha Anaimba kisasa❤❤❤
Huyu dogo anacheza na mtoa roho bado sana best friend bonge la jiwe*🦉🏁
Bado sanaa kumkuta dizasta japo nakushabikia
Tunaomsubilia disaster aje na balaa jingin gonga like
Hahahah kama upo na mimi mzee
Jamaa rapcha ni "story teller"...upande wa michano yenye punch lines kama anazimiss hv...na sauti yake inakosa mamlaka ...sijui ni upande wangu tu ama kuna usahihi
Nomaaa mzee sema mm hawa wote nawakubali
Tunasubil tuone checheee💥
Hana balaa mwenenu mnamjaza tu anaweza kuja na wimbo una dakika hata 10 ila hamuna lolote sikiliza truck hiyo mzee
Safar ndio kwaz inanza 😍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍
Rapcha tulia yule vinna dizasta kashindikana kabisa uwezo alio kuwanao ni mkubwa sana mistari yako milais sana at ifikilishi
Yule mbwa sana hafai kua mwana amemdiss rapcha akat yeye ndo amekosea
Dg anatafuta upenyo kaka
Kama uwezo unao lakini Hana panch Kali voko zaifu chek dogo anapasua
Dogo kamzidi dizasta vitu vingi ukitoa tungo dogo katengeneza wimbo sio diss track ambayo anaweza sikiliza mtu yeyote hata kama hajui nini kinaendelea dogo kachanganya flows yani kiufupi dogo ni hip hop creativity ana kila kitu.
@@wilhuncho2228 tulia mzee yule jama ana balaa kwenye rap gem dizasta vina the best kwa kila kitu sema dogo alikosea tu
Kiufupi huyo unaejibizana nae anakuzidi mbali sana, kuanzia utimamu, uandishi , uwasilishaji. Na hata elimu kiujumla. Bado humfikii.. kiufupi umetumia mihemko sana Dizasta Vina, Sio Level zako.. tafuta mchuano na wapaka poda wenzako, Dizasta, atakuaibisha Mzee
Team rapcha tyujuanee
Mpuuzi sana WW mtoto kisauti chako kitamu kama Cha zuchu kinakudanganya sana hujui dogo UNAHITAJI KUJIFUNZA kutoka kaka ako Dizasta na sio KUBATTLE NAE
his single line is like your entire verse... Kawaidfa sana 😀😀😀😀
Best Friend Bado moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪 Vina 🥲🐐
Dizasta 👑 KING OF HIP HOP
yes rapcha ni creative sana hii kweli no story nyingine. make trends my nigga . dizasta ni mkali but hana akili ya global. acha wampeleke new school. with more success.
Staili Yangu imeinspire The Culture.. Imeinspire the Nengo The Shaolin The Nacha The Boshow The Killer'S The Maarifa The Rapcha...
NIMEACHA DNA HATA NIKIDANJA SINA DENI TENA..
TUNAOUFAHAM UKWELI KUA RAPCHA HAMUWEZ DIZASTA TUJUANE KW LIKE..
Tupo dingii.
Tupo Hapa
Hana Hit hata moja don compr to Rapcha
@@delimachesa5007 Tunatembea na hit Au Vina..?
@@delimachesa5007 Hatufanyi mziki wa mainstream ndio maana hatuna shida na airtime kama rapcha, hivi unamjua Disaster?
Dizasta umuwez broo ata ufanyejee hatia ya dizasta ile moja sawa na nyimbo zako zoteeee
Rapcha anakimbia battle jamani ashaingiza uoga mapema sana kama umemsikia akijitetea kuwa hawezi jibu tena 🤣🤣acha like hapa🔥🔥🔥 Still Panorama
Wazeee WA DISTA❤️❤️❤️
AM DIZASTA’S FAN NO1
#PANORAMA TAIFA LANGU
kabisa
Distribution
Tofauti ni moja tu flow na mwingine anajua haimbi kwa temper.. Rapcha umeshika mavi gizani..
#RAPCHA hebu tuliza wenge
huyo unaetaka kujibizananae NI mkubwa sana kwako
Acheni ushamba nyee sio marefari acha wapane
Mkubwa akizingua anachapwa tu
@@fadhilichaz co KILA m2 ana akili timamu NDIO maaaana
@@fadhilichaz CWEZI kukujibu nikiwa na majibu mengi
Rapcha hatali xan huyu kijna wanangu 🚶 waaaaa
GOOD Lyrics ....G. But "BEST FRIEND" still OnTop
Truth be told dogo anajua coz very simple very clear
Dizasta my G. Naomba wimbo mzima usitukane hata tusi moja maana nategemea kusikiliza na familia yangu
😂😂😂😂😂👍
🤣🤣🤣🤣🤣
Said Adam hahaha
Hahajajhhaahha naqbal sana blaza ww ndo umeongea point kubwaaa
😂😂😂🔥🔥
Nzuri Sana sema kwenye kumalizia huku ndio sijapenda
Kama hujaelewa maana ya alichokiongea mdogo wetu gonga like....mpaka sasa nimesikia dizasta kasema kitu rapcha bado
Hii ngoma kuna mstari unasema kwamba una ngoma ya dakika 8 lakini jina halijatajwa na hakuna ata vina
Lakini nimesikiliza best friend pia kuna mstar unasema hii ngoma nitajibu na kujigijigi kila ngoma utakayotoa so mi bado cjackia kma rapcha kaimba kitu kipya
oya wee!! tunakubali rapcha mkuu, dizasta kojowa ukojolewe 😆😆😎
Bado dizasta the best broo
Oya changamsheni hip-hop endeleeni kupigana nyundo
Kusema kweli Dizasta kauwa sana dogo bado hana Hard Bars 😂
Best friend ni ngoma ambayo haipo direct kuwa imemlenga nani, anaweza kuitumia mtu bila kujua kama kuna bifu la Sanaa, Rapcha ni kama ameichukulia personal sana, amejaa analeta dis ya kutukana kama freestyle za stejini tena za watoto. Kujua kurap haimanishi unaijua hip hop, hata singeli kuna rappers ,
🤣🤣🤣🤣 brother men kajibu bila hata kuielewa Best friend daahh... Bado kilichoandikwa hakieleweki ni Kama umepaniki hivii Rapcha.. ... haya lets go to the mission
Ile best friend jamaa alimpa elimu ila sasa dizasta atakuja ku mdis sasa😀😀
Kwa hii naona rapcha kapaniki
Kumuelewa Dizasta inatakiwa uwe na uwezo mkubwa sana kiakili na uelewa hapa dogo ata alichokiandika Dizasta hakijui kakurupuka tu kujibu ila bado ilo jibu alilojibu haliko sahihi ,Dizasta ni genious tena kutoka sayar nyingine kabisa huyu abishane na wakina young lunya tu
@@hassanmakweto6299 uko sahihi Rapcha wakina Young Lunga ndo type yake thus why dizasta said nyimbo zenyewe kuch kuch... ..
@@afyandogo kapaniki sana mi nadhaji ukitaka kujibu diss track its better ukikaa chini uiskilize diss ya mwenzio uichambue uilewe alaf uijibu, ukiijibu kwa kurupuka bila kuelewa Binafsi mtu kam huyo nakuwa namtoa kwenye List ya macouncious..
@@rasulimlekakule dogo ameshindwa
Hahahah daadeqi nakubali mwanangu
Oi we ni king kwa level zako ila kwa Dizasta Vina nah bado sana, usipagawe na kilemba cha ukoka wanachokuvisha hao wapaka poda men
Kakurupuka ngoma mbovuuuuu
Tofauti ya mwalimu na mwanafunzi ni ujuzi na ujuaji!
Huu hapa ni ujuaji.
MJUZI ndiye Dizasta!
Respect your teacher Dizasta ,naona unambwela sana mdogo wangu rapcha
DIZASTA N LEVAL INGINE
Jna kubwa Nyuclear hakuna chochote kilichofanyika
Mama yangu umejichimbia kaburiiiii
Ukwel useme rapcha ata dunia igeuka dizasta umuwezi omba msamaha. Nasubutu kusema unaimba na hufanyi hiphop
Dogo kajibu ila nimeipenda maana tunachangamka na ndo maana ya hip hop ila wanangu wa upande wa vina tusiwe wanafki gonga like tushinde kibampani
Ety wanakufananisha na watoto hahahhaa kazi wanayo rapcha on t0p
Rapcha mpaka podaaa, wanaume tuko na dizasta
We rapucha we size zako ni wakina young wale con, salmin swag wazee watrap wazee wa night club yule dizasta umuwez kima wew😁😁😁
Pale Dizasta kaleta atomic bomb in content (He attacks entire archetype) a kid comes with it as a name (he attacks individual), matusi matupu hakuna content. 3 minutes hakuna la maana nata chembe mwenzio 8 minutes is a great stuff to great stuff, this is a genius vs lunatic battle.
Endelea kupiga makelele Dizaster Vina has our respect, he is a true gentleman in swahili hiphop.
aha hakuna alichoongea zaidi ya matusi tu, napenda hizi battle, ila subr aje dizasta kumfundisha
Hapa amna kitu ila Dizasta kalishasema kwamba kila ngoma atakayoitoa tayar ameshaijibu so sie wenye uelewa bado dogo anarukaruka tu
👍👍
Dog ajpng kixh ndo ajibu anpnd kukurupuk xan
kaka @dizastavina kumjibu dogo ni kujishushia heshima vina haaandiki kishoga hiv
DIZASTA ni Professor wa hii rap. Dogo tulia darasani ufundishwe, acha kutuchekesha
rapcha anaruka ruka tu humu ilimradi amjibu VINA ila hamna kitu zaidi ya best friend....
Bado Sana dogo, Dizasta humuwez
I don't see any problem between them what I see one is trying to maintain then another one is up coming,,,, that is the true definition of hip hop,,,
bado sana kwa dizasta dgo rapcha
Umejitahid, ila badoo saaanaaa, bado mnooo. Dizasta hana haja ya kukujibu hata kidogo, maana ile nyimbo ya best friend ni jibu tosha. Nilijua tu utakuja na mistar ya panzi.
Vipi dizasta dakika 8 ila flow ni moja sasa yupi panzi 😂
Hahhah kua kurap kwa radha
@@benitomtessa1857 hata ka ndio ushabiki, kwa kip hapo alichokiimba Rapcha, au ngel ngel zisizo na mpangilio, hata wewe unaimba tu ka ndio style zenyewe ndo za mchumba wa Lissa
@@worldhappiness1181 uko sahihi dg bado hajajibu ile best friend yawezekana hata yeye hajaelewa
@@benitomtessa1857 nan alikuambia kuflow style nyingi ni ufundi. Sasa hapa si kapiga makelele tu
Unahitahid ila bado rudi shule...pamoja na promo zote za bongo record...fanya tena #dizasta habar nyingine
Rapcha unazingua Sana we sio wakumgambia Dizasta hata siku moja Aisee.. mi fans wako Ila kwa hapa siwezi kukupa kichwa
TULIA game ilipoa sana
@@adinankojulianko219 dizasta na vina hapana man dizasta is fire rapcha akaze sana kaka kama hii ngoma yote kwa dista itakua ni beti moja
Janja kazngua yeye sio wakumdiss dizasta
@@jogoojeusi9250 Ni Afadhali Maana Mimi Huyo dizasta nilikuwa simfahamu Hata ko amempaisha kidogo
@@adinankojulianko219 sisi tuliotoka tamaduni music ndo tunaelewa who is dizasta we dambwe hili umekuja juzi
Diza ana rap kizee san oiii Guy haina kuongpa lenged sisi tup studio tunamsbiri uyo mzee wenu mdomo wake mzito tumchanechane hatuitaji fake friend sisi 🔊🔊🔊 rapcha blood changa
Dizasta nailed by far bruh! nadhani ungetulia kwanza kuliko kutaka kujibu Kwa haraka Ivo!
Huu mziki acha kukaza shingo
Uyuu dogo anachanganyikiwaa Sasa iv ... 😂😂😂 Kuna kitu anakitafutaa
Anatafta moto uyudogo
NYIE do go anajua sans
Daaaaaaaaah broo rapcha hiiii angefanya ya kwanza na ya mwisho ATAUAAAA🤣🤣
Brother mmechangamsha game na hiphop ndio inavyotaka ila nikushauli achana dizasta humuwezi best friend ni zaidi ya distrack🙌
Hamna msimdanganye
Watu tumemjua dizasta baada ya Rapcha kumtaja so potezea kusema uo ujinga
Dizasta vina nimwambia tunamujua sana kenya kuliko huyo mtoto rap chaa
@@delimachesa5007 umemjua rapcha Leo Kwasababu umezaliwanae mwaka mmoja 1999 juzijuzi Tu hapa, utamjua Disaster wa miaka ya 80s
OYA MBONA YO YO YO NYINGI MANIGA MANIGA NYINGI HAMNA MSANII HUMU BABA PAULA ANAMBEBA NA YE MWENYEWE KASHAISHA OYA @DIZASTA ANAJUA BANA 😎🙌🔥
We ni BEST FRIEND wetu mwanetu
Yah xem kametak vita xo now 2nampga nying z uxo
Matusi mengi,,hamna panch kwa line