Halafu Huyo anaitwa Kado Kitengo na sio KADGO, ukisema Kadgo ni Rapper mwingine kabisa wa Tamaduni na ni mtu baya kwenye freestyle Pia. Jitahidini kuwa precise kwenye details ,btw hii segment ni kali na inajenga craft ya hip hop.🙌🏿
Jamaa mwenye kiremba kapigwa round ya mwisho hata A to the Y hilo aliliona, sema as a brother was not nice to disappoint a youngin. Anyway, was a fair game and I enjoyed it a lot
Wakali wangu wa freestyle tz 1. Toxic fuvu 2.cado kitengo 3.jaco geezy 4.stan rhymes 5.Mteganda Lakn kado kitengo ndo fundi wa kunata na mabeat Makali ya hip hop
From Kenya i really enjoy watching this show....wapi like za Kenya🙏🏾
pp
@@maxspower3626 🙏🏾
Nenda kisumu
Hao majamaa wote ni🔥🔥🔥🔥 nakipenda sana hiki kipindi cha big Sunday live
True
th-cam.com/video/AlNs6lcTlHA/w-d-xo.html
Halafu Huyo anaitwa Kado Kitengo na sio KADGO, ukisema Kadgo ni Rapper mwingine kabisa wa Tamaduni na ni mtu baya kwenye freestyle Pia. Jitahidini kuwa precise kwenye details ,btw hii segment ni kali na inajenga craft ya hip hop.🙌🏿
Kadg+O kad ya mhezo kad nyekundu
Anampa mtu jina kubwa af mtu mwenyew aendan😃😅
Uwajui awo
Hii sasa ndio tuliyo kuwa tukiisubir hip hop 💪💪💪
Uyo kijana ame Vaa black nim fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚒#one love from Kenya+254🇰🇪💯🤟
Point Kali hapo unajua kisungu mango ...na penda show from kenya
Yn twend mbele turud nyuma toxic huyu kwny freestyle n danger mazeeE...ila leo battle ilkuw tamu nmependa sound y cado kitengo anasound y hiphop...💪
True
th-cam.com/video/AlNs6lcTlHA/w-d-xo.html
Very true
Jamaa mwenye kiremba kapigwa round ya mwisho hata A to the Y hilo aliliona, sema as a brother was not nice to disappoint a youngin. Anyway, was a fair game and I enjoyed it a lot
wote wametisha sanaa asee 🔥🔥🔥sema huyo mwenye kiremba round ya mwishoo alipwaya kidogo
Bora alivyo pagawa
Sana sio kidogo
True
th-cam.com/video/AlNs6lcTlHA/w-d-xo.html
From Mozambique 🇲🇿 love Rap
Toxic you are good in freestyle,we are proud of you,much respect from Kenya 🇰🇪
Presenter umezingua sana. Kama huwajui rappers uliza kwanza.
Nimikubali freestyle, Mimi wa Mozambique 🇲🇿
10:28 una shavu zuri mbele y maiki nakuchum 😄😄😄😄 HIPHOP
CADO NONDO VS TOXIC FUVU from CRB
Nmerud tena kumuangalia toxic fuvu
Mshikaji anajua sana🎉
Hawa wamba wote nawakubali kwenye freestyle battle 🤜🤛🔥🔥🔥🔥
Toxic fuvu to the world jamaa kila akija big Sunday wasafi anashinda Toxic APEWE KAZI WASAFI
True
th-cam.com/video/AlNs6lcTlHA/w-d-xo.html
Duuuh,,,, very creativity guys,,,big up guy's
Dahaa kweli nimefurahi sana kumuona tocx mtaa mojaa big broo
Daaa hawa jamaaa Wanajua balaaa ziitoooooo 💪💪💪💯💯💯👏👏👏🍾
Round ya kwanza Cado 🔥
Round ya Pili Toxic 🔥
Final Toxic 🔥🔥
Kado anaweza.
Battle lilikuwa moto sana
The way napanick haraka mm hii rap battle siwez nitaliaaaaa mtu akinichana hiviiii😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😆😆😅😅
Minawez rusha maweeee
🤣🤣🤣🤣
😅😅😅
😂🤣🤣
Napenda sana big sunday, onguezeni muda wa free stile dakika 1 ni kidogo ☆☆☆☆ kutoka msumbiji
Much respect from Mozambique rap batle
Trop de respect à Mr toxic,kweli tz munama rap!in Dr Congo/goma
Hii battle nilikuwa nikisubiri sana ije kutokea na imetimia 🙏🙌🔥
Wanaweza wote kbs
Dahhhh noma Sana yerooooo 🤝💪
Sema Toxc Kauwa
wapi likes za new canada....watching from canada
Hawa majama wote ni hatari wametisha kinyama❤❤❤
Fuvu never disappoint 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hawa majamaa ni hatar wote niwakalii salut sana ma bro
Toxiiiic🔥🔥
Toxc hujawah shidwa brooo
Niko hapa kwaajili ya ray mshana bonge la swing kanipigia hapo mwanzoni hiphop bug dance
Wakali wangu wa freestyle tz
1. Toxic fuvu
2.cado kitengo
3.jaco geezy
4.stan rhymes
5.Mteganda
Lakn kado kitengo ndo fundi wa kunata na mabeat Makali ya hip hop
hapo mteganda umezngua halaf namba moja hao wawil wa mwanzo wamefungana
Yededeeee
Huyo jaco jeezy ndio baba ao
Poison
Unamwachia nani yededee na wizzy mp
This KADGO is such a vibe.....From Kenya
Mnatisha kinoma noma
Duh, huyu dogo ni noma
Wako vizuri sema mi naomba battle ya tixic na yededee
Toxic ni moto🔥🔥🔥Nampendaa balaa anachanaa balaa
Msijifanye hamjaskia “Ye mwenyewe mkimfungua kiunoni Ana Shanga a😂😂…”
Enjoying this on August 2022,toxic fuvu mnoma sana
One love kwa cado
Toxic ni mtu na nusu kwenye freestyle hajawai shindwa
Namkubali Sana toxic
True
th-cam.com/video/AlNs6lcTlHA/w-d-xo.html
Tuombe battle ya toxic na poison
@@sweetbertgeofrey6273 yeah kweli mwanangu
Hujamfatilia stan rhymes
Toxic Sumu anajua Freestyle
Tox noma sana
Lapuch kadiwa💪👆
Watengwe wapewe sayar yaoooo💥💥
Ivi unajua ata kingereza what is mango 🤟🤟
Much love mwana wa kigoma ..from kenya
Wote wakali bila shaka, Cony kutoka 254
☠️ is the king 👑 of freestyle 🎤
Acheni masihara cado kitengo ni noma😂😂😂😂😂😂👊👊👊👊
Kwel kaka true, tuachane tu utani tuxm ukwl, Ingekuw shoo kubwaa hiyo,, kadgo angeuuaa
Round ya pili ndo ilikuwa noma
th-cam.com/video/W-4uUm5QvHQ/w-d-xo.html
Huyu host ni kwamba hata jina la contestant wake halijui amekuwa akimuita Cado kitengo Kadgo wakati Kadgo ni artist tofauti kabisa.
Noma sana
tunaoifatilia hii freestyle 2024---
Toxc ni👍👍👍
Wote wameshindaaa
Noma sana💥💥💥💥
From Kenya with love
Tokea nimjue kado kitengo kwamala ya kwanza leo naona kakalishwa asee 🙌🙌
toxic ni hatareeee
Cado kitengo 🔥
hao majamaa wote💥💥💥
Hawa vijana wote ni wabaya.much love from Kenya
TOXIC FUVU ROUND1 KAPWAYA KIDOG ROUND2 KAUWA KABISAAAAA NA ROUND YATATU KAMALIZA KABISAAA🔥🔥🔥
NAHUYO JAMAA ROUND YAKWANZA KAUWAAA ROUND YAPILI KAPWAYA KIDOGO NA ROUND YATATU PIA KAPWAYA KIDOGO.
🔥TOXIC KAUWA🔥
Wewe sasa unajua kujudge true
Yeah kabisa..
Toxic this ninja always killing it.
th-cam.com/video/W-4uUm5QvHQ/w-d-xo.html
Dtrrrrr44r4rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
True
th-cam.com/video/AlNs6lcTlHA/w-d-xo.html
Tanzania
Kwangu Toxc ameuwa sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kitengo
umemalizwa mwisho umeshindwa kumaliza kabisa Japo nakubali wote nyinyi ni HipHop
Mauaji haya🙌🙌🙌🙌
mjomba mwenye kikot cheus ni motoooo balaaa
Toxic huyu jamaa anajua
Kitengo balaa wewe sema humjui vzr
Uyoo jamaa ni hatar kichiz
Toxic fuvu brother respect sanaaàaaaa 💪💪💪💪💪
Uk fresh kaka Tox
I appreciate you brother TOXIC💪
Toxc katishaa
Hao jamaa mnawalipa au ndo unaendelea kuwatumia kwenye vipindi vyenu maana wanatakiwa maisha yao yabadilike sasa
Sure ✅✅✅
Cheki shoo, enjoy mengine waachie wahusika...
duh wasafi ka wasafi xo hotiiiiiii 🔥🔥😂😂
Zaidii hii ndo freestyle kalii nmeichekiii
Daaaaah, Hawa ni wanoma😃😃😃😃
What's iz mango? Fuvi🔥🔥🔥
Hii video nailudia mara ya tisa leo nainjoi kumuona kado kitengo say AYEEEEEEEH
Nawakubali wote kadg nakukubali kilasiku lazima ncheki haka shoo❤❤❤❤😅😅😅
254 we are 🔒
Mumetisha
sanaaa jamn mmetisha wote
Eeeehe kwelii mb zinaenda2
Round 2 kado umekaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kumamake
All Of them are Dope❤️
Love from burundi🔥🔥
#WeGotThat👁
Aaaah hawa jamaa noma
Never. Get old
Namkubali sana toxxxxxx
Dah hii battle hapana😂😂☄☄☄🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥😊💥
Duuuh toxic adi anakera aiseee🔥🔥🔥
Iyi moja kaali kwel from burundi 💥
Hiyo katulia kama namtogoza ni 🔥
Nakubali Sana wanajuwa sana
Wanao angalia mpaka Leo big sunday live piga like ap