2024, nmejaribu kukuskiliza asee uko vzur lkn kwa vina dizasta dah hata theluthi..... humfiki rapcha toa ngoma Zak tukupe sapport t vina nisayar miningne
Huzingatii vina kaka uwezi shindana na dizasta vina unarap dakika tatu mwenzako anarap dakika 8 pamoja na content. Kiufupi nyimbo yako yoyote uwezi fanananisha na NO BODY IS SAFE 1,2,3,4 za dizasta muulize professor jay atakwambia uwezo wa dizasta vina ulipelekwa kumi za maangamizi hukufanya vizuri kama dizasta
Kichaa kapewa Rungu wazee Tutolokee Ukuuuuuuuuuuuuuu duh We jamaa sijui utaacha kujua lini make kila ukifanya inafanyika kua hit uko juu mpk wajuu wanapanda juu WANANGU 99
Hao wengine ni haki yako kuwachana iLa @dizastavina daah hapa naona kama umefeli nduGu yangu hyu broo hanaga makuu na mtu hanaga sapoti wala fame kama uliyonayo wewe anapambna kivyake tuh kila day show him some respect ku LIKE ♥️ sio sabb ya kuMDiss mbna weng wamelike Dizasta ni Real
Back 2 young lunya or whatever Chid called u.......... Aaaah mzee nataman nimskie na lunya ana lipi la kusema kwny hili all n all nawapenda wote rapcha na lunya so keep goin'
IKULU NIKAZAMA NA DREDI BUNGENI NKAENDA NA DREDI KWENY PASSPORT NA DREDI KWASABU UBAYA WA MTU HAUKO KWA DREDI💪 Tukaanza kumkumbush tale na kumyambua 🙌😂 oyah ni noma tha guy.
Dogo kulalamika sana ni dallili kuwa haumudu challenge..mskilize kaka yako dizasta na ujifunze kutoka kwake maana una mengi ya kujifunza kabla ya kutaka kuwa battle kaka zako
Rapcha nakukumbusha TU kua dizasta vina ni mtamafuni music ukiyakanyaga utajuta dogo uyo ni T'tcha Ako na dimensions ake tofaut na ndio ww tunaona ukiwa inspired
Dis kwa. King d itakuanguasha kwakua king Hana mda WA kujibu MA price kwa hii rap Labda hujasikia ile ngoma ya d inayo Itwa a confession of a mad philosophy
Kama umekuja kuisikiliza hii nymbo baada ya dizastq kujibu tujuane😂
Tupo WENGI SANA
Tupo tupo😅
Niko hapa
Hhhhhh
Dogo kazinguw
Kama umerudia kuiskiliza Hii ngoma gonga like
Yap nataka nieelewe wat is real going on
Wanangu wap like za rapcha, wap like nakubali sana my blood 🔥🔥🔥🔥
th-cam.com/video/gb7ynd61x8E/w-d-xo.html
Kama unaamin dogo kayakanyaga gonga like apa 😅
2024, nmejaribu kukuskiliza asee uko vzur lkn kwa vina dizasta dah hata theluthi..... humfiki rapcha toa ngoma Zak tukupe sapport t vina nisayar miningne
Rapcha bado sana uwezi kua kama dizasta vina
As a diss rapcha did good
Dizasta ni jini yule atakunyonya Damu🔑
Haha haha kwel
Atamnyonya nyaa
Kashanyonywa tayari
R. I. P Rapcha japo umeteleza tulichelewaa kukuombea msamaha kwa dizasta....🤕🤕🤕🤕
Umeyakanyaga mdogo kazi unayo tutakuzika hapa hapa hakuna kusafirisha
yes tupo street tunakuskiza our presint kama wapo wengine wanamskiliza rapcha kama president tumjazie like hapa
Miondoko ya kithuglife nuski, weka like Kwa rapcha🔥🔥🔥
Washa Moto mzee hawajui wakiwa wanaenda mwanza mpaka wapite shinyanga
Team Rapcha forever ,,,,,,,msinipangiee Nairobi 254 hio
Dogo hata uandikeje ufikii hata robo ya uwezo wa dizasta
Nangoja jibu la Young Lunya. Game litawaka aisee
Dogo we ishia2 kwa wakina lunya usjichngnye kwa vina
Dogo umeyakanyaga, achana na Dizasta 🙌
Amfahamu?
Dogo unajua sana tunasubir p akupeleke next level
Rapch umezingwa bwan mmb km yavijemb waachiy akin kond ww cc mashabik Zak atupend hvy bwan
Unamdis dizasta sababu ya like maalim umeyakanyaga😀😀
Daah ngoma kali aisee Rapcha anajua sana yan
Apo hajamdis Dizasta skiliza vzr anasema alijua wako peace had akakuta like ya Dizasta kwene comment ya dis...
Flow | style Kali mangii safi mekku #rapcha
KUMAMAEEEEEE🌠 WABONGO MNAJUA🇹🇿
MWAKA HUU KITANUKA MAGENIOUS WOTE WASHAINGIA
Dah nooomaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jaman kama unamkubar rapcha gonga like.
nimekuja kusikiliza tena baada ya lunya kujibu😁😁😁
Ndo Mara yangu yakwanza😅
🤣🤣🤣
Nakubl kija unaze sanaaa one family 😍🇹🇿💯
Huzingatii vina kaka uwezi shindana na dizasta vina unarap dakika tatu mwenzako anarap dakika 8 pamoja na content.
Kiufupi nyimbo yako yoyote uwezi fanananisha na NO BODY IS SAFE 1,2,3,4 za dizasta muulize professor jay atakwambia uwezo wa dizasta vina ulipelekwa kumi za maangamizi hukufanya vizuri kama dizasta
Sema hujuh muzik
Yoo whats up with this dude .... some one call the fire squad this dude on fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥 rapcha umekili umemchana mtu mstar mmoja mtu kaenda jibu dk 8 😂😂😂 yo kil dis shittg
Tema nyongo rapcha umetisha sana
Kichaa kapewa Rungu wazee Tutolokee Ukuuuuuuuuuuuuuu duh We jamaa sijui utaacha kujua lini make kila ukifanya inafanyika kua hit uko juu mpk wajuu wanapanda juu WANANGU 99
I repeat ×3
Kaka nakushauri tu endelea kuchokoza wote ila huyu dizasta atakupoteza bure 😅😅 hili lijiniiii
Dizasta vina mkali Sana
Rapcha hamuwez vina ata kdog
Nakubali saana mzee baba we ni 🔥
Mwanangu wa 99..🔥
Dizasta anaweza San kuliko huyu kwa tunao jua mzik
Rapcha anajua nyiee
Hao wengine ni haki yako kuwachana iLa @dizastavina daah hapa naona kama umefeli nduGu yangu hyu broo hanaga makuu na mtu hanaga sapoti wala fame kama uliyonayo wewe anapambna kivyake tuh kila day show him some respect ku LIKE ♥️ sio sabb ya kuMDiss mbna weng wamelike Dizasta ni Real
ameyakanyaga nakwambia
Mjomba kaachia ngoma inaitwa Best friend sio pouwa kaiskilze
Ifike time tuwe na respect wangap wame like hyo post???? Utawez kuwadisss wote??? Tuwe tunafikiri kabla ya kutenda
@@youngislah6048 NIMEISIKIA MWANANGU JAMAA KACHAFUKWA MULE KAYAWEKA NAYEYE WAZI
Heshima ifate mkondo wake
Kmmkee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nmeskiliza had nmetetemeka
Back 2 young lunya or whatever Chid called u.......... Aaaah mzee nataman nimskie na lunya ana lipi la kusema kwny hili all n all nawapenda wote rapcha na lunya so keep goin'
Ilikuaje kwan
young lunya aliitwa na cheed benz young kunya🤣🤣🤣
Hapo kwa dizasta sasa kuna kitu utahisi kinakuingia nyuma 😂
😂😂😂🤣🤣🤣😜😜 Umemwambia tayari??
kishajibiwa na nazani kishasikia
Last king of 90's 💥💣
IKULU NIKAZAMA NA DREDI
BUNGENI NKAENDA NA DREDI
KWENY PASSPORT NA DREDI
KWASABU UBAYA WA MTU HAUKO KWA DREDI💪 Tukaanza kumkumbush tale na kumyambua 🙌😂 oyah ni noma tha guy.
Brother ww ni next levo kwenye hiki kizazi hiki 🙌🙌🙌🙌
Hapo kwa dizasta sasa ndio ulipo kunya ukweni
😂😂😂
Sikiliza vizur hajamdis dzaster
Wanangu 99 👏 👏goma kali Sana la kufungulia mwaka 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Oy skipper hapa nakukubalisana mwanangu rapcha ngoma zako nando zinanzonipa usingizi
Ww mkali rapcha🔥🔥
Ahsanteni kwa kumsikiliza anaitwa rapcha big love my brother
Daah good idea nlichokielewa hapa n ili kuleta ushindan mkal kwenye game..all in all Ngoma ni 💥💥ckujua kuw unajua kuchana ngumu
Niqqa went so hard on this one 💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Nakubali sana sana nimesikiliza mara tano nimeielewa sawa sawa hatri sanaaaaa🎶🎶🎶🎶🎶
th-cam.com/video/jUrvHEDyvT0/w-d-xo.html
Ielewe na hii
Mmmh this is what we real want and wat we been waiting for let's waits and see ladies and gentlemen show timee
Acha hizo lines za mwisho zikakae pale status wazup.. .🔥🔥
Maana halc ya ukimya wako, ngoma kali sana💣💥💥💥💥
Huyu pipo ni another level 🔥🔥
SOMEONE CALL FIRE FIGHTERS RAPCHA IS BURNING US 🔥🔥🔥
This is what we want to listen us hiphop mongers ✌️
Dizasta hana akili hiyo ya kujibu kitu kisicho na point.......like tu....🤣🤣🤣🤣
Huu ni mziki acha kuwa serious na chuki
Hawezi jibu upuuzi
Wallahi tena
Hakika yaya nimauwaji kamili 🙌🙌🔥
Dizasta vina ni Machine nyingine kaa utulie dogo langu utapoteana sikiliza Best friend
Umewatolea uvivu😂😂.. Hardcore 🤜🏿
2023 liwalo na liwe hakuna kuchekeana apa
Mwanangu Unajuwa Xana yani👊👊
Oyah wee .. mwanzoni nlitaka niseme ngoma mbovu kumbe ukiiskiliza ni KARIIIIIIIIIIIIIII.....
Yaani we dogo bado dizasta anakuvua pampas.. unashika busha wazeee KLMK...
😁😁 washa switch kwa middle finger
Dogo kulalamika sana ni dallili kuwa haumudu challenge..mskilize kaka yako dizasta na ujifunze kutoka kwake maana una mengi ya kujifunza kabla ya kutaka kuwa battle kaka zako
You're the real lil' shit
Tale kapata anachostahili
nlitaman sana kuongea kwa tale ila sio msanii t
Duuhh Rapcha ni nooomaaa
Kwa nyimb kama hii na Tanzania hii,,ukipata shows njoo niite mbwa nipo kitaa
Rapcha nakukumbusha TU kua dizasta vina ni mtamafuni music ukiyakanyaga utajuta dogo uyo ni T'tcha Ako na dimensions ake tofaut na ndio ww tunaona ukiwa inspired
Mara ya mwisho nmemskia Tupac humu kweny hiz punch 🚀🚀🚀🔥🔥
Let us be real tribulation imeua hata uandike vip..
"hawatakuheshimu usipojiheshimisha"............last king of 99's..wanangu 99%wats up
Kalii 🔥🔥
Rapcha umetishaa🔥🔥
Rapchaaaa kaaamua kufa naoooo🤣🤣🤣🤣🤣
Naona mwamba kama kawaida yake kahamua kutufungia mwaka na ili dude safi san mwamba
Tale anastaili nn kwny interview volume one track no:2 eeeh
🤜💥👀 (anastahili Punch!)
🤗❣️ more successful 🌹
Kijana balaaa huyu🔥
Dis kwa. King d itakuanguasha kwakua king Hana mda WA kujibu MA price kwa hii rap Labda hujasikia ile ngoma ya d inayo Itwa a confession of a mad philosophy
Unajua
Mi nimegonga mara moja nimeelewa,hapa kuna rapa,alipewa tuzo 2021akaanza kujisifu hakuna wa kushindana naye,pili disrespect ya babu tale
My brother rapch kudadeki umeua ilekinoma 🔥🔥🙌🙌
Drops mic 🎤🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kumamakeeeeee hakuna ka Rapcha 🔥🔥🔥🔥🔥
Bado mwepesi sana unamjua dizasta ww
Hii nyimbo hamna kitu dogo hana facts
Ya MOTO AF CHUMAAAAAA💦🩸KUBWA KULIKO Keep it up
You deserve respect 👑🔥🔥🔥
Wah umetisha mwanangu Rapcha
Mtaani wana tunakuskiliza kama Presdent 💥💥
Niwakumbushe tu kuwa anaitwa rapcha💥💥
Mdogo wangu 99 ❤
What ?? Tale, lunya OMG
"Kaza ndonga na una deal na masinia"