Sisi Sio Marafiki - Motra The Future

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 610

  • @motrathefuture
    @motrathefuture  ปีที่แล้ว +82

    #SSM SISI SIO MARAFIKI 🏆🏆🏆

    • @westonchibwete7554
      @westonchibwete7554 ปีที่แล้ว +1

      Kwenye hili bado sana wewe hujui kurap kwani hajakwambia ???? Unasikika hovyo kabisaaa 😠😠😠😠

    • @raphaelkaswahili323
      @raphaelkaswahili323 ปีที่แล้ว

      Wee boya Dizasta Rapcha Nikk Mbubishi Lunya hawajakutaja sehemu yeyote .......sasa kitu gani kimekutuma kuwadis? Na kama ni ushauri mbona hukuwahi kusema kabla mpaka uliposikia Rapcha na Vina. ...ndio ukajipendekeza Mbwa ww pita kuleeeeeee

    • @sportscornertz1
      @sportscornertz1 ปีที่แล้ว

      Acha kufosi vitu viwe bro bado Sana Tena Sana dizasta ni another level ndo maaana hajakudisi Ila umeona upite ili upate airtime Ila bado Sana

    • @kibwamoko8767
      @kibwamoko8767 ปีที่แล้ว +3

      Umemtaja Dizasta na Nikki Mbishi wamekukosea nini, kwa kumtaja Msikile Mwenzako Rapcha hapo sawa.
      Ila Dizasta na Nikki Mbishi waache kama walivyo.
      Alafu Dizasta anasema My Best friend wewe unaweka Kinyume Sisi sio Marafiki. Nini unakitafuta na unajua hujui kuchana.

    • @rasulimlekakule
      @rasulimlekakule ปีที่แล้ว

      Shusha hii ktu kaka.. hamna kaz hapa 🤣🤣

  • @marikikdd1893
    @marikikdd1893 ปีที่แล้ว +152

    Dizasta sio level yako hata kidg kwa upande wangu Dizasta namuelewa sana rapcha hana hata nafas kwangu kama unamkubaki Dizasta gonga like

    • @khaifaabdy4983
      @khaifaabdy4983 ปีที่แล้ว +7

      Ongea kwa kutumia ndonga usiongee kwa hisia ka manzi😎🤏

    • @issamasudi8180
      @issamasudi8180 ปีที่แล้ว +1

      Unaongelea makalio nn Bob

    • @demask3423
      @demask3423 ปีที่แล้ว +4

      Uyo dizasta ana ngoma gani kali (au zinazohit) km za motra? Sina koloni, weupe, babaako vol 6, mbishe gani unafanya, wakawaka remix, masihara, weka mbali na watoto, sio marafiki, one day E.T.C
      NB: tatizo dizasta ana sound ki underground since day one.

    • @khaifaabdy4983
      @khaifaabdy4983 ปีที่แล้ว +1

      @@issamasudi8180 huenda makalio yana sound nzuri kwako ndio maana natumia makalio kuongea ili usikaze fuvu na unielewe na umuelewe motra huenda hujakua bado toka kwenu jitegemee utaelewa motra anacho ongelea

    • @kenedyaugustino8740
      @kenedyaugustino8740 ปีที่แล้ว +1

      Ni mtazamoo wakoo buddah😃😃

  • @elvistheawesome4864
    @elvistheawesome4864 ปีที่แล้ว +3

    Ulichoimba nimeelew baada ya kusikiliz Zaid ya mara Tano
    Ni kweli linapokuja suala la Riziki sisi sio marafiki
    Humu Kuna point nyingi kaongea SEMA wabongo mnaangalia tu league na utimu

  • @laurentrueta9625
    @laurentrueta9625 ปีที่แล้ว +11

    motra ni kama 50 cent uko after dollar na anaskilizika he's my fav rapper dizasta ni oldskool rapper na wapo fans wananpenda mziki wa dizasta tu so kila mtu apambanie keki yake

  • @kevinnyasaka872
    @kevinnyasaka872 ปีที่แล้ว +25

    Yoo babaaako..
    Mbona unayakanyaga kwa Dizasta?
    Hivi una ukakamavu wa kuingiza kidole kwenye mzinga????
    Toka huko usirudi na manundu
    Kama unapenda #BESTFRIEND gonga like

  • @yasirally2352
    @yasirally2352 ปีที่แล้ว +18

    Rap rap rap but don't mess with vinaaaaaaaaaa😂😂

  • @napkiddegreat7914
    @napkiddegreat7914 ปีที่แล้ว +22

    "BEST FRIEND" still OnTop G 📌🔨🔨

  • @ernestsokolo8659
    @ernestsokolo8659 ปีที่แล้ว +1

    comment nyingi zina muhusu dizasta huna mashabiki broo

  • @elvistheawesome4864
    @elvistheawesome4864 ปีที่แล้ว +1

    Wivu
    CHUKI
    Fitina
    Paparazzi
    Ndo vitatuua zaidi ya maradhi
    Umeongea kweli tupu bro
    #SSM
    Babaako

  • @mwasakaseti8139
    @mwasakaseti8139 ปีที่แล้ว +3

    Kwanza nicheke😃, kamwacha kumdiss dizasta kamganda kumdis #rapcha coz #montra anajua moto wa #dizasta

  • @Iamsaintlaurent
    @Iamsaintlaurent ปีที่แล้ว +50

    Best friend, still the best bruh 👍

  • @Rbtzoff
    @Rbtzoff ปีที่แล้ว +2

    Pitia nimepost goma kali sanaa please naomba upitia kuangalia

  • @user-zt7nw6yc4f
    @user-zt7nw6yc4f ปีที่แล้ว +1

    hip hop forever msije mkalegeza 🙏

  • @therealjitu
    @therealjitu ปีที่แล้ว +49

    Dizasta is still on top 🔥🔥🔥 rejea best friends hata montra ni best friends hapa ndo unaelewa

    • @feissalmaneno2291
      @feissalmaneno2291 ปีที่แล้ว +3

      Dizasta BENDELA CHUMA , Mlingoti CHUMA. . MJICHANGIE WOTE

    • @johannesjoseph7496
      @johannesjoseph7496 ปีที่แล้ว +2

      He is still a best friend...kajaa kwenye kwenye line za vina

    • @snapreal9814
      @snapreal9814 ปีที่แล้ว

      Dizasta sio wa kawaida mzee motra namkubali lkn hapa hakuna ngoma hii sio ngoma kali kwa upande wangu nitaendelea kupata shule kwenye bestfriend😂😂😂

  • @nyimbizoma3331
    @nyimbizoma3331 ปีที่แล้ว +10

    Yani nmeskiliza hii ngoma, kiukweli hata mm nikiamshwa saa 8 za usiku ni free style tu natoa ngoma kali kushinda hii.
    Montra 500 sawa na Dizasta robo.
    Mmekuja juzi juzi mnaleta upuuuzi upuuzi maaeh.

  • @lechavictor3258
    @lechavictor3258 ปีที่แล้ว +18

    Best friend is still the best.

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 ปีที่แล้ว +1

    SEMA JOMBI UNA PIGO ZA KIMARAYA, HAO UNAOWANYEA HUWAWEZI WOTE,
    HISTORY HAIFUTIKI ULIVYO FICHWA NA "MEX CORTEZ"

  • @binzubeirnasheed4088
    @binzubeirnasheed4088 ปีที่แล้ว +1

    Motra unajitahidi sana bro.

  • @dmgaya8856
    @dmgaya8856 ปีที่แล้ว +3

    Mistali mibovu, alafu maneno mepesi, future yako pofu. Omba shule kwa dizasta maana school is free

  • @mtangoseleman9535
    @mtangoseleman9535 ปีที่แล้ว +1

    #Motra the future ni shiida na nusu just is the most real icon from Arusha kwa dis truck huwa mwamba hashikiki waulize kikosi, lakini #dizasta vina ni akili mingi sn mwenye lot contents ambazo kilamuda zina okoa mitaa zina wapa moyo walio vunjika mioyo zina wapa moyo wanandoa zina kupa focus ktk kutafuta maisha na mengine mengi.

  • @daudngatunga5024
    @daudngatunga5024 ปีที่แล้ว

    Chin ya kiwango.....dizasta haumuwezi hata Rapcha pia........japo nakubali ngoma zako pia

  • @kingmajatv
    @kingmajatv ปีที่แล้ว +18

    Hili goma linathibitisha DIZASTA is the best rapper 💪💪💪

    • @roberthonjovu6045
      @roberthonjovu6045 ปีที่แล้ว +2

      ukisikiliza best friend vizuri ata hii ngoma imejibiwa kabla haijatungwa haahhaaa

    • @tofaemcee5509
      @tofaemcee5509 ปีที่แล้ว +2

      Hii beat angetumia kuandikia ngoma ingine ingekuwa kali au anataka kutrend na yeye adisiwe

  • @molenialex4825
    @molenialex4825 ปีที่แล้ว +25

    Now approved dizasta is on another level and father of dis track🤣🤣🤣🤣🤣 et hadi motra anataka kumu push dizast this is hilarious.

    • @shenamtukufu1224
      @shenamtukufu1224 ปีที่แล้ว +1

      Kachanganyikiwa huyu anataka azungumziwe kama anavozungumziwa mkali wao.

  • @tysonluhala5047
    @tysonluhala5047 ปีที่แล้ว +1

    Sasa huu ndo ujinga tunaoutaka

  • @hutheinplat5881
    @hutheinplat5881 ปีที่แล้ว +10

    Dizasta is 🔥🔥🔥

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 ปีที่แล้ว +1

    Haya bana, sisi tupo upende wa motra.... rapcha tulia mzee

  • @mswimaboaz5657
    @mswimaboaz5657 ปีที่แล้ว +7

    Tulia ww dizasta sio saiz yako,,,,dizasta 🔥 mwingine

  • @samilomary1996
    @samilomary1996 ปีที่แล้ว +4

    DIZASTA VINA ..ITS UNSTOPPABLE CHAMPION 🏆......iyo pumba babu

  • @macochal4423
    @macochal4423 ปีที่แล้ว +2

    Oyaaah sema nn atamkitoa ngoma za dakika 80 DIZASTA ATABAKI TU KUWA BABA ENU NAOMBA HILI LIELEWEKE AISEE ILE NI LEVEL NYENGINGE KABISA ATA MKIJARIBU KUIFANYA HII GAME IWE TRENDING BADO KATIKA KIWANGO CHA UHALISIA DIZASTA ATABAKI THE BEST TO YOU.....

  • @montanablaww1664
    @montanablaww1664 ปีที่แล้ว +1

    Unashobo sana wee jamaa iwezagi kabisa kujishika kiboko yako P

  • @mkiryastanslaus4992
    @mkiryastanslaus4992 ปีที่แล้ว +3

    Toleo la mwisho ni #DIZASTAVINA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    HIP HOP is safe on his HAND

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 ปีที่แล้ว

    Rapcha kawa amsha wasenge wote mlikua mna lala ndo fresh ivo siyo mnakaa watu tunasikia nyimbo za akinadada

  • @edomc4421
    @edomc4421 ปีที่แล้ว +1

    Kidogo motra anakuja kuja kuliko rapcha ndo kachemka mapema lakin bado hawajamfikia dizasta vina

  • @roberthonjovu6045
    @roberthonjovu6045 ปีที่แล้ว

    chawa wa weusi ..... hao wote uliowadiss hauwafikii playlist zetu ashabikimpo wote chaajabu zote hatunext

  • @rnbtalburnke3078
    @rnbtalburnke3078 ปีที่แล้ว

    Jamaa namfananisha na wapiga debe stendi anakuwa fame zaidi kwa kudandia dandia
    #UnaUswahiliMwingi

  • @d.i.cthedon5709
    @d.i.cthedon5709 ปีที่แล้ว +2

    sema chali yng unatembelea kick za watu na ww 🤣🤣 embu leta madini mapya arif achana nao

  • @innocentemmanuel1483
    @innocentemmanuel1483 ปีที่แล้ว +2

    Inaweza kuwa ni shobo au ni kiki nahic kama vita hii haikuhusu ila unabeba silaha mshauri mwenzako Rapcha & Montra ni kama vipande vya mkate halafu Dizasta ni kipande cha jiwe.. Mwanaume shobo hazifai #Dizasta Vina 💪

  • @chrispinhenry3362
    @chrispinhenry3362 ปีที่แล้ว +20

    Umekua wakudandia dandia motra ....uwez mfikia dizasta
    Nakama sanaa inafanywa na dizasta on top 🙌🏻🙌🏻

    • @shenamtukufu1224
      @shenamtukufu1224 ปีที่แล้ว +2

      Fala uyu amekosa pa kuanzia ameamua kuanzia nyuma yake.

    • @kelvinwilfred5693
      @kelvinwilfred5693 ปีที่แล้ว

      @@shenamtukufu1224 KWAN HUYO DZAST NDO NAN ASIDISIWE WAMWDISIWA AKNA 2PAC NA WENGNE WAKUBWA KWA HIP HOP LAKIN JAMAA KASEMA KWEL KELELE NI NYNG RAPPERS NA MCS HAWANA PESA WANAJIDAI WAKUBWA BT THE FACT IS,,, UKUBWA WA MSANII IS ALL ABOUT FANS, MAFANIKIO BINAFSI I MEAN MKWANJA NA LEGACY SASA D ZASTA UNAMKUMBUK AU ANAMAFANIKIO GAN KWENY MUSIC INDUSTRY STARTING FROM BONGO HIZO POEM ZAKE AZPELEKE MAKUMBUSHO,,, DAMESHIT ACHEN PROPOGANDA SOMETIMES MOTRA KAFANIKIWA ATA KUMZID NA RAPPERV NOW DAYS UKIMPANDISHA ON STAGE NA MC OVIOUS RAPPER ATALETA MSHIKE MSHIKE MFANO CHUKUA LUNYA PANDSHA NA TAKATAKA YOYOTE PALE TAMADUNI AF UONE WHICH IS WHICH

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe ปีที่แล้ว +1

    Kweli Rapcha kichwa yaani ngoma moja tu fossil rappers wote wanaumia. Oya Rapcha hawa old wanafaa kukulipa koz wanasafiria upepo wako

  • @issamasudi8180
    @issamasudi8180 ปีที่แล้ว

    Motra usitafute Ganda la ndizi hayakuusu tafta no.kivingine

  • @wachugypsumtz5089
    @wachugypsumtz5089 ปีที่แล้ว +2

    Ni Taarabu hii sio Dis truck...Dizasta bado ni Fire

  • @chrissoty7368
    @chrissoty7368 ปีที่แล้ว

    Dizasta anawapiga kotekote hamumuwezi Yule Jamaa ni nuksi

  • @piusjonas3074
    @piusjonas3074 ปีที่แล้ว

    A CITY Again sisi sio MARAFIKI hawaezi elewa

  • @benpaty
    @benpaty ปีที่แล้ว

    We ulimshindwa mawenge unaingilia bifu za watoto ndenda kwa mawenge acha mboyoyo

  • @ambokilenyondo3122
    @ambokilenyondo3122 ปีที่แล้ว

    Motra unapanga risasi vita sio yako unapotea kuna vinaaa

  • @waduni2326
    @waduni2326 ปีที่แล้ว

    Wewe bado Sana,Kwa dizasta hujafikia hiyo levo hata nusu

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 ปีที่แล้ว

    Na ww unamsifia sana young lunya kwakua alifanya kazi na joho makini au

  • @ot8396
    @ot8396 ปีที่แล้ว +5

    Best friend ON TOP

  • @skeyshopeson3514
    @skeyshopeson3514 หลายเดือนก่อน

    best diss track ever this song has stuck for years in my mind

  • @tenomziki9669
    @tenomziki9669 ปีที่แล้ว

    Ukweli kbx nyie bd dizasta sio level yenu bd yupo juu kwny art

  • @ronnynike2689
    @ronnynike2689 ปีที่แล้ว

    Nimesikilza cjui nuclear cjui sisi sio rafik ila best friend mamaeeh

  • @danielmwita2136
    @danielmwita2136 11 หลายเดือนก่อน

    Hii ngoma haikupaswa kuwa diss, ingeenda general ingedumu sana, inagusa tabia za maisha ya kitanzania kwa vijana na vijana wa makamo

  • @chatajr3496
    @chatajr3496 ปีที่แล้ว +15

    Ngoma yakawaida Sana,, Dizasta nimkali Sana mitaa inaelewa hip hop namisingi yake,, mashabiki wangumu kitaa bado tupo💪🇹🇿

    • @samstive665
      @samstive665 ปีที่แล้ว

      Wanajinyegesha tu awa ma 🖕

  • @MRWORDBNB
    @MRWORDBNB ปีที่แล้ว +8

    Dizastaaaaa 🔥🔥🔥🔥

  • @kingcole60
    @kingcole60 ปีที่แล้ว +7

    Rap na Uandishi wa Motra bhana utadhani anahadithia watoto huyu jamaa ni takataka 🤧

    • @kelvinmeleji3203
      @kelvinmeleji3203 ปีที่แล้ว

      Wewe unaweza kuadithia ukasikilizwa mwenzako tunamsikiliza

    • @kingcole60
      @kingcole60 ปีที่แล้ว

      @@kelvinmeleji3203 ukimsikiliza wewe haifanyi awe mkali kwangu you have to understand that

    • @malumethedon1411
      @malumethedon1411 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alextanzania
    @alextanzania ปีที่แล้ว +3

    Bado sana kwa michano. Flow za underground. Anza upya muzik

  • @thomasmakala2082
    @thomasmakala2082 ปีที่แล้ว +1

    Best friend imeleta contents & kuwaamsha walolala.

  • @haroubsharif2440
    @haroubsharif2440 ปีที่แล้ว +1

    Rap katuni tuh hamna kaz apa

  • @jessejuma1966
    @jessejuma1966 ปีที่แล้ว

    Amna kitu apa,dizasta ni mwisho wa matatizo uyu ata kwa rapcha asogei kabisa

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว

    Askari wa miguu scooby😂😂😂,very creative jamaa wame boogie

  • @asap-kevy5040
    @asap-kevy5040 ปีที่แล้ว

    Cm Yangu kioo kibovu ila uyo jamaa afungwe maisha haiwezekan amuue mke wake

  • @faustinewilliam4908
    @faustinewilliam4908 ปีที่แล้ว +4

    Dizasta ni 🔥🔥🔥bana

  • @bongotricks-tz
    @bongotricks-tz ปีที่แล้ว

    Uandishi mbovu na flow mbovu Sina sehemu ya kukuweka acha wachanane wenyewe

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 ปีที่แล้ว +1

    Umechana Utumbo Mtupu, Kwanza Kwa Wale Waliokuwa Wanafatilia Kundi La KINGS Utagundua Kuwa Huyu Jamaa ALIKUWA ANABEBWA NA WALE WAKINA ELISHA JAMES, RAFF MC NA SIGHT MORE!!

  • @wa2kusitz650
    @wa2kusitz650 ปีที่แล้ว +2

    Best friend 🔥

  • @KhamisRaider-t1u
    @KhamisRaider-t1u 26 วันที่ผ่านมา +1

    HAKIKA BROTHER HOOD HAKUNA LOVE HATA KIDOGO SEMA MUNGU NA MASELA MPAKA THE END+255🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @harryvice77
    @harryvice77 ปีที่แล้ว

    Nakubali since day 1 the future

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 ปีที่แล้ว

    Nimeharibu_bando #data zangu tukikutana utanirudishia

  • @IbrahimTito-up3fx
    @IbrahimTito-up3fx ปีที่แล้ว

    Motra the future all the way up brodah

  • @janaiclive
    @janaiclive 8 หลายเดือนก่อน

    Motra Mr. Hatari na mistari

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 ปีที่แล้ว

    Dakika 8 hata jambo kubwa kama za D., yan kifupi hata hausisimui.

  • @edomc4421
    @edomc4421 ปีที่แล้ว

    Aya tusha skiliza turudin kwenye best frend

  • @nwntz
    @nwntz ปีที่แล้ว

    hii ngoma ndio inafaa kukaa kwa ndinga yangu sio story story za kusadikika

  • @saimonmungo4641
    @saimonmungo4641 ปีที่แล้ว

    KUNA KITU IMEIMBWA BINAFSI ATA MM RAPCHA NAEMJUA NI JOH MAKINI.. SIO UYO MTOTO WASHINYANGA.... UMENIBOA SANA KUMZUNGUMZIA DIZASTA

  • @mwajombe6601
    @mwajombe6601 ปีที่แล้ว +23

    This proves dizasta is the best motra is small particle kwenye ii hip-hop indusry ya bongo

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe ปีที่แล้ว +1

      Dizasta ana ukubwa gani ikiwa in whole career katrend for the first time kwa kumdis Rapcha.....mkiongelea stori za ma rappers wa Bongo mjue Rapcha ni STORY NYINGINE

    • @mangulaamcos7731
      @mangulaamcos7731 ปีที่แล้ว

      @@BigZhumberapper anajua mainstream rap, kelele nyingi madini machache na beat za mvumo, dizasta amejikita kwenye underground rap/hiphop ambayo madini/knowledge, ndo msingi wenyewe wa hipihop, ni muhimu kuliko kutrend

    • @mangulaamcos7731
      @mangulaamcos7731 ปีที่แล้ว +1

      @@BigZhumbeukidhan ukubwa wa msanii ni kutrend kwenye hii batle rapcha angeshinda mapema ila umeona wenye hiphop yao walivyojitokeza kumsapot dizasta ili hali hana trend? They know how beast he is

    • @yasirally2352
      @yasirally2352 ปีที่แล้ว +1

      Fame sio kujua hip hop dats why wahun tunamjua vina kabla ya huyo bishoo hajamtaja kwenye hiyo Story nyingine #futeni #candy #crash #kwenye #cmu 😂

    • @Nonaligned22
      @Nonaligned22 ปีที่แล้ว

      @@BigZhumbe big point awaez elewa

  • @othmanseyyidy2235
    @othmanseyyidy2235 ปีที่แล้ว +8

    Hakuna msanii hapa flow za kawaida mbovu.. mistari myepesi sn..
    Future wife kaona hii ndo sehemu ya kutokea
    Oyoh "MAWENGE" kuna m2 anazngua huku

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 ปีที่แล้ว

    Hii nibaada kuskia ulivyo mlalamikia sky

  • @nancyzale
    @nancyzale ปีที่แล้ว

    Dizasta hana mfano thou I am your Fan...

  • @Nickbrown127
    @Nickbrown127 ปีที่แล้ว

    Huyu naye anapenda kundandia train kwa mbele...s

  • @KB-do5sr
    @KB-do5sr ปีที่แล้ว

    Motra i will be neutral,,,kwangu naona uko in the wrong conversation,,,hiyo beef ya dizasta na rapcha wanachangamsha game ya hip hop TZ juu hawa ni washkaji kichinichini,,,mob love from kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ,

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 ปีที่แล้ว

    Hatr motraa sio powa 😅 madogo wamesanda

  • @omykgx8891
    @omykgx8891 ปีที่แล้ว

    Dizasta ni mwamba, wasenge wengine pita hivi

  • @hamisiizadini3938
    @hamisiizadini3938 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu hapa

  • @Mchora_tz
    @Mchora_tz ปีที่แล้ว +2

    Best friend still fireeee dizastaa humuwezi hata robooooo

  • @ernestfred6813
    @ernestfred6813 ปีที่แล้ว

    P mawengee njoo uruke nae huyu anaeingilia bifu za watu

  • @christophergeorge5490
    @christophergeorge5490 ปีที่แล้ว

    We nae kazi hauna ki2 huwez diss

  • @einsteinchacha5797
    @einsteinchacha5797 ปีที่แล้ว

    Hujui kuimba kaka

  • @charlesabeli9914
    @charlesabeli9914 ปีที่แล้ว

    huna makali motra kanoeeee bado

  • @edinamsegu9520
    @edinamsegu9520 ปีที่แล้ว +1

    Umejitahdi kumuelimisha Rapcha kama kakuelewa basi afanyie kazi atakuja kukushukuru badae.🤝

  • @expert5898
    @expert5898 ปีที่แล้ว

    Daaaa! Hivi wimbo wote kachanwa Dizasta?????

  • @noelbernard6390
    @noelbernard6390 ปีที่แล้ว

    Kwanini mnashindwaga kuandika punchline kama Young killer

  • @bigirimanadaudi9797
    @bigirimanadaudi9797 ปีที่แล้ว

    Ngoma mbovu diss track bado sana

  • @benjaminsemwenda3152
    @benjaminsemwenda3152 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma Kali ILa Best Friend Ya Dizasta Itabaki Kuwa My Favorite Song Sababu Jamaa Amejua Kucheza Na Beat Na Flow Na Maandishi Ndo Unyama Kabisa Na Nusu....

  • @lazaroaugustine8881
    @lazaroaugustine8881 ปีที่แล้ว

    @montra kadr cku zimavyo kwenda unakua the past maana unapoteza future

  • @dizzobusiness3042
    @dizzobusiness3042 ปีที่แล้ว

    Senge limeshashobokea bef

  • @nathanaelmgaya2492
    @nathanaelmgaya2492 ปีที่แล้ว

    Motra nmefuta nyimbo zako zote kwa cm yangu .. umefel

  • @dazz3127
    @dazz3127 ปีที่แล้ว

    Nzuri hii

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 ปีที่แล้ว

    Mada akuuusu nakubaligi lakn ww umeingilia mada

  • @clewordmusic
    @clewordmusic ปีที่แล้ว +35

    NAVUTIWA SANA KUONA RAP GAME INACHANGAMKA , BUT ISIWE NDANI YA MOYO COZ WE ARE STILL LOOKING FOR MORE ACCESSIBILITY BONGO RAP WORLDWIDE • WE DON'T TAKE IT PERSONAL 🏅

    • @expert5898
      @expert5898 ปีที่แล้ว

      Kama isipokuwa ndani ya moyo maana yake tuigiziwe????

    • @ranozaafrica
      @ranozaafrica ปีที่แล้ว

      Safi

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 ปีที่แล้ว +2

    Utumbo tu, unamleteaje Shobo Dizasta na Nikki Mbishi.
    Endelea kumtaja Msukule Mwenzako Rapcha.