MKE AFICHUA MADUDU YA MUME WAKE, PICHA ZA UTUPU, APIGWA NUSU KIFO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 606

  • @josephrobinmalafyale8416
    @josephrobinmalafyale8416 ปีที่แล้ว +15

    Pole sana dada ake mungu atakusaidia utapata mtaji au utapata mume bora

  • @cecilianyamai8771
    @cecilianyamai8771 ปีที่แล้ว +35

    Pole dadangu nimekuona nokakumbuka 2019 nilipigwa Kama wewe mpaka nikalazwa hos miezi nne bt 4 now nashukuru mungu nimepona nanimerudi kwa boma nachunga watoto bt niiiaza shinda nikiwa na mtoto mmoja na nikashindwa niende wapi bt nataka kukuambia tafadhali dadangu achana na huyo mwanaume na uaze kazi ulee watoto na mungu atakutafutia mwanaume anayekufaa nakutakia uponyaji wa haraka na umusamehee huyo mwana ume na umuondokee ,

    • @ismailmsisa6362
      @ismailmsisa6362 ปีที่แล้ว +2

      Huyu dada anahitaji suluhu na mmewake ila Huyu mtangazaji kuma2 kama kumazingine anaongea kama anafirwa

    • @zubeidashabhan2188
      @zubeidashabhan2188 ปีที่แล้ว

      @@ismailmsisa6362 nkt waongea vipi wewe

    • @debolajemsi
      @debolajemsi ปีที่แล้ว

      Pole sana dada ang mung atakujalia utakuwa sawa

    • @fauziaabbas8050
      @fauziaabbas8050 9 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢

    • @rozascola-cy8qi
      @rozascola-cy8qi 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@ismailmsisa6362Mungu akurumie kuma iyoiyo ndoilikutoa apa duniani muwe namipaka kwakuongea uruma sana 😢😢

  • @sarasaidi6078
    @sarasaidi6078 ปีที่แล้ว +14

    Pole sana usirudiane na ilo jitu pambana ulee watoto!

  • @evelynochola4743
    @evelynochola4743 ปีที่แล้ว +9

    Pole sana mdogo wangu. Pia nakuomba ishi maisha yako. Mungu atakupa mume mzuri na utaishi maisha ya raha.

  • @simoncharles683
    @simoncharles683 ปีที่แล้ว +13

    Huyu mdada anaakili Sana yupo vzur Mungu akujalia

  • @AminaAminatunzo-m2o
    @AminaAminatunzo-m2o 7 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana Dora Mungu akuponye

  • @user-od6le1jh6t
    @user-od6le1jh6t 9 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana dada huyo ni muuaji achana nae kabisa, Mungu atakupa chaguo lako

  • @JacklineMzena
    @JacklineMzena 9 วันที่ผ่านมา +1

    Pole Sana mungu atakusaidia utapona

  • @rynairene
    @rynairene ปีที่แล้ว +5

    Pole sanaa ,mwanamke wa bidii na mpole mungu akutue nguvu

  • @user-dc9nt8fv9x
    @user-dc9nt8fv9x 8 วันที่ผ่านมา

    Mwanangu pole sana nakushauri hudhuria madhabahuni ngome ya Yesu Kristo kimara temboni, huyo mkwe hana nia njema, na ukizingatia ndugu zake hawakupendi njoo ngomeni kwa kuhani Musa uvunje hiyo roho inayomsukuma kukudhuru huwezi kujua anawaza nini! Ukisikia sauti yangu umepona

  • @user-py2pb2ks7v
    @user-py2pb2ks7v 10 หลายเดือนก่อน +2

    TATIZO UMEMWACJA YESU KEA AJILI YA MUME BIBLIA INASEMA MSKFUNGIWS NIRA PAMOJA NA WASIOAMINI HAKUNA USHIRIKIANO KATI YA NURU NA GIZA

  • @naomipetro3732
    @naomipetro3732 ปีที่แล้ว +3

    Pole dada Mungu atakusaidia yatapita yote wewe pambana kulea watoto wako vzr watakusaidia baadae Mungu anamakusudi na wew ndy maana upo hai

  • @metrineokola7730
    @metrineokola7730 ปีที่แล้ว +16

    I feel your pain usirudi kwa huyo mwanaume atakuua fanya biashara zako Lea watoto wako

  • @dannyfrankkiwia652
    @dannyfrankkiwia652 ปีที่แล้ว +10

    MTAGAZAJI YOUR STILL YOUTH KUTOA USHAHURI WA NDOA

  • @tabithakarimi5989
    @tabithakarimi5989 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana uyo dada anahitaji kusaidiwa aki

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay ปีที่แล้ว +11

    pole dada angu! mwanamke unapo olewa na kilaza ni mtihani kweli!

  • @wardaa4121
    @wardaa4121 ปีที่แล้ว +4

    She is very beautiful 😍 Ana sura ya Baby Face

  • @rahmaibrahim5943
    @rahmaibrahim5943 ปีที่แล้ว +5

    Pole xn siz hutapona tu mungu akubariki siz

  • @maryngati6997
    @maryngati6997 ปีที่แล้ว

    Pole my sister Mungu Yupo nawe utapona tu usijali ,, ila umekumbusha Kuna kipindi niliolewa na Masai kwao ni harudha alinipiga nusra anivunje mkono,, dada aki pole tu sana.

  • @nasiraalmandhari9135
    @nasiraalmandhari9135 ปีที่แล้ว +6

    Pole Dora.
    Mtangazaji wa Habari mzuri na mrembo Masha allah

  • @minanana3835
    @minanana3835 ปีที่แล้ว +2

    Da pole sana my wangu adi nimelia

  • @ellenkabeta7561
    @ellenkabeta7561 ปีที่แล้ว +9

    Pole sana dear hawa wanaume wakijua tu wanapendwa kisa wao wakiwa ndo wa kwanza huwa wanakuwa na jeur sana wakijua kuwa huwez kumuacha kisa unampenda na humjui mtu mwingne nam nilipitia mateso et kisa yeye ndo alikuwa wa kwanza yan amefanya mpaka naogopa kuingia tena kwenye mahusiano

  • @EstherKhaota
    @EstherKhaota หลายเดือนก่อน

    Pole sana dadangu mungu yupo nawe usijali utapona mungu Atakupa mwanaume Bora mwenye Anaekufaa kwa maisha yako

  • @manyotasutta
    @manyotasutta 6 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada maisha ni safari iliyojaa misukosuko vumilia utafika ninacho kushauli ukeshe ukiomba mungu

  • @azimaramjali7063
    @azimaramjali7063 ปีที่แล้ว +6

    Dada moyo unauma wanawake jamani tuna kazi,,, pole dada Mungu atakuponya.

    • @tophilileonard8945
      @tophilileonard8945 ปีที่แล้ว +1

      Polesana muombemungu2 atakusaindia atais ukundoayo

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana mwanamke mwenzangu,dah umepitia mtihan mzito

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 10 หลายเดือนก่อน

    nakupa pole dadangu,nkushukuru tu hakukuumbua macho kwa nguvu ya Mungu utapona na Mungu atakusaidia

  • @user-mv4yp6gi1l
    @user-mv4yp6gi1l 8 หลายเดือนก่อน

    Pole San dada muombe mungu akupe uvumilivu na ujasir nakuombea upone

  • @rynemac99
    @rynemac99 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dadaangu mungu akutie nguvu usimame tena

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 ปีที่แล้ว +9

    Unatakiwa kuwa makini sana wewe ni mkristo ludi kwa Yesu afungue maisha yako

  • @rahmamollely5296
    @rahmamollely5296 ปีที่แล้ว +10

    Ni kweli inauma sana na matatizo yapo kikubwa kuomba mungu akupe mume mwema na mwenye huruma ila Kwa swala la udogo miaka ishirin Kwa mwanamke cy mdogo jamn

    • @JemimaPaulo-x9c
      @JemimaPaulo-x9c 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Daa pole dada

  • @agnesnyenza3198
    @agnesnyenza3198 ปีที่แล้ว +17

    Pole sana mdogo wangu jirani yangu doooh!!!,ulivyo mrembooo jaman

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 ปีที่แล้ว

    Pole sana my dear kwa mtihani ulio upata

  • @PendoEnock-fm6rj
    @PendoEnock-fm6rj หลายเดือนก่อน

    Pole dear Mungu amponye iyo ni roho ipo ndani yake Muombe Mungu

  • @AlexLuchagula
    @AlexLuchagula 4 หลายเดือนก่อน

    Duuh!, Pole sana dada yangu, kwa magumu uliyopitia mungu atakupa mchumba mwema achana naye

  • @seinabelimi2296
    @seinabelimi2296 ปีที่แล้ว +8

    kitendo cha kunyanyua mkono tu kumpga mke wako mkono huo ni sawa na umeupeleka ktk moto wa jahanam hv unajua uchungu wa kulea mimba miez 9 huwez mlipa hata uuze dunia na vilivyomo hapa hajaenda leba au kunyonyesha una kipi cha kumlipa mkeo jamani wanaume mbona tumekuwa wanyama kias hiki hv kwel unampga mtu hv unategemea mungu afungue njia yako ya risk walah hii chozi litamtafuna huyo jamaa hadi anaingia kaburin halitapotea kamwe hili choz subhanallah 😭😭😭😭😭

    • @marthakibona
      @marthakibona ปีที่แล้ว

      Mwanaume uyo anaroho yakinyama, wanawake 2nateska mungu atutangulie, polesana dada yangu unaweza sema nimmi pekeyang kumbe 2powengi2 inaumasana jamani, mungu ata pigana nae

  • @rehemamadelele5124
    @rehemamadelele5124 ปีที่แล้ว +3

    Dada Saiz ndoa Ni mitihani Ila ndoa n changamoto Sana labda upate Mme au mke mwenye Hofu yamungu

  • @AuzgudLomnyaki
    @AuzgudLomnyaki 2 วันที่ผ่านมา

    Pole sana ila hatujui mwennyeshida katienu nani maana hata wewe sio unafunga ndoa. Yakislam unaenda kanisani siutawala huo hata wewe hauko sawa nahaupo siriaz maisha jirekebishepia

  • @elizabethlyimo138
    @elizabethlyimo138 ปีที่แล้ว +17

    Pole mummy inauma sana Mungu akutie nguvu uweze kulea wanao. 😭😭😭

  • @user-ih9xh8xk4w
    @user-ih9xh8xk4w 8 วันที่ผ่านมา

    Pole dada mungu atakusadia

  • @mamawatoto9032
    @mamawatoto9032 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mwanaume n nyoka aliona ako n sura na n mrembo ndio akamuua kumwalipia sura yake mtoto wa mtu but vumilia dada na God akutie nguvu Ili ulee watoi wako🙏🙏

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 ปีที่แล้ว +6

    Sawa.ndugu mtangazaji kwa husia wko

  • @HaikaSelle
    @HaikaSelle 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani pole sana,kweli wanawake tunapitia magumu mengi yote ni kwa ajili ya watoto,Mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi katika mambo yako yote

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 ปีที่แล้ว +7

    Dada MREMBO SANA na mpole

  • @salomemombo6071
    @salomemombo6071 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana meenzangu MUNGU akufungulie njia na akupe BARAKA mara nyingine tena

  • @januarylorri2844
    @januarylorri2844 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akusaidie pole Sanaa dad wanaume acheni upuuzi mwanamke hapigwi na huyo mwanaume afungwe miaka 30

  • @annamachaki3644
    @annamachaki3644 ปีที่แล้ว

    Pole sana my upepo ni mbaya sana sahv jihadhari alivosema anaweza akakufanya kitu kibaya Mungu akuepushie

    • @annamachaki3644
      @annamachaki3644 ปีที่แล้ว

      Ila yawezekana sio yy anatumika sio akili yake

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l 2 วันที่ผ่านมา

    mmmmm pole sana mdogo wangu lakini tuwe makini na mausiano yamitandawo

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 ปีที่แล้ว +8

    Daah Mimi ni mume Ila hiyo sio poa

  • @esomborogeralimasi4765
    @esomborogeralimasi4765 ปีที่แล้ว +14

    Pole sana kweli dada yangu 😭😭😭😭

    • @MartinPangani
      @MartinPangani 8 หลายเดือนก่อน

      pole dada mungu akutie nguvu omba sana

  • @rahmaawadh1695
    @rahmaawadh1695 ปีที่แล้ว

    Pole sana nimekusikiliza hasa hiyo sehemu ya mimba na vitunguu poleeee nimekuelewa vzr nilikua na mimba wakipika vitungu wanavikaanga au pilau harufu yake au wali mmmhh nilikua nahisi kufa kwa kuumwa pole sana mamy

  • @AsdAsd-xg4sc
    @AsdAsd-xg4sc 9 หลายเดือนก่อน +2

    I feel Ur pain dear siz Mungu akutie nguvu❤

  • @leahwanjiku3566
    @leahwanjiku3566 ปีที่แล้ว

    Pole sna dada kwa.yale yamekupata Mungu akutie nguvu huyo mwanaume ata jutia kwa matendo mambaya amafanya

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 ปีที่แล้ว +5

    Muandishi acha kumpotosha mwenzio.Mschana usimrudie huyo nia yake ni kukudhuru sio kukupenda. Ukimrudia atakuua huyo nia yake akufanyie kitu yeyote yule asikutamani hiyo ni aina ya ugonjwa kwa baadhi ya watu wasiokubali kuwa mapenzi hakuna kwake ila anachuki usionekane na mwengine japo yeye pia hakupendi kwa dhati

  • @josephrobinmalafyale8416
    @josephrobinmalafyale8416 ปีที่แล้ว +11

    Ntampataje huyo dada jamani nimpe hata zawadi kavumilia sana yani ni mtu wa kuumpongeza sana anapigania watoto wake pole sana Dada ake

    • @UwezoAlex
      @UwezoAlex 5 หลายเดือนก่อน

      Duh! Uyo mdada mungu amlinde sana. Pole siste

  • @rajykemar1202
    @rajykemar1202 ปีที่แล้ว +19

    Mapenz huwa ayaingiliw ila kwa hili dah wanaume bahadhi yao mue na huluma na hofu ya mungu mnampiga hivi uyu mwanamke 😭😭😭

  • @ElizabethNelson-bh2ij
    @ElizabethNelson-bh2ij 10 หลายเดือนก่อน

    Yesu akupiganie dada Hilo Jambo atalitengeneza2 manahashindwagi jambo

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 ปีที่แล้ว +3

    Watu tunahangaika wee kutafuta watu wenye future alafu wengine wanawachezea aisee nimeumia sana basi tu. Pole Dorothy, pole sana ila haijali unapenda sana huyo mfaume, mtupe ndani

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 10 หลายเดือนก่อน

    aki pole,thanks to God hakukuumbua macho utapona tuu kwa nguvu ta mwana

  • @MiriamMlele
    @MiriamMlele 28 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mungu atakusaidia kama umeona na yamekupa usirudi nyuma mungu atakuinulia watu wa kukusaidia

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 ปีที่แล้ว +3

    Ooh my God it's so sad 😞 wana wake tuwe nahakili kabisa hivi vitu vyakusema eti nikiachika watu watasema vipi,kwani ukiuliwa na huyo boko halam watu siwataendelea kusema?bola waseme ukiwa hai kuriko waseme ukiwa malehemu.

  • @user-yg8hh1ec4z
    @user-yg8hh1ec4z 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mungu akulinde wewe na family yako

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว

    Pole sana binti. Uyoo siii mtuuu ni MNYAMA. HEEE KIPIGO KAMA KAKUZAAA LOOOO EBUU. AKUKOMEEE NA ATOKOMEEE KUSIKO JULIKANA DAAA. KWANI LAZIMA? MAPENZI YALISHAGA ISHA. AENDE ZAKE.

  • @stevenseya7101
    @stevenseya7101 ปีที่แล้ว +2

    Pole saaana Dada

  • @ZaiAlly-v1y
    @ZaiAlly-v1y 9 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mdogo angu

  • @OfficialRay-d1w
    @OfficialRay-d1w หลายเดือนก่อน

    Daaa!pole sana mdogo wangu

  • @beatriceraphael6025
    @beatriceraphael6025 ปีที่แล้ว +4

    Hebu mtangazaji kuwa smart kidogo unavaaje kofia lakulalia la hm kazini mweeee hapana kwa kwel

    • @rhodarobin8086
      @rhodarobin8086 ปีที่แล้ว

      Yaani sijui kabila gani huyu😅

    • @ngowibeatrice1701
      @ngowibeatrice1701 ปีที่แล้ว

      Nilita kusema

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Jamani labda amekurupuka usingizini akaona bora akahoji mbio mbio.

  • @aminaqatar2691
    @aminaqatar2691 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dadangu mungu atakupa faraja

  • @SophiaMahala
    @SophiaMahala 2 วันที่ผ่านมา

    Heeeeeee ningemnyoooooooosha,weweeeee,akupe ukilema yy aoe ningekula nae sahani moja 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @fedhandunga5935
    @fedhandunga5935 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana

  • @user-sn5ok7iz5y
    @user-sn5ok7iz5y 9 หลายเดือนก่อน

    Pole dadaangu mungu akutie nguv

  • @hichayasin7244
    @hichayasin7244 ปีที่แล้ว +3

    DUU!!POLE MWANANGU LAKINI NYINYI MABINTI MSIWE MNAKURUPUKA HAWA VIJANA WA SIKU HIZI HAWANA UPENDO WA KWELI NI MAKATILI SANA MUWACHUNGUZE KABLA YA KUINGIA KICHWA KICHWA POLE SANA

  • @user-np4wb4xh6e
    @user-np4wb4xh6e 8 หลายเดือนก่อน

    pole dada Mungu akutie nguvu

  • @deborahmidiburo3541
    @deborahmidiburo3541 ปีที่แล้ว

    Pole dada unanikumbusha mbali sana wangu

  • @evalenad6256
    @evalenad6256 ปีที่แล้ว +22

    Wanaume wanalaana sana wallah 😢. Huyo mwanaume amepoteza bahati mwanamke mzur hivi na smart ndo akampiga hivyo.! 😢

    • @epifaniajerome
      @epifaniajerome ปีที่แล้ว

      Kuna mahali niliona hii story huyu dada alimtukana mume akamwambia akauze jicho apate Hela ya kujikimu😢🏃

    • @abdulkarimnassor3128
      @abdulkarimnassor3128 ปีที่แล้ว

      @@epifaniajerome akauze jicho!!!!

    • @epifaniajerome
      @epifaniajerome ปีที่แล้ว

      @@abdulkarimnassor3128 ndyoooo!! Akauze jicho apate Hela

    • @magrthmakandi7224
      @magrthmakandi7224 10 หลายเดือนก่อน

      Futa wanja kwanza jamani

    • @magrthmakandi7224
      @magrthmakandi7224 10 หลายเดือนก่อน

      Pole ndugu yangu

  • @RashidiSalumu-e9m
    @RashidiSalumu-e9m 6 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume wengine balaaa kweliiii
    Kama mtu hampendi mwezie si muachane TU kwa amani bila kuumizanaaa😢😢😢

  • @user-yp4vp1or1q
    @user-yp4vp1or1q 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada uyo mwanaume mungu atamrani shetani mmoja uyo

  • @user-ek8yu1ds7i
    @user-ek8yu1ds7i 10 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana dada mungu atakulipa ami

  • @marrykimaro9792
    @marrykimaro9792 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mdogo wangu huyo mwanaume Ni mpuuzi Sana naomba Sheria imsaidie huyu dada maana Ni unyanyasaji na uuaji

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana mdogo wangu

  • @LinetMokeira-ro5uc
    @LinetMokeira-ro5uc 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sis mungu awe pamoja n ww aki wanaume

  • @bonifaceraphael6658
    @bonifaceraphael6658 ปีที่แล้ว +3

    Mungu yupo dada angu

  • @user-kq8hm1hj1f
    @user-kq8hm1hj1f 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada angu mungu akutie nguvu katika safari ya maisha yako duuuuuuuuh wanaume jamani mwanamke hapingwi

    • @malitomalito
      @malitomalito 5 หลายเดือนก่อน

      Sisi kwetu mwanamke anapigwa

  • @djumatenga4774
    @djumatenga4774 ปีที่แล้ว

    Pole sana mwanamke mwenzangu

  • @hellenanyango1152
    @hellenanyango1152 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada mungu akukumbuke

  • @GladysOkwaro-oz9tb
    @GladysOkwaro-oz9tb 8 หลายเดือนก่อน

    So sad I'm watching from kenya

  • @annajulius9940
    @annajulius9940 ปีที่แล้ว +5

    Hapo kwenye kununua Malaya shoga wamejaa mwingine nimemuacha juzi nimemkuta nao Kama kumi hiviii

  • @NeemaBernard
    @NeemaBernard 8 วันที่ผ่านมา

    Dahhhh 😢😢 pole sana dada

  • @suhaylahsuleyman9164
    @suhaylahsuleyman9164 ปีที่แล้ว

    Polee Sanaa dadaangu

  • @janethgeorge3224
    @janethgeorge3224 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭😭nimekumbuka mbali nyie uchawi upo🏃🏃

  • @najmakhamis1898
    @najmakhamis1898 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada yangu ila una moyo sanaa wa kuvumilia mie nisingeweza kuvumilia kupigwa ivyo wallah ata kaam nimezaa nae watoto 4 aniharibu sura ivyo yani ntamtumilia vibaka wambake mkundu uchanike avunjwe na mkono mmoja tuone atahisi vp

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty ปีที่แล้ว

      We baba watoto wako 😂kweli mwanaume wa kupiga hapana ukihona tu kimbia

  • @gracebrenda1199
    @gracebrenda1199 ปีที่แล้ว +5

    Jaman jamani wanawake mbona tunabeba mizigo mizito hivi??ee Mungu tusaidie

    • @leonardedward
      @leonardedward ปีที่แล้ว

      Pole sana dada anga naimani mume wako wa kweli yupo kwa mungu atakupatia

  • @mercyzephania5507
    @mercyzephania5507 ปีที่แล้ว +5

    Wanaume wanaopiga ndo wanavokuaga,anakua kama sio yeye kabisaa,kuna uyo aliniambia eti akipata hasira anaona giza,na ataomba msamaha ila ataridia tu tena ,yani wanakuaga kama kuna kitu kinawavaa,mimi nimegundua alikua ni narcissist, wanapata adrenaline drive akiona unateseka na hajutii kabisaa kweli,hili swala uku kwetu amna ila wanaume wa ivo wako wengii

    • @mercyzephania5507
      @mercyzephania5507 ปีที่แล้ว

      Na nadhani ni traumas za utotoni zinachangia mnoo,kuna kitu alinipitia utotoni,awa adi maombi ao psychiatrist ndo msaada maana kwa akili zake hawez badilika

  • @zulfaabdalah8258
    @zulfaabdalah8258 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mpendwa wangu Ila usijali yatapita tu

  • @dijahmriri523
    @dijahmriri523 ปีที่แล้ว +1

    Mfanyakazi wke NAE ana tako mashallah

  • @florachogo243
    @florachogo243 ปีที่แล้ว

    Pole sana, huyo mfalme akapigane na MANDONGA aone show yake

  • @AbulhasanaatSaid-qo5xv
    @AbulhasanaatSaid-qo5xv ปีที่แล้ว

    Inasikitish Sana God akuponye dada

  • @hamzanurdini6789
    @hamzanurdini6789 ปีที่แล้ว +5

    Me sijapenda kitendo chakupigwa dada pole Mungu akulinde pole 😭😭😭😭😭😭

  • @sabinashabani1165
    @sabinashabani1165 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana usiogope maneno anayokwabia eti atakudhalilisha acha akudhalilishe yatapita usiludianenae huyo ukiludiana nae anaenda kukumLizia achana nae kabisa tena kaa mbalinae kabisa