Kaka namshukuru kwa somo lako nimelielewa na nimelipenda sasa naomba unisaidie kunipa mpangilio wa vyakula gani ambavyo napaswa kula ili nipungua na vyakula gani naomba kwa hili nisaidie
Asanteh,, pia nilitaka niulize,,, kitambi cha ghafra au tumbo kuwa kubwa ghafra husababishwa na nini? Isije tunapunguza afu tunaliongeza bila kujua ko work done = 0
Ni vyakula gani unapaswa kula ukiwa kwenye program ya kupunguza tumbo lote
Sijui
Nataka kujua
Husile vyakula vyenye mafuta kwa vingi
Trainer nakukubali sana Mimi natamani kujufunza zaid kutoka kwako be blessed kwa moyo wa kufundisha watu ,wapate afya njema.🙌🙌🙌
Ahsante sana kakaangu
Hongera na asante kwa mafundisho mazuri sana. BARIKIWA NDUGU
Bei gani kwa siku gym
Mashallah Teacher kwa somo zuri
Hongera had raha mimi kuinuka sasa mwili mzito
Tumbo la juu kaka linasumbua sana
Asante kaka kwa mafundisho ya kupunguza kitambi, samahani mazoezi hayo yanyatakiwa muda gani hasa,au ni muda wowote.
Kaka namshukuru kwa somo lako nimelielewa na nimelipenda sasa naomba unisaidie kunipa mpangilio wa vyakula gani ambavyo napaswa kula ili nipungua na vyakula gani naomba kwa hili nisaidie
Thanks broo haki mimi nitafatilia hii mpaka niwe sawa haki najichukia nahili tumbo mimi😢😢😢😢😢
Ahsante bro
Asante sana tumboo la china linasumbua
Asante Sana bro mungu akubariki kutupa elimu Kwa ufupi❤
Asnte sana kk
Nipo Kenya nitafabyia nyumbani thanks and be Blessed 🙏
Asante mkuu
Asnte sana bro
Mashaallah mazowezi mazuri
Shukrani sana ubarikiwe
God bless you bro
Shukran sana
nmekupata kakak....uko vzr
Bro upo gd sana nataman nifike kwako
Barikiwa
Bravo teacher
Asante kaka mafunzo yako mazuri
Nimependa sana
Ahsante sana bto
Nice
Wafundisha vizuri maashaaAllah mungu akubariki mno
Thanks kababaa
Sawa kaka
Unyama ni mwingi Sana brother asanteee Sana 💥
Asante kaka mimi ninachangamoto ya tumbo na mikono
Me mwenyew
Nimekuelewa kaka angu
Asante kaka
Hapo kwenye chakula sijaelewa vzr
Nimeelewa
Asnt kwa mafunzo manzur
Ubarikiwe kaka
Bro uko sehem gan
Xaxa hih kaka
Asante big
Asantee
Oky nimekuelewa bro
Asante sana kaka
ZOEZI DOGO ILA LINA MAANA KUBWA SANAA SEMA WABONGO HATUZNGATII TU
Thanks
You are welcome
Habari trainer mm nnaulemavu wa mguu mmoja na tumbo la pembeni nnalo nafanyaje
Ansate kaka nitakufatilia
Asant
Nimepata elimu nzuri kupitia maelezo yako
Asanteh,, pia nilitaka niulize,,, kitambi cha ghafra au tumbo kuwa kubwa ghafra husababishwa na nini? Isije tunapunguza afu tunaliongeza bila kujua ko work done = 0
❤❤
Je kwamazoezi hayo kwa wanawake hatuwezi jazia mikono
Mechek kujazia mikon😅😅
Je waliofanyiwa upasuaji nao waweza fanya
Ubalikiwe nimepata manufaa sasa nimepungua
Mpangilio wa chakula jmn😢
Ninaitwa MARWA naomba unisaidie nitoe kitambi kinanitesa
Natakiwa kula vyakula gani
Nimepata elim nzurishida yangu Mimi nikifanya mazoezi kiunokinaniuma Kama kidonda cjui nini
Mm naomba unifundshe yakutengeneza shepu
Hadi natamani nianze now 😅😅
Mimi nikilala nashindwa kuinuka kukutanisha mkono n mguu nifanye nn tafadhali
nimekuelewa zowezi lako
Samahan kaka mi nataka msada tombo langu hapana😰😰😰
Jamaini mje masasi hakuna jimuu navopenda
Kaka naomba utengeneze video ya mazoezi kwa wale wanaotaka kupunguza miguu
🥰🥰🥰🥰
je pia na kuruka kamba inasaidia kupunguza tumbo..... niko hapa nafanya mazoezi yako aiseee mpaka tumbo lote liishe
Bro samahani hv zile protein za kujaza mwili hazina mazara?
Ukitaka kutoaa vyote kwa pamoja??
Samahani bro mm nko na tumbo kubwa nko naibu nalo nifanyeje bro nko nko na operation naeza fanya mazoez ama nifanyeje ni jibu plzzzx🙏🙏🙏🙏🙏
Uko wapi
Hata mimi
Kunywa maji ya moto asubh
nitakutafuta kaka
Kaka mimi nafatilia maafunfisho yako but nikifanya nasikia tumbo langu nikama tumbo linakandwa
😂
Unapatikana sehemu gani kwa dar
Ukiwa n no plant Tena laeza pungua
Na ukiwa unapiga mgongo unavouma shida inaweza kuwa nn
unapatikana wap
Djamani mbona nikiinuka sifkilii viatu duuh hatari
Ko n kwa mda gani sasa
Naomba namba yako tafadhali
Sasa naanza nitakupa mlejesho
Vp namna ya kupunguza tako Kuna mwanangu hanaga rahaa kisa tu ana hanga kubwa
Uko wap nije mwalim kama kitamb hiki cjui kama kitapungua😂
jamani
Habali yako kaka nielekeze nafanya vp nyumbani
Njooo nitakuekekeza
Mimi shida kiuno nikifanya mazowezi tu kiuno kinaniuma kama kidonda
Ni mm kabsa
Kwahio nakula kwaza ndio nifanye zoezi
Hata mi sjaelewa hapo
p
Uko whatsapp
❤❤
Unapatikana wap