Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA-Tanzania)

  • 68
  • 24 529
SEHEMU YA KIPINDI CHA POWER BREAFAST CLOUDS FM 03/12/2024
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006).
Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege.
Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndege kwenye vituo vya ndege kumi na nne (15) ambavyo ni: Dar es Salaam, Kilimanjaro,Tanga, Arusha, Mwanza,Tabora,Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara, Zanzibar ,Pemba na Bukoba.
Video Credit Clouds FM
มุมมอง: 60

วีดีโอ

CHUO CHA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (CATC) NA MIKAKATI YAKE NCHINI (ZBC TV)
มุมมอง 847 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Chuo Cha CATC akiwa katika mahojiano maalum ZBC TV 16/05/2024 Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa ...
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara 2024/2025
มุมมอง 998 หลายเดือนก่อน
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege. Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndeg...
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA 6 WA USALAMA WA ANGA AFRIKA MASHARIKI
มุมมอง 368 หลายเดือนก่อน
Mkutano wa sita wa Taasisi inayosimamia Ulinzi na Usalama wa Usafiri wa Anga Afrika Mashariki (CASSOA) unatarajia kufanyika kuanzia tarehe 15 hadi 16 Mei 2024 , katika Hoteli ya Verde visiwani Zanzibar. Mkutano huo utawakutanisha wadau muhimu wa Usafiri wa Anga ikiwa ni pamoja na makampuni ya ndege, viwanja vya ndege, wasimamizi na wadau wa usalama katika sekta ya anga kutoka nchi za Jumuiya ya...
MENEJIMENTI YA TCAA YAPOKEA VIFAA VYA KUBORESHA MFUMO WA SAUTI
มุมมอง 56ปีที่แล้ว
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege. Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndeg...
TCAA WAJA NA DARASA KWA WARUSHA DRONE
มุมมอง 43ปีที่แล้ว
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege. Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndeg...
Bodi ya Wakurugenzi ya TCAA Katika Ziara Dodoma
มุมมอง 402ปีที่แล้ว
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege. Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndeg...
MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA TCAA PEMBA
มุมมอง 19ปีที่แล้ว
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege. Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndeg...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Yawashika Mkono Wanahabari
มุมมอง 66ปีที่แล้ว
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege. Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndeg...
TCAA FUN RUN 2023
มุมมอง 55ปีที่แล้ว
TCAA iliandaa mbio za mashindano ya ridhaa “Fun Run” zilizoanzia Mlimani City na kuishia hapo zikiwa na lengo la kuhamasisha upandaji na utunzaji wa miti katika mikoa yenye ukame. Mbio hizo za kilometa 5 na 10 zilikuwa sehemu ya maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa TCAA. Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamh...
TCAA YAKANUSHA UVUMI KUFUNGWA KWA VIWANJA VYA NDEGE KILIMANJARO NA ARUSHA
มุมมอง 54ปีที่แล้ว
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege. Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndeg...
TCAA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
มุมมอง 25ปีที่แล้ว
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege. Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndeg...
SHULE YA MSINGI RADA
มุมมอง 14ปีที่แล้ว

CHUO CHA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (CATC) NA MIKAKATI YAKE NCHINI
มุมมอง 81ปีที่แล้ว
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege. Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndeg...
KISHINDO AWAMU YA SITA NYANDA ZA JUU KUSINI
มุมมอง 38ปีที่แล้ว
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006). Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege. Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndeg...
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA CHAMA CHA WAHANDISI WA MITAMBO YA KUONGOZEA NDEGE AFRIKA
มุมมอง 10ปีที่แล้ว
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA CHAMA CHA WAHANDISI WA MITAMBO YA KUONGOZEA NDEGE AFRIKA
ZIARA YA KAMATI YA WADAU WA SEKTA YA ANGA ZANZIBAR
มุมมอง 2ปีที่แล้ว
ZIARA YA KAMATI YA WADAU WA SEKTA YA ANGA ZANZIBAR
KISHINDO AWAMU YA SITA KANDA YA KASKAZINI
มุมมอง 14ปีที่แล้ว
KISHINDO AWAMU YA SITA KANDA YA KASKAZINI
KISHINDO AWAMU YA SITA NA MAENDELEO JNIA NA CATC
มุมมอง 26ปีที่แล้ว
KISHINDO AWAMU YA SITA NA MAENDELEO JNIA NA CATC
MAIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA NA MAENDELEO KATIKA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA
มุมมอง 31ปีที่แล้ว
MAIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA NA MAENDELEO KATIKA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA
MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA NA MAFANIKIO YA TCAA
มุมมอง 157ปีที่แล้ว
MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA NA MAFANIKIO YA TCAA
TCAA Yatunukiwa Cheti cha Ukusanyaji Kodi Bora na TRA
มุมมอง 482 ปีที่แล้ว
TCAA Yatunukiwa Cheti cha Ukusanyaji Kodi Bora na TRA
KUTOKA CANADA: WAZIRI MBARAWA AKIZUNGUMZIA MKUTANO WA ICAO
มุมมอง 432 ปีที่แล้ว
KUTOKA CANADA: WAZIRI MBARAWA AKIZUNGUMZIA MKUTANO WA ICAO
MKUU WA CHUO CHA USAFIRI WA ANGA KATIKA MAHOJIANO HOPE CHANEL TV
มุมมอง 1042 ปีที่แล้ว
MKUU WA CHUO CHA USAFIRI WA ANGA KATIKA MAHOJIANO HOPE CHANEL TV
MKUU WA CHUO CHA USAFIRI WA ANGA KATIKA MAHOJIANO AZAM TV
มุมมอง 4182 ปีที่แล้ว
MKUU WA CHUO CHA USAFIRI WA ANGA KATIKA MAHOJIANO AZAM TV
Waziri Prof. Mbarawa Atoa Rai Viongozi Kuonesha Mfano Kwenye Kaguzi za Viwanja vya Ndege.
มุมมอง 413 ปีที่แล้ว
Waziri Prof. Mbarawa Atoa Rai Viongozi Kuonesha Mfano Kwenye Kaguzi za Viwanja vya Ndege.
Fahamu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Ndege Zisiso na Rubani (Drones)
มุมมอง 2463 ปีที่แล้ว
Fahamu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Ndege Zisiso na Rubani (Drones)
Mkurugenzi Mkuu TCAA ashiriki katika kipindi cha JAMBO TANZANIA kinachorushwa na TBC 1
มุมมอง 1773 ปีที่แล้ว
Mkurugenzi Mkuu TCAA ashiriki katika kipindi cha JAMBO TANZANIA kinachorushwa na TBC 1
TCAA YAZINDUA MFUMO WA UTOAJI WA VIBALI KWA NDEGE ZINAZOTOKA NJE YA NCHI
มุมมอง 863 ปีที่แล้ว
TCAA YAZINDUA MFUMO WA UTOAJI WA VIBALI KWA NDEGE ZINAZOTOKA NJE YA NCHI
Ufunguzi Mkutano wa 49 wa Kamati ya Kitaifa ya Uwezeshaji na Urahisishaji wa Usafiri wa Anga Nchini
มุมมอง 393 ปีที่แล้ว
Ufunguzi Mkutano wa 49 wa Kamati ya Kitaifa ya Uwezeshaji na Urahisishaji wa Usafiri wa Anga Nchini

ความคิดเห็น

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah ALLAH barik magufuri

  • @jabirmsuya7666
    @jabirmsuya7666 3 ปีที่แล้ว

    hongera sana

  • @longshot4484
    @longshot4484 5 ปีที่แล้ว

    Samahani if I want to own a Cessna 140 what are the procedures

  • @deedatahmed6325
    @deedatahmed6325 5 ปีที่แล้ว

    Mimi nataka kujua ni masomo gani yanatakiwa ili mtu aweze kusomea masuala ya kuongoza ndege

  • @mahirwilliam5109
    @mahirwilliam5109 5 ปีที่แล้ว

    JPM ni chuma

  • @wonderwomentv6000
    @wonderwomentv6000 5 ปีที่แล้ว

    Hongera TCAA

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว

    Hapa Kazi Tu JPM anatoshaaa hatuhitaji matapeli Wa siasa wasije uza nchi maana wanasema ni vyama kumbe mengine ni magenge ya kitapeli tushawajua JPM mbeleeeeee

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania mbeleeeee JPM anatoshaaaa Hatuhitaji Matapeli Wa Siasa

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว

    Sema sema maana uhai ni muhimu kuliko mengine walizowea kuona Tanzania ikiwa ni shamba LA bibi Sasa basi lazima tuchukue hatua wasifanye hapa kwetu ndio unaweza kufanya chochote bila ya kuulizwa hapana hii ni nchi sio kijiwe cha kuvuta bangi waelewe hatutaki kuibiwa tena hapa

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania kwanza mengine baadae Rahaaa Sana'a

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว

    JPM Ni Shidaaaa

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว

    Rahaaaa Sana'a JPM Ni Shidaaaaa

  • @mbutomustapha7063
    @mbutomustapha7063 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mama, Halafu kwa nn hamluhusu watu mtaan kutengeneza NDEGE? Na kwa nn Kenya wao hawaziwii Raia wao Kutengeneza NDEGE?

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 6 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba muangalie swala la watu waliopo pale air port wanasimama simama tu hawana kazi yeyote kula mtu kavaa shati jeupe hujui dreva wa tax yupi polisi yupi mhudu wa ndani yupi mfagiaji yupi wote nawashangaa shangaa tuu.hata kule kwenye huduma ya ndege wote wali wamevaa nguo hizo hizo sasa hujui fundi hujui polisii.tunaomba kila mmoja avae nguo husika ili tuwajue vizuri na kuwatofautisha

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 ปีที่แล้ว

      Hahaaa lugha gongana hahaaa,unaweza muomba MTU msaada kumbe mpelelezii hahaaaa, lakini dear mbona wana ID au ujaonaa

  • @husneyramsey642
    @husneyramsey642 6 ปีที่แล้ว

    My lecturer nakukubari

  • @smarty1064
    @smarty1064 6 ปีที่แล้ว

    Accountable manager kajiteua yeye mwenyewe mwenyekiti mtendaji? duh! mbona tunapitwa hahahaha

  • @poulgodfredmalulu135
    @poulgodfredmalulu135 6 ปีที่แล้ว

    mbona hayakuwepo wakati Atcl hawakuwa na ndege??

    • @selemanimwendilemo9335
      @selemanimwendilemo9335 6 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo ulitaka uozo uendelee tu kwa kua hatuna vya kwetu..?

    • @smarty1064
      @smarty1064 6 ปีที่แล้ว

      Poul Godfred Malulu usafiri wa ndege una mambo mengi mno sababu ya kiusalama kama umesoma mambo ya aviation utaelewa au angalau fatilia uone hakuna biashara mbaya yenye mahitaji mengi kama usafiri wa anga mkiweka siasa mtaua watu wengi angalia ndege inapopata ajali vitu gani vinavyoangaliwa ndo maana wawekezaji wengi hawataki kuwekeza huko ukimsikiliza Lawrence Masha ni kama alikurupuka hana uwezo wa kuendesha shirika na hajui kwa kina vigezo vinavyotakiwa maana yeye alisisitiza "SHERIA ZIWEKWE PEMBENI" mimi kwa maoni yangu sioni kama busara, mfano tu ndege ikiwa grounded meaning haifai tena kubeba abiria wao wanaileta tena ile ile kwanini? wanaangalia wapate faida ila sio usalama sikiliza hapa masha anachosema kuwa tutumie busara sheria tuache ila HAKUNA MAMLAKA ya usarifi duniani yaliyowahi kuweka sheria pembeni kwenye usafiri huu maana ni kifo nje nje ndo maana wanataaluma wa usafiri huo huwa wanasainishwa mkataba wa 'Kufanya kazi kwenye mazingira hatarishi' meaning kifo nje nje, msikilize Masha kwenye link hii kuna kaujanja ujanja ndani humo th-cam.com/video/0B2kiPSCD-U/w-d-xo.html&lc=z22wddkanzb1wh5ph04t1aokguhgcuq25zcjlxdexwicrk0h00410.1546340298877854

  • @fredymahenge3063
    @fredymahenge3063 6 ปีที่แล้ว

    Aliyeangalia dakika zote 15.14 kama mm agonge like hapa

  • @unitytzdar9553
    @unitytzdar9553 6 ปีที่แล้ว

    HIZO " POINT MOJA " MBONA ZINASHAWISHI WASIWASI ??

  • @bestinamagutu8593
    @bestinamagutu8593 6 ปีที่แล้ว

    Hongereni Sana wataalam wetu Waongoza Ndege

  • @sakilasamike6459
    @sakilasamike6459 6 ปีที่แล้ว

    Very good presentation