MKUU WA CHUO CHA USAFIRI WA ANGA KATIKA MAHOJIANO HOPE CHANEL TV
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025
- Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) akiwa katika ziara ya vyombo vya habari akizungumizia Mikakati ya Kukuza Taaluma ya Usafiri wa Anga katika
Kukabiliana na Upungufu wa Wataalam wa Sekta ya
Usafiri wa Anga Nchini.
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006).
Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege.
Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndege kwenye vituo vya ndege kumi na nne (14) ambavyo ni: Dar es Salaam, Kilimanjaro,Tanga, Arusha, Mwanza,Tabora,Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara, Zanzibar na Pemba