KENYA ITACHEZA WORLD CUP 2030 - WAZIRI ABABU NAMWAMBA AAHIDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Waziri wa michezo nchini Kenya Ababu Namwamba aaamini kuwa timu ya taifa Harambee Stars ina uwezo wa kucheza kombe la dunia ifikapo mwaka wa 2030.
    Namwamba amesema kuna mikakati mingi ikiwemo ya kukuza talanta inayohitaji kufanikisha chini ya uongozi wake kwenye wizara hiyo na hana shaka kwamba ifikapo wakati huo, Kenya itakuwa ndani ya kombe la dunia.

ความคิดเห็น •