MAPENZI YAMWEKA MATATANI KOCHA WA MAREKANI GREGG BERHALTER

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Kocha wa timu ya taifa ya soka kwa wanaume nchini Marekani Gredd Berhalter anachunguzwa kuhusiana na madai ya kumpiga mkewe Rosalind walipokuwa kwenye uchumba miaka 25 iliyopita.
    Berhalter mwenye miaka 48 na aliyekiri kufanya kitendo hicho kwa sasa anachunguzwa na shirikisho la soka nchini humo huku aliondokea majukumu yake ya ukufunzi.
    Inadaiwa kitendo hicho kilichochewa na ugomvi walipokuwa wakipiga mvinyo kwenye baa moja usiku ndipo kocha hiyo akahamaki na kumpiga teke la mguu mchumba wake ambaye kwa sasa ni mkewe.
    Baada ya tuko hilo, mchumba huyo hakutaka kabisa kuhusishwa naye, ila baada ya miezi saba walipatana tena na kufufua uhusiano wao.

ความคิดเห็น •