MKENYA ENEZ MANGO AISAIDIA FARUL CONSTANTA KUSHINDA LIGI YA DARAJA LA PILI ROMANIA (INTERVIEW)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Beki shoto wa timu ya taifa ya soka kwa akina dada nchini Kenya Enez Mango Mudeizi amesema kushinda ligi ya soka ya daraja la pili nchini Romania ni ndoto iliyotimia maishani mwake.
    Nahodha huyo wa zamani wa Vihiga Queens aliyejiunga na mimba hao Oktoba mwaka jana alichangia mabao 26 kwenye mechi 13 na kuwasaidia kutwaa taji hilo kwa jumla ya alama 45, sita mbele ya Vulpitele Galbene iliyomaliza ya pili wakati timu za Liceenii Topolog, Chindia Targoviste na FCSB (f) zikikamilisha orodha ya tano Bora kwa alama 36, 28 na 17 mtawalia.

ความคิดเห็น • 1