KOCHA WAMBUA AAMINI NEDDY ATIENO ATAWASAIDIA ULINZI STARLETS KUSHINDA LIGI YA AKINA DADA KENYA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Kocha wa Ulinzi Starlets Joseph Wambua amepongeza urejeo wa mshambulizi Neddy Atieno na kusema utachangia agenda yao ya kushinda taji la ligi kuu soka kwa akina dada nchini Kenya maarufu KWPL.

ความคิดเห็น • 6