CECAFA YAUNGA MKONO WAZO LA RAIS WA KENYA WILLIAM RUTO LA AFRIKA MASHARIKI KUANDAA AFCON 2027

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • 2027
    Wadau wa soka kwenye ukanda wa Afrika Mashariki wameunga mkono wazo la Rais wa Kenya William Ruto la Kenya kuandaa kipute cha kombe la bara Afrika ifikapo mwaka wa 2027.
    Ruto akihutubia wananchi wa Kenya wakati wa maadhimisho ya sikuu kuu ya Jamhuri mnamo Junatatu ya Disemba tarehe 12 mwaka huu, alisema serikali yake kupitia wizara ya michezo itabuni ligi ya vijana chini ya miaka 19 kwenye kaunti zote 47 kama sehemu ya kuiandaa timu ya taifa Harambee Stars katika kufuzu kwa kombe la dunia mwaka wa 2030.
    Kando na Cecafa iliyowakilishwa na afisa wao mkuu Auka Gecheo, wadau wengine wa soka kutoka mataifa ya Afrika mashariki wakiwemo meneja wa Simba Queens ya Tanzania Selemani Makanya na kinara wa Tigers Sports Academy Potin Pello sawa na wadau wa Uganda waliunga mkono pendekezo hilo.

ความคิดเห็น •