UZALISHAJI WA MICHE KWA NJIA YA CHUPA TUMAINI JIPYA LA WAKULIMA WA MIGOMBA KAGERA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2018
  • Zao la Mgomba ndio zao kuu wa watu wa Mkoa wa Kagera, na kwa miaka ya hivi karibuni tumesikia kilio cha njaa kutoka kwa wakazi wa mkoa huo baada ya zao hilo kushambuliwa sana na ugonjwa wa Mnyauko wa migomba.
    Ugonwa huo umesababisha wakulima hao kuona pengine ndio mwisho wa zao hilo kutokana na migomba mingi kuugua na kulazimika kuikata kila siku.
    Watafiti wanaingilia kati kuweza kusaidia wakulima hao kupata chakula chao pendwa kwa kuwapelekea migomba safi iliyozalishwa kwa njia ya chupa kitaalamu inaitwa Tissue culture. Nimefuatilia kilimo hicho mkoani Kagera na kuja na makala hii naomba iangalie.
  • วิทยาศาสตร์และเทคโนโลยี

ความคิดเห็น •