This is a type of information that farmers need to combat the issue of low yield in production. Very helpful information and we hope to receive more of this type information from this source 👏👏
Wakati Serikali ikiendelea kupambana na wadudu hawa kwa kushirikiana na wadau wengine na sisi tuendelee kutoa elimu kwa jamii ili ijue namna ya kukabiliana nae.
Ni kweli ila elimu hii isiishie kwenye mitandao ni vyema ikaenda vijijini huko ambako hakuna TV,na social media itawanufaisha zaidi na kujua jinsi ya kutatua matatizo ya uharibifu wa wadudu wengine wengi
Kazi nzuri sana Calvin, binafsi nimejifunza vitu vingi na naamin pia kila atakaeiangalia documentary hii atajifunza kitu. Ombi langu ni kwamba wakulima wazidi kupata elimu zaidi na namna ya kukabiliana na hao wadudu lakin pia ni jukumu la kila mmoja wetu tulioangalia video hii kuwajibika kwa kushare na wenzetu ili pia wajifunze kitu hapa.
kwakuwa Kilimo ndio uti wa mgongo,hivyo kila mtu anapaswa kuelewa hili tujitahidi kuelimishana kuendeleza sekta hii ya kilimo hususan Tanzania. Asante kwa Elimu hii
Bonge la documentary aisee nimeipenda sana The content is well organized, the video is well planned and edited. Imetufundisha mambo mengi pia imetutaadharisha kuhusu mdudu mbaya wa mazao Keep them up keep them come
This are dangerous insects now days for farmers of africa esp.tanzania is bettter for agencies and organizatio to find solution for or cure of this insects.
Kazi nzuri sana na inaelimisha sana.
Big up afisa kilimo( Saidi Babu)
kazi nzuri sanaaa
hongera kaka
hongera.Tumejifunza
Nashukuru kama umejifunza kitu wafundishe na wengine kwa kuwaonyesha nao waangalie au kuwasimulia ili elimu isambae.
Endelea kuelimisha jamii wajue namna ya kukabiliana na ugonjwa huu
Ahsante Roby tusaidiane kuelimisha jamii hasa wakulima juu ya wadudu hawa hatari kwa usalama wa chakula
A very informative documentary. Taarifa ifikie walengwa wengi zaidi ili kupata suluhisho.
Ahsante sana. tushirikiane kufikisha ujumbe na elimu kwa walengwa na wapendwa wetu wakulima.
This is a type of information that farmers need to combat the issue of low yield in production. Very helpful information and we hope to receive more of this type information from this source 👏👏
Thank you soo much, so lets take this information to farmers
Hao wadudu ni tishio sana kwa sisi tunaotegemea kilimo kama njia pekee ya kujikwamua kimaisha uhodari wao wa kuharib mazao ni janga sana
Wakati Serikali ikiendelea kupambana na wadudu hawa kwa kushirikiana na wadau wengine na sisi tuendelee kutoa elimu kwa jamii ili ijue namna ya kukabiliana nae.
CALVIN GWABARA ni kweli katika hilo ondoa shaka
Kazi nzuri Calvin
Ahsante sana Mkuu
Kazi nzuri.hongera sana hii elimu kubwa kwa wakulima.
Kazi nzuri sana brother,big up !
Ahsante sana Suzane ni jukumu letu kuwaelimisha wakulima wajue matatizo haya na namna ya kuyatatua maana wengine hawawajui kabisaaa
Ni kweli ila elimu hii isiishie kwenye mitandao ni vyema ikaenda vijijini huko ambako hakuna TV,na social media itawanufaisha zaidi na kujua jinsi ya kutatua matatizo ya uharibifu wa wadudu wengine wengi
Hii nipo radhi media yoyote iirushe pamoja na kwamba tunairisha pia kwenye tv station yetu ya Chuo kikuu cha sokoine cha kilimo SUA -SUATV
Kazi nzuri sana Calvin, binafsi nimejifunza vitu vingi na naamin pia kila atakaeiangalia documentary hii atajifunza kitu. Ombi langu ni kwamba wakulima wazidi kupata elimu zaidi na namna ya kukabiliana na hao wadudu lakin pia ni jukumu la kila mmoja wetu tulioangalia video hii kuwajibika kwa kushare na wenzetu ili pia wajifunze kitu hapa.
Ni kweli kabisa ahsante sana. ujumbe ukiwafikia wengi elimu itasambaa zaidi na tutakuwa tumejenga uelewa mpana kwa jamii zetu hasa wakulima.
Well done Kelvin.
Thank you soo much Onesmo
Viwavijeshi Vamizi,a serial dangerous disaster for farmers. Thanks for this informative work
Thank you lets fight together and help our farmers
kwakuwa Kilimo ndio uti wa mgongo,hivyo kila mtu anapaswa kuelewa hili tujitahidi kuelimishana kuendeleza sekta hii ya kilimo hususan Tanzania. Asante kwa Elimu hii
Nice job
Nashukuru sana Mkuu. Tuwaelimishe na wengine wamjue maana wengi hawajui
Hii yenyewe, tunahitaji mambo haya ili kuwatahadharisha wakulima.
Kaka hongera binafsi nimeipenda na nitahakikisha inawafikia wengi.
Ahsante sana ni vizuri iwafikie watu wengi zaidi ili elimu hii iwasaidie
Bonge la documentary aisee nimeipenda sana
The content is well organized, the video is well planned and edited.
Imetufundisha mambo mengi pia imetutaadharisha kuhusu mdudu mbaya wa mazao
Keep them up keep them come
Ahsante sana Dr. Maxgigama tushirikiane kuelimisha wakulima wetu wamjue mdudu huyu maana athari zake ni kubwa.
Nice
Ahsante sana. Ukielimika elimisha na mwingine.
Elimu hii inabidi iwafikie wengi zaidi ili kupambana na hawa wadudu ambao haswa wanaharibu mazao ya chakula na kuleta janga la njaa
Tusaidiane kuelimisha Watanzania wenzetu juu ya mdudu huyu hatari kwa Mazao nchini.
+Abdul Shango (CEO HKC) ahsante sana. Niunganishe nao
This are dangerous insects now days for farmers of africa esp.tanzania is bettter for agencies and organizatio to find solution for or cure of this insects.