- 25
- 1 247 078
SIRJEFF DENNIS.
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 28 มิ.ย. 2013
Naitwa Sirjeff Dennis, nimetengeneza hii channel kwa ajili ya kukusaidia wewe, bila kujali background uliyotokea kuweza kujifunza na kuelewa zaidi mambo mengi kuhusu biashara, ujasiriamali, uchumi binafsi, uchumi wa kitaifa, uchumi wa kimataifa, uwekezaji na mambo mengi muhimu unayohitaji ili ufanikiwe kifedha
Nimeanza biashara katika umri mdogo sana, na ndipo nilifahamu raha ya kuwa na pesa. Muda wangu mwingi nikiwa Shule ya sekondari Ihungo, JKT Kanembwa na Chuo Kikuu cha DSM niliutumia kufanya biashara na kujijenga kiuchumi, japo nilisoma masomo ya sayansi (BSc. Petroleum Chemistry).
Nimekuwa featured katika news media kubwa duniani ikiwemo Forbes, CNN, BBC World Service, How we made it in Africa, Venture Africa, SABC, DW TV n.k. Nikiwa na miaka 21 nilitajwa miongoni mwa wajasiriamali bora zaidi Africa wa umri mdogo na Mastercard Foundation na African Leardership Academy. Nikiwa na miaka 22 (2016) nilifanikiwa kuingiza milioni 100 yangu ya kwanza kabisa.
KARIBU SASA TUJIFUNZE

Mbinu 10 za utajiri nilizojifunza JESHINI.
Mwaka 2013 baada ya kumaliza High School, nilichaguliwa kwa mujibu wa sheria kwenda jeshini kwa ajili ya mafunzo ya awali ya kijeshi na ukakamavu.
Nilijifunza vitu vingi sana katika miezi mitatu niliyokuwa JKT Kanembwa, leo nimekuvunjia mbinu 10 zitakazokusaidia ktk biashara na maisha ili kurahisisha safari ya kufanikiwa
Nilijifunza vitu vingi sana katika miezi mitatu niliyokuwa JKT Kanembwa, leo nimekuvunjia mbinu 10 zitakazokusaidia ktk biashara na maisha ili kurahisisha safari ya kufanikiwa
มุมมอง: 10 361
วีดีโอ
Vitu Vinne vya Kujifunza Kupitia FOREX Acc Yangu
มุมมอง 41K4 ปีที่แล้ว
Vitu Vinne vya Kujifunza Kupitia FOREX Acc Yangu
Ushauri Wangu Bora wa Maisha. Utakutoa chozi na kukufundisha
มุมมอง 39K4 ปีที่แล้ว
Ushauri Wangu Bora wa Maisha. Utakutoa chozi na kukufundisha
Brokers & Traders Matapeli | Exposed | Vithibitisho | Vigezo
มุมมอง 34K4 ปีที่แล้ว
Brokers & Traders Matapeli | Exposed | Vithibitisho | Vigezo
Uhuni Na Michezo Michafu ya FOREX Brokers Ili Uchome Acc
มุมมอง 37K4 ปีที่แล้ว
Uhuni Na Michezo Michafu ya FOREX Brokers Ili Uchome Acc
Jinsi ya Kumshawishi Mtu Aliyefanikiwa Awe MENTOR wako
มุมมอง 20K4 ปีที่แล้ว
Jinsi ya Kumshawishi Mtu Aliyefanikiwa Awe MENTOR wako
Naweza Kuacha Biashara Zangu Zote Ila Sitaacha FOREX
มุมมอง 45K4 ปีที่แล้ว
Naweza Kuacha Biashara Zangu Zote Ila Sitaacha FOREX
Sababu 12 Kwanini Wasomi Wengi Ni Maskini
มุมมอง 40K4 ปีที่แล้ว
Sababu 12 Kwanini Wasomi Wengi Ni Maskini
Dalili 10 Wewe ni Maskini na Utaendelea Kuwa Maskini Usipobadilika
มุมมอง 49K4 ปีที่แล้ว
Dalili 10 Wewe ni Maskini na Utaendelea Kuwa Maskini Usipobadilika
Mbinu Rahisi za Kutajirika Katika Nchi Maskini
มุมมอง 44K4 ปีที่แล้ว
Mbinu Rahisi za Kutajirika Katika Nchi Maskini
Vitu 10 Kuhusu Utajiri Alivyonifundisha MO Dewji
มุมมอง 70K4 ปีที่แล้ว
Vitu 10 Kuhusu Utajiri Alivyonifundisha MO Dewji
Nilikata Tamaa ya Maisha, FOREX Ikanitoa Mavumbini
มุมมอง 94K4 ปีที่แล้ว
Nilikata Tamaa ya Maisha, FOREX Ikanitoa Mavumbini
Usijaribu Kuanza FOREX Trading Kama Hujatazama Video Hii
มุมมอง 163K4 ปีที่แล้ว
Usijaribu Kuanza FOREX Trading Kama Hujatazama Video Hii
Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Yenye Mafanikio Makubwa Tanzania
มุมมอง 38K4 ปีที่แล้ว
Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Yenye Mafanikio Makubwa Tanzania
Nilivyoingiza Milioni 100 Nikiwa Nina Miaka 22
มุมมอง 43K4 ปีที่แล้ว
Nilivyoingiza Milioni 100 Nikiwa Nina Miaka 22
Nakufundisha Jinsi Ilivyo Rahisi Kuingiza Milioni 4 Kwa Mwezi
มุมมอง 37K4 ปีที่แล้ว
Nakufundisha Jinsi Ilivyo Rahisi Kuingiza Milioni 4 Kwa Mwezi
Hawa ndio watu pekee watakao kufanya uwe tajiri Tanzania
มุมมอง 24K4 ปีที่แล้ว
Hawa ndio watu pekee watakao kufanya uwe tajiri Tanzania
BIASHARA 5 ZITAKAZO KUINGIZIA MILIONI 2 KWA MWEZI BILA KUWA NA MTAJI
มุมมอง 268K4 ปีที่แล้ว
BIASHARA 5 ZITAKAZO KUINGIZIA MILIONI 2 KWA MWEZI BILA KUWA NA MTAJI
UTOFAUTI WA MATAJIRI NA MASKINI KATIKA KUKABILIANA NA MATATIZO
มุมมอง 17K4 ปีที่แล้ว
UTOFAUTI WA MATAJIRI NA MASKINI KATIKA KUKABILIANA NA MATATIZO
USHAURI WA KIPUUZI ZAIDI AMBAO MATAJIRI HUWADANGANYA MASKINI ILI WAENDELEE KUWA MASKINI
มุมมอง 17K4 ปีที่แล้ว
USHAURI WA KIPUUZI ZAIDI AMBAO MATAJIRI HUWADANGANYA MASKINI ILI WAENDELEE KUWA MASKINI
RASILIMALI YENYE THAMANI KUBWA ZAIDI DUNIANI
มุมมอง 27K4 ปีที่แล้ว
RASILIMALI YENYE THAMANI KUBWA ZAIDI DUNIANI
BIASHARA 5 ZINAZOWEZA KUKUPA UTAJIRI KIPINDI HIKI CHA CORONA
มุมมอง 12K4 ปีที่แล้ว
BIASHARA 5 ZINAZOWEZA KUKUPA UTAJIRI KIPINDI HIKI CHA CORONA
UTATAJIRIKA KIRAHISI KAMA UKIWEZA KUEPUKA HAYA MAKOSA WANAYOFANYA WATU WENGI
มุมมอง 32K4 ปีที่แล้ว
UTATAJIRIKA KIRAHISI KAMA UKIWEZA KUEPUKA HAYA MAKOSA WANAYOFANYA WATU WENGI
USIPOIFAHAMU SIRI HII BASI UTAKUFA MASIKINI
มุมมอง 33K4 ปีที่แล้ว
USIPOIFAHAMU SIRI HII BASI UTAKUFA MASIKINI
High intelligent
Upo sawa kaka kikubwa kujipambanua
Point point point 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥📊📊📊📊🏦✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
Nahitaji sana kaka kujifunza hii forex trading naomba unifundishe tafadhali
Nahitaji sana nami kufahamu hii biashara,..ila sijapata mtu wa kunifundisha vizuri
Huyu nidiye Ontario aliwaingiza mjini hadi watu wazima 🤣🤣🤣🤣🤣. Na bado mtajaa maana hii nchi haiishi wajinga.
ila nimalizie kusema kua hakuna jambo jema ambalo halina mitihani mungu tu uyo anataka akuangale je utaendelea kutoa alichokupa ama utasikiliza ya binadamu kwani ndo tumeumbwa kusema wewe toa elimu na utaikuta kwa mungu kila sisi tukifaidika nayo
habari br . mimi ni mpya wa hii channel yako ila nashkuru mungu kunikutanisha katika channel yako nina meng ya kusema ila haitowezeka kwa sasa ila tu ni seme mungu akubariki na akufungulie kila riski njema kwani nimejifunza mengi hapa
Nitumie link kaka
Sorry cozi ya forex naipataje
Uwo uwezo wako ni double power ,hongera sana
Dah broh uko sawa kabisa
Sasa wewe TH-camr content creator au trader
Ko we mwanetu umetengeneza dola laki sio 😂
Daa raha sana sasa ukiwa unasoma chuo unawezaje kufanya kazi kama una mtaji wa laki moja
Sir jeff Nimejifunza meng kutoka kwako Shukran sana mungu akusimamie
Aiseee ni ukweli mtupu wasomi pamoja na kuwa na elimu kubwa lakini ndio wanoongoza kuishi kwa wasiwasi hawana uhakika wa kipato
Kaka naomba namba yako,
Madini mazito sana🙏
Naomba unisaidie kujua hii trade
Nakukubari sana bro sir jeff Dennis najuta kuchelewa kukufahamu
Fact
Nenda kwenye point tatzo unaongea san kero
weka chapters kwenye video zako mzee
Pia Mimi Niko na miaka kadha wa kadha nikitrend bt vikwazo Ni mob na kuanguka Mara Kama tano bt Niko na experience hila so kubwa vile😂😂
🙏🙏🙏🙏
Safi Bro, vip napenda unijibu swali langu, kuna site nyingi za forex ila kuna vile inasemekana kuna lucky signals je ni ukweli.
Thanks bro
Kuna alobakia tangu miaka iliopita
Good job
Aona unanishangan t
You're the best mentor
Bro Safi Sana ..uwe unazima.mziki lecture zako.. Ili watu wakupate vizuri .
Nimependa sana kaka wachache wanao toa Siri Bure jah bless more
Baba umeliona li diamond
Bro kwa mimi ambae naanz sjui chochote natamani nijue
Ahsante sana kaka, unatupatia madini ya ukweli
Namba yako please
Nlikua nahitaj kujua jinsi ya kutrade...can you help me brother Jeff
Ni vizuri lakin introduction in kuwa long xan
Nimechelewa kuiona video nimetamani mimi ata shule sijaenda hivi vitu navisikiaga tu
kaka broker yupi south unamtumia
HOW CAN I GET THE CONTACT OF SIRJEFF DENIS OF FOREX
unaongea sana mwanangu
Ni forex gani bora
Thanks❤
kaka nipe no yako mana sijakupata vzr
Mawazo mazuri lakini kama hujuani na watu ni ngumu.. hizo simu uliuza coz kuna mtu ulikuwa unafahamiana nae
I get uhhhhh❤
Ahsante sana bro umenifungua akiri