Yes MUDA SHARKER ZULU.... Nimeielewa sana hii... Kwa mnaosoma; kuna kitu wanaita OPT Other Peoples Time; Kwamba kutokana na muda kuwa scarce unanunua muda wa wengine wakufanyie mara dufu ya talents zao... Yaani kama anafikiri kuuza nguo basi anaajiri wauzaji wengi kadri wawezavyo... Asante sana Shaka shaka ZULU kwa Nondoz
Katika Quran kuna sura nzima inazungumzia thamani ya muda (Surat Asri) Mwenyezi Mungu anasema 1.Naapa kwa wakati 2. Hakika mwanadamu yupo katika hasara 3. Isipokuwa kwa yule aliye amini , akafafanya yaliyokuwa mema na na mwenye subira(patience) : Wakati ni kila kitu
Jeff Needs To start doing More of these Videos . Absolutely This Is A well Explained Video every Tanzanian youth especially the ones In the university needs to listen. #Madini
Sirjeff Shka Zulu....eeh bwana umenkumbusha mbali sana🤣🤣🤣 Anyway, tukirudi kwenye mada, dizain kama kwa maono yangu naona "The Human Brain" is the Big 🦈 here, not 'Time'. Unaongeleaje hilo? Salute kwako mzazi. One love.
Thanks man,kila siku tunajifunza kupitia wewe shaka....... OKAY KAMA UNAPENDA KUJIFUNZA MAMBO MBALI MBALI KUHUSU COMPUTER KARIBU USUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YETU @Laptopbae
RASILIMALI YENYE THAMANI KUBWA: JE, MAFUTA NI RASILIMALI YENYE THAMANI KUBWA? HAPANA. JE, DHAHABU NI RASILIMALI YENYE THAMANI KUBWA? HAPANA. MUDA HAUWEZI KUNUNULIWA KWA GHARAMA YOYOTE ILE, DHAHABU, MAFUTA, ARDI INANUNULIWA. MUDA UNA THAMANI KUBWA ZAIDI YA BIDHAA YOYOTE. MAFANIKIO YA MTU YAPO KATIKA VITU ANAVYOVIWEKEA MUDA MWINGI.
Yes MUDA SHARKER ZULU.... Nimeielewa sana hii... Kwa mnaosoma; kuna kitu wanaita OPT Other Peoples Time; Kwamba kutokana na muda kuwa scarce unanunua muda wa wengine wakufanyie mara dufu ya talents zao... Yaani kama anafikiri kuuza nguo basi anaajiri wauzaji wengi kadri wawezavyo... Asante sana Shaka shaka ZULU kwa Nondoz
Katika Quran kuna sura nzima inazungumzia thamani ya muda (Surat Asri) Mwenyezi Mungu anasema
1.Naapa kwa wakati
2. Hakika mwanadamu yupo katika hasara
3. Isipokuwa kwa yule aliye amini , akafafanya yaliyokuwa mema na na mwenye subira(patience)
: Wakati ni kila kitu
Kwel
Naam naam
Jeff Needs To start doing More of these Videos .
Absolutely This Is A well Explained Video every Tanzanian youth especially the ones In the university needs to listen.
#Madini
Mkuu wewe ni Genius. Tuko blessed sana kupata vitu hivi bure.
Sirjeff Shka Zulu....eeh bwana umenkumbusha mbali sana🤣🤣🤣
Anyway, tukirudi kwenye mada, dizain kama kwa maono yangu naona "The Human Brain" is the Big 🦈 here, not 'Time'. Unaongeleaje hilo?
Salute kwako mzazi. One love.
Sure Dennis uzidi kubarikiwa kwa kutoa madini mazuri,as I told you one day I will take u to my projects ambazo ni matokeo ya mafundisho yako
Umetishaaa mkal wangu
haha apo kwenye kiwanda cha Nyati cha unga dah umenikumbusha nilifanya field apo baada yakuona sina pa kwenda haha... much love bro keep it up!!
Ahsanteh kwa kutukumbusha iko poa sana
Kuna watu humu vichwa ngumu🤣....muda ndo kila kitu mazee..Jeff yuko on point
Good work. Your inspiring
Very inspiring 🔥🔥🔥🔥
Extra~~Ordinary
Hipo vzur sana hii bro
The reality of tanzanian education ,bushit😂😂😂
Sir jeff am iko poa lakini the background music ni kubwa sana sauti inakuwa haisikiki vizuri #IKOPOASANA
Simu yako mbovu
Mbn anasikika vzr isitoshe ye ni expert mpk kuupload video ameiangalia vzr
Ua blessed bro,unapatikana wapi now bro
Play well with time SHAKA🔥🔥
Iko powa sana
SASA HIVI , SIO KESHO, NI SASA HIVI🙏🤝
How does one contact you?
Fun from kenya
Nakubal xn maana napenda mamb hayoo xna Broo angu
King SHAKA
Kama umeniona kipind nachopitia na niliyonayo kichwani , pamoja sana shaka zulu
Samahani jeff naweza pata no zako naomaba yanikutoka niameanza kungalia video zako nimejifunza mambo mengi sana mapaka natamani2 kuongea na wew
Nilivofika six tu akili yangu iliwaza pesa hata mkopo wa chuo sikuomba na nilisoma pcm though malengo hayakuenda vile nlivopanga.
SirjeffOnDemand🔥
That's good bro.
Asante kaka
Japo too late but thanks bro
Interecture
Kabisa
God bless u
My plan is failed Huend nikaw nachez na muda negative ? ( picha broo , karibu Zanzibar)
❤❤
Good
iko poa sana
Kizazi sana
Professor
Napokeaga lecture la muda sana ila ya leo nimeielewa vibaya mno
Shaka shaka zulu 🔥🔥🔥
Thanks man,kila siku tunajifunza kupitia wewe shaka.......
OKAY KAMA UNAPENDA KUJIFUNZA MAMBO MBALI MBALI KUHUSU COMPUTER KARIBU USUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YETU @Laptopbae
Fact
Iko poa sanaa
sasa kakaa tunaomba basi utupe practical yani utuoneshe forex sasa kwenye simu au computer tuelewe zaid
Power
Kaka no yako tafadhari
RASILIMALI YENYE THAMANI KUBWA:
JE, MAFUTA NI RASILIMALI YENYE THAMANI KUBWA? HAPANA. JE, DHAHABU NI RASILIMALI YENYE THAMANI KUBWA? HAPANA.
MUDA HAUWEZI KUNUNULIWA KWA GHARAMA YOYOTE ILE, DHAHABU, MAFUTA, ARDI INANUNULIWA. MUDA UNA THAMANI KUBWA ZAIDI YA BIDHAA YOYOTE.
MAFANIKIO YA MTU YAPO KATIKA VITU ANAVYOVIWEKEA MUDA MWINGI.
Next topic tafadhali, tajiri ni nani? Sifa au vitu vya kuashiria utajiri, networth ipi inaku verify kuwa tajiri Tz
Broo umeniuzi umepoteza muda wangu kwa story zako za mafuta na gesi
Thnku
Sirjeff dennis
We jamaa ni msomi mwenye faida
Powerfull
respect
👊🏾bravo !
Hahàaa! Kiwanda cha unga??
True Story Man 👍👍👍
MKUU UKO VZUR LKN MUDA SIO NATURAL.RESOURCE KAKA
HahAaa mtu anaumwa mguu anachomwa sindano ya kichwa ama kweli bingo
Exactily
👍🏿
😂😅😆😆😆😆😀😁😂😂😂😂
Iko poa sana 😂😂
Shark shaka zulu on demands
Ni yeyee
Agree
Uwepo wako unatuinspire baadhi ya vijana hapa Bongo
Muda ni mali
Time for changes
🤣🤣🤣🤣👌
Shark shaka shaka shaka zulu
KILO moja ya Dhahabu ni mil 80 aiseee
Atakuwa alikuwa anamaanisha gram 1
🙏🏾
Iko poa
Shaka Shaka Laka Zulu
Kiongoz na nataka kujifunz nianza kuweka isa hata sielewi nianzeje
@@charlesfidelis9428 dm "sharkciti" on instagram utapata info kiasi cha kuelewa.
Can you buy a BMW with a half past five
Broo can I get link to your WhatsApp group
Good
Asante kaka