Ukielewa hivi video ya mnyabi Jeff,,utaelewa vitu vinaitwa Total available Market (TAM) na Serviceable Available Market(SAM) na Serviceable obtained Market ( SOM).content ya mkali iko poa na inazungumzia hivyo vitu vitatu.
Kutowa Elim nikitu kizur nasisi wasikilizaji tujifunze mambo yote mazuri nakuyafanyia kazi apo utakuwa umejitendea Haki nasisi tutakulipa ww utowa hamasa kama shukran
Good content bro, mwanzoni nilikuwa sielewi ila lastly nimeelewa vibaya mno.yan kupata kitu watoto wa uswahili wanachotaka ni kama kupata good entry kwenye forex😂😂😂Give me thumb👍 kama sirjeff ameanza kukuchocha😂
umeaacha tu kusema kua uswahilini kuna market kubwa kuliko ushuani simply kwasababu maskini ni wengi kuliko matajiri... kwaio ukanza biashara tengeneza bidhaa yenye bei ndogo lakini iwe na thaman nzuri...
aiseeee nilivyoanza kusikiliza video hii nilikua sikubaliana na wewe kabisa lakini kadri nimeendelea na mifano uliyotoa, unagundua kuwa locals wana power kubwa sana.. lakini hata hivyo nadhani mwisho wa siku it comes down to target market yako ni kina nani, unaweza kuwa na biashara yako unauza bidhaa ya 500,000 kwa watu wawili tu na mwisho wa mwezi una Millioni 1. Au kuuza kwa 500 na kwa wingi ili pia upate hela hiyo hiyo. Kuna potential ya biashara kufanikiwa katika both uswahilini na pande za kishua.. personally sikuwa verified uswahilini na biashara yangu lakini mafanikio yapo kabisa. Overall nice video, it got me analyzing and thinking👏🏽👍🏽
Umeongea vizuri kuhusu singeli ila umesahau kumuongelea kicheko mtata..he was vital to the single game rise at EFM..and ruge akamnunua at the end of the day..
Elimu nzuri sana Sir Jeff Dennis. Nimekuwa nikikufuatilia kwa muda sasa, hakika wewe ni darasa tosha kwetu vijana. Umeni- inspire kuanzisha channeli hii yenye content (Video yenye muziki wa kinanda na gitaa) muhimu sana kwa binadamu kuriwaza mwili na akili (relax) baada ya kuchoka na kazi, kwa wanafunzi wanaotaka ku-concentrate katika masomo yao, wafanyakazi makazini, pia kwa wale wanaopata shida wakati wa kulala ukisikiliza muziki huu tulivu usio na kelele utapata usingizi mololo. Jionee video za drone zikionesha uzuri wa dunia. Kujua zaidi, tafadhali fanya kama unabonyeza hapo kujionea mwenyewe. Waafrika tutainuana wenyewe! One Love!!
Kwakweli nimeiangalia hii mara ya pili... Naonesha machalii wa uswahilini hapa wanacheka balaa... Wanafurahi woa ni key katika mafanikio ya wajasiriamali! Sir Jeff u remind me a pure fact of the 90% of business failure buy the 5th year... 42% is due to Markets issues that entrepreneurs fail to sustainably exploit the market... Ambayo almosy ndo tumeongea!!! Hii channel inatunoa sana
Safi sana kaka kwa maudhui yako na kwa kuongezea tu ni kwamba Mtu akitaka kufanya biashara ni lazima atafute soko kama mara mmoja nilimsikia mo dewj anasema kuwa wana project kama mia moja hivi itakayo fanya vizuri wanaanza kuifanyia kazi kwa hio inafanikuwa kwani inakuwa imeshafanyiwa utafiti wakutosha ahsante
Ndio mara ya kwanza kuangalia video yako ila nimejifunza vitu vingi Allah akubariki. Hizo ndio ndoto zangu katka maisha nishangaika nchi nyingi ila bado sijafanikiwa nipo sifuri kabisa
Hiii kanuni ndio iliyompa utajiri yule jamaa wa usiende kariako.. Mtu anaenda china anafyatua product za watu wa hali ya chini kabisaa😁😁.. Emeeleweka bro.. Salute
The real meaning of being educated or intellectual 👍
Jeff kama Jeff, hii content Kubwa mno, yaani kubwa sana, b blessed broh
Nahitaji mentorship yako bro ,nakupenda sana
Ukielewa hivi video ya mnyabi Jeff,,utaelewa vitu vinaitwa Total available Market (TAM) na Serviceable Available Market(SAM) na Serviceable obtained Market ( SOM).content ya mkali iko poa na inazungumzia hivyo vitu vitatu.
Kutowa Elim nikitu kizur nasisi wasikilizaji tujifunze mambo yote mazuri nakuyafanyia kazi apo utakuwa umejitendea Haki nasisi tutakulipa ww utowa hamasa kama shukran
NakukubaLi sana bro..
Nimepata material mengi sanaa from you 🙏. God bLess youu
Nikuambie kitu chaliiangu, unajua masta.
Hii channel yako ni ya motooO laana 🔥🔥🔥
Keep up the good work.
Mungu nijalie NA mm niweze kufanikiwa
Good content bro, mwanzoni nilikuwa sielewi ila lastly nimeelewa vibaya mno.yan kupata kitu watoto wa uswahili wanachotaka ni kama kupata good entry kwenye forex😂😂😂Give me thumb👍 kama sirjeff ameanza kukuchocha😂
umeaacha tu kusema kua uswahilini kuna market kubwa kuliko ushuani simply kwasababu maskini ni wengi kuliko matajiri...
kwaio ukanza biashara tengeneza bidhaa yenye bei ndogo lakini iwe na thaman nzuri...
Hongera Jeff unatoa masomo mazuri! Wale wanaopenda mazoezi pitia hapa kuna video za mazoezi ya kujenga mwili bila kwenda gym!
Uwo uwezo wako ni double power ,hongera sana
aiseeee nilivyoanza kusikiliza video hii nilikua sikubaliana na wewe kabisa lakini kadri nimeendelea na mifano uliyotoa, unagundua kuwa locals wana power kubwa sana.. lakini hata hivyo nadhani mwisho wa siku it comes down to target market yako ni kina nani, unaweza kuwa na biashara yako unauza bidhaa ya 500,000 kwa watu wawili tu na mwisho wa mwezi una Millioni 1. Au kuuza kwa 500 na kwa wingi ili pia upate hela hiyo hiyo. Kuna potential ya biashara kufanikiwa katika both uswahilini na pande za kishua.. personally sikuwa verified uswahilini na biashara yangu lakini mafanikio yapo kabisa.
Overall nice video, it got me analyzing and thinking👏🏽👍🏽
Unaelewa mtaa uko vizuri, Nasi tunakuelewa ausio pa1.
Iko vizuri sanaaa I like the way umeelezea this kwa watu wetu wa nyumbani kabisa kina Diamond, kina Bakharesa, Mo Dewji et al
Broo umenenaa point man
Umeongea vizuri kuhusu singeli ila umesahau kumuongelea kicheko mtata..he was vital to the single game rise at EFM..and ruge akamnunua at the end of the day..
Umemsahau Talla ..yule mkopeshaji kutoka Kenya
Elimu nzuri sana Sir Jeff Dennis. Nimekuwa nikikufuatilia kwa muda sasa, hakika wewe ni darasa tosha kwetu vijana.
Umeni- inspire kuanzisha channeli hii yenye content (Video yenye muziki wa kinanda na gitaa) muhimu sana kwa binadamu kuriwaza mwili na akili (relax) baada ya kuchoka na kazi, kwa wanafunzi wanaotaka ku-concentrate katika masomo yao, wafanyakazi makazini, pia kwa wale wanaopata shida wakati wa kulala ukisikiliza muziki huu tulivu usio na kelele utapata usingizi mololo. Jionee video za drone zikionesha uzuri wa dunia.
Kujua zaidi, tafadhali fanya kama unabonyeza hapo kujionea mwenyewe. Waafrika tutainuana wenyewe! One Love!!
Kaka mimi nimekuelewa sanaa ila ninahitaji japo. Mwanga kidogo maana nimeifwatilia forex toka sijakujua .ila nahitaji some consept of forex
Napenda energy yako bro 👊
Mara yakwanza kuwasha channel yako so nimegunduwa unamadini hadimu
Mungu ukubariki akupe uwezo wakuendelea kutulisha vitamin vya ubongo
Kwakweli nimeiangalia hii mara ya pili... Naonesha machalii wa uswahilini hapa wanacheka balaa... Wanafurahi woa ni key katika mafanikio ya wajasiriamali! Sir Jeff u remind me a pure fact of the 90% of business failure buy the 5th year... 42% is due to Markets issues that entrepreneurs fail to sustainably exploit the market... Ambayo almosy ndo tumeongea!!! Hii channel inatunoa sana
Aminia bro God bless you for such a golden advice
I can say you are so intelligent telling us this keeep going on I like so much your ideas bro
brother you are intelligent
Proud to be Mswahili..
Thanks for this bruh.
Plz keep posting new educational videos.
Safi sana kaka kwa maudhui yako na kwa kuongezea tu ni kwamba Mtu akitaka kufanya biashara ni lazima atafute soko kama mara mmoja nilimsikia mo dewj anasema kuwa wana project kama mia moja hivi itakayo fanya vizuri wanaanza kuifanyia kazi kwa hio inafanikuwa kwani inakuwa imeshafanyiwa utafiti wakutosha
ahsante
Broo nakubali saana kaz zakoo kama hii ni hataree saana 🔥🔥 🔥🔥 🔥
Ndio mara ya kwanza kuangalia video yako ila nimejifunza vitu vingi Allah akubariki. Hizo ndio ndoto zangu katka maisha nishangaika nchi nyingi ila bado sijafanikiwa nipo sifuri kabisa
Good message
Woooow ur so amazing. I like this strategy kwakweliii. Nitaanzakuifanyia kazi
Sir Jeff UK vzur mungu akutie nguvu uendlee kutuelmisha sana tu.
Nakukubali mwananguu sijutii kukusikiliza m.b zinaenda kihaliliiiiiiiii
Am Speechless Kwakweli, God Bless you
well said mentor wangu ila leo umetupia saa
Asante
Big up boss...nice explanations with alot of vivid examples ...that's wonderful
Indeed
Hiii kanuni ndio iliyompa utajiri yule jamaa wa usiende kariako.. Mtu anaenda china anafyatua product za watu wa hali ya chini kabisaa😁😁.. Emeeleweka bro.. Salute
Yupi uyo
Jeff your great
Keep up the good work bro bless up...
very well kijana nimekupata xna
Thank you bro
Bloo uko good Sana vip naomba unitumie namb yko kk
Safi sana bro,very very educative video!
Good work brother
Tupo active kazi nzuri sanaa
Natamani kumpata mwalimu wa kunifundisha biashara kama sirjeff
Thank you Bro.....🙏🏿
Quality to the point
imekaa poa sana🤝🏻
Umetishaaaaaaa sanaaaa
Thanks for u education bro
Thanks for more knowledge and skill learned from you brother,👏👏
Bro thank u very much...
Nimeondoka na kitu, asante
Hapo wasomi wa economic kama uliskia demand
nanaifanyia kaz na imejibu
yet another knowledge
U know too much...u a blessed
MAMAE HUYU JAMAA GENIUS
Nimeelewa sana
True Story Man
Kazi nzuri kaka
Umetisha bro
Nakubali sana broh coz this was my dream to start
Imekaa poa sana 👊🏽👊🏽
You’re so smart bro 💪🏿🙏🏽
Naona namba ya subscribers inakimbia mithili ya miniseconds kwenye stopwatch
Og mzeee ipo poa sana
Hi hapa ni 80/20 rule... Minority ndio wanaInfluence majority
THE VOLUME MUST CONFIRM THE TREND. . . we forget this too much. . .
Kweli kabisa kaka
Kaka tuombee kwenye mitandao ya simu kama voda na zingine ziwez kuungana na paypal bas bro
I'm Very interested with you brother...
Nahitaji no yako ya simu tafadhali sana au office yako please🙏
How about am far and I need make home good.from Kenya❤️
Yes You can
GENiUS!
ni kama wachina walivoingia afrika na kuturahisishia mambo mengi usafiri teknolojia na kadhalika wazungu wamebaki wanatoa macho tu
Ontario 🔥🔥🔥🙌🏾
very powerful
Nice one
all time rolemodel💪
Nimekwelewa upovizuri
Hakuna siku nimegaini kitu kikubwa km Leo yaani ubalikiwe SirJeff
🔥🔥🔥
Good bro
Ukosawa sana kaka
Good
Tuletee video ya kuhusu online marketing
Nlikuwa naangalia ulivyoingiza million 100
Nakubal
Imekaa poa sana
Umeanza kuvaa saa siku hizi?
Ww hutk kua tajiri hemu wach useng mwanang
Brooo, ulituaidii tukifika subscriber 5000 utaanza kutupa madini ya forex
Broo,naomba namba yako
Kwahiyo watoto wa Uswazi wanashindwa kuendeleza vitu vyao na wajanja wameiba idea zilizopo
Nimeelew kaka
Content sumu ikabidi ni Subscribe tu. Keep going chief
Puguza maelezo ni mengi sana
umwtisha brother