Mungu hakuumba mapepo wala hakuumba umaskini vyote hivyo vilikuja baada ya mwanadamu kuasi maagizo ya Mungu kasome kitabu cha Mwanzo sura ya tatu,hivyo nimependa kurekebisha hapo tusije tukapotosha jamii.
Shaka video ya Kwanza tuh ilbadilisha matazmo Wang wa maish kabisa Mungu akubariki ,akutie nguvu n uzid kuinspire vijana Weng.One day naamin ntatoa ushuhuda kwako
Chief, kuna kitu naona umechanganywa kidogo hapo kwenye UUMBAJI WA MUNGU kwa sababu naona umeweka HUMAN STANDARD OF LIFE dhidi ya UUMBAJI kaka yangu, naomba ukipata muda upitie kitabu cha Mwanzo¹ tu yote ni fupi na inasimulia vyema sana na najua kwa wewe msomi hautashindwa kusoma hapa champ ... Thanks na Mungu akubariki maradufu ... #keeponkeepingon
Sirjeff, uko sahihi kabisa tatizo wanadamu tunapenda show off, na watanzania wengi sana tuko kwenye hio crisis pamoja bro tutaendelea kushare video hizi na watanzania wengine wajue somo..
Mtu uyo uyo amekopa Gari then gari inahitaji service , mafuta na ikiharibika aipeleke tena kw fundi , still kakopa alafu anazidi kuitumia pesa na sio kuirudisha alipo kopa , I understand shaka Zulu ila ukija ZNZ nahitaji picha na wwe coz najifunz mengi kuptia wwe , tupo pamoja IG na huku YT pia (N.B : picha)
No matter wher the got$ both need to focus on wht add money to their pocket (Asset) befor they run toward expend on wht take money from their pocket (liabilities)
Me nasema sio wote ambao wanarudi nyuma kiasi hicho..me nimekopa milioni ishirini nimenunua gari mfano..daladala kwanza nahakikisha ile gari me ndio condakta ili niweze kukusanya mapato yote..no kiwa kama mfanyakazi pia na mm ntapata mshahara wngu mule mule nje na ishu ya gari..alafu target yngu naifanyia kazi kwa mwaka mmoja tu..wakat nimo kwenye ile gari nahakikisha naitunza vyema..ili ikifika mwaka ikiwa gari bado good condition..naiyuza haraka ili kukununua nyengine wkaat makusanyo ndo faida yngu...kma ntafanikiwa miaka mitano tayar nnagar yngu...na mkopo nishalipa...shaka Zulu wanaorudi nyuma ni wale ambao hawana kitu na wanapenda umwinyi
Huwa napitiapitia vipindi Ayako TH-cam,ki ukweli nafurahishwa sn pia najifunza mengi hongera sn zidi kuwa na moyo huo,lkn ninaswali hapo kwamba umesema mtu awezakuchagua vile atakvyo!vipi kuhusu purpose? kumbuka Mungu anasema kila mtu hakumuumba kwa bahati mbaya bali aliweka kitu ndani mwake purposes
Umeelewa nini sasa leo!!! Kwamba ununue gari mil 20 afu utajiri wako ubaki sifuri kwamba hilo gari halina thamani yoyote ama?, Akiri yakuambiwa changanya na yako so unasikiliza tu ata zikiwa pumba unasifia.
Hakufuatilia kwa ukaribu sana kaka unaelewaka vizuri mno
daah nishapoteza zaidi ya laki mbili mtandaoni ila zitarudi zaidi ya hizo thank you
Thanks for class sirjeff
You nailed it 👌👌👌Mkopo wa gari is the dumbest type of loan. Very Bad debt
nasubiria madini ya exponential richness,, keep inspiring the young generation. shaka shaka shaka shakazulùuùuu. King🔥
U real blows my mind like wow!... Uko poa san mi nimgum kuapriciate MTU but unanifany niseme except you Jeff u are talented God bless
Ubarikiwe
Mungu hakuumba mapepo wala hakuumba umaskini vyote hivyo vilikuja baada ya mwanadamu kuasi maagizo ya Mungu kasome kitabu cha Mwanzo sura ya tatu,hivyo nimependa kurekebisha hapo tusije tukapotosha jamii.
Tunashukuru kwa elimu...
Rasha resha hizi zinaisha lini mvua ianze kunyesha aisee. Jah bless ya
Kaka asantee kwa mafunzo manzur naomba uweke soma LA kuhusiana na kiasi cha mtaji na mifano kadhaa ya biashara
Safi sana mkuu
Shaka video ya Kwanza tuh ilbadilisha matazmo Wang wa maish kabisa Mungu akubariki ,akutie nguvu n uzid kuinspire vijana Weng.One day naamin ntatoa ushuhuda kwako
Allah bless you my brother, unazid kuwa chachu ya mabadiliko ya kiuchumi kwa Vijana
Maneno mazuri
Usia wangu na kukaribisha katika uislam
amaizing................
Chief, kuna kitu naona umechanganywa kidogo hapo kwenye UUMBAJI WA MUNGU kwa sababu naona umeweka HUMAN STANDARD OF LIFE dhidi ya UUMBAJI kaka yangu, naomba ukipata muda upitie kitabu cha Mwanzo¹ tu yote ni fupi na inasimulia vyema sana na najua kwa wewe msomi hautashindwa kusoma hapa champ ... Thanks na Mungu akubariki maradufu ...
#keeponkeepingon
Nakuelewaaa sana
Good content
Shukran sana bro
Madiniii
Hapo bro nimepata ukakasi kidogo ina maana hao jamaa watakua wanatafuta hela kwa ajili ya kununua magari tu mpaka kufa kwao
Mtu wa kwanza kunifumbua macho kuwa kwenye hii sayari kuna kitu kinaitwa Forex! Mungu akubariki saana!
Sawa mkuu nakuelewa sana jerf
God bless ur mind always
Genius
Brother big up
Nice
Good brother
Sahihi bro
Madini heavy bro endelea kushusha NONDO. Mungu akubariki mkuu
Gud motivation
God bless u bro
Thanks
Wonderful bro
Umetufumbua macho hapo. Tukajua kupata gari ndio kila kitu kumbe ngoma bado sana
safiii
You're the master all the time
Ontario fundi💪
saf kaka
Kukupenda tuu kaka angu
👏👏👏
Kweli kaka tunakomaa humuhumu
Great
Great knowledge shared by you.patiently waiting for the next video👍🏾
Ial utashangaa Kuna mapimbi wanabinyeza dislike. Duuh kwl kwenye mirror image Mungu aliumba watu wa kulike na kudislike😃😃
Madini, Bless u bro
Nakuelewa sana mkuu
yajayo yanafurahishaa km umeona shark bado hajaanza kushusha nondo gonga like
God Bless; Exponential rich; I will remain active on your practical knowledge.
Good one brother ... keep it up
You are the best bro... Can't wait to learn from you
Iko poa sanaaaa 🔥🔥🔥
Dah
Ayeeee ✊✊✊
Kama Kawaida... Imekaa poa sana kwa kweli
True Story
Muendelezo wake sasa
That is great idea bro .... keep it up your the best young mentor in Africa .......🙏🙏🙏🙏🙏
Tunasubiri nondo.
Madini
Mtu mbadi
Your always on point👍
Noma sana shaka..ntahitaji na copy ya shark boad..ukifuta naona madini ndo ynpotea
Keep going bro
Dha iko poa sana plssss tuendelee na next step ya jinsi gani utajiri wangu ukue tu usirudi chini
I Appreciate You Broh Your Genius. 💥💥💥💥
Sirjeff, uko sahihi kabisa tatizo wanadamu tunapenda show off, na watanzania wengi sana tuko kwenye hio crisis pamoja bro tutaendelea kushare video hizi na watanzania wengine wajue somo..
Kakaa huna groups jaman naomba ni join
ZURU SAKA LAKA
shaka zulu nakuaminiaa
Daah good message Shark ... thanx..!!!
Mtu uyo uyo amekopa Gari then gari inahitaji service , mafuta na ikiharibika aipeleke tena kw fundi , still kakopa alafu anazidi kuitumia pesa na sio kuirudisha alipo kopa , I understand shaka Zulu ila ukija ZNZ nahitaji picha na wwe coz najifunz mengi kuptia wwe , tupo pamoja IG na huku YT pia (N.B : picha)
Shaka zulu
KING SHARK SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA ZULU
Shark board
🙌🙌🙌🙌
Shaka zuluuu
Broh tunasubiri hiyo exponential rich
SHAKA ZULU.
🙏🙏🙏
That's Logic
No matter wher the got$ both need to focus on wht add money to their pocket (Asset) befor they run toward expend on wht take money from their pocket (liabilities)
🌎
✌
Sirjeff_motivation 🙏🙏
Madini tupu Chief
Naomba namba yako Kaka
we jamaa nimekuwa nakusubiri sana upost video hatimaye imekuwa.
hv na uku tutakua tunasubr mda mrefu km insta? bado tupo mafunzoni
kwahyo mtu ataishi kwa kununua magar tu?? kila akipata hela ananunua gar tu??
Kinga shark shaka zulu
Kwani lazima kununua Magari kila akipata iyo 20m
Si anaweza kununua gari na akaendelea na Maisha mengine
Shark shaka zulu on demands.
Me nasema sio wote ambao wanarudi nyuma kiasi hicho..me nimekopa milioni ishirini nimenunua gari mfano..daladala kwanza nahakikisha ile gari me ndio condakta ili niweze kukusanya mapato yote..no kiwa kama mfanyakazi pia na mm ntapata mshahara wngu mule mule nje na ishu ya gari..alafu target yngu naifanyia kazi kwa mwaka mmoja tu..wakat nimo kwenye ile gari nahakikisha naitunza vyema..ili ikifika mwaka ikiwa gari bado good condition..naiyuza haraka ili kukununua nyengine wkaat makusanyo ndo faida yngu...kma ntafanikiwa miaka mitano tayar nnagar yngu...na mkopo nishalipa...shaka Zulu wanaorudi nyuma ni wale ambao hawana kitu na wanapenda umwinyi
Jamaa kazungumzia magar yakutembelea so kama wew umenunua gar labiashara inakuwa imekaa poa sasna
Huwa napitiapitia vipindi Ayako TH-cam,ki ukweli nafurahishwa sn pia najifunza mengi hongera sn zidi kuwa na moyo huo,lkn ninaswali hapo kwamba umesema mtu awezakuchagua vile atakvyo!vipi kuhusu purpose? kumbuka Mungu anasema kila mtu hakumuumba kwa bahati mbaya bali aliweka kitu ndani mwake purposes
Nondo
Yani ww elimu yako umeitendea haki kabisa hua nakuelewa sana
Umeelewa nini sasa leo!!! Kwamba ununue gari mil 20 afu utajiri wako ubaki sifuri kwamba hilo gari halina thamani yoyote ama?, Akiri yakuambiwa changanya na yako so unasikiliza tu ata zikiwa pumba unasifia.
Shark bord
what happens to those who don't understand your language?