God bless you Brother. Waanikwe kabisa. For it is written..my pple shall perish for lack of knowledge..continue with Educating the masses...much support from +254🇰🇪
Brother toka nimekufahamu navutiwa kufanya hii k2 lkn sio kuvutiwa tuu pia nakua committed to do this......then I start small mpaka pale ntakapo kua tayari kufungua live account...kwa mafunzo yko picha ya mafanikio naiona baada ya muda keep tite teaching this......👍
Great content and insightful. It would have been even better if you gave suggestions based on your experience of good brokers, that would have been extremely helpful to many.
Ahsante broo mm kama mdau na mshabiki wa video zako mara kwa mara nimekuwa nikijifunza nakuvutiwa na kazi zako unazo tufundisha mtandaoni ila nataka sana namna ya kuwasiliana na ww na ikibidi nianze kazi hii na ww, kwa sasa mm nipo kagera bukoba kuna fursa nyingi sana za biashara huku na wasomi wengi ila hakuna mdau au wapambanaji wengi wenye challenge na ushawishi mwingi wa kuingiza pesa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 duuuuuuuu imekaa poa sana ,as if kama umezaliwa navyo ivyo vituu ,SALUTE kak ,we didn’t know these before...according to this no option than your broker (goblex 360)
Karibu jokaforex robot kazi yet HATUUZI trading robots ila tunabadilisha strategy uliyonayo katika trade na kua robot yaan ukiwa na strategy au ideal flan katika trade sisi utatwambia strategy yako tunabadilisha hiyo strategy na kukutengenezea robot unalotaka wew kulingana na ideal au strategy unayotumia kutrade kwa forex ya sasa ni vigum sana wew Norma man kupambana na market acha robot zipambane zenyewe kwa zenyewe HATUHUUZ robot ila tunabadilisha ideal na strategy unayotumia na kukutengenezea robot la utrade kama wew uwazanyo na unavyotrade.
Sikuwa najua chochote kuhusu forex ila kwa muongozo wako umewasha Shauku Kuu moyoni kwangu. Na Sasa nitawekeza masaa 3 Kujifunza tu Kila Siku mpaka mwezi wa 12 nitaanza ku trade demo account kwa kipindi Cha miezi Kadhaa kabla ya kuingia na really account.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nimefurahi pia kuona umezindua 360 Capital company LTD,Juzi Kati natumaini mtakuwa na huduma nzuri ya brokerage. Taa Mpya na tumaini jipya kwetu Vijana Wenye Ndoto Kubwa. Mwanza tunawasubiri kwa hamu sana
Mbona kaelezea vzur tu yaani broker anashauriwa atumie meta trader 5 ili iwe rahisi kwake kukuchezea wewe kwaiyo mt5 ni nzuri kwa broker muhun hivyo wewe usimtumie broker anayetumia technology ya mt5 maana itakua rahisi kukupiga
Very few mentors wanasemaga huu ukweli, asante sana sir Jeff, much respect 👏👏
God bless you Brother. Waanikwe kabisa. For it is written..my pple shall perish for lack of knowledge..continue with Educating the masses...much support from +254🇰🇪
Kama unamkubali sirjeff denyyyy awe broker wetu wa tz baadae like and comment vibeeeee
Nimeshafanya ivo naomba mnitumie no ake ya watsap
Vibeeeee
Naomba namba ya pls
Namba yangu 0754830588
Ndiyooooo
Mi bado sijaanza fx official but I real feel my heart is singing kwa madin unayotoa stay blessed jeff
Very informative bro am proud of you hasa kwa sababu ya kutumia lugha ya kiswahili. always following you.
I never miss a single content from you Jeff. Madini ya moto sana haya Imekaa poa sana and i wish one day ntajoin huko FX
Najifunza sanaa kutoka kwako sir Jeff
Keep it up
That's great Sir Jeff am still learning and at least I know where to commence. Its powerful
Insightful Sana hii... FSCA noma sana... Hawacheki na mtu... Imefungua macho sana Sir Jeff... Imagine unaamka na hii chai.... Nasubiria lunch video
Hhhhhhhhhhhhh 😂😂😂😂 yani hawo ogapa kbs
Brother toka nimekufahamu navutiwa kufanya hii k2 lkn sio kuvutiwa tuu pia nakua committed to do this......then I start small mpaka pale ntakapo kua tayari kufungua live account...kwa mafunzo yko picha ya mafanikio naiona baada ya muda keep tite teaching this......👍
Hapa kuna ukwel mimi kuna siku nipo kwenye profit candle ikaruka ikaanza kuelekea sehem nyingine nikapata loss
Asante mkuu kwa kushare mambo mazuri na muhimu kuyafaham kwa kila FX trader, nategemea utazidi kushare hii elimu ili tuweze kuielewa zaidi...👍👍👍
Nakukubali sana bro Jeff, endelea kututoa ujinga katka safari hii ya mafanikio!
Be blessed bro
be blessed brother
thank you
Sir Jeff vip
naomba uzungumzie Kwa undani suala la price action
Asante mzee baba
Ha haaah...! Nmewahi tena acha nile nondo za uhakika na #sirJeff Denis
Be blessed chief content zimenyooka✊🏾
Dahh ahsante Sana kwa kutufumbua mamcho sirjeff,
Ume wavua kwel broo
Give a thumb here to support bro jeff
Be blessed Mr
Soma zuri sana.nazidi kufunguka.
Msaaada Kaka, nahitaji mafunzo ya namana ya kufanya forex mtandaoni
Naomba uwe mentor wangu
great content and helpfull
Hello samahan je unatoa hela kila bada ya mwez ma hata kila cku ukitaka?
Hpo mwisho kwenye mt5 na mt4 sijakupata fresh
Umetisha sana Bro👍 Mungu Akubariki.
Mh hatar hii biashara yetu ina changamoto ase asante brother kwa kutupa knowledge hii
Thanks much brother 💪
Keep teaching us
Thanks bro
Tunasubir mapin mengine kaka
Au kama una darasa la fx tufahamishe kaka tujiunge
Thanks❤
asante jeff for the video
Salute sir jeff
nataka kuulizia hivi product zote zina ma broker,,, kama binary ,digital,oil nakazalika ,plese bro help
iko sawa, shukran
Ingekuwa vzr kiongozi ukatutajia broker mzuri wa kumtumia
Tunaomba namba Kwa mawasiliano zaidi
MQL Community wapo Cyprus kwa wapigaji huko huko😊😊 na wanalalamikiwa sana kua website yao imejaa scammers(Hasa sellers wa Robots n.k)
Great 😃 man... I gotcha thanks
What a great content ,mungu akubariki uendelee kufunua macho ya watu wengi zaid
Great content and insightful. It would have been even better if you gave suggestions based on your experience of good brokers, that would have been extremely helpful to many.
Fanya na fxcm au IC markets
@@susankariuki449 Thanks
Kwaiyo deriv broker ni tatizo jaman nisaidien apo?
naomba brother nanijifunze niingie kwa hiii biashara
Hawa wa moritius wamenipiga sana
Ahsante broo mm kama mdau na mshabiki wa video zako mara kwa mara nimekuwa nikijifunza nakuvutiwa na kazi zako unazo tufundisha mtandaoni ila nataka sana namna ya kuwasiliana na ww na ikibidi nianze kazi hii na ww, kwa sasa mm nipo kagera bukoba kuna fursa nyingi sana za biashara huku na wasomi wengi ila hakuna mdau au wapambanaji wengi wenye challenge na ushawishi mwingi wa kuingiza pesa
I mean Templer Fx
Hongera sana Sir Jeff, ila mm natamani sana kujifunza, naomba msaada wako pls.
Jeff hatoi mafunzo anadokeza tu
Kama unataka mafunzo nicheki 0625421802
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 duuuuuuuu imekaa poa sana ,as if kama umezaliwa navyo ivyo vituu ,SALUTE kak ,we didn’t know these before...according to this no option than your broker (goblex 360)
Dont get twisted bro utapigwa vibaya
Mbona reviews za globex 360 ni mabaya?
@@I-S-L-Y how bro?
@@I-S-L-Y kivipi?
Wajameni eeeeh vipi hawa brokers ambao wako regulated under Belize
Nipe link ya huyo broker
Thanks so much bro, nakuelewa sana Jeff
Karibu jokaforex robot kazi yet HATUUZI trading robots ila tunabadilisha strategy uliyonayo katika trade na kua robot yaan ukiwa na strategy au ideal flan katika trade sisi utatwambia strategy yako tunabadilisha hiyo strategy na kukutengenezea robot unalotaka wew kulingana na ideal au strategy unayotumia kutrade kwa forex ya sasa ni vigum sana wew Norma man kupambana na market acha robot zipambane zenyewe kwa zenyewe HATUHUUZ robot ila tunabadilisha ideal na strategy unayotumia na kukutengenezea robot la utrade kama wew uwazanyo na unavyotrade.
penyewe hapo napataka
Namb ya Sim
Umenifumbua macho sir
Jeff.pls pls pls naomba namba Yako ya simu.
Itanibidi nitumie Oanda kwa sababu huwezi juwa umwamini nani🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️ Una mtazamo gani kuhusu Oanda?
Ungekuwa unaweka contacts ili watu wawexze kukuuliza zaidi kwa clarification zaidi
Nakufuatilia sana mafunzo yako, you are doing great work God bless you! , Sir Jeff. How can I get your contact please I need help from. Thanks,
Umetusaidia sana @sirjeff
Sorry Lucas... unafoex account the live account
Cool.what are spreads?
The Difference between bid and ask prices (buying and selling prices)
Kwann usituwekee majina ya broker wazuri
Thanks so much brother........
Hii iko powa sana kaka nimekuelewa sana 🤜🤛
mbona howeki mawasiliano yako
Keep up bro kutufungua macho .
Asante, endelea kutuelimisha
Nakuelewa, nahitaji mafunzo zaid y fx if possible ntumie kwa email yang
Naomba unionge na broka wako bc jaman nmelekezwa na mtu mahal lakn ananambia hela inatoka kila mwezi na co kila cku nkaogopa
Hello bratha mie natoka nchi jirani Kenya,, naomba kujua mengi kuhusu Metatrader 4&5 alafu ni broker mgani mzuri kutoka nchini South Africa?
Kama promo ya broker flani ivi...by the way nimekuelewa sana
Nice work
Nice bro
Sir jeff ur so brilliant
Asante sana!
Kuwa broker Kaka yani atuamini kabic broker wengn
Dah big up brother.
Sikuwa najua chochote kuhusu forex ila kwa muongozo wako umewasha
Shauku Kuu moyoni kwangu. Na Sasa nitawekeza masaa 3 Kujifunza tu Kila Siku mpaka mwezi wa 12 nitaanza ku trade demo account kwa kipindi Cha miezi Kadhaa kabla ya kuingia na really account.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nimefurahi pia kuona umezindua 360 Capital company LTD,Juzi Kati natumaini mtakuwa na huduma nzuri ya brokerage. Taa Mpya na tumaini jipya kwetu Vijana Wenye Ndoto Kubwa. Mwanza tunawasubiri kwa hamu sana
👍iko poa sana unasomeka
Kaka nasikiaa kupata naltivitanmin kila ukipiga pindi$# nakubali sanaaa kaka
imekaa poa sana ,thx bro
Taja namba yako Kaka utusaidie
Nimependa sana story za Jeff Na nataman sana kujua forex
Nahitaji brokers regulated
I real appreciate bro
Hbr zenu wadau natafuta mtu anaye fundisha Forex ARUSHA?
What about Egm securities.? Regulatory.
Uchhochoro huo
@@chundabadsingasinga3130 its Kenyan and regulated
Its in kenya, am in Kenya and I know it
@@susankariuki449 what u know
Sir Jeff... tafadhali naomba uweke kwnye link yko broker unaemtumiaa
Thanx mr 🦅
asante sana Jeff
Dahhhh hatari mwaga ugali na mboga
Nimekuta nikiisikia Sana hii reforex na naitamani pia ila sijui jinsi ya kuingia huko na unaanza na mtaji gan, na pia wana masharti gan
Sir wewe broker wako ni yupi?
Nasikiliza mpaka nataka kulewa
Hapo mwishoni umetuchanganya meta trade 5 au metatrade 4 ndo ina weka kuwa manipulated kirahisi
Pw sana

Thanks mkuu