Leo 2023 nimekuja apa kumshukuru uyu jamaa Nakumbuka niliiangalia hii video miaka miwili nyuma na leo nimekuja apa kumshukuru uyu jamaaa mungu ampe maisha marefu 🙏🙏
Very good content Jeff... Ni pale unapomaliza shule na kugundua kuwa shule ambayo hukuandaliwa nayo ndiyo inaanza. Na shule hii ya mtaani inakupa mtihani kwanza halafu ndio unajifunza... Tofauti kabisa na ulipotoka! People need to wake up now.... 👍🏾👍🏾
Sorry to be so off topic but does any of you know of a method to get back into an Instagram account..? I was dumb forgot the password. I love any help you can offer me!
It is 2023 and I'm still coming here kuchukua elimu hapa, SirJeff kazi yako imetukuka sana, thamani ya haya maneno yako inaishi. Na imenisaidia sana kwenye Kujitafuta upya. Uishi sana.🙏🇦🇫
Jeff your genius! Just Every single day I leans through your class chanel,respectfully to you brother! Do not give up! Continues to teaching us course my achievements still going on, through you! By your friend (KENT from KARAMBEZI) I Thinks you remember me! Thanks JEFF!
Jeff huo ndio ukweli, na mimi ni graduate nimehitimu bachelor degree of chemistry 2018 udom, na kwa sasa nipo dsm lkn tangu nimeanza kujifunza naona mabadiliko kwenye maisha yangu, sijafanikiwa kupata ajira ila nataka nitengeneze ajira nyingi zaidi, elimu ya kujitambua na elimu ya fedha ndio pekee inaweza kukufanya mtu wa tofauti maishani, wasomi wengi hawataki kukubali huo ukweli ila mimi na mfano mzuri TO wa mwaka 2012 Joel Nanauka kajiajiri na anasaidia watu kujitambua na aliwahi kuajiriwa UN lkn akatoka, hivyo wapo walioweza kutumia elimu zao musician wengine muhimu ni ukubali kuwa wa tofauti tu
Ndugu we unaakili ya maisha Sana jitaidi kumwomba Mungu azidi kukuongezea akili ya maisha zaidi ya ulivyo uwe zaidi ya mo dew na utaweza kwasababu yeye ni mwanadamu Kama wewe kwaiyo jitaidi umuombe Mungu akuzidishie akili ya maisha zaidi kaka
Nilivyokua nasoma post zako,nilidhani utakua jamaa flani jeuri,,kumbe nilikosea sana.All that you talk about is PURE FACTS,video zako zinanifumbua.keep on the hard work mate.
Jeff can you make a video on financial literacy and the books we can read to gain the knowledge not taught in school. Naona umesoma vitabu vingi sana tupe ata top 5 zilizo kusaidia zaidi. Asante.
Thanks for sharing man 👍👍👍.......kwa mtu aliyejijengea tabia ya kusoma vitabu haya mambo hawezi kuyaona mageni sn kwenye masikio yake.....may be ukipata muda tusaidie list ya vitabu ambavyo unaona tukisoma vitafidia gap ambalo limeachwa na Elimu tuliyoipata shuleni.
Kabisa Jeff. Mimi degree yangu haikunisaidia chochote. Leo Ni mwaka wa 6 Toka Ni graduate. Nashukuru kupitia TH-cam nimepata ELIMU kubwa Sana. Imenisaidia najivumia kuwa mimi. Na ninabiashara yangu. Nimeajiri watu. Wanafaidika kupitia Mimi. Wasomi tufungue mawazo. Shoshan nimeielewa bro
Habari yko brooo..naomba utuelimishe kwenye REAL ESTATE EDUCATION AND HOW CAN SOMEONE BUID WEALTH THROUGH REAL ESTATE ASANTE..I'M WATCHING FROM KENYA...
Duuunh hakika kuanzia leo. Mimi naacha kabsa kuendelea Na masomo ya Degree chuoni. Hii elimu ya kidato cha sita na Madini yako Jeff. Zinanitosha kabsa.Nina mabrother wangu wana degree ya MD lakini nipo nao aise kitaani. Jeff naomba unitafute kwa number hizi:+255625948183 pia unaweza kunitafuta kwa WhatsApp.Wewe Brother ni very genius. MUNGU akubariki sana.
Sirjeff...habari mimi kama mwanafunzi wa Alevel ninapitia wakati mgumu sana kila nikijaribu kuwaelezea wazazi wangu kuhusu mkandamizo wa elimu katika jamii..nina uwezo mkubwa sana katika Computer na nili anza kudevelop website zangu nikiwa form 1 tu...nasio web za kawaida na develop kitu sawaa na qualified devloper lkn wazazi niki waambia hawa amini,sababu Baba yangu amefanikwa kwa ajili ya elimu na ana elimu kubwa lkn hani amini juu ya uwezo wang na kwa sasa shule inanipa wakati mgumu sababu naona sio chaguk langu...🎯Nipo kwenye dillema sijui nifanyaje🤔asante kaka ntaweka hii video yako seblen na kuongeza sauti hadi mwisho ili asikie vizuru🤣🤣👏
UKO SAHIHI ASILIMIA 80 KAKA KUNA KITU SIJAKUBALIANA NAWEW KWENYE ZERO SUM NA POS SUM GAME NNAVOJUA UTAJIRI UNAHITAJI BOTH POS AND ZERO SUM GAME THIS IS BECAUSE ILI UPATE PESA THERE MUST BE SOMEONE ON THE OTHER SIDE MUST LOOSE THE SAME VALUE YOU HAVE GAINED HIVO BASI UTAJIRI PIA NI ZERO SUM GAME LAKIN PIA ILI UWEZE KUACCUMULATE MORE WEALTHY YOU MUST CREATE PEOPLE WHO YOU CAN JOIN TOGETHER TO ENSURE THAT YOU MAKE MANY PEOPLE LOOSE TO YOUR TEAM AND YOUR TEAM GAIN THE SAME VALUE NAJUA UMENIELEWA HII NI ELIMU AMBAYO SISI STREET GENIUS TUNAIPATA DIRECTLY FROM THE STREETS
Leo 2023 nimekuja apa kumshukuru uyu jamaa Nakumbuka niliiangalia hii video miaka miwili nyuma na leo nimekuja apa kumshukuru uyu jamaaa mungu ampe maisha marefu 🙏🙏
Very good content Jeff... Ni pale unapomaliza shule na kugundua kuwa shule ambayo hukuandaliwa nayo ndiyo inaanza. Na shule hii ya mtaani inakupa mtihani kwanza halafu ndio unajifunza... Tofauti kabisa na ulipotoka! People need to wake up now.... 👍🏾👍🏾
Ezden huyu hapa 🔥🔥🔥🔥
Safi edzen jumanne
Channel yako imenisaidia sana bro mnatakiwa Mzidi kutuamsha hivi
Ezden jumanine big up sana bro
Sorry to be so off topic but does any of you know of a method to get back into an Instagram account..?
I was dumb forgot the password. I love any help you can offer me!
It is 2023 and I'm still coming here kuchukua elimu hapa, SirJeff kazi yako imetukuka sana, thamani ya haya maneno yako inaishi. Na imenisaidia sana kwenye Kujitafuta upya. Uishi sana.🙏🇦🇫
Baada ya miaka kadhaa watu wengi watakuja kuelewa umuhimu wako ambao wengine tumeshauona. May God bless you bro 🙏
Uko sawa.... Nacho penda nikwamba hutumii mda vibaya...una enda moja kwa moja kwenye hoja yako huna Kona Kona
Dah!!! Hadi pozi limeniishia, bro, god bless u👍👍
Thanks so much brooo. Thanks. Ur bless man.
Sawaa but tunaombaa video how Kama wasomii tunawezaa move mbele mapemaa before hatuja fall
Bcz sisi tunaishii kwenye mfumoo huo so how can we generate
Walojiriwa wengine wanatafuta degree wenye degree wapo mitaani ila wajanja wanao msikiliza sirjeff wanatafuta utajiri.....keep it up
"Wew ni matunda ya mfumo na mfumo unakupenda sana na hautaki kukuacha na utaendelea kukushikilia," inauma sanaa
Sirjefff Mungu akubariki na akuzidishie
Great! Great! Great knowledge! Thanks sir!!
Jeff your genius! Just Every single day I leans through your class chanel,respectfully to you brother! Do not give up! Continues to teaching us course my achievements still going on, through you! By your friend (KENT from KARAMBEZI) I Thinks you remember me! Thanks JEFF!
You’re my role model brooo tabia yako ya kutojali mtu anakuchukia wewe unampenda tu na unapenda afanikiwe Hii najifunza hii👏🏿👏🏿Asante sana
Thanks for the excellent advice,hapa ndo unapojua kwamba kusoma sana sio kufanikiwa...
Jeff huo ndio ukweli, na mimi ni graduate nimehitimu bachelor degree of chemistry 2018 udom, na kwa sasa nipo dsm lkn tangu nimeanza kujifunza naona mabadiliko kwenye maisha yangu, sijafanikiwa kupata ajira ila nataka nitengeneze ajira nyingi zaidi, elimu ya kujitambua na elimu ya fedha ndio pekee inaweza kukufanya mtu wa tofauti maishani, wasomi wengi hawataki kukubali huo ukweli ila mimi na mfano mzuri TO wa mwaka 2012 Joel Nanauka kajiajiri na anasaidia watu kujitambua na aliwahi kuajiriwa UN lkn akatoka, hivyo wapo walioweza kutumia elimu zao musician wengine muhimu ni ukubali kuwa wa tofauti tu
Ndugu we unaakili ya maisha Sana jitaidi kumwomba Mungu azidi kukuongezea akili ya maisha zaidi ya ulivyo uwe zaidi ya mo dew na utaweza kwasababu yeye ni mwanadamu Kama wewe kwaiyo jitaidi umuombe Mungu akuzidishie akili ya maisha zaidi kaka
Sir Jeff unani furahisha sana unavyoongea na enjoy sana alafu unaongea fact sana keep it up sir mungu akuongoze mentor
Education is a key of life ❌️
Hardwork is a key of life ✅️
Special knwledge is what matter sio general knowledge .......tunayopewa school
Amen. ✔️
Nilivyokua nasoma post zako,nilidhani utakua jamaa flani jeuri,,kumbe nilikosea sana.All that you talk about is PURE FACTS,video zako zinanifumbua.keep on the hard work mate.
Daaaaaah muhim sana hiii ayseee thanks sana broh
Jeff can you make a video on financial literacy and the books we can read to gain the knowledge not taught in school. Naona umesoma vitabu vingi sana tupe ata top 5 zilizo kusaidia zaidi. Asante.
Asante boss
Ahsante sana bro umenifungua akiri
Thanks for sharing man 👍👍👍.......kwa mtu aliyejijengea tabia ya kusoma vitabu haya mambo hawezi kuyaona mageni sn kwenye masikio yake.....may be ukipata muda tusaidie list ya vitabu ambavyo unaona tukisoma vitafidia gap ambalo limeachwa na Elimu tuliyoipata shuleni.
Richdad poor dad,
Think and grow rich n.k
Ni vzr kaka
mwamba wee ishii.. uko vzur sana bless sanaa🤝🤝🤝
Asante kwa maarifa kaka..
Big brother Jeff good good good good bro maesabu ya fedha
I appreciate for knowledge buddy
Daah this is deep bro!mambo mengi uliyozungumzia hapo yana ukweli sana!We need to change asee especially youth.
Tarehe 13/7/2020 namaliza form 6 na combination yangu ya PCM,,kwenda chuo Mimi itakuwa ndoto
Duuh nimeipata late but thanks
Thanks kaka , i also like hii kaz yako 🔥
asee umenivutia mpaka nimeangalia video zako zote... hakika umenifumbua akili.
#Big up bro tena sana sanaaaaaaa
Doh kwel bwana hizi sabab zote zina mashiko sana JEFF
Nimejifunza vitu vingi sana. Hongera sana nilikuwa naomba mawasiliano yako kunamengi natamani unishauri
Somo zuri sana kwetu @Sirjeff Dennis naamini kupitia mafunzo hayo tutakwenda kubadilika kifikra. Mungu akubariki zaidi na zaidi
Mungu akubariki kwa kutupa haya madini. Naomba muendelezo wa Forex trading mkuu
Sir Jeff it's true about all you have said.
Kabisa Jeff. Mimi degree yangu haikunisaidia chochote. Leo Ni mwaka wa 6 Toka Ni graduate. Nashukuru kupitia TH-cam nimepata ELIMU kubwa Sana. Imenisaidia najivumia kuwa mimi. Na ninabiashara yangu. Nimeajiri watu. Wanafaidika kupitia Mimi. Wasomi tufungue mawazo. Shoshan nimeielewa bro
Nakuwa inspired sana na huyu kaka najuta kuchelewa kumjua
God bless u bro
Mashaalah bro uko na maneno mazuri video zako za nipa nguvu shukran bro
Ahsante kwa kuwakumbusha wasomi maana Elimu ipo ndani yake ukweli mchungu lakin ndo Dawa ahsante kwa Elimu Jeffi
This guy is spitting a very big and sad truth 💯🙌🏻 A massive respect to you sir Jeff
Gonga likes hapa kama unamkubal sirjeff
Congrat sir Jeff
Upo vizuri sana kaka
Ok.nimeipenda.hio.jeff.hio
Mungu akubariki Sana
Bro plz toa kitabu chako combine vitu vyotee ivii kulahisisha walee wotee wapo village areas wapat aya madini 🙌🙌🔥🔥
Naapreciate sana bro.... U ar ma rollmodel
Kaka humu umeuwa balaa big up bro
Mkuu nimekukubali xana una mawazo ya mbali xana ubarikiwe xana mkuu
Sir Jeff je madaktari wakiskia habari zako si watakimbia kazi yao? Nan atatutibu sasa? Nahisi madaktari nao wataenda kuwa wafanya biashara.
Nakubali kk kazi nzuri
Shukran kwa elimu nzuri kaka!!✊🏼
Ambaye anakutukana kaka ni maskin wa damu....nakupenda sn unanibariki
Habari yko brooo..naomba utuelimishe kwenye REAL ESTATE EDUCATION AND HOW CAN SOMEONE BUID WEALTH THROUGH REAL ESTATE ASANTE..I'M WATCHING FROM KENYA...
POINT SANA
Daaaah..Noma Sana Broo..Asee Unatufundisha sana SirJeff
Wanne leo hembu npen like zangu ndio nirnde kwa baba kule merelalani
Kaka ubarikiwe Sanaa
Duuunh hakika kuanzia leo. Mimi naacha kabsa kuendelea Na masomo ya Degree chuoni. Hii elimu ya kidato cha sita na Madini yako Jeff. Zinanitosha kabsa.Nina mabrother wangu wana degree ya MD lakini nipo nao aise kitaani.
Jeff naomba unitafute kwa number hizi:+255625948183 pia unaweza kunitafuta kwa WhatsApp.Wewe Brother ni very genius. MUNGU akubariki sana.
Haf jeff wew umenigusa sana leo kuliko siku zote cjui nitapataje namba yako nataka nikutane nawew uso kwa uso
Kazi nzuri sana ujumbe mzuri mkuu be blessed
Umeongea ukweli mtupu kaka j ubarikiwesana
Mm nakukubali bureeeee😊😊
Be blessed JEFF
Umeisha sana🙏🙏
Ukweli unaoumiza " The truth that hurts "
wasomi kwanza hawapendi kubadirika afupia ni wa binafsi pia ni wabishi
Sawa kaka nakubali kwa asilimia 100
Jamaa anajua sana asee big up brother
Nakuelewa mwalim wetu .
Great message brother
Sirjeff...habari mimi kama mwanafunzi wa Alevel ninapitia wakati mgumu sana kila nikijaribu kuwaelezea wazazi wangu kuhusu mkandamizo wa elimu katika jamii..nina uwezo mkubwa sana katika Computer na nili anza kudevelop website zangu nikiwa form 1 tu...nasio web za kawaida na develop kitu sawaa na qualified devloper lkn wazazi niki waambia hawa amini,sababu Baba yangu amefanikwa kwa ajili ya elimu na ana elimu kubwa lkn hani amini juu ya uwezo wang na kwa sasa shule inanipa wakati mgumu sababu naona sio chaguk langu...🎯Nipo kwenye dillema sijui nifanyaje🤔asante kaka ntaweka hii video yako seblen na kuongeza sauti hadi mwisho ili asikie vizuru🤣🤣👏
Listen show them how is happen but do not be controled buy parent opinion stay with people ar success and find your own way
Asante boss
Nice study
Good boy I like ur inspirations
I understand you brither
you are gifted brother
Thank you brother....you inspire me to listen more of your videos...keep up!! Lazma barak zikufikie keep more of this..🤝
UKO SAHIHI ASILIMIA 80 KAKA KUNA KITU SIJAKUBALIANA NAWEW KWENYE ZERO SUM NA POS SUM GAME NNAVOJUA UTAJIRI UNAHITAJI BOTH POS AND ZERO SUM GAME THIS IS BECAUSE ILI UPATE PESA THERE MUST BE SOMEONE ON THE OTHER SIDE MUST LOOSE THE SAME VALUE YOU HAVE GAINED HIVO BASI UTAJIRI PIA NI ZERO SUM GAME LAKIN PIA ILI UWEZE KUACCUMULATE MORE WEALTHY YOU MUST CREATE PEOPLE WHO YOU CAN JOIN TOGETHER TO ENSURE THAT YOU MAKE MANY PEOPLE LOOSE TO YOUR TEAM AND YOUR TEAM GAIN THE SAME VALUE NAJUA UMENIELEWA HII NI ELIMU AMBAYO SISI STREET GENIUS TUNAIPATA DIRECTLY FROM THE STREETS
I believe in you my brother 👊
Tiiisha Sana mzee
Sema jeff unanifanya niachee chuo keshoo
Hello Una kitabu cha Somo hili please please I need it
Kwer bro bhn
Thank sana kk upo vizuri kk naomba namba yako kk plz
Hii elimu ninaijua tangu niko chuo lakini wasomi wengi wanaipinga
Jeff,nimekujua leo n I lk u.
great talk
Aiseee Jeff hongera wewe umekimbia Mfumo
Natafuta nanamna ya kuukimbia mfumo
BOOOOooommm!!!!!! elimu yenyewe ni ya karne ya 20 stadi za kazi mtoto anafundishwa kuunda ukili mpka leo 2020, umesema kweli vyote.
Salute broh kwa haya madini unatujenga sana
Very Great and Constructive!! This' the future we need!! Naomba bro kupata more info on FOREX..
Nicheki whatsapp 0714132075 I provide Online based Forex training ambayo ipo very effective kwa affordable price..
Ahsante kwa mafunzo.
How to make money..
How to keep money
How to grow money
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Wewe jamaa uko fresh kinyama.
BOOK OF ROBERT KIYOSAKI WHY A STUDENT BECOME AN EMPLOYEE OF C STUDENT
"Think and Grow Rich" by Napoleon Hill, hiki kitabu ukikisoma utapata confidence sana!
Thank u bruh!!!!! Kwa madini
The blessed be you