Me nakusifu kua hela unaijua kuitafuta..hivi hata history ya maisha yako saiv unahadithia kwa hela...big up kutoka kwnye kuku bandani mpaka kufuga watu TH-cam...me mmoja wao hahhaha...imekaa poa sana..salute on you
Mwamba usha ambiwa changanya nazako pambana hizi ni kama hadithi tu tumia juhudi zako mwenyewe sio kwa hadithi na simulizi hizi 💪 ""frankopfranko@gmail.com
👏Good idea! Saiv nina miaka 20 i hope nikifikisha miaka 22 na mm nitaingiza my 100M kwa mara ya kwanza😁 under sirjef instructions,,,,,,,, anaeamin nayeye atafanya hvo give me a thumb👍 and say AMEN🙏.
FpF TV learn more skia bro hamna aliefanikiwa kwenye social network marketing peke ake, ever ever tafuta kote hamna lazima utahitaji msaada sehem flan, na mm sirjef denis ni sehem yang katika kuyafikia malengo yangu.Mtafute hata leo muulize kama alianza peke ake na atamaliza peke ake,,,,nightmare hzo ni hamnaaaaa🙅🙅🙅🙅🙅🙅
FpF TV learn more kwan sirjef ashakuonyesha anamiliki labda magar mangap au majumba ya kifahar mangap au net worth yake ni sh ngap? ila upo hapa unamsikiliza🤔,,,,,,ila poa endelea kunisubir nitakuambia usiwaze kabisa yan.
bro iko poa sana,,iko vizuri sana....shida ni soko broo...turudishe tena kwenye SOCIAL MEDIA MARKETING tuweze kufanya marketing ya kuku zetu ata nje ya nchi inshallah😂🙏
Kaka unafundisha vizuri sana , kama unatak ksaidia vijana wa leo, fungua Telegram grup then watu wajiunge wafaidike na fx kupitia ww. Bt utakuta hapo utaitaj watu wakulipe tena ili uwape signal.😂. Most of Fx traders hawawez kuwasaidia watu kwenye real account but wanawatak kulipia kwanza signal.. Fx ni ngum bt sapot yenu kwa watu inaitajika sana watu wajikwamue
Jeff unaniinspire sana nakufatilia mno kweny social network umenifany niwemsomaji mzuli sana wa vitabu na kutafuta maalifa yasiyopatikana mashuleni kweny account yako ya fb umeisahau sana ila bado unaniinspire na zile picha zako ulizopiga ukiwa shambani semina mbalimbali inshort matukio yote ulioweka mtandaoni nayajua coz u mean great to me and jeff me menatamani nizijue njia ulizopitia kuyapata hayo mafanikio ni
Ninamyaka 17 kaka jeff najihisikuanza biashara palempaka nitakapo fikiamyaka20 nikiwanauwezo wakuingizapesa zaidi yako Nilicoamua nikupitanjiambalimbali mtandaoni kujifunza kwawaliotutangulia nikakumbana navideo yako niliamua kuchukua siku nzim nitakayo ona videozako mpakanivumbue kitu kikubwakutoka kwako tukopamoja sir
Mkuu mimi sija kuhelewa kabisa uli taka kufundisha jinsi yaku tengeneza mll 4 kwa mwezi, ujafundusha chochote, Leo ushatoka uko mill 100 kwa mwaka,broo vip unafundisha au una toa story
Naona mafundisho yako hayana mpangilio, next video uliahindi kufundisha vitu vyakuuza ili uingize 4M leo unaleta habari nyingine mambo ya social media ulishapotezea tena kwa mwenendo huu unaboa subscribers wako pia wanaweza kupotezea channel yako
We kwa mtazamo wako unaona millions 100 Ni nyingi sana kiasi cha kwamba asitafute subscribers, alafu unasema jamaa muongo eti kisa anafanya mahesabu kirahisi bro me nikwambie kama kichwa yako huwa inafanya hesabu za kugawanya kwa nusu saa usiforce na wengine wawe vle wewe upo ndugu yangu, cha msingi we jifunze tu ata kwa kidogo alichopost na sio kubeza mwenzio ndugu yangu!!!....
@@darusngassa4081 wewe Kama unamuamini endelea kumuamini, mi siwezi amini ujinga huu. Anadanganya ili apate subscribers, wewe Kama unamuamini ni sawa, endelea nae
Me nakusifu kua hela unaijua kuitafuta..hivi hata history ya maisha yako saiv unahadithia kwa hela...big up kutoka kwnye kuku bandani mpaka kufuga watu TH-cam...me mmoja wao hahhaha...imekaa poa sana..salute on you
Uko vizuri sirjeff nilianza kukujua uliposhindania Anzisha prize! Nakufuatilia sana! Naomba video kama hii iwe ndefu kidogo
Mungu azidi kukupa nguvu kila cku Jeff kwa moyo wako nzuri wa kutaka kutusaidia vijana wenzako kimaisha Amen
Mwamba usha ambiwa changanya nazako pambana hizi ni kama hadithi tu tumia juhudi zako mwenyewe sio kwa hadithi na simulizi hizi 💪 ""frankopfranko@gmail.com
hehe am waiting to learn TTT shark's strategy... 5K subscribers 🔥🔥🔥
Da jeff nimependa ndoto yako na mafundisho yalo nipo na ww daima nizima faida yako nione ikiniendesha katika maisha yangu
Leo ndio mara yangu ya kwanza kutizama channel yako nimependa video zako unaongea bitu bya kueleweka(motivations)kutoka Burundi I salut
Daaa wee bro uko smart balaaa...
Afu ni presenter mzur balaa umefit 100%
Yani Nakupa Mwaka Mmoja Tu ,, Utakuwa na zaidi ya M600 Tsh
Nakukubali saaana kaka.
Nakuja kasi nyuma yako💥💥
Kuwa makini 👥usije uka mgonga ukaleta ajali,"frankopfranko@gmail.com "
Nipo kwenye DAR ES SALAAM Love your videos
Thanks bro very inspiration sessions
Nakutafta sana brother skupati
Aaah salute jmn hpan imekaa poa iyo
Leo miongoni mwa wa kwanza SirJeff In Demand , Imekaa poa sana
Wow,I am glad tuko wote bro.
Mwamba vip sija kuhelewa umekuwa wakwanza kumuelewa au kupata huo mpunga frankopfranko@gmail.com
@@justinecodez wewe justine wewe, kila fursa upo ,Damu yako haipoi kabisa hahahaha
👏Good idea! Saiv nina miaka 20 i hope nikifikisha miaka 22 na mm nitaingiza my 100M kwa mara ya kwanza😁 under sirjef instructions,,,,,,,, anaeamin nayeye atafanya hvo give me a thumb👍 and say AMEN🙏.
Oy labda kwa juhudi zako mwenyewe sio kwa hadithi na simulizi hizi 💪💪💪
FpF TV learn more skia bro hamna aliefanikiwa kwenye social network marketing peke ake, ever ever tafuta kote hamna lazima utahitaji msaada sehem flan, na mm sirjef denis ni sehem yang katika kuyafikia malengo yangu.Mtafute hata leo muulize kama alianza peke ake na atamaliza peke ake,,,,nightmare hzo ni hamnaaaaa🙅🙅🙅🙅🙅🙅
@@sachyempire5562 Mwamba sawa sikupingi komaa hila kitu kimoja ukifanikiwa ujeunikumbushe unacho sema kama nikweli Mwamba ""frankopfranko@gmail.com
FpF TV learn more kwan sirjef ashakuonyesha anamiliki labda magar mangap au majumba ya kifahar mangap au net worth yake ni sh ngap? ila upo hapa unamsikiliza🤔,,,,,,ila poa endelea kunisubir nitakuambia usiwaze kabisa yan.
@@sachyempire5562 Mwamba sawa sikupingi komaa
This man is guru
Super bro. Thanks🙌
Dah. Hii ilikuwa tamu na zuri sana ila imeisha mapema
Ihungo genius...salute
True. No short period of time in getting rich
bro iko poa sana,,iko vizuri sana....shida ni soko broo...turudishe tena kwenye SOCIAL MEDIA MARKETING tuweze kufanya marketing ya kuku zetu ata nje ya nchi inshallah😂🙏
Hongera umetisha sana
Oooh bro Kanembwa nimepiga pale
Umetisha mbaba! Haya wale wapenzi wa mazoezi kuna video za mazoezi pitia hapa
Bukoba we here🙌🙌
Kaka unafundisha vizuri sana , kama unatak ksaidia vijana wa leo, fungua Telegram grup then watu wajiunge wafaidike na fx kupitia ww. Bt utakuta hapo utaitaj watu wakulipe tena ili uwape signal.😂. Most of Fx traders hawawez kuwasaidia watu kwenye real account but wanawatak kulipia kwanza signal.. Fx ni ngum bt sapot yenu kwa watu inaitajika sana watu wajikwamue
Thanx bro✊
Duh na mm nmesomea ihungo nikaenda kanembwa nipo chuo dsm baraka kujua forex ina operate vp
Jeff unaniinspire sana nakufatilia mno kweny social network umenifany niwemsomaji mzuli sana wa vitabu na kutafuta maalifa yasiyopatikana mashuleni kweny account yako ya fb umeisahau sana ila bado unaniinspire na zile picha zako ulizopiga ukiwa shambani semina mbalimbali inshort matukio yote ulioweka mtandaoni nayajua coz u mean great to me and jeff me menatamani nizijue njia ulizopitia kuyapata hayo mafanikio ni
Mwamba subira hapo hapo uzidi kuwa interested Jeff
Nataka kujua zaidi kuusu forest na sipo tanzania
my name is jeffdenis too
Hii iko powa kaka nakuelewa ila nilihitaji no yako ya wattsap
bro vp kuhusu social marketting. i want that pliz.
Great content! Much love from Uganda
Calculator hamna hasara bro ingia kwenye real market utataman kulia
Tufundishe soshomedia market mkuu
Naona ulitaka kushika kiuno hapo mwanzoni ...haahha😀😀 ila makini sana mzazi
Hhhaahh we mwamba daa hhhhah
Ninamyaka 17 kaka jeff najihisikuanza biashara palempaka nitakapo fikiamyaka20 nikiwanauwezo wakuingizapesa zaidi yako
Nilicoamua nikupitanjiambalimbali mtandaoni kujifunza kwawaliotutangulia nikakumbana navideo yako niliamua kuchukua siku nzim nitakayo ona videozako mpakanivumbue kitu kikubwakutoka kwako tukopamoja sir
Safi sana kijana ,
Show Kali ✊
Mwamba ukovizuri hii ni show sio Elimu
Dah ihungo waoh ,,so tumepishana I think dah nmefurai tu kuskia then kwamba ulkua ihungo
Asee me nlikua kahororo f5 2008
Ontario katika ubora wake
Nakbli braza somo tamu
Kiukweli si rahisi Kama hivyo unavyofikiria bro.
High intelligent
Mbona mpaka ue mfanya biashara mzoefu, kwaio unae anza kua mzoefu kwanza
Sir Jeff tunakupatajee ili tujifunze zaid?
inawezekana kabisa.. na kweli mafanikio huchukua muda!
True Story Man 🔥🔥🔥🔥
Great
Aisee
Dah kuna wahuni wamekuja kudislike hii post
Fresh
❤❤
Muendelezo plz
Thanks bro
Bro Sj tumefika sasa 5k tunaomba ayo mafunzo ya forex
😂😂😂uyu jamaa muongo cjawahi ona
Elimu makin sana kaka
Mkuu mimi sija kuhelewa kabisa uli taka kufundisha jinsi yaku tengeneza mll 4 kwa mwezi, ujafundusha chochote, Leo ushatoka uko mill 100 kwa mwaka,broo vip unafundisha au una toa story
Anataka view
Kama kweli hanataka kutoa Elimu afundiishe mada moja mpaka mwisho,
FpF TV learn more dar mwamba uko sawa
Unaogea pumba tu mm nilikuwa nakuona mjanja kumbe huna chochote wahaya kwa sifa
Ameshaitengeneza 4 dayz ago,check channel yake.
Nimekuelewa mkuu
That's good bro.
Uliipotezaje kaka ili na sisi tusipoteze
Alitapeliwa mzgo wa kuku kama 4000 ivi
Story teller
Thx bro
Bro Instagram unaitwa nan?
sirjeff
me nlikula nlivyoo toka skull
Habar mim natak broker aliekua mzr na mm natak nimpe mtaji wang tuengeze biashara aliekua tyr anifuate au nijuulishen nimfuate
Naomba namba zako za whatsapp
Hamna kitu hapa million 100 ya kuchora, ungehangaika na ka account ka youtube sasa😂😂
Good
Shark TTT
Kajamaa janja janja nyiingi
💪🏼
Naona mafundisho yako hayana mpangilio,
next video uliahindi kufundisha vitu vyakuuza ili uingize 4M leo unaleta habari nyingine
mambo ya social media ulishapotezea tena
kwa mwenendo huu unaboa subscribers wako pia wanaweza kupotezea channel yako
Give the boy a chance, ni mtu amejitolea and along the way he is learning. You can teach him instead of ridiculing him. Thank you and stay blessed
Uctazam yana mpangilio au la angalia unaelimika na hilo ndio leo broh#jeffisim
Kumbe!
🙏
Hivi umeingiza million 100 halafu unatafuta subscribers. 😂
We kwa mtazamo wako unaona millions 100 Ni nyingi sana kiasi cha kwamba asitafute subscribers, alafu unasema jamaa muongo eti kisa anafanya mahesabu kirahisi bro me nikwambie kama kichwa yako huwa inafanya hesabu za kugawanya kwa nusu saa usiforce na wengine wawe vle wewe upo ndugu yangu, cha msingi we jifunze tu ata kwa kidogo alichopost na sio kubeza mwenzio ndugu yangu!!!....
@@darusngassa4081 wewe Kama unamuamini endelea kumuamini, mi siwezi amini ujinga huu. Anadanganya ili apate subscribers, wewe Kama unamuamini ni sawa, endelea nae
@@darusngassa4081 anakwambia million Mia Moja ni rahisi Sana😂 endelea kumsikiliza utapata hiyo million mia Moja kwa hesabu zake
Huyu jamaa muongo Sana. We unafanya mahesabu kirahisi hivyo we jamaa😂 Aisee endelea kuchukua subscribers
Motivational speakers characters
Kwel huyu anataka subscribers na views maana huwez kupgia faida tu tusione mchanganuo wa gharama za uzalishaji
Bruv so loving yo all process meen
Imetiki
Tupe sa strategy za Forex tufanye kazi km wewe
Wewe ndo umeomb kitu kizur, Bro atusaidie sisi chipkiz wa fx twend sawa.
Poa sana
100 million 😳😳😳😳 acha masihara🤣
TRA wamekusanya kodi ya PAYE???
Nisaidie namba zako za simu mi zangu ni 0652063310
Acha uongo kmmke eti milion 100.... sub hupati ivyo pany ww
Shark
Unaongea sn huna lolote
Good
Poa sana