HISTORIA INA MUUJIZA. Ust. Ilunga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Matukio yanayopita katika maisha ya Mwanadamu hutengeneza historia na katika historia hiyo kuna mambo muhimu yakujifunza yaliyokaa kama muujiza.
    Ni mambo gani hayo? Fuatilia darsa hii hadi mwisho, Innsha Allah.
    • HISTORIA INA MUUJIZA. ...

ความคิดเห็น • 12

  • @ismailjumanne1609
    @ismailjumanne1609 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah atakulipa Kwa kutupia video za kuchangamsha bongo

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  2 ปีที่แล้ว +1

      Allahuma Aamin

  • @guledomary2812
    @guledomary2812 2 ปีที่แล้ว +2

    TUnamuomba Allah akujaalie janatul Firdaus amiyn yarabil alamin 🙏

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  2 ปีที่แล้ว

      Allahuma Aamin

    • @rahimbukutu6866
      @rahimbukutu6866 ปีที่แล้ว

      Amiin InshaAllah, Awe katika pepo pamoja na Wazazi wetu walio Tangulia

  • @abdullasleiman796
    @abdullasleiman796 ปีที่แล้ว

    allah akusamehe dhambi zako

  • @omaryramadhani6664
    @omaryramadhani6664 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Khalifa miongoni mwa makhalifa wanne aliyeuwawa na swahaba mwenzie.
    Allah Atusamese sote sisi na yeye.

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnatubania sana. Weka vdeo nying sana sana Za huyu shekhe.

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  2 ปีที่แล้ว +1

      Tunajitahidi kuzitafuta na kuzipanga ili ziweze kuingia kwa vigezo vya TH-cam.
      Hivyo, inatuchukua muda kidogo.
      Tuendelee kufanya subra na kuombeana dua za kheri ili Da'awah iendelee.
      @HudatzTv
      Maarifa kwa Wote

  • @ngogedecoration3649
    @ngogedecoration3649 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi shekhe ilunga hana vitabu alivyovichapisha?

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  2 ปีที่แล้ว

      ILUNGA hakuwahi kuandika wala kuchapisha Vitabu. Sheikh Mohammed said NDIYE ameandika Vitabu Vya kuzungumzia harakati za Ust. Ilunga. Vitabu vinapatikana duka la IBN HAZMI mkabala na Msikiti wa Mtoro DSM.

    • @ngogedecoration3649
      @ngogedecoration3649 2 ปีที่แล้ว

      @@Hudatztv sawa vitabu vinavyozungumzia shekh ilunga na harakati zake vinaitwaje?