ASKOFU KAKOBE -NYERERE SIO MUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @abinussamba6500
    @abinussamba6500 8 ปีที่แล้ว +1

    ukimsikiliza vizuri utamuelewa, siku zote mtu kama utaki kujifunza na kuambiwa ukweli utakuja hapa unaanza kejeri, ila kwa Mtumishi huyu ukimkejeri ndo anakazia kukwambia ukweli. tena huwa anafanya utafiti wa kutosha, kama mtu hamjui Kakobe bora asikoment

  • @ibrahimmusa6633
    @ibrahimmusa6633 9 ปีที่แล้ว

    Askofu unashangaza sana ikiwa unajaribu kuwakosowa mitume wa Mungu Hivi ww na mitume Nani bora.. pili hakuna mtu Hata awe taira vpi ati anaweza kumfanya nyerere kuwa Mungu hayo ni mawazo yako punguwani acha kutafuta maslahi ya Tumbo... Kwa kubuni huwo wako ni utapeli wa waumini wako kupitia mawazo... tatu.. hebu fanya kupitia hotuba za mwalimu nyerere Kwa umakini aliwahi kukiri mwenyewe kuwa Hata wao walifanya makosa katika Utawala wao... na akasema la ajabu viogozi wasasa wanaacha Yale ya msingi nakubeba yasiyo ya maana... na Hilo alilikemea... sana... hakuwa mungu lakini ana busara na hikima ambapo hata wewe askofu naona umekosa busara... na.. hikima. Hakuna Hata siku moja aliwahi kuingiza siasa na dini maana Ana uwelewa mpana nashangaa wewe Leo usio wahubiria waomini kumtambuwa Mungu wao wamuongelea nyerere aliyetangulia mbele za haki... Hebu Mpe heshima yake kama mkombozi wa Wafrika anastahili sana.... Pamoja nawakombozi wengeni.... wa bara la Afrika... kila mmoja Mungu kampa cheo chake yeye mwanasiasa na wewe askofu.... kwahvyo wewe fanya yako.... HAYO NI MAONI YANGU SIKUNUWIA KUMUUDHI MTU...

  • @shedrackringia354
    @shedrackringia354 8 ปีที่แล้ว +1

    ni kweli kabisa wapo watu wanaotaka kumfanya Nyerere kuwa Mungu; washindwe...Nyerere hawezi kuwa Mungu.ubarikiwe sana Askofu Kakobe

  • @thejoeclassicsoldier
    @thejoeclassicsoldier 7 ปีที่แล้ว

    KWELI mzee nimekuelewa

  • @shedrackringia354
    @shedrackringia354 8 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe sana Baba Kakobe kwa mafunuo ya neno la Mungu hakika anayeidai Tanganyika ana Mungu ndani yake

  • @selleumwannda2064
    @selleumwannda2064 8 ปีที่แล้ว

    jamani zamani kulikuwa akuna dini kumbukeni