HATUENDESHWI NA KAULI ZAKO WEWE KINANA :MAJIBU MAGUMU YA DR. WILBROAD SLAA KAULI ZA KINANA WA CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @EsterYohana-ix7ii
    @EsterYohana-ix7ii 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mpendwa wetu dr slaa kwa kumweleza huyu kibaraka wa kiongozi wetu anafikiria kufanya hivo ataweza kulinda masilahi yake binafsi naamini amekusikia

  • @user-qi6ql1lp9k
    @user-qi6ql1lp9k 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mzee upo vizuri na mbona alijiuzulu wakati wa magufuli

    • @davidchihimba9489
      @davidchihimba9489 4 หลายเดือนก่อน

      Tunataka vita kabisa sio maanadamano waache usenge hao

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 4 หลายเดือนก่อน

    Maua yako Dr. Slaa Mungu akuongezee miaka ya kuishi. You will be in the best example and good history in Tanganyika. You will be remembered with many the wonderful legacy you will leave. Wewe Kinana na wenzako mtafanya hata CCM kupotea na kutaka isisike ikiongelewa kwa sababu kuwa watu kama ninyi.

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b 3 หลายเดือนก่อน

    asanteni sana wanaemchuki Dr silaa ninyi wachache sana amtafika 10 tunaemuunga mkono sisi ni wengi sana

  • @user-qv4jb7mt5q
    @user-qv4jb7mt5q 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli kabisa Baba, aliyozungumza Kinana ni propaganda tuu.

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana dr Slaa kwa kumpa makavu huyu kibabaraka wa CCM anayetumika vibaya na CCM pamoja na uzee wake wote watanzania wa sasa tuko makini sana huwezi kutudanganya hovyo mmechanganyikiwa na hiyo CCM yenu ambayo inakataa katiba mpya bila kufikiria kesho iliyo bora kwa taifa letu na watoto wenu na vijukuu vyenu mmejisahau nakifikiri mta dumu milele

  • @mosesntamahungiro4995
    @mosesntamahungiro4995 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera saaana mzee

  • @user-lq8mi3zz2c
    @user-lq8mi3zz2c 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana Balozi

  • @AlexChawe
    @AlexChawe 4 หลายเดือนก่อน +2

    Upo sahihi yule Mzee kinana aliumizwa na magufuri lkn hajifunzi tu Atatokea Magufuri mwingine amuumize kwa katiba hii hii shenzi

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b 4 หลายเดือนก่อน

    asante sana Dr silaa saaita tukaze mikanda kupambana na serekali dhalimu ya CCM ya Samia na kinana na kikwete atumtaki akae mbali na chadema asituambie porojo za Samia tunataka utawala wa mikoa ARUShA mbona tuletewe mkuuu wa mkoa wananchi tunataka tupewe mashamba ❤

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee mnafiki sana wewe wakati umepewa ubarozi na magufuli hukukataa ukaufyata

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 4 หลายเดือนก่อน

      Ubalozi na hayo anayoongea vinahusianaje?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 4 หลายเดือนก่อน +2

    Watanganyika tutarudisha siku moja kila walichoiba na kila walicho uza. Ukifika majengo ya Urafiki mzalendo mtanganyika utatotoa machozi. Ninyi wakina Kinana na Wakina aina na Nape wasiyo jitambua ninyi mnataka kujitaburisha ya kujitajirisha mnadhani mtatawala Watanganyika kwa sababu ya kuiba mali zote za Tanganyika. Mkisimama kuongea mbaongea kana kwamba miungu. Watu kama wakina Kinana wao wanaangalia kuiba mali hizi za Tanganyika na ndiyo legacy utakayoiacha Tanganyika na kukumbukwa kwa jinsi mlivyoibia Inchi is this the legacy you want to leave in Tanganyika?

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉 big point ipo itafika

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 หลายเดือนก่อน +3

    Katibq ni haki ya Watanzania wote wanataka siyo Vyama vya upinzani tu tu hata wana ccm wenyewe wanaokataa ni majizi

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 4 หลายเดือนก่อน

    Mambo huwa yanageuka mliko nyinyi usije ukaona tunabadilishana mliko tukawa sisi tuliko sisi mkawa nyinyi kama unamwamini mungu.
    .

  • @user-rg1wy6ft5l
    @user-rg1wy6ft5l 3 หลายเดือนก่อน

    Usiseme mali za Tanzania sema mali za Tanganyika hapo Zanzibar haihusiki

  • @jacobndogoro4572
    @jacobndogoro4572 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndiye Dr Slaa

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni ccm kadi yangu nilichukulia tawi la ukonga magereza..lakini maneno ya katiba ni la zima kwa sababu pension zetu wazee wote hazijawahi ongezwa tokea mwaka1994 hadi leo ndiyo maana tunaunga mkono maandamano sipo peke yangu ni wasitafu wote pamoja na polisi waliyo sitafu nawo wanashida kifetha kama mimi.

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 4 หลายเดือนก่อน +10

    Katiba mpya ndio dawa pekee!

    • @WillfredyMollel
      @WillfredyMollel 4 หลายเดือนก่อน +1

      Katiba. Ndio mwokozi. Was kilakitu

    • @justinnoah4590
      @justinnoah4590 4 หลายเดือนก่อน

      dawa ya nini

    • @oss6689
      @oss6689 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa shida na matatizo yote inchin

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@justinnoah4590wewe ni hamnazo, punguwani au chawa?

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 4 หลายเดือนก่อน

      TANGANYIKA yetu tunaitaka.

  • @reubenmobe9294
    @reubenmobe9294 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kinana meli yake ilikamatwa na meno ya tembo hivyo CCM ndy inatoa katiba yy nimungu wa nchi maisha magumu yy haya mugus maumivu hayajui analalia fedha anakula fedha hajawahi kulala njaa kutembea kwa miguu hajui hata duka la dawa chawa huyo

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unasikia kichefuchefu kusikia sauti ya Slaa wewe mwenyewe matapishi tu

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 หลายเดือนก่อน +2

    Katiba mpy nisasa

  • @aliabdulrahman1202
    @aliabdulrahman1202 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wakati wa 2015 to 2020 kulikuwa hakuna katiba kuhusu mikutano mbona hamkuandama so kwenye katiba mnayo itaka mpya neno la mikutano ya mihadhara itafutwa ama itaboreshwa

    • @yapukahassan
      @yapukahassan 4 หลายเดือนก่อน

      Katiba mpya si ya Silaa wala mbowe hata wewe inakuhusu

  • @bensonkaduvage9549
    @bensonkaduvage9549 3 หลายเดือนก่อน

    Kinana and the rest of them under the CCM banner ni wachumia matumbo, they operate under the principle of "the end justifies the means" hata kama ni kuuwa watu ili kuwanyamazisha au kuwatisha walio wengi.

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kinana ni mjinga nizeee ambalo halijitambui sawa na lizeee Lile la bunda

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 4 หลายเดือนก่อน +1

    Katiba mpya ni sasa, wananchi tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, Kinana na kelele zake za upotoshaji zitafika mwisho kwenye sanduku la kura.

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 4 หลายเดือนก่อน

    Allymusilaa elimu kisiyasa huwezi kuchalenji dr

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 4 หลายเดือนก่อน

    Tunawashukuru Sana mnaotuongelea watanzania. Kiukweli tinaumia Sana. Sana msione hatusemi. 😭😭😭 Na kama Rais Tena tunaambiwa unakuwa na Rais kivuli. Kwakweli hamtutendei haki.

  • @yahyawatuta3902
    @yahyawatuta3902 4 หลายเดือนก่อน

    kwanini unasema SISI watanzania? aliekutuma useme kwa niaba ya Watanzania wote nani? sema "mimi na wenzangu tuseama,......"

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwenyewe ni muongo lisu amesema kuwa umehongwa na magufuli kwa hio wewe ni mnafiki tu

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 4 หลายเดือนก่อน

    Vipande hivyo vya maneno kinana anavisikiaaa.atusaidiye wezi wa pembe za ndovo wakamatwe.

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee Slaa jibu hoja

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 4 หลายเดือนก่อน

      Hoja gani ajibu ?
      Jibu wewe hoja😂

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 4 หลายเดือนก่อน

      Shida ni kukaririshwa, hoja ipi unamtaka ajibu zaidi ya anachoongea? Ebu tuorodheshee hizo hoja ambazo unahitaji zijibiwe!

    • @user-lw3tg3yg5b
      @user-lw3tg3yg5b 4 หลายเดือนก่อน

      Jugs kama juha wewengine lipid ambacho binaries loosens Silaa?

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwamba nika kocha wa siasa namkubali sana

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s 4 หลายเดือนก่อน +3

    kinana mbona wakati wa magufuri ulijiuzuru

    • @sebastiansalamba313
      @sebastiansalamba313 4 หลายเดือนก่อน

      Hata Mimi nastaajabu,wanaccm watesi wa jpm Leo mhuuuu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu kinana ni jangili la rasilimali zetu

  • @fauzseif7344
    @fauzseif7344 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani katiba au uchaguzi ni wako? Wala huwezi kupeleka jambo kwakua sliaa au chadema kwani ccm sio watanzania acha unafiki

  • @user-wl6zs4sf5p
    @user-wl6zs4sf5p 4 หลายเดือนก่อน

    Katiba mpya ni Sasa bila hivyo tutauzwa bila kuoji Chochote

  • @ThomasMselle-rw5ej
    @ThomasMselle-rw5ej 4 หลายเดือนก่อน

    Nasikia kichefuchefu kusikia jina la huyo mzee wa ccm. Ni CD iliyo kwaruzika na kuoza. Hajasafisha jina lake wao na Makamba Yusufu wanajitutumua hawajitambui hawaoni hawasikii ni vipofu na viziwi MUNGU atatumia wananchi wawahukumu muda c mrefu watajificha

  • @knight6757
    @knight6757 4 หลายเดือนก่อน

    Wa Tanganyika!!

  • @alwatanalgilgilan-y3078
    @alwatanalgilgilan-y3078 4 หลายเดือนก่อน

    Hili zee lina angalia tumbo lake tuu. Haifai kuwa kiongozi, aliwatosa wenzake kwa kurubuniwa balozi. Huna maana yoyote kesho ukipewa fupa unageuka

  • @MussaSuleiman-ui9fy
    @MussaSuleiman-ui9fy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe slaa huna heri unatumia vibaya uhai wako

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      Muulize huyo kinana yale meno ya tembo alitoa kwenye nchi gani kama sio rasilimali zetu anajaza tumbo , yeye ni maviii tuuu

    • @user-ly3yy8iv9z
      @user-ly3yy8iv9z 4 หลายเดือนก่อน

      Pumbavu zako ujinga ume kupanda kichwani

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 4 หลายเดือนก่อน

      Mawazo mazuri MUNGU ambariki do slaa.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 4 หลายเดือนก่อน

    Zilongwa mbali zitendwa mbali,aibu aibu aibu twendeni na amani sio haki

  • @hepsonmboka6776
    @hepsonmboka6776 4 หลายเดือนก่อน +2

    Umeshakubali ujingaa wa kuzidi kumpaisha Kinana 😂

  • @user-ly3yy8iv9z
    @user-ly3yy8iv9z 4 หลายเดือนก่อน

    Wambiye ukweri mzee wabusara

  • @JamaliAmour-jp9dd
    @JamaliAmour-jp9dd 4 หลายเดือนก่อน

    Doctor slaa ulikua wap vitu hivi ukiwa balozi huko canada mbn watu huwa tunakua wanafk sis huku hatukutk

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 4 หลายเดือนก่อน

      Kila wakati Kuna nyakati zake.tumuache slaa atuelimishe.kwenda ccm sio jinai,kukaa ccm ndio laana.

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru หลายเดือนก่อน

      Kwani wakati akiwa balozi bandari na misitu na KIA iliuzwa???????

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu kinana hajuwi kuwa tunashindwa kumshitaki raisi Kwa sababu ya katiba

  • @user-rw7ww2yd7i
    @user-rw7ww2yd7i 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza wewe Mzee unatakiwa utuambie vizuri mana ulisema chadema ni watekaji

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 4 หลายเดือนก่อน

      Jibu hoja zake. Usijifanye kichaa. Hajazubgumzia Chadema.

    • @user-lw3tg3yg5b
      @user-lw3tg3yg5b 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe musta ndoto za mchana media wapi amesema chadema nenda shule ili upanue uwezo wa kuelewa

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 4 หลายเดือนก่อน

    Shida ni kuwa Hana sapoti walio wengi wanajali matumbo yao hebu angalia rasilimali zetu zilivyouzwa kumbe Hadi viwanja vya ndege?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 4 หลายเดือนก่อน

    Kama ni kuiba hajachoka kuiba? Wataiibia hii Inchi mpaka lini? Wewe Kinana ni nani? Hata ukiendelea kuuza siku moja uatashindwa kwanza Mungu ameisha kukulaani unazeeka ovyo.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona tunaumia woote

  • @sekrommbaga6234
    @sekrommbaga6234 4 หลายเดือนก่อน

    Unafiki mtupu kipindi cha magufuli ilikuwa wapi

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 4 หลายเดือนก่อน

      Wakati wa Magufuli alikuwepo lakini hakuna bandari iliuzwa. Au wewe hukuwepo? Tumiaga akili aisee. Acha kuhemka. Magufuli alikodisha bandari?

  • @davidchihimba9489
    @davidchihimba9489 4 หลายเดือนก่อน

    Safi mwehu tu huyo anafikiri hatumjui aende kuleee mbona alimkataa magufuli hadharani akasema amechoka kufanya kazi anataka afanye kazi na majambazi wenzake ndo anaona raha

  • @aliabdulrahman1202
    @aliabdulrahman1202 4 หลายเดือนก่อน

    Maneno mengi karibu na kura huyo anarudi nyumbani ndio unaaambiwa nyumba ulio izoea kuehama kazi

  • @EmmanuelHMosha
    @EmmanuelHMosha 4 หลายเดือนก่อน

    Natamani hawa wazee wasiiache hii Dunia kabla fikra zao hazijafanyiwa kazi.

  • @leonardsebunga7187
    @leonardsebunga7187 4 หลายเดือนก่อน

    Hata wewe unatoa kauli ya kutushirikisha kwamba watanzania wanataka ilihali sisi hujatushirisha kama mwenzio unaemjadili

  • @Ba63828
    @Ba63828 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani CCM ndo tunaendeshwa na njaa zako? Wewe mzee kaa huko.

  • @fauzseif7344
    @fauzseif7344 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee kaakimya ulikua unakula za ubalozi ulitulia tuli acha wakati wako umekwisha wa kupiga kelele saahizi tunakusikia ka king ,ora tu

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru หลายเดือนก่อน

      Magufuli alilinda rasilimali zetu ulitaka ampinge

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 4 หลายเดือนก่อน

    Waliopiga makofi ni mkusanyiko wa wachache na sio wananchi wote, Ili kusudi waamini maneno yake ya propaganda! Hawa ndio wanaotupumbaza na kutuondoa kwenye misimamo yetu wananchi kusudi wajitengenezee njia tuwape ridhaa,waendelee kutufanya watumwa!! Wananchi tunaojitambua tusikubaliane na hotuba zao,kauli mbiu zao,wala ahadi zozote ni uongo wa kisiasa tu...

  • @davidchihimba9489
    @davidchihimba9489 4 หลายเดือนก่อน

    Bora tuwe kama congo tu congo sio wajinga bana acheni usenge

  • @NyorokaNyenge
    @NyorokaNyenge 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee busala zinaenda zinaisha.

    • @twallibmangu8479
      @twallibmangu8479 4 หลายเดือนก่อน

      Hivi huyu Mzee Salaam Hana shughili nyingine ya kufanya. Yeye Kila kituni kubisha tu😂😂

    • @twallibmangu8479
      @twallibmangu8479 4 หลายเดือนก่อน

      Nina maana ya Silaa siyo salaam

    • @dishannyanginywa
      @dishannyanginywa 4 หลายเดือนก่อน +1

      Silaa anajitambua shida ipo kwako.

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru หลายเดือนก่อน

      Twalib kwa comment yako unadhihirisha elimu na ufahamu wa kuchanganua mambo ni mdogo nakushauri utafakari usikilize hoja kabla ya kujibu

  • @user-ud4rk1vw7l
    @user-ud4rk1vw7l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Babu umefiska kiakili umefilisika kifedha Rais Samia hatokuita hata siku Moja kuchukiwa bahasha hata unachokisema hakieleweki . Rudi kanisani ukahubiri dini .

  • @gabrielmwikanu1160
    @gabrielmwikanu1160 4 หลายเดือนก่อน

    Wilbrod Slaa ni king'ang'anizi asiye jitambua.
    Anatamani arudi utotoni.
    Muda wako umeisha

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      Kinana ni jinzi lonaloitafuna nchi hii na kinganganizi wa madaraka kwa maslahi yake jangili lishenzi

  • @SandeMoshi-yu4tb
    @SandeMoshi-yu4tb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie wanasiasa tumechoka na nyie sasa... Inch inakabiliwa na majanga kibao wala hatuelewi nini cha kufanya. Na nyie mnatupigia kelele tu. Badara serikal viongozi mkae mjadiri njia za kutatua majanga yanayo ;ikaBIRI inch.

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 4 หลายเดือนก่อน

    Pupets kama malaya kama chama upinzani unateuliwa na chama tawala unafki,siasa ya kwetu tunaijua cuf mlisema chama cha waislam wanafki ,raia wanataka mapinduzi ila bado hatutaki siasa za ukabila udini sasa hv kuna utajiri na umarufu,utawala wa manyani ndio mana tumetoka utumwa wa mabavu tunaenda utumwa wa akili..

  • @zachariamalley7076
    @zachariamalley7076 4 หลายเดือนก่อน

    Unamwambia anyamaze mwananchi mwenzako, wewe vipi ndo umetupa ardhi, madini , bandari, ndo maana unazungumza, kwisha logic kbs kalee wanukuu ndugu yangu.

  • @zachariamalley7076
    @zachariamalley7076 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hebu tuambie ulipoteuliwa balozi Katiba ilikuwa nzuri hadi pale ulipotengiliwa ikaanza kuwa mbaya 😅😅😅. Acha kupiga kelele za njaa, nenda ikulu kaombe kibarua ya kuganaga njaa, kama ulivyofanya, ukapewa ubalozi

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 4 หลายเดือนก่อน

      Hv ukimsikiliza unaona ni njaa inamsumbua hakuna anachotetea? Hakuna kwa akili zaa namna hii tutaendelea kurudi nyumba kimaendeleo kweli huoni athari ya kuuzwa kwa rasilimali za Taifa? Haya mswala hayahitaji shule ni kiwango chako Cha kufikiria vinginevyo uwe umeathirika akili

    • @zachariamalley7076
      @zachariamalley7076 4 หลายเดือนก่อน

      @@madaiincubationcenter4947 ukipewa unaingia uvunguni kutafuna. Hana jipya unayeona kuna jipya kajicheleweshe

    • @zachariamalley7076
      @zachariamalley7076 4 หลายเดือนก่อน

      @@madaiincubationcenter4947 anayeona mapya anayozungumza akili zimedumaa kabs. Katiba, bandari, maandamano yote yanafanyiwa kazi kipi kipya hapo kama c udumavu akili?

    • @bahatikamihanda3689
      @bahatikamihanda3689 4 หลายเดือนก่อน

      Kama ni kweli bandari katiba na maandamano vinafanyiwa kazi, unadhani ni kwa kwasababu ya Watanzania makondoo au kwasababu ya watanzania wanaojitambua wanao piga kelele?

    • @zachariamalley7076
      @zachariamalley7076 4 หลายเดือนก่อน

      @@bahatikamihanda3689 kama huna taarifa bandari tayari maboresho yamefanyika na uwekezaji imeanza subiri neema. Maandamano yameruhusiwa wameshandamano mpaka office ya umoja wa mataifa na mikoa kadhaa hapa nchini hakuna cha maana, wamesusiwa mfano Manyara na mwanza, wananchi wameangalia na kuendelea na shughuli muhimu kw maisha Yao, badala ya porojo za kimaslahi ya kisiasa, Katiba tunayo kikosi Kaz inayohusisha vyama vyote, mapendekezo Yao yamepokelewa n yanafanyiwa Kaz kwa taratibu za kisheria, kanuni za nchi. Kipya Kiko wapi hapo? Wewe kutojua hayo haimanishi wananchi wote hatujui kama wewe, watu wako makini sana na wachambuzi wazuri, wenye kumbukumbu safi.

  • @GavyoleJonas
    @GavyoleJonas 4 หลายเดือนก่อน

    Waliompigia makofi kinana ni wale masikini,watu njaa,wasio na akili,chawa wanaoitwa wajumbe ccm kutoka kwenye wilaya ambao ukienda kwao wanamaisha magumu,wajinga wenzake

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 4 หลายเดือนก่อน +1

    WEWE MWENYEWE MPOTOSHAJI NA NDUMILA KUWILI ...YAANI WEWE UNASHINDWA KUONGOZA TAASISI NDOGO KABISA KAMA KANISA KISHA UNATAMANI KUIONGOZA NCHI??? HUNA LOLOTE NI NJAAA TU..M

    • @AugustinoPeter-rn9bn
      @AugustinoPeter-rn9bn 4 หลายเดือนก่อน

      Ana njaa gan ?lkn nakilina Mimi ana njaa ya haki

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 4 หลายเดือนก่อน

    Slaa amebarikiwa, wenye hekima pekee wanamwelewa!

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @zachariamalley7076
    @zachariamalley7076 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazaneni na Katiba, ambayo tayari mchakato wake unaendelea wananchi wameridhia isipokuwa wewe

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio ulioridhika na sio wananchi soma comment ujitambue

    • @zachariamalley7076
      @zachariamalley7076 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 🙌🙌

    • @zachariamalley7076
      @zachariamalley7076 4 หลายเดือนก่อน

      @@MiriamAbdallah kuna tofauti ya kuridhika na kuridhia? Kama hamna wewe mwerevu.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      @@zachariamalley7076 sawa wewe ndio ulioridhika usitusemee wengine sema wewe

  • @aliabdulrahman1202
    @aliabdulrahman1202 4 หลายเดือนก่อน

    Chadema watapigwa na kitu kizito hawakomi wanajiona wamepata mtu wamaana kumbe ana mambo nje ya pazia

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru หลายเดือนก่อน

      Atakuwa ameshawaelimisha wengi LAKINI kwa sababu katiba mpya ina manufaa mapana sana sana kuliko unavyodhani wewe hujazunguka Tanzania uone wananchi wanavyomiliki ardhi ndogo tena kwa mashaka na uone wageni walivyo na ardhi kubwa wamezungushia wire za umeme na sehemu kubwa hawaitumii