ASKOFU GAMANYWA ATOBOA SIRI ZA MAGUFULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #magufuli #makonda #hapakazituu
    Ungana na Bishop Gamanywa kupitia / bishopsylves. . Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...www.youtube.co....
    KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. / shalomtvonline

ความคิดเห็น • 34

  • @barnabasmboya7688
    @barnabasmboya7688 4 ปีที่แล้ว +10

    Askofu umeongea kwa hekima ya Ki-Mungu. Tumuombee sana Rais JOHN MAGUFULI

  • @medardtaligilsa8938
    @medardtaligilsa8938 4 ปีที่แล้ว +5

    Walio nuruni ndo wanatambua maono mazuri ya Rais tuwaombee walio gizani wasioona kazi hii nzuri inayooendelea

    • @edwardmsongelwa5455
      @edwardmsongelwa5455 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli pesa sio kila kitu kingine wenzetu wanasema hawataki maendeleo ya VITU ni NINI siwaelewi wanaonekana uelewa wao ni mdogo sana ukizungukwa na upumbavu moja ndege ni kurudisha shilika letu na ajira pia ni VITU? Clinic kila wilaya ni VITU? Mtatibiwa wapi reli ya kisasa ni biashara na kuongeza kipato cha serikari Mara iishapo infrastructure mojawapo ni VITU? Ukusanyaji bora wa kodi ili tunifanyie mambo wenyewe ni VITU hivyo? Sasa VITU ni NINI? Siwaelewi wanao sema hawataki maendeleo ya VITU wanirudishe shuleni. Maana siwaelewi

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Bshop,umaskini tunaufuga wenyewe kwa kuwa tegemezi hatutaki kufanya kazi.Hongera kwa darasa!

  • @harrisonndooto3927
    @harrisonndooto3927 3 ปีที่แล้ว

    Askofu Mungu azidi kukubariki maana umezungumza kwa hekima yake kabisa 🙏

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki a mbariki rais wetu na wtz wote kila mwenye nguvu na asizohofishwe na mwenye wivu

  • @jacksonjoachim8012
    @jacksonjoachim8012 4 ปีที่แล้ว +2

    Heri kutoa kuliko kupokea...Amen...

  • @zakiajoseph2466
    @zakiajoseph2466 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki askofu

  • @nicholausmahembuke3352
    @nicholausmahembuke3352 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli.

  • @moseshaule586
    @moseshaule586 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Bishop

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 4 ปีที่แล้ว

    Kweli Mtumishi hata mi namuombeasana Raisi wetu pia namshukuru Mungu kwakutupatia kiongozi mzuri mwenye hofu ya Mungu.

  • @ramadhanikaita9672
    @ramadhanikaita9672 4 ปีที่แล้ว +3

    Watu Kama Hawa ndo Mimi hua napenda kuwasikiliza unaongea point baba japo Kuna watu wasiojitambua wataona Kama unampigia debe Ila nakupongeza umeongea ukweli mtupu

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 4 ปีที่แล้ว +1

    Watu kama hawa nawapenda sana kwani ni wakweli🙏

  • @gilberthndakidemi7358
    @gilberthndakidemi7358 4 ปีที่แล้ว

    Ameen mtu wa MUNGU

  • @geralftiffiri1180
    @geralftiffiri1180 4 ปีที่แล้ว

    Dah!mzee gamanywa umenena kweli kabisa kabisa.

  • @moris.b.anthony8-tv
    @moris.b.anthony8-tv 4 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @deusbngika2105
    @deusbngika2105 4 ปีที่แล้ว

    Askofu Tunakuelewa....

  • @twahambeyela5724
    @twahambeyela5724 4 ปีที่แล้ว

    Kazananeni kusifu kwa mwamvuli wa Roho mkitumikia madhabahu kwa kujipendekeza

    • @kentkihongole8235
      @kentkihongole8235 4 ปีที่แล้ว

      Safi twaha

    • @martinkipanya4147
      @martinkipanya4147 4 ปีที่แล้ว

      Mmechanganyikiwa nyie

    • @worldtechnology492
      @worldtechnology492 4 ปีที่แล้ว

      Kwaio ww unataka nn? Misaada

    • @nurdinkisaria9476
      @nurdinkisaria9476 4 ปีที่แล้ว

      @Twaha huna akili
      Bishop anasema ukweli na wajinga siku zote hawapendi kuambiwa ukweli mtabakia mlipo
      Shule mlikimbia acha Pastor atufundishe

    • @twahambeyela5724
      @twahambeyela5724 4 ปีที่แล้ว

      @@nurdinkisaria9476 akili ninyi ndo maana nimetoa mtazamo wangu

  • @peterbillas9131
    @peterbillas9131 4 ปีที่แล้ว

    Fundishaaaa....

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 ปีที่แล้ว

    Baba askofu Gamanywa ulisema ukweli mtupu. Majamaa hawa hawana dogo wanaweza kufanya vinginevyo, tumwombee Rais. 🤷🤷🤷