Ni bonge la kiongozi ,alikua na xifa zote,alikua anafaa, hakika alijiamini na aliamini kua mungu Ni wetu xote sio wawazungu tu no, Kama unaamini hilo gonga like zako hapa
Rest in peace mkuu mugabe.. MUNGU bado anatutazama wanadamu tunaojiona ndy kila kitu kwenye ulimwengu huu wa mwanga na giza ila tuzidi kumuomba yeye..🙏🙏
Safi sana Media zote wangekuwa kama wew basi Waafrika baadhi wanaopumbazwa na wazungu wakapumbazika kuua na kuchafua viongozi bora wa Africa wangebadilika.
Waheshimuni sana wanawake wenye mimba kwamaana nimtu pekeee ambae anatembea na ushahidi kuwa wamefanya mapenzii da Mugabe ni balaaaaa navoskiia ivi namwona nyerere mana vuchwa vyao nisaw Africa unity
Tujiulize sana kwanin mashujaa, na wanaharakat (wapigania uhuru wa Africa wanapatwa mauti katika hospital za ulaya pale tuwapelekapo jili ya matibabu ( r. i, p)Zimbabwe freedom fighter
Hii ndo ujue kuwa bala la africa linapigwa vita na mataifa yalioendelea ili tudidimizwe kiuchumi, hakili na afya kwa kuwaangusha watetez wa africa kama ilivyo kwa mwalim jk nyerere
Malikia hana mamlaka yeyote ni cheo cha heshima tu Kama ilivyokuwa kwa machief na watemi hapa TZ .Ila wameamua kukienzi cheo cha umalikia kuna utofauti uraisi au waziri mkuu. Ndo maana uingereza wanafanya uchaguzi wa waziri mkuu kila baada ya miaka Mitano.
Ni bonge la kiongozi ,alikua na xifa zote,alikua anafaa, hakika alijiamini na aliamini kua mungu Ni wetu xote sio wawazungu tu no, Kama unaamini hilo gonga like zako hapa
😂😂😂😂 Mugabe ni konki 🔥fireeeeee kama tunao mkubali mugabe tujuane kwa kulike
Cruzzy MsomaliTM kweli mgabe noma
Cruzzy MsomaliTM mim
Mugabe chuma
Jembe letu
Kawaachaje zimbabwe
Asante sana mtiga . Sikuwa najua nimemezeshwa ujinga na wazungu.ilove you mugabe
Sifumbi macho kwenye kujifunza
You are the best Mtiga
Nilikua namkubali mno huyu mzee nilikua nampenda jmn rest in paradise Mugabe😥😥
Mambo bibie
Muongo ww
🤔🤭🤔
Rest in peace mkuu mugabe.. MUNGU bado anatutazama wanadamu tunaojiona ndy kila kitu kwenye ulimwengu huu wa mwanga na giza ila tuzidi kumuomba yeye..🙏🙏
Kama unaingalia 2020 piga like
Upo vizur kaka unajua kuadithia yaan nasikiliza hata sichoki Nice work bro
Napenda de way unasimulia hata ambae anakichwa kigum anaerewa keep it up😘😘
The love I have for this guy's voice ooh my,but I love intelligent,sharp and articulate men.Mtigah keep it up,I love you
big up kwa *Ananias Edger *
Nilimpenda sana mugabe huyo kwakweli wazee wetu hao ni majasiri sana walikuwa hawaogopi mtu ma wazungu wakikuweza wanapelekesha mbaya
Safi sana Media zote wangekuwa kama wew basi Waafrika baadhi wanaopumbazwa na wazungu wakapumbazika kuua na kuchafua viongozi bora wa Africa wangebadilika.
Yona Mwakamele ni kweli
Wajinga ndo wanao kubali adui afuze watoto wake
Yona Mwakamele nikweli
Kila mtu ana uzuri na ubaya wake 🙌🙌
Asante sana maana mimi nilimchulia mtu gaidi...mungu alaze mahala pema pepon amen
Pole sana kwa kukaririshwa
Daah Napenda Sana Usimuliaji wako Kaka Mtiga🔥🔥🔥
Mugabe kiboko bwana
Nikiiangalia wasafi itafik mbali ina watu makini kila idara big up mnaleta mapinduz ya habari na burudan
Hila ndo wanawafukuza sikuhiz😔😔😔
Asante sana mtangazaji!
Mimi nahitaji simulizi kama hizi zitawale zaidi.
Wazungu wanajaribu kuchafua vichwa vya wengi wetu!
Wow mtangazaji unanikosha Sana brother 🤗😘
Hili pindi ni kali sana kama unakubak gonga like
Kwa hilj nimekubali uko makini
Nikweli alikua kiongoz mahilii ila duuuuuu!!!!!!!!
The really legend of AFRICA
Tatizo letu Weusi huwa hatupeani support
I respect u on what you are doing coz you know how to find the truth
Mko vizuri story book
Tuleteeni pia story ya Burundi kwa ihsani yenu
Jembe hili..SIMBAAAAA..
Hii ndo media pendwa Tanzania kwa sasa.... Keep it up Wasafi
Nilisema na ukafanya big thanks 👍💕👌
Brother w ni noma saana
Am just loving the story book
Miriam,
Nice presentation bro
Umetufungua macho
Asante mwandishi nahisi tumejifunza mengi
RIP sir, you did enough for us. A luta continua✊🏾 Respect from DR of Congo🇨🇩
Asante the story book niiomba sana hii story
Waheshimuni sana wanawake wenye mimba kwamaana nimtu pekeee ambae anatembea na ushahidi kuwa wamefanya mapenzii da Mugabe ni balaaaaa navoskiia ivi namwona nyerere mana vuchwa vyao nisaw Africa unity
Mtiga ni fire🔥
bro you made me cry😟
Nakubali sana mtiga abdala sauti imeweza kipaji uko nacho big up!👊👊👊
Alikuwa na akili nyingi sana huyu mzee.Hajawahi kuwa dictator ila hila za wazungu.
Ni kwel kabisa tunakumbuka mambo ambayo siyo ya msingi
Daah nyi miamba...👊👊DUNIA NZIMA🙌🙌
We jamaa unayesoma unajua kazi unayoifanya Upo vzr sn , kaza buti Upo vzr sn
I really admire his voice when he was speaking. Rest in peace "lion of Africa "
Big father president
Ongera sana in AFRICAN
Nkiangalia huku namuona mtiga,juu naona ananius hahahaa gonga like kama unamkubali mtiga abdala
Kiuhalisia mugabe alikua simba haki yke kukaa madarakani mpka kufa
Tujiulize sana kwanin mashujaa, na wanaharakat (wapigania uhuru wa Africa wanapatwa mauti katika hospital za ulaya pale tuwapelekapo jili ya matibabu ( r. i, p)Zimbabwe freedom fighter
Wilson John sababu bado Uhuru haujapatikana kutokana na kuisha kwa mafreedom fighter
@wilson john umeuliza swali zuri sana tena la msingi
Hii ndo ujue kuwa bala la africa linapigwa vita na mataifa yalioendelea ili tudidimizwe kiuchumi, hakili na afya kwa kuwaangusha watetez wa africa kama ilivyo kwa mwalim jk nyerere
Swal zuri sawa na bob marley
The big problem
Hongera simba kwakuongeza ushindani wa tasnia ya Sanaa sio kila siku radio na tv moja tu
Nakwenda Zimbabwe
Mtiga respect kwako
mungu nisaidie nije kuwa raisi kama mugabe,magufuli na gadafi nikomboe waafrica ee mwenyezi mungu nisaidie niwe mzalendo daima.
Dah nimechelewa
Jamani hiyo sauti yako we kaka mtiga 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Mmy naomba namba yako please yangu 0745720466
R.I.P the Lions of Africa.. Nyerere, Mugabe, Mandela
Yaan ww kka unasauti nzuli sana
Wasafiiiiiii
Mugabe me alikuwa ananiacha hoi tu alivyokuwa akisinzia hadharani😂😂😂😂😂ninachompendea zaidi mugabe ni ujasiri wake wa kupambana na wazungu...
aaaah sawa mama
Zuley Vendor Alikua amezeeka
Huzee ulichangia
Kazi nzuri sana, nashukuru kwa historia hii Kumhusu Hayati Mugabe. Naomba utuletee yake Nabii Dr. David Owuor.
Umetisha kiongoz 👏👏
Respect kwa mugabe...he was real man. No fear. Rip.simba wa Afrka
Excellent
Hawajaisha wote amebaki Kenneth Kaunda wa Zambia
ISAAC SIMON kweli
Km umeyakubali maneno ya Mugabe gonga like hapa Obama km unataka tukubali ushoga Njoo nikuanze ww
Wazungu wapumbavu sana ,,,Safi sana Rais Mugabe sijawahi kufaham kama ndo ulikua Unamsima hvo.
May Your Soul Rest In Peace Hon. Mugabe ...!!!
Me nakupa hongera bro umekuw mtu wa kuigwa kwa kufafanua vitu km hivi tofauti na wanaotutafutia habr za udaku...keep it up
Do a story on President Jomo Kenyatta for all our Kenyan Brothers.
Mashujaa day is coming up on 20 October
Uko vizuri kaka
Mke wa Mugabe Grace ndiye aliyeharibu sfa za rais huyu.Nchi ya Zimbabwe sasa inasikitisha.
Aiseeee appreciate Daddy Robert Mugabe We will miss you forever and for always😓😂😓😂😓😂
MTIGA ABDALLAH🔥🙌
Story nzuri sana rest in peace Mugabe
Wow now i know.. Thanku fo this
Thanks for reminding us what is important lest we forget
Rest in peace simba(lion) of AFRICA❤
Thanks san wew unajua san
Kipindi changu pendwa 💥 support by konde gang
konde gang hivyo ndo inavyotakiwa
My favorite artist konde boy 💪👊👊
konde gang siku hizi una comment kwenye ma video
Elifasi Nimpagaritse
hyo sio konde gang,,monde gang account take INA herufi kubwa
hey
Vizuri sana ndugu uko vizuri sana
Safi sana
watu waliozaliwa miaka ya 20's...wako genius sana
Namkubali sanaaa Mzee Mugabe
I respect ever 4rever RIP MUGABE
Gonga like kama unamkupali mugabe aliposema wazungu wa cls midom yao
Tupe na ya nyerereee arifu
R.I.P ....Mugabe +254😩😩
Pw
I lyk dis man.shujaa sana huyu
🔥🔥🔥🔥🔥
Noma sanaaaaa👏👏👏👏👏
Malikia hana mamlaka yeyote ni cheo cha heshima tu Kama ilivyokuwa kwa machief na watemi hapa TZ .Ila wameamua kukienzi cheo cha umalikia kuna utofauti uraisi au waziri mkuu. Ndo maana uingereza wanafanya uchaguzi wa waziri mkuu kila baada ya miaka Mitano.
Kifo ni aki yetu ata kama wange kaa miaka miatatu wao wange kidai2 cha muimi ni kuwaombea kwa mungu mwenye nguvu awapumuzishe kwa amani
Jasiri kaumaliza mwendo🔥🔥🔥
Big up sana *Mugabe* , duuh Africa Tumepoteza wasimamizi wetu wanaosimama nakusema bila uoga kabisa tuseme *Mugabe Simba from Africa*
Kama unamkubali mugabe nautaji like zang hapa
Documental hongera saaaana kwa usimulizi mzuri
Hadithi nzuri sana na ingependeza kama waafrika wote wangejua hii story maana inajenga xana
Wazungu washenzi kwlkwl ......lkn watu weusi sisi bado tunawashobokea
wazungu hawana maana .....wale hawatupendi ....
duuuh text zinakatwa .....
Hassan Massaga Hakika
Wanauwezo wanaongoza dunia wakatae ufe na njaa
Kama unaamini Mugabe alikuwa kiongozi bola please like apa.😘😘
🔥🔥HATARII🙏🏻🙏🏻 TUNAPENDA tumpate mtu mwingine kama MUGABE.. R.I.P MUGABE
i doubt john pombe magufuli is likely to be like him
Nice mtiga bro
Safi sana kk
Kama umemkubari huyu mzee baba mpe like zake hapa
Sujaa ssna
Hongera Sana mugambe
Mgabe Rais wetu
Asante sana
Safi Sana shujaa