Kweli hela hainunui uhai aliaza kama mchicha akakua akawa kama mubuyu japo hakuna mji wala mtaa uliopewa jina lake angewa aitembelea tanzania mtaa au balabala ingeitwa bobu male
Thanks for this documentary maaan,,,though key and potential figures in bob's life are missing in ya narration ie Chris Blackwell,Ritha,Lee Perry/scratch,Claude Masoup,,Marcus Garvey(his role model),,H.I.M Selassie and his best friend lawyer Diane Jobson.....all in all I&I very grateful for the findings ,,Jah bless
I’m a big fan of bob marley since when I was 6 years old I used to listen his music because of my dad he used to play his music a lot and I started to like him and I know many things about him , my family gave me the nick name of Aziz Marley so everywhere people call me that but I’ve heard things unique that I never knew before big up brother, good job 🙏🏼
Bob Marley alikua mtume Wa Mwenyezi Mungu. Siasa itakuja kufa duniani haisaidii, kama vile mahasidi wazungu wanaopinga ufanisi wa Mwafrika. Kila kinachopinga maisha kitaangamia.
Mke wa Bob Yuko hai , na jina lake NI Rita Anderson au Rita Marley .... Miss dunia wa Brazil alizaa tu na Bob mtoto mmoja naye akamwita Damian ambaye ndio anajiita junior gong....huyu jamaa kwa mix yke ya kibrazil na kijamaican half cast anadread zinagusa ardhi kwanyuma anapokuwa kasimama....
Alisee icho kibeat cha mwanzo ni hatariii icho kama cha kuhuzunishaaa safi sana sauti nzuri editings nzuriii nmeiangalia hii video mara ya tatu sasa 👏👏👏
Lucky hahahahahaaaa .... Huyu hakuvuta ganja Wala sigara.... Urasta wake ulikuwa on his dread. Lkn kufuga dread cio ndio urasta jaman.... To be a Rasta one should be born again
Nimependa hii stori japo inamapungufu mengi , lkn yaliyoelezwa NI yakweli ..... Summerised Sana hii stori...... Kunavitu vinapaswa viwekwe sawa ktk jamii ... Ok kunamaneno yanazagaa kwamba Bob aliuawa baada ya kuwageuka freemanson kitu ambacho cio kweli na kilipaswa kiwekwe sawa hapa, kunawatu wanadai nyimbo yake Africa United na Natural mystic kwamba anamkashifu mungu Jambo ambalo cio kweli na lilipaswa kuwekwa sawa, lkn pia tafsiri ya No woman no cry bado kunautata watu kws kutofahamu lugha wanafasiri zao ambazo si zakweli pia ilitakiwa iwekwe sawa. Kunamambo mengi Kuna nyimbo nyingi Sana ambazo zinamaana lkn kwakutofahamu lugha inayotumika watu wanachanganya na kuona Bob alipelekwa mbio na bangi..... Lkn kimsingi huyu jamaa alikuwa NI mwanaharakati aliyepambana peke yake kwa kutumia Guilter Kama alivyojipigapiga kifua mwenyewe ktk moja ya interview yke . Aliwah kusema yeye cio mwanasiasa ila NI mwanajeshi wa upande was Jah yaa n jehova kwa mashahidi was Uganda au mungu kwa kiswahili chetu...... Mtiga nitafute nikupe full stori nadhani Bob ,bunny na Peter tosh walipoonana na walipotengana pengne hujui na sababu ya kutengana pia huenda hujui.......ask me !!! Rita hukumtaja na The I three au wanawake watatu ambao NI back vocalists wanaosikika wakinung'unika kwambali ktk nyimbo za Bob hukuwagusia .... I have lots bro.....je wajua kuwa akiwa 36 years alikuwa na watoto thenashara yaan 12 na Kati yao NI watoto 4 tu ndio alizaa na mkewe wa ndoa ? Hapa ndipo ikaja ngoma Kama no woman no cry , lkn pia alipokufa Haile Selassie ndio Bob alipotoa ngoma yake Jah lives , yaan Jah hafi na akifa Mambo yke yatashi milele ..... But ktk mkutano wa kwsnza wa African Union (AU) ikiitwa O.A. Addis Ababa Ethiopia ulioitishwa na Haile Sellasie H.I.M aliongea maneno mazito yaliyomshawishi Bob Kuyarudia yote ktk nyimbo yake "War" ? .....Basi Kila nyimbo ya Bob inamaana Sana.......... Hapa nasikiliza "stiff necked fool" ikisha natia pimpers paradise ,jamin,wait in vain au acha play all;-) hahaha na ndio utamaduni wangu kusikiliza reggae Kila siku ndio huwa nafeel no pain when I hit reggae songs. Be blessed Mtiga One love
Unajua anachomaanisha lkn ...? "No woman no cry "NI kingereza Cha mtaani ambapo anamaanisha "woman don't cry " (mama usilie) .,....... Don't shed no tears maana yake dont shed tear ( usidondoshe machozi).... 😂😂😂 Inaitwa [double negiation] So hii nyimbo according to bob himself, anasema alikwenda kwa mshkaji wake ghetto, alikuta mshkaji wake yupo ndani alafu mlangoni kunakibint kidigo kinalilia kuingia ghetto kulipopigwa guitar alipokuwepo yule mshkaji, so bob akakashika mkono akaingia nako ndani, yule mshkaji akasema kanafujo kaache kaende nje, bob akasema katanyamaza acha kakae humu ndani, then akaanza kukabembereza kama mama anapombembereza mtoto asinzie.... Ndio nyimbo aliyoitunga hapo haraka ajiri ya yule mtoto anyamaze ni no woman no cry..... Idea ikawa nzuri, ikabidi aitengeneze nyimbo ambayo itatumika ajiri ya kuwanyamazisha wanawake wanaolia kote jamaica, kwabahati mbaya au nzuri, nyimbo hiyo ikawa ndio nyimbo ya kwanza kumtambulisha Bob internationally 😀😀😀
Jamaniii wanadamu tuna roho ngumuu kusababisha mwenzio augue cancer adi afe ili wewe upate faida gani yaaani daaaaah inaumaa sanaaaaa ,R.I.P Bob marlay hakika kwa yote uliyoyafanyaa M Mungu atakulipiaa tu
Lucky usimchanganye na role mode wake bob marley..... Wapo wakali kibao ambao lucky hawakuti.... Lucky unamjua wewe na mimi tu, wapo akina Jimmy cliff, joseph hill. Don carlos, burning spear, ronnie devis, dennis brown, chaka demus, yellowman, buju banton,
Yani ma icon wote wamekufa alafu mbaka leo hawajapatikana wengine mungu alilaze nafsi zao mahali pema peponi japo bob ulikufa atabado sijazaliwa mm daaaaaaaaah!!! Inaniuma kweli maana bob ww ulikuwa icon of world
Nawkubali saan wasafi mnatufny tujue mengi 🙌kam tuko weng tunay ikubali Wasafi gonga like tujuan.. The story book ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Vp
@@nassorronga2947 fresh
Saafi wasaafiiiiiii
Si rahisi kupata wasimuliaji Kama wewe.Big up! You are the best.
Ok
Much Love From Kenya.Bob Is King!Tanzania Is The Best.
👍
Tanzania zii
Daaah!!! Inasikitisha sana😭😭😭........ kama umeguswa na hii story ya bob Marley gonga like twende pamoja
Kweli hela hainunui uhai aliaza kama mchicha akakua akawa kama mubuyu japo hakuna mji wala mtaa uliopewa jina lake angewa aitembelea tanzania mtaa au balabala ingeitwa bobu male
ibrahim wiswa
Resten peace legend
Medi Tito outs Kenya long live reality
Ire
Money can't buy life and love...😭😭😭maskn Bob Marley. Roho imeniumaa.kafa bado kijana.ukiwa star ni shida kwakwel.bora uwe wa kawaida tu.
wa Africa tunaweza sanaa....Am.proud to Africanist ......God bless us and be with us..√√√√√√
Bob isnt african
Fadhili Mtei kwan wap wap umesikia wamesema ni muafrica
Fadhili Mtei , yeeh men....
Hhhhhhhh hakuwa mwafrika kaka alkuwa chotara wa kizungu
Nakubali sana wasafi mnatukosha kinyama kama unakubali kama mimi ngonga like hapa pls
Taff Gong King Of Reggae Music.....Rastafarai.......My secret LOVE
duh so painful 😭😭 but hakuna kukata tamaa kama Bob Marley kapitia magumu hv na bado alikuwa imara mm ni nan nishindwe hapana Mungu nipe nguvu 🙏🙏
Kama nawewe unapenda story book Ya Bob Marley legend wa reggae dunian nipe like pls👑👑👑✌✌✌✌👍💖
iam deep in rural I like TV services
Htalo
💪
Regeng
Samuely Paulo vp
thanks abdalla for this narration......watching from Kasarani Kenya
bonge mojaaa la stori ,,kama nawe umeikubaliiii hii stori na sauti ya mtangazaji gonga Like mpendwa
Thanks for this documentary maaan,,,though key and potential figures in bob's life are missing in ya narration ie Chris Blackwell,Ritha,Lee Perry/scratch,Claude Masoup,,Marcus Garvey(his role model),,H.I.M Selassie and his best friend lawyer Diane Jobson.....all in all I&I very grateful for the findings ,,Jah bless
I’m a big fan of bob marley since when I was 6 years old I used to listen his music because of my dad he used to play his music a lot and I started to like him and I know many things about him , my family gave me the nick name of Aziz Marley so everywhere people call me that but I’ve heard things unique that I never knew before big up brother, good job 🙏🏼
Not I use to listen but the real is.... I used to listen..hahahahahaha
Songs you like??
@@hawaally7974
😁😁
Hawa ally 🍖🍖🍖🍖🍖🍔🍔🍔
@@athumanimasabo8670 hahaha mbna unatka kuchkesha mtu unamkosoa bas unajifanya kama wewe unajua kma yeye ndo lunga yake sasa
Ever living... Everfaithfull... Ever show... We always give thanks and praise to the most high... Rest in Peace Bob Marley 🇨🇬
Nakuletea soda Tanzania kwa kazi nzuri big up brother
Legend never die ... Rip. 3 little birds wimbo wa my Mum alipokuwa akipambania uhai wake ... RIP my lovely Mum Teddy...
Kweli
Nikisikia historia ya bobby natokwa na machozi
God a blessing him 😮
your voice makes story hotter, big up
Haaaaaaa vipi Abdallah we shujaa wa kutangaza haya makala. Napendezwa flow yako . Hongera💪
Ahsante Ee Jeah kwa zawadi hii ya Mwana Fasihi bora Bob Nester Marley kwa kutumia jukwa LA mziki kutujuza ukweli wako na UPENDO wako kwa Binadamu.
Tulioangalia mwishoni mwa 2024 gonga like
I love the way you narrate the story.Well done
Jah keep blessings rastafari Bob marley still a live in heart of rastafari who see millions mails away 🙏 jah love
Bob Marley alikua mtume Wa Mwenyezi Mungu. Siasa itakuja kufa duniani haisaidii, kama vile mahasidi wazungu wanaopinga ufanisi wa Mwafrika. Kila kinachopinga maisha kitaangamia.
Kama na ww ndio umejua leo Demu wa Bob alikua miss wa Dunia like hapa
Mke wa Bob Yuko hai , na jina lake NI Rita Anderson au Rita Marley .... Miss dunia wa Brazil alizaa tu na Bob mtoto mmoja naye akamwita Damian ambaye ndio anajiita junior gong....huyu jamaa kwa mix yke ya kibrazil na kijamaican half cast anadread zinagusa ardhi kwanyuma anapokuwa kasimama....
Ali Ali
Wabongo bhna ulishii nae?
kulwa mapunda Kweli na mkewe ni mtuu mweusi
@Ali Ali hahaha
@Ali Ali alikuwa Anuka uliwai Kutana nayeye?
Money can't buy life that is true we love you Bob Marley from Kenya
Ume itendea haki sana documentary ya Bob Marley big up exactly. Mimi na soma sana vitabu ikiwemo nime na history ya bob ume nigusa big up man
Robert Nesta Marley ,Nimejikuta nawaza mambo mengi sana ila yote kuhusu harakati za watu weusi...pumzika kwa amani Bob Marley...
Africa unite,
One love best nigga
R.i.p
Sauti ya mtangazaji is a golden one....I don't care about Rastafarian but your nice voice kept me here....kudos
CIA wakudaaaa
Playing on the background, no woman no cry ❤️I love that song. Continue resting in peace king 👑
Mbona kama nakufahamu wewe
@@Ajira_na_biasharayou probably mistakening me for someone else. Or you might have seen me on Instagram I don't know.
Mambo vp
@@Ajira_na_biashara vp
Vp
His music still leaves on... The legendary... RIP Bob
Alisee icho kibeat cha mwanzo ni hatariii icho kama cha kuhuzunishaaa safi sana sauti nzuri editings nzuriii nmeiangalia hii video mara ya tatu sasa 👏👏👏
mtiga, masimulizi yako ni mazuri kabisa. Asante Sana!!
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Bob Marley alikuwa handsome jamaniii.... Km ningekuwepo enzi hzo ningemdangia mpka nimpate😘😋😋
😜😜😜😜
Annie Coco hahaha
Nidangie mimi nimefanana na Bob Marley
@@priestemanyuelly7721 unajua kuimba?? 😁😁😁😁
Zuley Vendor hahhah
Hongera sana mr mtinga sema CHUMVI KALI SANA ILA CHAKULA KITAMU!!!!!!!
RIP BOB.
Tunaomba na ya lucky dube
Kama na ww unataka ya lucky naomba tujuane kwa like
My favourite artist philip lucky dube
Lucky hahahahahaaaa .... Huyu hakuvuta ganja Wala sigara.... Urasta wake ulikuwa on his dread. Lkn kufuga dread cio ndio urasta jaman.... To be a Rasta one should be born again
@@loner_wolf unajuwa rasta pray ya dube?
Djrau Joseph 1989
Djrau Joseph
Umejua kunifurahisha . one love Bob Marley
Nalielewa sana hili pindi konki la Stori Book limenifanya nianze kufatilia Nyimbo za Lejendari Bob Maree
Simulizi nzuri sana kaka. One love
Huyu legend ataishi milele R.I.P BOB MARLEY💪👊
Nigaaaa
Ama kweli nampenda sana BOB MARLEY ata nikizaaga mtoto wangu ndamwitaga BOB MARLEY❤️
R:I:P Bob Marley ur Song's will ev'r remain da top and inspiration!
Pumzika kwa amaniii Bob Marley
Nimependa hii stori japo inamapungufu mengi , lkn yaliyoelezwa NI yakweli ..... Summerised Sana hii stori...... Kunavitu vinapaswa viwekwe sawa ktk jamii ... Ok kunamaneno yanazagaa kwamba Bob aliuawa baada ya kuwageuka freemanson kitu ambacho cio kweli na kilipaswa kiwekwe sawa hapa, kunawatu wanadai nyimbo yake Africa United na Natural mystic kwamba anamkashifu mungu Jambo ambalo cio kweli na lilipaswa kuwekwa sawa, lkn pia tafsiri ya No woman no cry bado kunautata watu kws kutofahamu lugha wanafasiri zao ambazo si zakweli pia ilitakiwa iwekwe sawa.
Kunamambo mengi Kuna nyimbo nyingi Sana ambazo zinamaana lkn kwakutofahamu lugha inayotumika watu wanachanganya na kuona Bob alipelekwa mbio na bangi..... Lkn kimsingi huyu jamaa alikuwa NI mwanaharakati aliyepambana peke yake kwa kutumia Guilter Kama alivyojipigapiga kifua mwenyewe ktk moja ya interview yke . Aliwah kusema yeye cio mwanasiasa ila NI mwanajeshi wa upande was Jah yaa n jehova kwa mashahidi was Uganda au mungu kwa kiswahili chetu...... Mtiga nitafute nikupe full stori nadhani Bob ,bunny na Peter tosh walipoonana na walipotengana pengne hujui na sababu ya kutengana pia huenda hujui.......ask me !!! Rita hukumtaja na The I three au wanawake watatu ambao NI back vocalists wanaosikika wakinung'unika kwambali ktk nyimbo za Bob hukuwagusia .... I have lots bro.....je wajua kuwa akiwa 36 years alikuwa na watoto thenashara yaan 12 na Kati yao NI watoto 4 tu ndio alizaa na mkewe wa ndoa ? Hapa ndipo ikaja ngoma Kama no woman no cry , lkn pia alipokufa Haile Selassie ndio Bob alipotoa ngoma yake Jah lives , yaan Jah hafi na akifa Mambo yke yatashi milele ..... But ktk mkutano wa kwsnza wa African Union (AU) ikiitwa O.A. Addis Ababa Ethiopia ulioitishwa na Haile Sellasie H.I.M aliongea maneno mazito yaliyomshawishi Bob Kuyarudia yote ktk nyimbo yake "War" ? .....Basi Kila nyimbo ya Bob inamaana Sana.......... Hapa nasikiliza "stiff necked fool" ikisha natia pimpers paradise ,jamin,wait in vain au acha play all;-) hahaha na ndio utamaduni wangu kusikiliza reggae Kila siku ndio huwa nafeel no pain when I hit reggae songs. Be blessed Mtiga One love
hawajui pia kwenye tamasha la Bob la Zimbabwe walipigwa mabom ya machoz watu walikimbia lakin Bob alibaki jukwaani kuendelea kuimba
Broh! Uko vizur sanaaaa... Nmependa mwendelezo wa hii story be blesse
This is the worth documentary about Bob i've ever heard
Duh Story Inatia Huzuni Na Huruma Sana. Repose En Paix . Que Dieu Reçoive Ton âme
Money can't buy Love so heartbreaking R.I.P Bob Marley
Hiiiii
Heshima kwako mdogoangu
Nigongeeni like Manigga juu ya huyu mtangazaji
Hatar sana
Heshima kwako
Godliste is the
Godlisten Ezra q qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq
Watcha
Mtiga Abdalla ...Upo Saaaaaaana!🙏🙏🙏🙏🙏🙏
daah kama unamkubali huyu jamaa gonga like. Nice unajua
Ira ww MTIGA unanikoshaga yani WASAFI Good sana
Stl de king Nesta
Legeng
Legend forever, Jah bless
Tunataka na ya Michael Jackson pamoja na lucky dube kama na ww ndugu mwenzangu unasubiri hizo gonga like apo
Nakubali sana unacho kifanya kaka ombi tunaomba ya 2pac
Jamani mbona Mimi hamunipi like zangu kwenye story book nimewakosea Nini 😂 😂😂 😂😂 😂
Hii ni blaaaaaaaa
ahahahaaa
Moto sana
Mbona tuko pamoja mzee
Mbona unaomba likes 😂😂😂
Forever a LEGEND.
Nawakubali sana wasafi gonga like kama unamkubali Bob malery
Rest ina de piece 👑 of Judah
We gonna meet you ina Zion
Peace not piece
Traverse Ammathowzy *PEACE
Suleiman Ali 😂😂😂
We gonna meet in zionnn
Stir it up
Historia huu umenifanya nilie nasikitika sana sisi wamaskini tunadharauliwa sana duniani nzima i love TZ from USA but Congolese
Charite Kato viva
Huyu jamaa hii nyimbo ya No Woman No Cry alifikiria mbali sana rest in peace legend 🙏
😭
Henry Mwanuke
No woman no cry......ooh little darling.. dont shed no tears
Unajua anachomaanisha lkn ...?
"No woman no cry "NI kingereza Cha mtaani ambapo anamaanisha "woman don't cry " (mama usilie) .,....... Don't shed no tears maana yake dont shed tear ( usidondoshe machozi).... 😂😂😂 Inaitwa [double negiation]
So hii nyimbo according to bob himself, anasema alikwenda kwa mshkaji wake ghetto, alikuta mshkaji wake yupo ndani alafu mlangoni kunakibint kidigo kinalilia kuingia ghetto kulipopigwa guitar alipokuwepo yule mshkaji, so bob akakashika mkono akaingia nako ndani, yule mshkaji akasema kanafujo kaache kaende nje, bob akasema katanyamaza acha kakae humu ndani, then akaanza kukabembereza kama mama anapombembereza mtoto asinzie.... Ndio nyimbo aliyoitunga hapo haraka ajiri ya yule mtoto anyamaze ni no woman no cry..... Idea ikawa nzuri, ikabidi aitengeneze nyimbo ambayo itatumika ajiri ya kuwanyamazisha wanawake wanaolia kote jamaica, kwabahati mbaya au nzuri, nyimbo hiyo ikawa ndio nyimbo ya kwanza kumtambulisha Bob internationally 😀😀😀
Thanks Jah.
Ooh my!!!!!! i love the way you narrate ...piga like kama unakubali❤❤❤❤❤
Greatly Rastafarian...
One love one respect.
Jamaniii wanadamu tuna roho ngumuu kusababisha mwenzio augue cancer adi afe ili wewe upate faida gani yaaani daaaaah inaumaa sanaaaaa ,R.I.P Bob marlay hakika kwa yote uliyoyafanyaa M Mungu atakulipiaa tu
A real old hero...your message still dwells
Story nzito Sana izi bro ...afu nakukubali Sana daahh.....thanx Kwa kuniongezea knowledge bro🌟🌟
The story book mmetuletea kile tunachokihitajii ,dah mnajua kutumalizia Mb zetu
Duh alikua "HANDSOME KWA KWELI "natamani angekua mme wng yani sikuanasikiliza stori nilikua naangalia Sura yake2 mwah 💋
Wew piga 0684838522
Mpe
Wa kwanza kukoment... Like zangu please
Tunaoisubiri historia ya Luck Dube kama mm tulike hapa
👍
Waquaan
Tuko pamoja sanaaaaaaaa👍👍👍👍
JAH BLESS I AND I
Cto kusahau kwa kazi zako
R.I.P
I love his music so much.Thank you for giving us his background.
Your legacy remains forever, continue RIP legend...
😢😢 no woman 👩 no cry
😢😢 one love
Ni baadhi ya reggae zenye zenye cku aipiti bila kuiskiliza,, ebu naomba likes kwa marasta woote❤
Napenda sana unavyo elezea story
Ww jamaaa usingee ondoka wasafi maana unajuwa Sanaaa kusimulia
Watching you from Kenya 🇰🇪🇰🇪naomba mlete story ya VYBZ KARTEL
Mtiga nakukubali sana broo toka Moçambique ww ni noma broo
As usually keep it up and thumbs up to you two..
king of reggae
Umetixhaaa xn broooo,my self I clap a hand for you!!!!
Thanks so much my brother for this lovely story
Bob Marley and lucky dube will always remain a leged peace love and harmony rip bod
Lucky usimchanganye na role mode wake bob marley..... Wapo wakali kibao ambao lucky hawakuti.... Lucky unamjua wewe na mimi tu, wapo akina Jimmy cliff, joseph hill. Don carlos, burning spear, ronnie devis, dennis brown, chaka demus, yellowman, buju banton,
author....... I KNOW U FELT IT BT GOD BLESS YOU AUTHOR
Peace and love rest in peace king judah Rastafari ujafa unaishi tunamin faza kwa nafsi ilio moja 👊🏻.als-Pamoja sana umetangaz fresh sana
😭😭😭😭😭you will be forever remembered Bob Marley n those switched off your life will be forever be in agony 😭
R
KO Nakuqenda
daah wasafi mwisho gonga like twende sawa
Asante kwa simlizi nzuri nyakati hizo turikuwa Bado hatujazariwa hakika alipigania haki ya wanyonge apmzike kwa amani
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭daaah inasikitisha Sana rip Bob Marley msema kweli😭
ozaa wakuu noma Sanaa dah nchekini like zenu
May his soul continue resting in power, brother Marley will forever be my legend
Upo
The Legend didn't die,he's living among us trough his educative music.
The Legend Lives On
Boma,r
Yani ma icon wote wamekufa alafu mbaka leo hawajapatikana wengine mungu alilaze nafsi zao mahali pema peponi japo bob ulikufa atabado sijazaliwa mm daaaaaaaaah!!! Inaniuma kweli maana bob ww ulikuwa icon of world
Wanasema kwenye ukweli Uongo hujitenga Sasa mbona hadi leo ukweli wa huyu Shujaa umekuwa FUMBO .Wadhungu sio watu Wazuri.
Allah akuzidishie na akupe nguvu ktk zako nakukubali sn broo Allah akusimamie ktk kazi yako
One love,,,,,,,
Peace and love bob marley
TOKA TEAM MEDIA MAKAMBAKO TOWN OIOIOI OIOI KAMA WW NI TEAM BOB GONGA LIKE 2SEPE NA KIJIJIII
xavery sunday homeboy
Nakubali hm boy
I see Africa being the only place to be,
I see peace 🕊️,
I see love,
I see African king,
I see is rule,the real man.
King of reggae, rip legend
Bob Marley is a legend